EXCLUSIVE: Dr. Luis aongea baada ya kutoka Polisi "WHAT DO THEY MEAN? MIMI NI MSUKUMA"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 лис 2017

КОМЕНТАРІ • 988

  • @mudykombo5125
    @mudykombo5125 6 років тому +195

    GONGA LIKE KAMA UNAMKUBALI MZEE SHIKA THE GREATESTMAN EVER. MZEE AFANYE MATANGAZO ATAINGIZA PESA SANA PIA WAFANYA BIASHARA WAMTUMIE HUYU MZEE. HIS COMFIDENCE ENOUGH TO WORK WITH HIM. TUMUINUE KWENYE MATANGAZO MZEE WETU

    • @mamahustru
      @mamahustru 6 років тому

      Wazo zuri sana sana. Asaidiwe jamani apate kazi ya kutangaza.

    • @kyandomarry2015
      @kyandomarry2015 6 років тому

      😂 😂 Nimekapenda bule mzee

  • @ephesongailo8564
    @ephesongailo8564 6 років тому +54

    the man is strong

  • @silwanosihha4394
    @silwanosihha4394 6 років тому +70

    Despite of everything...The man is so bright....I learn a bg stuff from this precious

    • @ericstephenm.844
      @ericstephenm.844 6 років тому +1

      Silwano Sihha true!!!!...

    • @mtanzaniamzalendo7001
      @mtanzaniamzalendo7001 6 років тому +1

      Silwano Sihha m with u

    • @sweetmama3242
      @sweetmama3242 6 років тому

      Aki jamani. Mh...!

    • @mjombamalaki2025
      @mjombamalaki2025 6 років тому

      Huyu mzee sio mchezo hatakama hao madalali wa TRA. (YONO) WAKISEMA WASIMAME NAE MAHAKAMANI. ATAWATUPA NJE YA ULINGO VIBAYA SANA. BORA WAKUBALI YA ISHE WAANZE MNADA UPYA

    • @basagabernad4253
      @basagabernad4253 6 років тому

      +Mjomba Malaki
      Tena kabisaaaa kabisaaaaaa mzee

  • @jojigeorige1056
    @jojigeorige1056 6 років тому +138

    Huyu mzee sio chizi ila ni genius, ukiwa genius kupitiliza halafu ikawa hujawa utilized kuna changamoto kama hizi

    • @neemamhina8921
      @neemamhina8921 6 років тому +1

      Thats true,anything in excess is harmful.Na wengi wenye akili za kupitiliza wanakuaga hivyo.

    • @yshamwilima3301
      @yshamwilima3301 6 років тому

      joji georige to bad

    • @goldmansun5859
      @goldmansun5859 6 років тому

      mzee genius,huo uongo siyo mchezo

    • @latb2747
      @latb2747 6 років тому

      joji georige true genious kupitiliza huyu mzee big up to him

    • @inclyrics4384
      @inclyrics4384 6 років тому

      daaah kwl

  • @presidentwapwani1153
    @presidentwapwani1153 6 років тому +88

    Huyu jamaa ni kiboko kha. Yaan hata ukisimama nae mahakamani anakupiga chini 😅😅

    • @shaabanmusa5127
      @shaabanmusa5127 6 років тому

      mike erick
      Cri yako

    • @mimahg2620
      @mimahg2620 6 років тому

      mike erick tena wimaaaaaaaaaaaa yuko vzr atareee tena yupo njema kwakweli ila kunakitu kimejificha ndani yk

    • @MariamsLifestyle
      @MariamsLifestyle 6 років тому

      mike erick 🤣🤣

    • @hafidhally6431
      @hafidhally6431 6 років тому

      mike erick yupo sawa

    • @magenysamike4075
      @magenysamike4075 6 років тому

      mike erick kabisa coz yuko vzr

  • @deogratiasnjee5708
    @deogratiasnjee5708 6 років тому +22

    Mzee yuko smart....they shouldn't judge u...so bright##

    • @shanijohn3988
      @shanijohn3988 6 років тому +1

      jmn kupanga so kwamb huna hela dah

  • @allykawawa8888
    @allykawawa8888 6 років тому +12

    the man got something they call self confidence

  • @bensonfrank643
    @bensonfrank643 6 років тому +88

    Mzee Nimetokea kumpenda tu yan ✊ Hafu Ana Akili zake TIMAMU kabisa

    • @mimahg2620
      @mimahg2620 6 років тому +1

      Benson Frank unishindi mimi nimempenda bureeee😂😂😂😂😂Santee Dr Luis upo vzr sanaaa bb

