Mtoto wa Deo Filikunjombe Aibukia Mkutano wa CHADEMA, Adai Naye ni Mhanga wa Manyanyaso ya Polisi

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 94

  • @MwanaishaShattry
    @MwanaishaShattry 2 місяці тому +15

    Hakika umejieleza vizuri sanaaa. Na habari yako inasikitisha kwakweli hadi hapo ulipofikia inauma.

  • @simonsadala2386
    @simonsadala2386 2 місяці тому +16

    Mbowe ni mwamba hasa wa kuibua vipaji vya vijana ktk uongozi ndo maana akina Msigwa baada ya kushiba na kuvimbiwa wana mtukana lkn ukwl Mbowe ni bonge la kiongozi

  • @ROBERTMGOGOSI
    @ROBERTMGOGOSI 2 місяці тому +13

    Hapa ndo kama mtu mwenye akili timamu utambue kwamba hata wewe unayejiita CCM haupo salama kwa utawala wa kishenzi namna hii.

  • @FrankMwakatundu-cu6bd
    @FrankMwakatundu-cu6bd 2 місяці тому +6

    HII SIYO CCM ILE YA NYERERE, CCM HII NI YA WATAFUTA MAISHA KWA NJIA YOYOTE ILE YAANI NJIA INAYOKUBALIKA NA MUNGU AU HAKUBALIKI NA MUNGU MRADI WAPATE WANACHO TAKA!!! NI HATARI SANA!!!

  • @husnabashiru1660
    @husnabashiru1660 Місяць тому +1

    I always miss the MAN Deo Filkunjombe😢 R.I.P

  • @FestoMunishi
    @FestoMunishi Місяць тому +2

    Ongea kiswahili mjomba acha jichanganye lugha

  • @benmushumbusi
    @benmushumbusi 2 місяці тому +1

    Poleni sana. Hao ni WAATHIRIKA na SIO WAANGA. Washauri viongozi. Mhanga ujitakia, Mhathirika ni Mdhulumiwa.

  • @abuukarata9653
    @abuukarata9653 Місяць тому +3

    Sasa si uende mahakamani shekh badala ya kukimbilia chadema. Watakusaidia kweli? Au majungu

  • @tanzanitetv
    @tanzanitetv 2 місяці тому +4

    Pole sana aisee

  • @EarnestMwangombola
    @EarnestMwangombola 2 місяці тому +4

    Filikunjombe jieleze kwa kiswahili unaeleweka vizuri tu, achana na kuchanganya na kiingereza, unatuchanganya….

  • @AhmediKilingamoyo
    @AhmediKilingamoyo Місяць тому +2

    Duh Jamani hiiserekali ya ccm mmmh hatari mpakamungu aamuetu

  • @ChristerKoku
    @ChristerKoku 2 місяці тому +4

    Pole sana mno,Filikunjombe hatutamsahau kwa kulipenda taifa lake,aliwapenda wapiga kura wake sana sana.

  • @theonasmkoba6121
    @theonasmkoba6121 Місяць тому +1

    Wewe ukweli ni zaidi ya baba yako

  • @frankjohn8706
    @frankjohn8706 Місяць тому +3

    CCM Ina wenyewe

  • @rithaurassa
    @rithaurassa Місяць тому +1

    Akienda mahakaman sindiounapelekwa polis. Dunia haina huruma.

  • @francismomo7067
    @francismomo7067 2 місяці тому +9

    Nmefrah na neno-very unfortunately

  • @frankjohn8706
    @frankjohn8706 Місяць тому +2

    Kama huyo anafanyiwa hivyo sembuse mtu mwingine asie mtoto wa ccm

  • @abuukarata9653
    @abuukarata9653 Місяць тому +1

    Very unfortunately

  • @EstermsuyaMsuya
    @EstermsuyaMsuya 2 місяці тому +4

    Pole.sana kijana. Mungu awatetetee mupate haki yenu

  • @RachelMligwa
    @RachelMligwa 2 місяці тому +3

    Jamani hii nchi inaenda wapi?

  • @nsubisimwasandende-kl9vy
    @nsubisimwasandende-kl9vy Місяць тому +2

    Umeshafeli kabla ya kusikilizwa

  • @Nufaila442
    @Nufaila442 Місяць тому +1

    Inamaana wakati wa jpm mtu wa wanyonge mlishindwa tena miaka 6 mpaka kuja kulialia wakati huu

  • @siphaholelaholela6956
    @siphaholelaholela6956 Місяць тому +2

    Ongea kiswahili tu usichanganye lugha

  • @hawahbohero2425
    @hawahbohero2425 2 місяці тому +2

    Kuna jambo linajificha msimamizi wa mirathi anahusiana vipi na serikali mbona hili jambo ni la kifamilia zaidi

  • @emmanueltillya2017
    @emmanueltillya2017 2 місяці тому +6

    Nenda mahakamani huyo aliokudhulumuni.kwa nini anafanya hivo

    • @upendoeliya9329
      @upendoeliya9329 2 місяці тому +1

      Inavyoelekea ni wakubwa maana Mkuu wa mkoa kashindwa na kila😊 anapokwenda hasikilizwi

  • @fauluonlinetv
    @fauluonlinetv 2 місяці тому +2

    DaaH UONEVU MKUBWA SANA

  • @clemencemkondya8561
    @clemencemkondya8561 2 місяці тому +1

    Jembe gani !!.Walimteuwa mtu..awasimamia sasa serikali inahusikaje . wamfuate huyo waliomteuwa kwenye ukoo..ulikoenda huko.wakusaifiye

  • @abbyadams8691
    @abbyadams8691 2 місяці тому +7

    Very unfortunate 4R ni uhuni km uhuni mwingine.

