Nabii Tito aja na mpya

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 кві 2010
  • slef-proclaimed prophet Tito preaches in Dar es salaam March 6, 2010

КОМЕНТАРІ • 208

  • @hospitalyamungutv8217
    @hospitalyamungutv8217 5 років тому +4

    Mungu Akusamehe bure .kwa mamlaka ya jina la Yesu pepo likutoke sasa.

  • @lucaswalogwa3821
    @lucaswalogwa3821 5 років тому +3

    Tito unafurahisha sana ila muogope mwenyezi mungu japo najawa na vicheko mungu anisamehe

  • @alhajiomary2294
    @alhajiomary2294 5 років тому +13

    Ndugu wakigombana shika jembe ukalime,wakipatana nenda kavune.

  • @frankhoffa8356
    @frankhoffa8356 5 років тому +10

    Nabii Tito kama siyo chizi basi ni mpelelezi

  • @kelvinyesaya4328
    @kelvinyesaya4328 5 років тому

    Ushindwe kwa jina la yesu....Mungu adhihakiwi...acha kufuru

  • @mashakaally889
    @mashakaally889 3 роки тому +1

    Piga huyoooooooooo

  • @nuswemwaipopo9558
    @nuswemwaipopo9558 2 роки тому

    Kumbe nabii tito alikuwa mweusi

  • @badrahassan7513
    @badrahassan7513 5 років тому +8

    Hahahaha yalitabiliwa haya

  • @sallymfinanga4882
    @sallymfinanga4882 5 років тому +2

    Huyu amekuja kuharibu dini amekuja kufanya ili dini ya kikriso ionekane mbaya na mm ni mwislamu hlo nishaliona jamni wakristo fanyeni kitu hyu mtu anawaaribia dini anaharibu CV zenu

    • @fatmarashid2384
      @fatmarashid2384 5 років тому

      Kabisaa mm sio mkristu lakini anacho kifanya huyu jamaa sio poa

  • @davislewis2953
    @davislewis2953 6 років тому +2

    Yesu twakuomba urudi

  • @munaahmed8499
    @munaahmed8499 5 років тому +1

    Arejeshwe milembe jmn anaharibu dini ya wakristo

  • @tozbtz8109
    @tozbtz8109 5 років тому

    Farao misili mpaka leo bdo mbichi anatoa damu kwa Moyo mgumu kama farao utapgwa pigo moja tu linakutosha mungu hushindani nae

  • @browntiger4849
    @browntiger4849 5 років тому

    Jamaa fala sana

  • @D-Man.B-Free
    @D-Man.B-Free Рік тому

    Daaaah,yupo wapi?

  • @samirmpuhu7403
    @samirmpuhu7403 5 років тому +2

    Shikamoo nabii titoo

  • @muhammadnufailmuhammadnufa4261
    @muhammadnufailmuhammadnufa4261 5 років тому +4

    Chiz karogwa tena 😂😂😂 đoz iko ítaly tanzania hakuna dawa yke

  • @gachalinjesmo3180
    @gachalinjesmo3180 5 років тому

    Mungu akusukue too

    • @ibrahimamidu4973
      @ibrahimamidu4973 3 роки тому

      Waelimishe waonje utam wapombe bombe tam bwana

  • @petermokami2273
    @petermokami2273 5 років тому +3

    Huyu jamaa, inabidi aombewe😕😕😕

  • @habibumallanga6392
    @habibumallanga6392 4 роки тому

    Kazi manayoa na dini zenu

  • @uriotv9989
    @uriotv9989 6 років тому +2

    Tito unayembipu akipiga utajuta maisha yako yote,nakuombea tu Akureheme maana huenda hujui utendalo

  • @nyandamisana3630
    @nyandamisana3630 5 років тому

    Nacheka sana leo

  • @mohammedalshahwani1542
    @mohammedalshahwani1542 2 роки тому

    Cheese fresh mpeni kichapo uyo mwamchelewesha watanzania 🔥🔥🔥

  • @aliakbarfazal3673
    @aliakbarfazal3673 3 роки тому

    Tiba ni pombe hallelujah

  • @josephkisembe6663
    @josephkisembe6663 6 років тому +1

    Mungu kasema unywe pombe,hii mbona hatari.