    • @mtanzaniamzalendo7001
      @mtanzaniamzalendo7001 6 років тому +1

      Benson Frank yupo vzr sanaa,uelewa A

    • @TrendyArtWorks
      @TrendyArtWorks 6 років тому +1

      hahaha,,, mzee konki huyuuu,,, namwelewa sana dadeq

    • @shaninaftary1693
      @shaninaftary1693 6 років тому

      Na ana confidence pia

    • @p.kasongot979
      @p.kasongot979 6 років тому

      Benson Frank watu alikuwa wameisha hanza kutusi mtu wawatu jamani tuwe waungwana

  • @paschaljeremiah4903
    @paschaljeremiah4903 6 років тому +43

    He is very intelligent and I wonder to some guys who used to say he is not well minded!!

    • @yolakahmathews6913
      @yolakahmathews6913 6 років тому +1

      He is no doubt very intelligent, but it does not mean that he is not deluded. I.e. if a cheque was sent by a courier, then what was the insurance for?, he then contradicted himself with online transfer and cheque.

    • @shakurfaith
      @shakurfaith 6 років тому +1

      He's mentally unstable but looks like he did go to school.

  • @mctidohondoa1652
    @mctidohondoa1652 6 років тому +45

    The earlie the beter yuko sawa mpeni nyumba zake

    • @noxlosingida2369
      @noxlosingida2369 6 років тому

      Mc Tidoh Ondoa hahahahahahaha msomi kabisa hana tatizo la kiakili ila anamapungufu kidogo tu

  • @rajabumofi8532
    @rajabumofi8532 6 років тому +67

    Dr. Luis shika anaonekana hela anayo wacheni dharau nyumba anachukua hizo fanyeni subira kidogo

    • @sukhailluqman9385
      @sukhailluqman9385 6 років тому

      hahaha m nilijuwa Hana akili kumbe anajielewa vizur kabisa

    • @janethjackson5370
      @janethjackson5370 6 років тому +1

      Rajabu Mofi hahahaaaa! Umenipa raha dia....

    • @mtanzaniamzalendo7001
      @mtanzaniamzalendo7001 6 років тому +1

      Rajabu Mofi kweli kabisaa,tatizo la tz watu wanadanganyika na mwonekano

    • @rajabumofi8532
      @rajabumofi8532 6 років тому +1

      Janeth Jackson Au unamuonaje Dr Luis Dada Janet Kwanza huyo Rais wa company na hizo company ziko nje ya nchi halafu ana jiamini anapoongea ina maana ana uhakika na anachokifanya kama uliona siku ya Mnada yule dada aliyekuwa anatangaza Mnada alifanya kazi kubwa sana ya kumpepea wakati wanamalizia mnanda nyumba ya mwisho na kuna jamaa mmoja alipiga makofi mpaka jasho likawa linamtoka chezea Dr. Luis wewe

    • @rajabumofi8532
      @rajabumofi8532 6 років тому

      mtanzania mzalendo umeona huyu atasaidia nchi kujenga viwanda Kama ana company nchi mbali mbali kwanini asijenge viwanda nchini kwetu mzee yuko vizuri

  • @mariamhadija7236
    @mariamhadija7236 6 років тому +31

    mbona anajieleza vzr tuu jamani😂😂😂😂

  • @FailFasterLearnFaster
    @FailFasterLearnFaster 6 років тому +32

    Usimdharau usie mjuwa kweli...!

  • @lipwata
    @lipwata 6 років тому +9

    He is a good presenter.....Ukifuatilia utukuta harukii maneno yaan anakumbuka A to Z tena kwa fact.
    Naamn atapangiwa kazi nyingine.

