NABII TITO AWAKEMEA WANAO MTEMA MATE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 лип 2019

КОМЕНТАРІ • 146

  • @halfahalfa9728
    @halfahalfa9728 4 роки тому +13

    Leo nineamini kuwa hata saa mbovu kuna muda inasema ukweli
    Chizi hapo mtambo ulikuwa umekaa sawa yani kaongea ya maana sana
    ☺☺☺☺

  • @charlesmbunda6215
    @charlesmbunda6215 4 роки тому +6

    Dah machozi ya huruma yamenitoka! Siwez kukuhukumu zaidi ya kukuombea kaka! May Lord Jesus guide you in a right way

  • @mwamvuajumanne6090
    @mwamvuajumanne6090 4 роки тому +16

    wazazi wenzangu msikilizeni sana huyu baba

  • @azizashija8858
    @azizashija8858 4 роки тому +8

    Leo umeongea point sana nikweli wazazi tunatabia yakujisahau tujifunze hili

  • @kitimbumedia8993
    @kitimbumedia8993 4 роки тому +11

    hakuna binadam asiyekua na faida sasa naanza kuona faida ya uwepo wa TITO hatuna haja ya kukupuuzia wakat unaongea maneno yanayoishi ..

  • @frashconnect.1
    @frashconnect.1 4 роки тому +6

    Pamoja na usenge wake, ameongea point sana. Wazazi let's watch our kids

  • @ernestsaguti6690
    @ernestsaguti6690 5 років тому +11

    Leo umeongea kweli kabisaaa

  • @lucyjohn7904
    @lucyjohn7904 4 роки тому +6

    maskin pole sn,Mungu akuponye

  • @jumahili8121
    @jumahili8121 5 років тому +5

    Pole sana Nabii. Tuko pamoja

  • @mbosoking9022
    @mbosoking9022 4 роки тому +3

    Kama umemuelewa titto gonga like apa

  • @godygodwine3948
    @godygodwine3948 4 роки тому +1

    Mmmmm,,kila alitajaye jina la Yesu na hauache uovu!!!!

  • @prophetessanoint
    @prophetessanoint 4 роки тому +1

    kwakua sasa umejitambua simama na Mungu na ahsante kwa ushauri kwa wazazi na walezi

  • @hussenistreak5165
    @hussenistreak5165 4 роки тому +2

    Mwenye asili yake haachi anapumzika tyuu

  • @aishaelias3867
    @aishaelias3867 4 роки тому +7

    Ameongea kitu cha maana sana, msimdharau tafadhali.. ijapokua hasomeki lakini

  • @allymadunda7931
    @allymadunda7931 4 роки тому +2

    Kondoo huyu jamani haeleweki

  • @emmahmelisa4511
    @emmahmelisa4511 4 роки тому +3

    MUNGU akuondolee aibu na akusamehe makosa.kisha.wewe mpokee.YESU kama mwokozi wa maisha yako

  • @azizabhanj1396
    @azizabhanj1396 4 роки тому +3

    Allah nilindie kizaz changu

  • @kuruthummohamed8505
    @kuruthummohamed8505 4 роки тому +3

    jaman xi saw kumshutumu kW maneno MAKALI, HAKUNA MKAMILIFU KAMA MNAWEZA BAC NAYRNU SEMENI USIKUTE KUNA WATU MAFIRAUNI WAMEMSHINDA TITO,muhimu no KUCHUKUA MANENO MAZUR ASEMAYO MABAYA YAACHE HUWEZ KAAA KIMYA ,JAMAN HAKUNA MKAMILIFU NDIO MAANA KILA MMOJA PUA YKE IMELEKEA CHINI

  • @iranangole7007
    @iranangole7007 5 років тому +5

    Kweli nabii leo umekubalika

  • @agustnourio5298
    @agustnourio5298 4 роки тому +3

    mwenye masikio na asikie`ayamambo yapo wazazi wawe makini tafadhali

  • @elmasroj9712
    @elmasroj9712 4 роки тому +8

    Kama kahaba alivyookolewa na Yesu basi hata shoga ni mtu kama wengine bado Mungu ni wa wote

    • @aishaelias3867
      @aishaelias3867 4 роки тому

      elmas roj Ameen 🙏

    • @emiliankomba8550
      @emiliankomba8550 4 роки тому

      elmas roj Emeen,tusihukumu jaman,ila tumuombee Mungu hashindwi kitu atambadilisha tuu

  • @davidsimbeye1548
    @davidsimbeye1548 4 роки тому +2

    Leo umeongea Mambo mazito Sana nimekuelewa naona umeanza kufunguliwa

  • @melkizedekiwiliam5533
    @melkizedekiwiliam5533 4 роки тому +3

    jaman! huyu sas siyo chiz. akili zake zimerudi na anatoa angalizo kwa ajili ya watoto wetu.