  • @salmaiddy6059
    @salmaiddy6059 5 років тому +1

    Uyo chiz

  • @mussaelia8693
    @mussaelia8693 2 роки тому

    Nlikua nkiwaza.sana.hao manabii Wa uongo watatokea vipi , kumbe mithili ya hawa

  • @al-bsaidykhalef6897
    @al-bsaidykhalef6897 5 років тому +1

    Wakristo mtajijuwa. Sisi tuna anfalia tu

  • @myself4128
    @myself4128 5 років тому

    Huyu mtu ana wazimu msiumize vichwa! Mungu hawezi kumuacha hivihivi lazima mwisho wake atalipia! Kipindi cha sheria alitakiwa apigwe mawe hadharani mpaka afe sababu analazimisha kiki lakini sikuhizi neema imezidi kuwapa watu uhuru wa kulinajisi jina la Bwana! Hatakiwi kuishi kabisa sema wakristo ni wapole sana sikuhizi hawana tena uchungu na wivu juu ya Mungu wao kama zamani

  • @fastonngatulile6628
    @fastonngatulile6628 2 роки тому

    Ukome

  • @sumakaseta3575
    @sumakaseta3575 5 років тому +1

    Mm huyuu ckupata bahat ya kukutana nae ila nahisi ningemharibu sana anii angejuta

  • @fatmarashid2384
    @fatmarashid2384 5 років тому +8

    Mm sio mkristu lakini sipendi huyu jamaa anavyo zalilisha dini

  • @rashiarashidhamad3530
    @rashiarashidhamad3530 2 роки тому

    Yesu aligonga sn pombe

  • @evachriss5906
    @evachriss5906 5 років тому +1

    Mmemchelewesha kwann msimpigee huyoo mbwaa jamn kwann mnamuachia wananchii naumia mm jamnii

  • @barick
    @barick 5 років тому +1

    Hii video ina miaka9! Mmmh

  • @eliasnsimba5976
    @eliasnsimba5976 5 років тому

    Mungu haziakiwi

  • @emadasmar5714
    @emadasmar5714 5 років тому +2

    Akuna mzima waivi jmni

  • @sophiamirambo9656
    @sophiamirambo9656 Рік тому

    Huyu anaweza kuleta machafuko💔😭🙄

  • @sunlightkimambo1038
    @sunlightkimambo1038 5 років тому +4

    virus vimempanda kichwani

  • @joshuayunga4052
    @joshuayunga4052 5 років тому +4

    Kwan kumpiga hata kofi la macho ni vibaya eti?

    • @fatmarashid2384
      @fatmarashid2384 5 років тому

      Vizuri ili apate akili mpya mana mshenzi sana

  • @sk-wj9or
    @sk-wj9or 5 років тому

    Aliisha kubali hadharani kua yeye titto alikua anapenda kuingiliwa na wanaume wenzake. Hapo anajaribu kuwashauri watu walewe na wasiogope kupata ukimwi ili wampalamie.
    Laana ya Mungu yamshukie

  • @omalisaidi3245
    @omalisaidi3245 5 років тому

    wakilisto apa megonga mwamba

  • @ibrahimmusician2355
    @ibrahimmusician2355 5 років тому +2

    Ningekuwepo happy angekula ngumi jiwe,yenye
    Mungu ndani,angejuta kunifahamu,yesu hapendi ujinga.