  • @debbymwaka4048
    @debbymwaka4048 6 років тому +7

    huyu mzee yuko vizuri sana hongera baba kwa kujieleza vizuri Mungu akubariki binadam acheni zarau

  • @geraldgodsontv7982
    @geraldgodsontv7982 3 роки тому +7

    Baada ya kifo chake nimelazimika kuja hapa R.I.P our legend😭😭

  • @faridkibavu2028
    @faridkibavu2028 6 років тому +12

    The man is smart

  • @shamsa1718
    @shamsa1718 6 років тому +4

    He is full of wisdom and understanding! Tunashukuru kwa maelezo mazuri sana.

  • @fatiachiduli8060
    @fatiachiduli8060 6 років тому +55

    itakuwa sio chizi kama wanavyosema ni timamu tu baba wa watu

    • @renaldakamugishazeramulake940
      @renaldakamugishazeramulake940 6 років тому

      Fatia Chiduli jamani mbona huyu mtu ni timamu? SERIKALI imsaidie. JAMANI mbona sijielewi kuhusu huyu mtu?

    • @mimahg2620
      @mimahg2620 6 років тому +1

      Fatia Chiduli tena napesa pia ipo ila tu itakua anamambo yanamchanganya uenda ya kimaisha au family

    • @mtanzaniamzalendo7001
      @mtanzaniamzalendo7001 6 років тому

      Fatia Chiduli sanaaa ana akili kabisaa anajua anachokifanya,yupo fit,wampe muda anaweza lipa hizo hela,atakuwa ana wadau wake nje

  • @mwinyimcheni2572
    @mwinyimcheni2572 6 років тому +18

    Nilijua aslay ndio atafunga mwaka Kumbe ni Dr Luis haha umeisha Dr Luis

  • @allybububu9757
    @allybububu9757 6 років тому +66

    Mzee wangu maelezo kayapiga rula ... aisee ila yote Kwa yote usimdharau mtu usiyemjua wala usihukumu Kwa kumjadili bila ya evidence.

  • @rushurikarashid3018
    @rushurikarashid3018 6 років тому +5

    he's so bright.... huyu Mzee yuko safi aseee

  • @albertflexe439
    @albertflexe439 6 років тому +1

    ebwan mzee huyuu hatar yan ankumbuka kila kilicho kua kinaendelea aseee wasukuma juuuu san tu km unakbali mzee ni genius gonga like 👍👍👍👍

  • @moseskisingi9625
    @moseskisingi9625 6 років тому +54

    Huyu jamaa inawezekana akatiliwa shaka kwa mwonekano, lakini anajitambua sana, anaonekana kusongwa na mawazo, upweke na kudhulumiwa, anaonekana kukusudia kufanya mengi lakini kuna kitu kinamtatiza ama kilimtatiza, binafsi nadhani kati ya Watanzania wanao jua kujenga hoja na kujieleza huyu jamaa atakuwa kwenye top ten, nashauri serikali yetu ifuatilie kujua nini kilimpata huyu ndugu yetu huko ughaibuni!

    • @amonfaustine103
      @amonfaustine103 6 років тому +2

      Moses Kisingi @ umetoa wazo la msingi sana, serikali ifuatilie huko ughaibuni alipatwa na nini,, polisi waache kumuhusisha na lugumi na badala yake wachukue maelezo yake binafsi wayafanyie kazi.

    • @adamhq8924
      @adamhq8924 6 років тому +1

      Moses Kisingi mzee anaonekana alidhurumiwa hela mingi huko urusi ndo kilichomchanganya

    • @rosewilson6227
      @rosewilson6227 6 років тому

      Moses Kisingi

    • @eng.mathemagician986
      @eng.mathemagician986 6 років тому

      I concur with you. Atakua kunakitu kadhulumiwa aisii wachunguze apate haki yake.

    • @adamhq8924
      @adamhq8924 6 років тому

      Eng. Mathemagician huyu mtu asaidiwe kiafya kwanza mengine badae

  • @williamkunigwa5525
    @williamkunigwa5525 6 років тому +27

    Mzee yuko vzr

    • @kambonamwasaka8419
      @kambonamwasaka8419 6 років тому +1

      Appreciated u not only logical thinker but critical thinker

  • @luminary9506
    @luminary9506 6 років тому +28

    kwa anaye jua vizur atagundua kwamba huyu mzee n msomi sana....kuliko

  • @gudalifa
    @gudalifa 6 років тому +4

    A great person!
    A great mind!