  • @RevocatusSebastian-c8o
    @RevocatusSebastian-c8o 2 місяці тому +3

    Daah pole sana

  • @foundationforcommunityhope7327
    @foundationforcommunityhope7327 2 місяці тому +1

    Heeee jamani duuu kazi kweli kweli

  • @ChristerKoku
    @ChristerKoku 2 місяці тому +4

    Inatia uchungu sana.

  • @zver7342
    @zver7342 2 місяці тому +9

    Unfortunately...... Unfortunately....... Very Unfortunately.....unfortunately😂😂😂😂

    • @geofreyedwin5062
      @geofreyedwin5062 Місяць тому

      😂😂😂😂

    • @geofreyedwin5062
      @geofreyedwin5062 Місяць тому

      Dogo shule yake vip huyu!?

    • @Allymwasunga
      @Allymwasunga Місяць тому

      ​@@geofreyedwin5062vip mwamba kajichanganya au maana kapiga kingeri sana wazee wa kukimbia umande hatujaelewa

    • @geofreyedwin5062
      @geofreyedwin5062 Місяць тому +1

      @@Allymwasunga haujaelewa nn hapo hamna lugha ila anajifanya kujua na anajikuta kurudia neno moja hilo tu!

  • @godlistengodlisten7552
    @godlistengodlisten7552 2 місяці тому +2

    Duh 😭Hii Nchi Yetu Inaenda Wapi Jamani.

  • @IpyanaPaul
    @IpyanaPaul 2 місяці тому +3

    Dah ccm imefikia pabaya sana hivi mnalingia nini.
    Mnafanya watanzania hawaoni et mnatutishia polisi hivi nanyie polisi ndiyo mliyo jifunza kuumiza laiya wa Tanganyika kweli inauma sana 😭😭😭😭😭

  • @MnmTv255
    @MnmTv255 2 місяці тому +1

    Dah pole

  • @nelsonzakayo496
    @nelsonzakayo496 Місяць тому

    Unfortunately umejieleza vizuri

  • @ayububrantaya6624
    @ayububrantaya6624 Місяць тому +1

    Alafu mtu anasema ccm ni baba yake😊😊😊😊

  • @ONESMOKAUNDE
    @ONESMOKAUNDE Місяць тому +1

    Nyinyi ndio ccm endeleen kuipambania achen kulialia watoto wa mwenye nyumba

  • @RizikiMlela
    @RizikiMlela 2 місяці тому +2

    Ndunguyangu hiyondio ccm chama Cha majambazi Tanzania huwezikupatahaki

  • @JohnMarco-b9l
    @JohnMarco-b9l Місяць тому +1

    Ongea kiswaili acha izo

  • @Gadielrussia
    @Gadielrussia 2 місяці тому +2

    unfortunately ccm nikumamayo zao

  • @iamnormal8648
    @iamnormal8648 2 місяці тому +1

    Nenda kafungue kesi ya madai Mahakamani hakuna atakayekuja kukukamata na kukutia ndani. Ila ukiwa unahangaika kutafuta jibu la kiutawala (yaani jibu la kisiasa) watakusumbua sana.
    Wewe unamshukuru Mbowe kwa kukupa hilo jukwaa la CHADEMA kumwaga machozi, mwenzio Mbowe amefurahi kukuona umekuja hapo ili akutumie kisiasa kuonesha maovu ya CCM. Ndo maana hata jina lako hawajaandika kwenye maelezo ya video. Wamekutambulisha kama *Mtoto wa Deo Filikunjombe*
    Sasa kua mtu mzima, nenda Mahakamani ili utambulike kwa jina lako badala ya kutambulika kama Mtoto wa Deo Filikunjombe.

  • @IddaItuga-o9d
    @IddaItuga-o9d 2 місяці тому +1

    Deo utahangaika sana ktk nchi hii rudi matumbala kakae bureee

  • @veronicmkenda9939
    @veronicmkenda9939 Місяць тому +1

    😢

  • @lgf7297
    @lgf7297 2 місяці тому +2

    Hawa ndiyo watoto wa Simiyu wanaopotes halafu wanalaumu Polisi kutowatafuta.