    • @evachriss5906
      @evachriss5906 5 років тому

      Yan uyuu sijui kwann wanamuwacha yani uyu ni wa kupigaa sana mbak ajikute yuko muhimbili ,,,kasha laaniwa uyu jamn

    • @aminakingaru5609
      @aminakingaru5609 5 років тому

      nashukulu mungu kuzaliwa muislam

    • @eddy4998
      @eddy4998 3 роки тому +1

      @@aminakingaru5609 kabisa

  • @leylasaid2616
    @leylasaid2616 5 років тому +5

    Eti waumini sindo nyie mmesimama..hahaaaaa

  • @mussaabdiel9797
    @mussaabdiel9797 4 роки тому

    Watu wanabishana na kichaa

  • @petermwanyondo6459
    @petermwanyondo6459 5 років тому +3

    Ninabii wamaluusu sio makatazo kweli huyu amepotka heli nisie nadin

  • @happyfiverickaldo4662
    @happyfiverickaldo4662 5 років тому

    Titooo noumaaa

  • @kazkaz1943
    @kazkaz1943 5 років тому +2

    Huyo jamaa anaerecord na sim yakufunua kanikumbusha mbaliiii

  • @happyjohn3533
    @happyjohn3533 5 років тому +1

    mgonjwa huyu jamani

  • @boniphasnyamonge1372
    @boniphasnyamonge1372 6 років тому +1

    Uwo n uchawi na kama cyo uchawi n firimason

  • @jessykaelus1579
    @jessykaelus1579 5 років тому +1

    Huyu dishi, limeyumba.

  • @kulwamussa3612
    @kulwamussa3612 2 роки тому

    hahahahahahhahahahahahahahahahahahahahahahahahaha mbavuzangu mie hahahahahahahahahahahaha nakufamie eti pombe nidawa

  • @user-lr1oi6xp8o
    @user-lr1oi6xp8o 5 років тому

    ukristo ni vituko

  • @siddikimpole8301
    @siddikimpole8301 5 років тому +1

    pungwani

  • @happinessseleman8231
    @happinessseleman8231 2 роки тому

    Unachanganyikiwa ww

  • @honekisebwa226
    @honekisebwa226 5 років тому

    Mh. Nauyo alochapish hayo maandish MUNGU anakuona

  • @mairasoligi5320
    @mairasoligi5320 6 років тому +1

    Baba yetu wa mbinguni ni mwema sana, amempa Tito karama ya Uhuru wa kuchagua wema au ubaya, kumwabudu au kumkataa. Hivyo ndivyo Tito alivyoamua kuitumia karama yake. Tumweshimu na tuheshimu uamuzi wake, tusichore msitari maana hata hivyo sisi sote ni wadhambi na tuko katika hatari ya kuasi na huenda kutenda zaidi ya Tito.

  • @michaeljohn8748
    @michaeljohn8748 5 років тому

    Jamaa hazmtoshi

  • @rashidhamad3787
    @rashidhamad3787 5 років тому

    yesu alikuwa mlevi kwel wambiye nabii tito atakama watakasrka alaf alikuwa muhun balaa yesu

    • @leonardbihanda9021
      @leonardbihanda9021 2 роки тому +2

      Siku ya mwisho utakutana na huyo unayemtukana, bila yeye huwezi kuipenya mbingu, Upinzani ndani ya Yesu Kristo ni mkubwa, kwa sababu shetani anachafua kusudi wachache waweze kupenya.clip ya zmn lkn nimeona niandike.

    • @louisdaughter6829
      @louisdaughter6829 2 роки тому

      Apelekwe milembe Dodoma haraka jamani

  • @happydeus7570
    @happydeus7570 5 років тому +2

    Madaktari was milembe wafanye kazi yao jamani siyo kwa uchizi huu!

  • @josephleomashauri5107
    @josephleomashauri5107 5 років тому

    Msenge baridi

  • @jemsngokor5587
    @jemsngokor5587 6 років тому +7

    kwanza hata hao walioko pembeni wakiwa wanauliza maswali nao hawana akili vilevile

  • @salomechelagat351
    @salomechelagat351 2 роки тому

    Hahahaha waaaah

  • @beatricemussa6561
    @beatricemussa6561 6 років тому +2

    Hii ni hatari

  • @sheillahchisika8414
    @sheillahchisika8414 6 років тому +1

    Huyu ni chizi.