  • @lukongerajab1120
    @lukongerajab1120 6 років тому +20

    Likaongezeka laziada neno Leo leo hii. Ebwana huyu mzee hatari ndo maana amejizamini

  • @victoronesmo2251
    @victoronesmo2251 6 років тому +10

    Usimdharau usiyemjua mzee yuko stable

  • @rogersndilivale2412
    @rogersndilivale2412 6 років тому +5

    Very bright

  • @damariszuckschwert9489
    @damariszuckschwert9489 6 років тому +64

    Baba yuko vizuri kuliko waliokuwa wanapiga mnada na wakicheza atawaingiza segerea😅😂

    • @mimahg2620
      @mimahg2620 6 років тому +1

      Damaris Zuckschwert 😂😂😂😂mbavu zanguuu😂😂😂😂

    • @damariszuckschwert9489
      @damariszuckschwert9489 6 років тому +1

      MIMAH G Yani kama ameweza kujieleza kwao na wakamkubali kuwa mmoja wa wanunuzi ni Dr tena siyo wa mchezo mchezo. Hata hapa kwa maelezo yake, atawaingiza segerea😂😂😂😂

    • @davidmaige395
      @davidmaige395 6 років тому

      Duuh! tunafunga mwaka kwa m900

    • @damariszuckschwert9489
      @damariszuckschwert9489 6 років тому

      David Maige itapendeza.😄

    • @emmanuelfrank6906
      @emmanuelfrank6906 6 років тому

      Damaris Zuckschwert hahahahaaaaaa

  • @magievuriva4775
    @magievuriva4775 6 років тому +5

    mbna yupo vizuri tu jaman wabongo dont judge a book by its cover.

  • @lilianjremiah747
    @lilianjremiah747 6 років тому +17

    Uyo ndo dr luis bwan

  • @Msonjo
    @Msonjo 6 років тому +12

    huyu ni tajiri wa akili itapendeza ukiwatapeli

  • @deewallance9354
    @deewallance9354 6 років тому +36

    😢😢😢 pole babangu

    • @ayotv5669
      @ayotv5669 6 років тому

      Dee Wallance habari

    • @deewallance9354
      @deewallance9354 6 років тому

      paul Mathias Salama vee

    • @musicxtratv1790
      @musicxtratv1790 6 років тому

      Hii ndio maana sanifu ya neno
      "KIPUSA" Bofya hapa kutizama
      >>goo.gl/ipWUzm,
      Then Toa maoni yako

    • @jensena.k1004
      @jensena.k1004 6 років тому +1

      Dee Wallance ntumie number yako

    • @deewallance9354
      @deewallance9354 6 років тому

      HD TEAM MEDIA mm nafanana na grandpa wako jmn,

  • @kaobamaabel5561
    @kaobamaabel5561 6 років тому +20

    Mzee yupo poa mwachien tu jamn

  • @ibrahimhumbotv
    @ibrahimhumbotv 6 років тому +96

    Mzee yuko sawa kimaelezo mpeni mda nyie TRA #ITAPENDEZA .

    • @mtanzaniamzalendo7001
      @mtanzaniamzalendo7001 6 років тому +2

      ibrahim humbo TV anaweza lipa may b ana wadau wake,msimdharau na kumkashifu,wampe muda.

    • @segesesayi104
      @segesesayi104 6 років тому +2

      Hakika mzee anajua vitu

    • @sadickadriano2073
      @sadickadriano2073 6 років тому +1

      Yeah nashangaa jamaa ana akili sana asee na anajua kujieleza haswa hata baadhi ya wanaombeza hawawezi kujieleza namna hii.

    • @geoffreyengatkinson
      @geoffreyengatkinson 6 років тому

      ameshaionyesha kampuni yake na ni kwel: ameongea ukwel kabisa, apa ndo pale msemo wa dont judge a book by its cover unaonekana

  • @chazmuro
    @chazmuro 6 років тому +5

    Dah pole. Dr Luis
    ...usikate tamaa...inabidi wakulipe ....
    ..