  • @MalaikaHome-b6r
    @MalaikaHome-b6r 2 місяці тому +1

    Deo alikua mtu kamili mwamba yule rip my shupavu nimefurahi kulisikia jina kake

  • @IssaAlly-lp4uf
    @IssaAlly-lp4uf 2 місяці тому +2

    Safi

  • @leonimsimbe7433
    @leonimsimbe7433 2 місяці тому

    That's politics boy! No permanent friends no permanent enemy!! CCM Ina wenyewe, je wewe na marehemu baba yako ni miongoni mwao??

  • @veronicmkenda9939
    @veronicmkenda9939 Місяць тому +1

    😊😊

  • @cyrusmichael6906
    @cyrusmichael6906 Місяць тому +2

    Sorry buana

  • @GodloveTyoe-fv8or
    @GodloveTyoe-fv8or 2 місяці тому +1

    Msaada jamami kwenye tuta apo 4R ni nini? Jamani

  • @Kidia-yt3bm
    @Kidia-yt3bm 2 місяці тому +3

    Punguza Unfortunately

  • @abrahamuisrael6161
    @abrahamuisrael6161 2 місяці тому +1

    dogo tumia lugha fasaha basi na sio kuchanganya,, ujue Kuna watu hata secondary hatujafika ko English kwetu ni tatizo

  • @barakamanga5502
    @barakamanga5502 2 місяці тому +1

    Ivi kama huyunaye analalamika je kuna hajagani ya

  • @PrinceHendry-hp8vv
    @PrinceHendry-hp8vv 2 місяці тому +1

    Unfortunately litamfikia samia

  • @jamesjahasa3348
    @jamesjahasa3348 2 місяці тому +2

    Ongea kiswahili wewe mbowe atakupa hata ubunge😂😂😂

  • @SharifaOman-bf1bn
    @SharifaOman-bf1bn 2 місяці тому +2

    😢😢 ccm. Kwajweli. Mnakwama. Wapi???

  • @juliuskitaluka1206
    @juliuskitaluka1206 2 місяці тому +1

    Changamoto kubwa sana

  • @bahatielias6443
    @bahatielias6443 2 місяці тому

    Aiseee nchi hii ukiwa na shida halafu utake haki yako huko juu ,utakutana na majangili kweli

  • @HanifaBruno-lv1qf
    @HanifaBruno-lv1qf Місяць тому +1

    P0le sana mwanangu de0

  • @zver7342
    @zver7342 2 місяці тому

    Unfortunately.... Unfortunately....unfortunately 😂😂😂😂

  • @CretusMwalongo
    @CretusMwalongo 2 місяці тому +4

    CDM ndiyo chama pekee kilicho beba matumaini ya watanzania

  • @MOSESIMCHUNGUZI
    @MOSESIMCHUNGUZI 2 місяці тому +1

    Dih,haya mashetani yalaaniwe

  • @EmmanuelCharles-d6x
    @EmmanuelCharles-d6x 2 місяці тому +1

    The slave no leave

  • @JonathanTembo-f6j
    @JonathanTembo-f6j 2 місяці тому +1

    CCM woote ni matapeli wakubwa familia ya shetani

  • @zver7342
    @zver7342 2 місяці тому

    Unfortunately...... Very Unfortunately. Don't you have any other English word?

  • @hamzarumela1784
    @hamzarumela1784 Місяць тому +1

    Duh hatari sana hii

  • @MehmetMtonga
    @MehmetMtonga 2 місяці тому +1

    Waambieee wanachosha

  • @MehmetMtonga
    @MehmetMtonga 2 місяці тому

    Kwaiyo unatakanini

  • @edsonmnego4030
    @edsonmnego4030 2 місяці тому

    We Kaa hapo hapo chadema achana na wale

  • @djurio
    @djurio 2 місяці тому

    Huyu ni enantiomer ya Filikunjombe. Mzee ameacha jembe

  • @greenermichael2057
    @greenermichael2057 Місяць тому +1

    Yaan wangejua kuwa madaraka ni ya muda hata wasingewatesa wenzao bac tu roho ya Philip njombe inahuzunika

  • @emanweljohn1240
    @emanweljohn1240 2 місяці тому +2

    Hiyo ndio ccm

  • @MaxCharles-wj5dg
    @MaxCharles-wj5dg 2 місяці тому

    laa aise

  • @kulwastima3993
    @kulwastima3993 2 місяці тому +2

    tkisema delete ccm huwa hamuelewi

  • @nyeurakibura4791
    @nyeurakibura4791 2 місяці тому +1

    Chagadema mtafika mmechoka sana maana wakati wote mnahasira duh

    • @jeffhard5773
      @jeffhard5773 2 місяці тому

      Heri wajinga waishio katika ujinga maana Hawa hawatambui hata haki zao za msingi

  • @fidelisjoseph-tt9zl
    @fidelisjoseph-tt9zl 2 місяці тому

    Rc ndo mnafki

  • @jumamagoma1743
    @jumamagoma1743 2 місяці тому +1

    Ccm.kwishaaaa

  • @nelsonzakayo496
    @nelsonzakayo496 Місяць тому

    Unfortunately umejieleza vizuri