  • @zakariajoseph6813
    @zakariajoseph6813 5 років тому

    Dahhhhh huyu ni kichaa kasoro anavaa vzuli

  • @ngenyarynah5394
    @ngenyarynah5394 5 років тому +1

    huyo wakumpiga mnamuangalia wa nn chiz huyoo

  • @valentinamussa4212
    @valentinamussa4212 6 років тому +1

    kweli huyu mirembe,watu kama hawa ndo huleta mapenzi ya jinsia moja

  • @zulfarwanda8456
    @zulfarwanda8456 5 років тому

    Kumbu huyu kaanza mbalii haya mambo loooh innalillah

  • @capteinchuimchafu7894
    @capteinchuimchafu7894 2 роки тому

    Duuuuu

  • @naomidaniel5425
    @naomidaniel5425 5 років тому +2

    Angekua anatangaza dini ya kiislam kama hiv angepigwa risasi au mapanga

  • @fadhilkadad5211
    @fadhilkadad5211 5 років тому

    WENGI WATAKUJA KWA JINA LANGU,,,ndi haya tunayo yaona

  • @lydiamarie4994
    @lydiamarie4994 6 років тому +2

    Acha kumziaki mungu wako bure dungu.. Utakuja kujuta siku zijazo

    • @fadhilibenda3947
      @fadhilibenda3947 5 років тому

      Kupitia tukio hili LA nabii wa uongo huyu tena jizi natamani hata hii simu niiuze ninunue nokio ndogo sioni faida ya hizi simu zaidi upotoshaji tuuu

  • @happnescharles613
    @happnescharles613 5 років тому

    mh dunia simama nishuke

  • @ernestsinje9221
    @ernestsinje9221 5 років тому

    inawezekana ni usalama wa taifa

  • @Abdallah_mussa
    @Abdallah_mussa 5 років тому

    USALA WA TAIFA HUYO!! YUKO KAZINI SHAULI YENU

  • @peteralfonce5848
    @peteralfonce5848 5 років тому

    Kwani mvinyo nipombe au?

  • @lukozi41
    @lukozi41 12 років тому +8

    Jameni tuzidi kumuombea TITO apone tatizo ya akili inayo mkabili.

  • @mariamfaith9914
    @mariamfaith9914 5 років тому

    Sio pombe ilikuponya. Ni Imani yako ilikuponya

  • @ngalawekikohingalawekikohi4768
    @ngalawekikohingalawekikohi4768 5 років тому

    Duuh toka pepo

  • @rayaali7551
    @rayaali7551 5 років тому +1

    Huyuuu ni wakupigwa pingu na kufyekwa ndani shenzz huyuu anaepotosha generation mshenzzz huyuu anadhalilisha dini na upotofu wakeee

    • @konshazikonsha6180
      @konshazikonsha6180 5 років тому

      Kweli lakini,Tatizo ktk moja ya shelia za Tz zinaruhusu mtu kuamini na kuabudu kile anacho amini bila ya kubuguziwa,hivyo kutiwa hatiani ni ngumu kidogo.

  • @anganilekajigilikajigili2641
    @anganilekajigilikajigili2641 3 роки тому +1

    Linajua maandiko hila wameliloga🤣🤣🤣🤣

  • @OmanOman-gc1zu
    @OmanOman-gc1zu 5 років тому

    arudishwe milembe. 😰😰😰

  • @billyosunga963
    @billyosunga963 5 років тому +1

    Watz wana mambo sana 😂😂😂

  • @zemzemeyup1746
    @zemzemeyup1746 4 роки тому +1

    kumbe ameanza siku nyingi huyu ahahahahahaha

  • @wilisonpius4495
    @wilisonpius4495 5 років тому +1

    Huyo ni chizi kabisa et kunywen pombe kama umeokoka daa kama umeisikia hii gonga like