  • @jacksonngusi4122
    @jacksonngusi4122 6 років тому +18

    dah uyu mzee nimemwelewa sana yupo vzr

  • @edsonmunuo2166
    @edsonmunuo2166 6 років тому +1

    He is confident, humble and good expression with vision i like that 👏👏👏👏👏

  • @joshuasamson4174
    @joshuasamson4174 6 років тому +73

    msukuma yupo safi yupo juu police wajipange mahakamani msukuma atawabwaga

    • @renaldakamugishazeramulake940
      @renaldakamugishazeramulake940 6 років тому

      Joshua Samson YAAANI ANATISHA. HATA YONO HA WAMUWEZI.

    • @joshuasamson4174
      @joshuasamson4174 6 років тому +1

      Renalda Kamugisha Zeramula Kemilembe/ Mimi tu ni memuelewa Mzee alama yake ni ya msingi sana Hata Wale waliokuwa wa kitangaza mnada wajifuze kuuza Mali wao wanataka fedha mda huo huo wanafanya nyumba kama za kitapeli ama za wizi huu utaratibu wao wa kuuza Mali waweke taratibu zingine Mzee yupo fresh out kabisa sheria ya mnada ni mbovu ni mbaya

    • @wahisiatv2871
      @wahisiatv2871 6 років тому +1

      huyu aitaji Mwanasheria at a kdgo.

    • @joshuasamson4174
      @joshuasamson4174 6 років тому

      WAHISIA TV tunawafaham matajiri wengi hawavai vizuri wanamuona Mzee masikini na police waache kupelekeswa na baadhi ya watu

    • @kimanikapinga1658
      @kimanikapinga1658 6 років тому

      apewe mda atanunua mnada ujao

  • @faridabakari8511
    @faridabakari8511 6 років тому +7

    nimemskiaa vzuri huyu mzee ni maumbile kasoro ila yuko sawa sawa kabisaa .....jamani .watanzania.msimkejeli mtu na wakati ako na manufaa yake plzzzzz

  • @simayajosiah9813
    @simayajosiah9813 6 років тому

    hatagh👏👏👏👏👏dr. Luis 🙌🙌🙌🙌🙌 maelezo yamenyooka kipro

  • @emmanuelyandu1608
    @emmanuelyandu1608 6 років тому +1

    His English though.... Better than Magufuli

  • @leonardmponzi49
    @leonardmponzi49 6 років тому +9

    huyu jamaa yuko vizuri kwamajibu

  • @aminaabuu755
    @aminaabuu755 6 років тому +130

    yuko vizuriii tu jamni watuu wachen mambo zenu Dr Luis nunua nyumba tuishi Mimi na wewe Bby Wang Tuoane kabisaa ehehheh ehee 😹😹😹😹

    • @ernestndauka9301
      @ernestndauka9301 6 років тому +1

      Amina Abuu 😀😀😀😀😀😀😀😀Mwambie baby wake akarekebishe meno!!! Hakuna tajiri kibogoyo duniani!!!!! 😀😀😀😀😀

    • @aminaabuu755
      @aminaabuu755 6 років тому

      ndauka mbavu zang jamni 😹😹😹😹😹 sipka tukisha nunua nyumba jamni. 😹😹😹

    • @ernestndauka9301
      @ernestndauka9301 6 років тому

      Huyu kwa maelezo yake anaweza kununua nyumba hewa kama meno yalivyo hewa kwenye mdomo wake 😁😁😁😁😁😁😁😁😂😂😂😂😂

    • @aminaabuu755
      @aminaabuu755 6 років тому

      ahahahhha jamni mbn wamufanyai hilaa ivyooo mpz Wang 😹😹😹😹

    • @ernestndauka9301
      @ernestndauka9301 6 років тому +1

      Boss anavaa shati za waimba kwaya!!! 😁😁😁😁😁 nywele zime nyonyoka kama zimepigwa bom la atomic!!! Uzee gharama

  • @tomathmaziku611
    @tomathmaziku611 6 років тому

    Daaaah mzee yuko safi kwa Maelezo kajipaga vizuri Sana

  • @felixbombo6175
    @felixbombo6175 6 років тому +1

    Huyu mzee yuko vizuri,siku ya kutoka ilikuwa haijafikaa!Ongera Professor!!!

