- 123
- 2 635 265
Pastor Sunbella Kyando
Tanzania
Приєднався 16 тра 2021
Official UA-cam channel of Pastor Sunbella Kyando Subscribe for more Spiritual, Inspirational and motivational videos.
FEBRUARY DECLARATIONS - PASTOR SUNBELLA KYANDO
FEBRUARY DECLARATIONS - PASTOR SUNBELLA KYANDO
Переглядів: 275
Відео
MUNGU HUINUA MTU MKUU KWENYE KILA FAMILIA - PASTOR SUNBELLA KYANDO
Переглядів 4,8 тис.19 годин тому
MUNGU HUINUA MTU MKUU KWENYE KILA FAMILIA - PASTOR SUNBELLA KYANDO
INUKA UWAINUE WENGINE :
Переглядів 1,4 тис.21 день тому
Kuna watu ambao wana maelekezo kabisa kutoka kwa Mungu juu ya nini cha kufanya ila wamepigwa upofu. Matendo ya Mitume 9 :18 Mara vikaanguka machoni pake vitu kama magamba, akapata kuona,
NAMNA GANI UNAWEZA KU RITHI ROHO ZA KUCHELEWA - PASTOR SUNBELLA KYANDO
Переглядів 5 тис.2 місяці тому
NAMNA GANI UNAWEZA KU RITHI ROHO ZA KUCHELEWA - PASTOR SUNBELLA KYANDO
NGUVU ZA GIZA ZINAZOKUTESA ZINA UHALALI GANI? - PASTOR SUNBELLA KYANDO
Переглядів 3,4 тис.2 місяці тому
NGUVU ZA GIZA ZINAZOKUTESA ZINA UHALALI GANI? - PASTOR SUNBELLA KYANDO
NGUVU YA ASILI INAVYOCHELEWESHA WATU WENGI - PASTOR SUNBELLA KYANDO
Переглядів 27 тис.3 місяці тому
NGUVU YA ASILI INAVYOCHELEWESHA WATU WENGI - PASTOR SUNBELLA KYANDO
UMETEGWA KWAAJILI YA KUSUDI LA MUNGU - PASTOR SUBELLA KYANDO
Переглядів 9 тис.6 місяців тому
UMETEGWA KWAAJILI YA KUSUDI LA MUNGU - PASTOR SUBELLA KYANDO
USITAMANI MAFANIKIO YA MWINGINE - PASTOR SUNBELLA KYANDO
Переглядів 8 тис.6 місяців тому
Huu ni ushuhuda wa Binti mfanya biashara aliyefanikiwa kwa kutumia Nguvu za Giza lakini amepitia Mateso ya kuwa ana lala nyoka ili afanikiwe.
MEDITATION - PASTOR SUNBELLA KYANDO
Переглядів 15 тис.7 місяців тому
MEDITATION - PASTOR SUNBELLA KYANDO
MATOKEO YA NAFSI NA HISIA VIKITEKWA - PASTOR SUNBELLA KYANDO
Переглядів 8 тис.7 місяців тому
MATOKEO YA NAFSI NA HISIA VIKITEKWA - PASTOR SUNBELLA KYANDO
NYOTA YAKO INAKUTAMBULISHA - PASTOR SUNBELLA KYANDO
Переглядів 10 тис.7 місяців тому
HESABU 24:17 17.Namwona, lakini si sasa; Namtazama, lakini si karibu; Nyota itatokea katika Yakobo Na fimbo ya enzi itainuka katika Israeli; Nayo itazipiga-piga pembe za Moabu, Na kuwavunja-vunja wana wote wa ghasia MATHAYO 1:1-16 1 Kitabu cha ukoo wa Yesu Kristo, mwana wa Daudi, mwana wa Abrahamu. 2 Abrahamu alimzaa Isaka; Isaka akamzaa Yakobo; Yakobo akamzaa Yuda na ndugu zake; 3 Yuda akamzaa...