    • @ramabakari6709
      @ramabakari6709 5 років тому

      uyumtu akilianazo ukilisito unaonewasana kamaanaweza aziaki kuruani aone kitakacho mkuta

  • @munaroza1994
    @munaroza1994 5 років тому

    Mwisho wa dunia ndo hu

  • @hamishamis9905
    @hamishamis9905 6 років тому +1

    Wewe ndo nabii wa ukweli upo sawa m2 mzima

    • @evachriss5906
      @evachriss5906 5 років тому

      Wew na yeye wote zaidi ya pepoo

    • @mariamjuma1068
      @mariamjuma1068 5 років тому

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @nurumunguakutangurirabdull4472
    @nurumunguakutangurirabdull4472 5 років тому +1

    Sasa mnabishana na chizi mtaonekana na nyinyi machiz😂😂😂

    • @abednego3876
      @abednego3876 5 років тому

      ingetakiwa wakristo wamchape vibaya

  • @hassanijuma3462
    @hassanijuma3462 5 років тому

    Dah huy jmaa akili timam aixee

  • @alliymkobe3949
    @alliymkobe3949 6 років тому +7

    255765360430
    Nabii Tito inaonekana alijipanga tokea muda mrefu sanaa
    Ndg zangu tuunganeni kukemea watu wanaovunja maadili ya kizazi kipya kama upotoshaji huu

    • @hamongukecha8944
      @hamongukecha8944 5 років тому

      Ni kweli kabsa hyu jamaa mm namkumbuka nimeshawah kukutana nae maeneo tofaut tofaut kwenye mabaa na alikuwa anagawa vpeperushi kila meza

  • @hassanmganyizi586
    @hassanmganyizi586 6 років тому +1

    Mmmh gonga peke yako

    • @sophiakimaro6680
      @sophiakimaro6680 5 років тому

      huyu mnacheka nae kamata chapa viboko vya makalio akili ikae sawa huyu arudishwa lutindi.

  • @maxwellabraham587
    @maxwellabraham587 5 років тому

    Hahaha duuu huyu jamaa ana niacha hoi

  • @edisonmathias3510
    @edisonmathias3510 5 років тому +1

    Huyu sio chizi Ila ni kichaa

  • @joycemageta4876
    @joycemageta4876 5 років тому

    Huyo muacheni tu c kakimbia milembe

  • @user-me3ee4fu8w
    @user-me3ee4fu8w 4 роки тому

    kweli inamupasa kuomba msamaha hata mwanamke alie kubali kuolewa nae

  • @isayamakiwa1468
    @isayamakiwa1468 2 роки тому

    Shoga huyo

  • @adillhabib2006
    @adillhabib2006 5 років тому

    Huyo si chizi ni mgonjwa

  • @edsoniminani5785
    @edsoniminani5785 4 роки тому

    Na hao wanaomsaidia kuchapisha hizo karatasi wana dhambi mile mile pamoja naye

  • @damarigongo3067
    @damarigongo3067 5 років тому

    Yesu anasema kama mlivosia kuwa mpinga kristo yuaja, hata sasa amekwishkuwepo, asomae na atambue.

    • @daudipaulo7420
      @daudipaulo7420 5 років тому

      Huyu anaitaji maombi akili yake aiko sawa hata baba yake kasema akili yake aiko vzr ni mpumbavu

    • @daudipaulo7420
      @daudipaulo7420 5 років тому

      Afu waandishi wa habari ni kisomo chenu bado mnamuoji oji nn kamata peleka kanisani akatolewe mapepo

    • @daudipaulo7420
      @daudipaulo7420 5 років тому

      Pumbavuuuuuu' hamnamo akili humo

  • @hassanbilali5141
    @hassanbilali5141 5 років тому +1

    Chizi uyo Tu