  • @hidrvenlulu7327
    @hidrvenlulu7327 6 років тому +6

    jamaniii polee xna my dady

  • @saidndimbwa4976
    @saidndimbwa4976 6 років тому +14

    Huyu mzee ana elements za u-genius

  • @debbymwaka4048
    @debbymwaka4048 6 років тому

    kie kie kie kie! hongera saaaana mzee kwa kujieleza vizuri

  • @vicentcostantine3393
    @vicentcostantine3393 6 років тому

    Pole Mzee wangu Mungu yuko nawe na kama kuna sehem yoyote umedhurumiwa au vp ridhika God will will do something in your life,
    But uko genius for real

  • @allykawawa8888
    @allykawawa8888 6 років тому +42

    cheki demu anavompepea..mademu wa kibongo wakishajua kunapesa they dont care bout ur face

  • @khalidabdallah3520
    @khalidabdallah3520 6 років тому +7

    Huyu mzee anajieleza vizuri ila maelezo yake kama anaongelea hela hewa

  • @khadijambuta4360
    @khadijambuta4360 6 років тому

    kma umemuhelewa Dr luis gonga like hapa 🙌🙌🙌shikamoo mzee Luis

  • @allthingdranabeauty
    @allthingdranabeauty 6 років тому

    Babu Ni genius uyu awajamuelewa tu,kuna watanzania Ni matajiri sana sema wapo kimya tu

  • @deekiwonyi4395
    @deekiwonyi4395 6 років тому +197

    Atar huyu mzee

    • @ewaldantony9514
      @ewaldantony9514 6 років тому

      Milady ayo mi naona ni tajiri

    • @mshambaali1979
      @mshambaali1979 6 років тому

      Milady ayo hahahah mirdayo Leo unecommet nakukubali sana from zenj

    • @winnievesso116
      @winnievesso116 6 років тому +1

      Milady ayo afadhal umejua hilo

    • @henrywilliady6567
      @henrywilliady6567 6 років тому

      Milady ayo mzee Yuki vizuri sana sema usimmuangalie MTU kwa kawaida tu

    • @mwaminindayishimiye4434
      @mwaminindayishimiye4434 6 років тому

      Milady ayo kweli wenda nikweli ni tajiri😂😂😂😂🤣🤣🤣😃😃

  • @jumamichael4083
    @jumamichael4083 6 років тому +27

    Huyu mzee kanifundisha kujiamini na kudhubutu kwa jambo ambalo ni kubwa kuzidi uwezo wako wa kulikabili.

    • @pena_tz
      @pena_tz 6 років тому

      umeona mzee baba

    • @amirikiaba1504
      @amirikiaba1504 6 років тому

      mzee shika yupo vizuri sana na kuhusu pesa au kampuni anazo .ulusi alienda kimasomo baada kuhitimu akaajiliwa huko huko .tena kama daktari bingwa na hakuna aliye jua mshahara wake .mke wake alikua murusi .hana sababu ya kujionyesha hali yakua anatafutwa na majambazi ilikuuwa .

    • @emanuelmwanga4
      @emanuelmwanga4 4 роки тому

      Ila so kwa stahi by duhhh

  • @yohanalapei3992
    @yohanalapei3992 6 років тому

    Mzee ana utajiri wa kujiamini na kujua kujieliza!! Hongera kwa hilo

  • @irenecharles4651
    @irenecharles4651 6 років тому +1

    This man has alot of confidence

  • @parismovies809
    @parismovies809 6 років тому +4

    Mh huyu apewe tu uongozi jamani

  • @credoberchman3586
    @credoberchman3586 6 років тому +7

    ...de guy is good ..he has Mastered well philosophy... He knows how to reason........

  • @musaofficial9615
    @musaofficial9615 6 років тому +1

    Huyu kweli ni doctor, the way he's speaking tu utajua kuwa huyu MTU sio mwenzetu, sure!

  • @ericstephenm.844
    @ericstephenm.844 6 років тому

    Excellent!!!....

  • @stylistofficial1405
    @stylistofficial1405 6 років тому +4

    Mzee amejitetea fresh sana

  • @abdulmillanzi7355
    @abdulmillanzi7355 6 років тому +4

    Huyu mzee mzima kabisaaaaaaaa

  • @manasemwakagali9358
    @manasemwakagali9358 6 років тому

    very bright this man.