NYOTA YANGU - PASTOR SUNBELLA KYANDO
Переглядів 4 тис.7 місяців тому
Mwanzo 37:9-10 9 .Akaota tena ndoto nyingine, akawaambia ndugu zake, akasema, Angalieni, nimeota ndoto nyingine; na tazama, jua na mwezi na nyota kumi na moja zikaniinamia. 10.Akawaambia baba yake na ndugu zake; baba yake akamkemea akamwambia, Ni ndoto gani hii uliyoiota? Je! Mimi na mama yako na ndugu zako tutakuja tukusujudie mpaka chini? 11 Ndugu zake wakamhusudu; bali baba yake akalihifadhi...
NDOTO KATIKA UHALISIA SEHEMU YA KWANZA
Переглядів 2 тис.8 місяців тому
NDOTO KATIKA UHALISIA SEHEMU YA KWANZA
FIKICHA MACHO - PASTOR SUNBELLA KYANDO
Переглядів 8 тис.11 місяців тому
FIKICHA MACHO - PASTOR SUNBELLA KYANDO
TAMBUA NEEMA ULIYONAYO - PASTOR SUNBELLA KYANDO
Переглядів 27 тис.Рік тому
TAMBUA NEEMA ULIYONAYO - PASTOR SUNBELLA KYANDO
DOOR OF WONDERS - PASTOR SUNBELLA KYANDO
Переглядів 5 тис.Рік тому
DOOR OF WONDERS - PASTOR SUNBELLA KYANDO
HOFU NI PEPO - PASTOR SUNBELLA KYANDO
Переглядів 15 тис.Рік тому
HOFU NI PEPO - PASTOR SUNBELLA KYANDO
CHANZO CHA TATIZO - PASTOR SUNBELLA KYANDO
Переглядів 16 тис.Рік тому
CHANZO CHA TATIZO - PASTOR SUNBELLA KYANDO
KUNA SAUTI NYINGI KWENYE ULIMWENGU WA ROHO
Переглядів 18 тис.Рік тому
KUNA SAUTI NYINGI KWENYE ULIMWENGU WA ROHO
MAKRISTO WA UONGO NA MANABII WA UONGO - PASTOR SUNBELLA KYANDO
Переглядів 8 тис.Рік тому
MAKRISTO WA UONGO NA MANABII WA UONGO - PASTOR SUNBELLA KYANDO
TOFAUTI KATI YA MVULANA NA MWANAUME - PASTOR SUNBELLA KYANDO
Переглядів 1,1 тис.Рік тому
TOFAUTI KATI YA MVULANA NA MWANAUME - PASTOR SUNBELLA KYANDO
SADAKA INAVYOWEZA KUACHIA BARAKA KWENYE KIZAZI CHAKO - PASTOR SUNBELLA KYANDO
Переглядів 12 тис.Рік тому
SADAKA INAVYOWEZA KUACHIA BARAKA KWENYE KIZAZI CHAKO - PASTOR SUNBELLA KYANDO
SHETANI ILI AKUPIGE ANAKUTOA KWENYE UWEPO WA MUNGU - PASTOR SUNBELLA KYANDO
Переглядів 37 тис.Рік тому
SHETANI ILI AKUPIGE ANAKUTOA KWENYE UWEPO WA MUNGU - PASTOR SUNBELLA KYANDO
CHUPA YA MAFUTA - PASTOR SUNBELLA KYANDO
Переглядів 13 тис.Рік тому
CHUPA YA MAFUTA - PASTOR SUNBELLA KYANDO
KISIMA JANGWANI - PASTOR SUNBELLA KYANDO
Переглядів 13 тис.Рік тому
KISIMA JANGWANI - PASTOR SUNBELLA KYANDO
MADHARA YA KUOTA UNAKULA CHAKULA NDOTONI - PASTOR SUNBELLA KYANDO
Переглядів 16 тис.2 роки тому
MADHARA YA KUOTA UNAKULA CHAKULA NDOTONI - PASTOR SUNBELLA KYANDO
UMUHIMU WA KUSAIDIA NDUGU ZAKO - PASTOR SUNBELLA KYANDO
Переглядів 7 тис.2 роки тому
UMUHIMU WA KUSAIDIA NDUGU ZAKO - PASTOR SUNBELLA KYANDO
NYOTA IKIHAMISHWA - PASTOR SUNBELLA KYANDO
Переглядів 31 тис.2 роки тому
NYOTA IKIHAMISHWA - PASTOR SUNBELLA KYANDO
UJAZO WA NGUVU ZA ROHO MTAKATIFU - PASTOR SUNBELLA KYANDO
Переглядів 5 тис.2 роки тому
UJAZO WA NGUVU ZA ROHO MTAKATIFU - PASTOR SUNBELLA KYANDO
GHARAMA YENYE FAIDA - PASTOR SUNBELLA KYANDO
Переглядів 17 тис.2 роки тому
GHARAMA YENYE FAIDA - PASTOR SUNBELLA KYANDO
😢😢Amen amen amen
Amen amen 😢
🙏🙏🙏
Mpaka nifile kwenye hatima
Napokea hela na upako Kwa Jina la yesu kristu wa Nazareth aliehai
Hapo Mtumishi nitasubiri MUNGU anitimizie
Asante kwa ujumbe mzuri
Amen Amen Amen!