  • @witnessjosephmtanke4757
    @witnessjosephmtanke4757 4 роки тому +3

    Malezi mabaya kumbe pole sana

  • @jumakapilima5674
    @jumakapilima5674 4 роки тому +9

    Wakati fulani hata mwehu anaweza kuzungumza maneno ya kweli,,,,,,,!!!!!

  • @bellahyuzzomylife4428
    @bellahyuzzomylife4428 4 роки тому +1

    vipi nabiii umepaka manjano

  • @samsonmnyampwani2288
    @samsonmnyampwani2288 4 роки тому +3

    Ukiwa na akili huyu jamaa unamwelewa!

  • @chedamoraadaisy316
    @chedamoraadaisy316 3 роки тому

    Usijali mtumishi wa Mungu

  • @sulejiTv
    @sulejiTv 4 роки тому +4

    You good keep going.

  • @dominicsizimwe3222
    @dominicsizimwe3222 4 роки тому +1

    Unajua tito kila siku naongea kuna kitu ndani yake na pengne mungu akamtumia kwel bt tunapuuza coz anachokiongea kila siku ni point kasoro yake ni mazingira anayojiweka and bt ni muhubir mzuri sana

  • @charlesmpemba9387
    @charlesmpemba9387 4 роки тому +1

    Pole sana

  • @ramadhanijamali6475
    @ramadhanijamali6475 4 роки тому +2

    Mwenyewe wajiona umenawiri kweli vua salaba hilo

  • @suleimanngondo3787
    @suleimanngondo3787 4 роки тому +5

    ila kwamaneno yako sijawai kuyapuuza maana Unaongeaga point tu kila siku

  • @stanslausangelus8714
    @stanslausangelus8714 4 роки тому +1

    Ushauri mzuri kwa Wazazi

  • @winifiridamayala166
    @winifiridamayala166 4 роки тому

    Asante kutukumbusha wazazi tujitahidi nikweli kabisa

  • @boniphacejames1407
    @boniphacejames1407 3 роки тому

    We malaya acha kudanganya umma!

  • @ramadhanijamali6475
    @ramadhanijamali6475 4 роки тому +2

    Nabii gani kaliwa manabii hawaliwi

  • @esterkapinga1336
    @esterkapinga1336 4 роки тому

    Pole sanaa na bii tito

  • @ramadhanally4914
    @ramadhanally4914 4 роки тому +1

    pole sana

  • @eliabumchome6287
    @eliabumchome6287 4 роки тому +2

    Simama zaidi kwa jina LA yesu

  • @esterkapinga1336
    @esterkapinga1336 4 роки тому +5

    Umesema kweli wazazi tuna jisahau sna jaman

  • @anthonyfaru9908
    @anthonyfaru9908 4 роки тому +2

    Huwezi jifunza kwa asiyekosea ukaijua dunia, huyu sio chizi anasema ukweli, ukweli ni jambo gumu Sana, kujintangaza ushoga ni jambo gumu Sana

  • @halimageorgesanga1018
    @halimageorgesanga1018 4 роки тому +8

    Maneno haya wazazi tuyazingatie kama hatupendi hii tabia ya ushoga,na nyingine mbaya.tutamsema tito leo lkn tunao watoto pia

  • @sammahababoy5794
    @sammahababoy5794 4 роки тому +1

    Nice Tito umeongeaa point pamojaa naujingaa wako unaoufanyaa lakini umeongeaa point mnooh

  • @hansmellody5630
    @hansmellody5630 4 роки тому +2

    Huo mkorogo sio wa nchii hii

  • @zippymurugi13
    @zippymurugi13 3 роки тому

    Bona hujatoa yearling

  • @delinadoublea4679
    @delinadoublea4679 4 роки тому +2

    Akuna ambaye ni mkamilifu kikubwa kaongelea kuhusu kulea watoto wetu kazi ya hukumu ni ya mungu pekee