  • @Lahyzeecrucial
    @Lahyzeecrucial 6 років тому

    This man is genius...........he z a real Dr. and He knows what he z saying. Great minds discuss ideas.

  • @lenga5
    @lenga5 6 років тому +6

    Dokta ee achana na hao Yono tujengee tu hizo viwanda 300... hahahaa kweli PhD ya Urusi si ya Ulaya!

  • @bongofreemarket5873
    @bongofreemarket5873 6 років тому +7

    ningekuwa kwenye nafsi ningemsaidia huyu mzee. tafadhali Millard na Ayo Tv tunaomba hili swala la mzee mlipenyeze kwa waheshimiwa serikalini waone namna ya kumkwamua pale alipokwama. inaonesha dhahili kuna mahali alikuwa disappointed then akaamua kukomaa nalo mwenyewe ,likasababisha kukosa furaha, huzuni na upweke ambao ulipokomaa alipata tatizo la kisaikolojia. chonde chonde huyu mzee tunamuhitaji katika ujenzi wa taifa letu. biko wampe afanye tangazo, na ninyi hakikisheni mnasaidia mzee kutoka hapo alipo.

  • @josephharri9015
    @josephharri9015 6 років тому

    big up Dr

  • @b9media144
    @b9media144 6 років тому +2

    Hajakurupuka tu siku ileile ya mnada Bali alianza kufatilia taratibu ktk sehemu husika.
    Kwa bahati mbaya sana watu wanakurupuka na kumsema vby kumbe wao hawakumuelewa!
    Dr Luis's strong Man

  • @renaldakamugishazeramulake940
    @renaldakamugishazeramulake940 6 років тому +123

    Haya maelezo ni hatari, huyu apewe ubunge wa kuteuliwa yaani anatoa maelezo kuliko maprofesa! Nimechoka. Siyo mweu ni mzima ila ana kasoro kidogo tu za kimaisha.

    • @mimahg2620
      @mimahg2620 6 років тому

      Renalda Kamugisha Zeramula Kemilembe uyu mzee yupo vzr mie nimeshaazakumuelewa kunakitu kimejificha ndani yake ila sio mgonjwa tena akili zake zimetulia vzr snaa ila yapi mambo ambayo kisakoloji yameachanganya

    • @soscialtime2485
      @soscialtime2485 6 років тому +4

      This Man is just exceptional. He speaks like a Real-International Director.
      hajasahau kitu chochote. Ill just conclude that wamemuonea kabisa

    • @shuzashata3872
      @shuzashata3872 6 років тому

      Asante doctor wa mazombii

    • @wabulumasaba6753
      @wabulumasaba6753 6 років тому

      mzee umezaliwa lini?

    • @wabulumasaba6753
      @wabulumasaba6753 6 років тому

      mzee umezaliwa lini?

  • @sarahminja7255
    @sarahminja7255 6 років тому +5

    Aiseeeee kumbe yono walimtafuta wenyewe dahaa pole doctor Luis

    • @mimahg2620
      @mimahg2620 6 років тому

      Sarah Minja Dr Luis mie nmeshaaza kumuelewa

    • @neemamhina8921
      @neemamhina8921 6 років тому

      Kwa kuwa alionyesha interest tangia mwanzo, Yono wasingeacha kumtafuta...maana hiyo ndio kazi yao.

  • @emmanuelnkinga2173
    @emmanuelnkinga2173 6 років тому

    Very clever this Man

  • @blessingbagio4857
    @blessingbagio4857 6 років тому

    salut kwako Dr Luis....Mungu akusaidie jmn maana naona kama ulitapeliwa huko urusi.

  • @hassandre6434
    @hassandre6434 6 років тому +5

    Him nahisi itakua delusional problem,Hila mzee yupo safi Just imagine Kama angekua baba yako?

  • @bongapointepic2917
    @bongapointepic2917 6 років тому +11

    huyu mjama ako chonjo

  • @erickstiven645
    @erickstiven645 6 років тому

    Shikamoo doctor shika,, nimekuelewa sana

  • @mudhousekikoletv3865
    @mudhousekikoletv3865 6 років тому

    good your strong

  • @alicealeni8788
    @alicealeni8788 6 років тому +9

    Wamwache mzee wa watu bhana.....