  • @ashraphhasani730
    @ashraphhasani730 4 роки тому

    more be

  • @jeremiahkavakule8354
    @jeremiahkavakule8354 Рік тому

    Ameongea vizuri na nisomo kwetu ila ametumia kiki kuelimisha jamii

  • @aishaelias3867
    @aishaelias3867 4 роки тому +8

    Ni mwanamke mwenye uume wanaitwa # Shemales “ kenya ilitokea

  • @petermwanyondo6459
    @petermwanyondo6459 4 роки тому +2

    Xawa lakni uwe silias inaonekana aupo silias towa maheleni hayo namisalaba ndipo itaonekana umeanza kibadilika

  • @salmamgalula2073
    @salmamgalula2073 4 роки тому +1

    Ukiamua kuacha basi acha kila kitu kama hereni bado unavaa..uo ushoga utaacha kweli..😏

  • @jennyjma8173
    @jennyjma8173 5 років тому +2

    Eti Leo umechelewa tumekupiga panga hahahahaha yaani nimecheka kama mzuri yaani maisha haya

  • @frankmosha5854
    @frankmosha5854 4 роки тому

    Pole yesu alikuukoa

  • @hamidujuma2128
    @hamidujuma2128 4 роки тому

    Toa mahereni basi

  • @issaibrahim5329
    @issaibrahim5329 4 роки тому

    Kumbe mda mwingine upo vizuli

  • @aishaelias3867
    @aishaelias3867 4 роки тому +2

    😭😭😭😢😢😢😢😢😢😭😭😭nimekuelewa

  • @salummuhija4435
    @salummuhija4435 4 роки тому +5

    Wazazi mjifunze kitu hapo msimshambulie tu kwa maneno mabaya asemayo yapo.

  • @charlesmsigwa9632
    @charlesmsigwa9632 4 роки тому +1

    Leo kaongea kitu ila usijirembe sasa unapaka mpaka foundation

  • @Papa2thaE
    @Papa2thaE 4 роки тому +1

    Shahawa zimemjaza vidole

  • @sabrahmashema842
    @sabrahmashema842 4 роки тому

    Pole kaka

  • @kennedyjohn6788
    @kennedyjohn6788 4 роки тому +1

    Hata kama hujaacha ukiendelea kusemasema ivo kwamba umeokoka naumeacha iko siku utaacha kabisa kwahiyo endelea kuichukia hali hiyo namungu wa mbinguni atakusaidia

  • @suleimanngondo3787
    @suleimanngondo3787 4 роки тому +2

    nabii tito umejipaka usoni nn (???)

  • @kuruthummohamed8505
    @kuruthummohamed8505 4 роки тому +1

    funzo lipo ap na laonekana katka jamii zetu ,malezi yamebaki kW wadada w kaz mama na baba wkpta mudq in mitandaon t, jaman USIPOZBA UFA UTAJENGA UKUTA, ila Tito I'll n funzo sawq lkn n vgumu MTU klpkeq 7bu bado we hujaonyesha kubadilika, pllls baba badlika HUJACHELEWA BADO NAKUOMBEA MUNGU N WAKUSAMEHE PALE T UKITUBU

  • @hamidujuma2128
    @hamidujuma2128 4 роки тому

    Bado ana dalili za kishoga

  • @janetsaidi8272
    @janetsaidi8272 4 роки тому +8

    wakati mwegine hata mwehu uhongea ukweli.

  • @pastornyundo1835
    @pastornyundo1835 3 роки тому

    SONGA MBELE MTUMISHI MUNGU AMEKUSAMEE KABISA

  • @gaudensjackison784
    @gaudensjackison784 4 роки тому

    Pole

  • @user-fc3rb4fe1i
    @user-fc3rb4fe1i Рік тому

    shoga mstaafu

  • @greatiq8234
    @greatiq8234 4 роки тому

    Asa kukongorolewa rinda ndo ulemavu?

  • @ndegesha
    @ndegesha 4 роки тому

    Ati nabii na msenge

  • @gracetweve8485
    @gracetweve8485 4 роки тому

    Aki nimetokwa na machoz Nina Watoto wa kiume mimi Mungu tusaidie mwenye hekima ya kumsikiliza vzry huyu; baba jamani ataelewa msimtukane hakukusudia jamani daaaa roho inauma hapo anavyosema hatujui Watoto wetu wanacheza wapi wamekula Wapi kiukweli ni kweli kabisa mtoto anaenda kucheza hata Mama hujui kaenda kucheza Wapi daaaa

  • @youngloyclassic3173
    @youngloyclassic3173 4 роки тому

    Uko sahihi sana wazaz tuwe makin

  • @merneyboy1878
    @merneyboy1878 4 роки тому

    Hhhhh mtoto wake wa kwanza pia ehh balaaa

  • @salummbaga3463
    @salummbaga3463 4 роки тому +1

    Hata saa mbovu kunamuda inasema kweli

  • @musinirajabu7527
    @musinirajabu7527 4 роки тому +1

    Hakuna Nabii aliekuwa shoga

  • @rosengowi5427
    @rosengowi5427 4 роки тому +1

    Nikweli siku zamwisho zimekaribua maana tutawajua manabii wauongo kwa matendo yao

  • @rayaali7551
    @rayaali7551 3 роки тому

    Mmungu akusaidiee na kukuponeshaa ilaa mja akitubuu hutubuu kwa mola wakee nae ni ALLAAH SUBHANNA WATAALA sio kutubu kwa binaadam wenzio kwanii sio watakao kuhukumu umejitahidi kwa kutowa wasia na tahadhari kwa wazazi umeongea ya maana MIEE NAAKUOMBEA DUWAA MMUNGU AKUSWAMEH NA AKUHIDI AKUONGOZEE KATIKA NJIA ILIYO NYOOKA KWELI ULIHARIBIKA KIAKILI KUTOKANA NA ULIYO TENDEWAA MASIKINI ULIHARIBIKA KI SAICOLOGIA ILAA MKIMBILIE MOLA WAKO NDIE MUOKOZI WAKO NA NDIE TABIBU YAANI NDIE DAKTARI WAKO INSHAALLAAH MMUNGU ATAKUSAIDIAA NA ALIE KUSABABISHIAA HAYO YOOTEEE HATAUONA UFALME WA MOLA WAHAPA DUNIANII NA KESHO AAKHERA MALIPO ATAYAONA HAPA HAPA DUNIANI

  • @marygregory7566
    @marygregory7566 5 років тому +1

    mikono yako ni pepsi na uso wako ni mirinda...hongera sana

  • @jamespetro9954
    @jamespetro9954 4 роки тому +2

    Achen kuwa mnawaambia wtoto wenu tumekupiga panga khahahaha ....wazee wa mchiliku

  • @halimamlili7427
    @halimamlili7427 4 роки тому

    kapaka foundation zile za elf mbili

  • @imathomas5021
    @imathomas5021 4 роки тому

    We bado moyo unabadilika lkn mwili bado yaani unavaa msalaba ambayo haijabarikiwa bado unaitaji maombi sana

  • @jumakapilima5674
    @jumakapilima5674 3 роки тому

    Tito umeongea facts!!!

  • @josephemmanuel5871
    @josephemmanuel5871 4 роки тому

    upo vizur tito

  • @dnaofgodtv4873
    @dnaofgodtv4873 4 роки тому +1

    Yameshapita, usiendelee kufuatsha namna ya dunia sasa!

  • @festofrancis9888
    @festofrancis9888 4 роки тому

    Msenge ww

  • @offcialchamee784
    @offcialchamee784 4 роки тому

    Leo ume jitahidi kuongeya kituchenye akili kidogo

  • @petercat7417
    @petercat7417 4 роки тому +1

    Ujumbe umefika.

  • @dnaofgodtv4873
    @dnaofgodtv4873 4 роки тому

    Kwani una jinsia ngapi unalia sana kk?

  • @mayalalusana3855
    @mayalalusana3855 4 роки тому

    Acha kujichumbua

  • @rosechild5021
    @rosechild5021 5 років тому +3

    He might be right

  • @hassansaluboko4571
    @hassansaluboko4571 4 роки тому

    Tito

  • @ibrahimaziz7158
    @ibrahimaziz7158 4 роки тому

    Huyu jamaaa ukute mpaka leo hii anatoaga mambo km kawa

  • @odenmkoveke3644
    @odenmkoveke3644 4 роки тому

    Shoga

  • @witnessjosephmtanke4757
    @witnessjosephmtanke4757 4 роки тому +3

    Huyo aliyekuanyia mambo mabaya Mungu Atamlaani kwakwel pole sana.

  • @omaar5693
    @omaar5693 4 роки тому

    Kama imeisha njiani

  • @abdalahsuleiman8989
    @abdalahsuleiman8989 4 роки тому +2

    Ukafir ni mzigo

  • @christinasolomon8156
    @christinasolomon8156 4 роки тому

    Huyu mtu anafadhiliwa na nani? Au anamirad gan.

  • @caindunke8526
    @caindunke8526 5 років тому +3

    In a way ujumbe wako umefika 🙏🏾

  • @neemajosephati8403
    @neemajosephati8403 4 роки тому

    Huyu Tito Juzi Siameongozwa Sara Ya Toba na Gwajima?