  • @jennykim670
    @jennykim670 6 років тому +7

    huyo mzee ako chonjo nwatu hawamuelewi

  • @allysalum5897
    @allysalum5897 6 років тому

    He's bright bna

  • @allykassim1455
    @allykassim1455 6 років тому

    full confidence.

  • @hamismalimungu9959
    @hamismalimungu9959 6 років тому +4

    Nikarelax

  • @jamesmwakyusa9772
    @jamesmwakyusa9772 6 років тому +8

    Aisee natamani hiyo interview ingeendelea,,,millard ayo itabidi siku afanye nae interview ndefu tufahamu background yake,,,

    • @acramsalehe9424
      @acramsalehe9424 6 років тому

      James Mwakyusa nenda kwenye website ya jamii forums walimuelezea maisha yake

  • @mockojohn4157
    @mockojohn4157 6 років тому

    Umetishaaaa sana mzee baba ebu nyie yono na TRA mpeni muda wa malipo

  • @jofreykiimbila7518
    @jofreykiimbila7518 6 років тому

    Nakuelewa vzr Dr

  • @thauratali3656
    @thauratali3656 6 років тому +9

    Mbona ajielezea vizur icjekua mipesa anayo kwel huyu😂

    • @fatiachiduli8060
      @fatiachiduli8060 6 років тому

      subilia azinunue wataumbuka weng 😅😅😅

    • @MARTINNDOMONDO
      @MARTINNDOMONDO 6 років тому

      Yani ni raisi ajaye!👀

    • @shaabanmusa5127
      @shaabanmusa5127 6 років тому +1

      Thaurat Ali
      Muangalie kwa jicho la Pili japo anajieleza vyema tu hapo 😀😁😂😂😁😁😀 mbavu zng

    • @mtanzaniamzalendo7001
      @mtanzaniamzalendo7001 6 років тому

      Thaurat Ali inawezekana

  • @najma3268
    @najma3268 6 років тому +19

    Mmmmmh mbona anajua kujielezea vzr halafu anaonekana kasoma

    • @Tiffany340
      @Tiffany340 6 років тому

      unasikia Dr.tena alikua urussi asijue kujieleza tena.. kixungu ichoo

    • @priscajackson6625
      @priscajackson6625 6 років тому

      Uyo mzee kasoma ni dr na alikua urusi sasa cjui kime mpata nn mpaka kuangukia pua

    • @philipobahava4946
      @philipobahava4946 6 років тому

      Mpen I muda Hugo Mzee yuko fiti

  • @lucylavender2584
    @lucylavender2584 6 років тому

    Daddy uko sawa kabisa 👊👊👊👊👊👊👍👍👍

  • @veronicasarvatory9516
    @veronicasarvatory9516 6 років тому

    Mungu akusaidie Sana Dr shika. Ufanikishe Marengo yako

  • @mwinyimcheni2572
    @mwinyimcheni2572 6 років тому +4

    Mzee katisha Hahahaha nimempenda

  • @thauratali3656
    @thauratali3656 6 років тому +5

    Ajuavo kizungu wow😂

    • @shanijohn3988
      @shanijohn3988 6 років тому

      jomooooon bab mbon kam ukovizur tofaut na tyunavyo zan?

  • @AndrewMaro
    @AndrewMaro 6 років тому

    Dr. Salute, unakipaji

  • @kenjunior3443
    @kenjunior3443 6 років тому

    let's promote him dis Dr shika yupo vizuri sana aisee kweli dkt yupo vizuri @millardayo

  • @marykavishe1331
    @marykavishe1331 6 років тому +4

    maelezo ya Dr Luis na maelezo ya majirani zake ni vitu viwili tofauti,,itakua ni majirani fake,,mbn yuko vzr Dr hahahaha

  • @prinsecdayana2143
    @prinsecdayana2143 6 років тому +25

    Inatia huruma jamani

  • @suzanrichard5428
    @suzanrichard5428 6 років тому +1

    good English grand pa

  • @wemakalam9415
    @wemakalam9415 6 років тому

    Yuko vizuri mzee tanzania full majungu