Mtumishi tuombee
kanisa hili liko wapi? jamn
Kwa Dar lipo Sinza Mori mkabala na ofisi za TAMWA
Angefungua na apple podcast ingependeza sana
Amen kupitia mafundisho haya napokea kufunguliwa kutoka kwenye vifungo vya watu wa giza waliyonifunga maisha yangu uchumi ndoa ujenzi uzao
Sunbella amebariki wengi sana mih pia nilimfutilia online nikakua kiroho sana Hadi nikamtafuta wassap lakini hakuwai patikana nampenda sana uyu mtumishi he's anointed
Kwa kweli,Namshukuru Munngu kupitia ww,nimeona tofauti,
Naona namba ya mtumishi na Maali anapo patikana nataka nifike kanisani kwake
Nabalikiwa zaidi na mafundsho yako mtumishi Mungu akbariki sana Kila napokusikiliza naona mabadilko makubwa kwangu
Mbona wachungaji wengi wanasema et tusijiiombee
But God has given us the holy spirit who teach us to pray. So why you need Pst to pray for you. If God himself say I have been given you power in philipian 4:13.meaning you can pray on ur own
Amen nimejitunza kitu hapa
Mungu akubariki mutumishi wa Mungu
Amen nimejifunza kitu kikubwa Maana Mimi kila kitu ninachokuwa nacho mipango yangu naiweka hadharani watu wanafanikiwa kupitia maono yangu
Napenda mafundisho yako yananitoa sehem moja kwenda nyingine
Tuna shukuru sana kwa mafundisho ya baba mchungaji Sunbela kyando. Mungu amu bariki kabisa. Sisi ambao tulioko huku mbali please tuna hitaji number za mchungaji kwa ajili ya maombezi piya.aksanti na Mungu atu bariki
Asante kwa mafundisho mazuri ya neno la mungu mtumishi
Napokea kwa kwa jina.la.yesu
Amen. Mwalimu na mtumishi wa mungu
Thank you Jesus Christ for my greatness. Amen
mwalimu mzuri sana😂😂😂😂😂😂😂
Hakika, Yeremia 44:15-19 (Malikia wa 👉mbinguni) mbinguni herufi ndogo ni mbingu yao ile ya miungu migeni👈
Be blessed pastor for this great message
God bless you 💞👏
Amina Sana pastor , nafarijika
Yaani hayo ndio nayapitia mimi😢
Natamani kupata number za huyu Mchungaji. Niko Arusha
Kanisa.linaitwa reality of christ liko njiro karibu na Eden Garden
Ratiba za ibaada zikoje???@@gracelewis8090
Ni madhabahu ipo Arusha pia Kuna tawi ..ingia insta andika rocarusha utapata namba uende hapo Huwa anakuja mara Kwa mara..
Napenda mafundisho yako nabarikiwa baba🙏🙏
Nabarikiwa na mafundisho yako
Amen baba
Napokea kwa Jina la YESU
Napokea kwa Jina la YESU
My daddy 🥰
Am blessed
Nimebarikiwa sana mtumishi wa MUNGU na nimejazwa nguvu za roho mtakatifu ,,nimefurahi sana
Bwana Yesu nipeleke kwenye Hebron yangu. Nipe utayari na upako wa kumiliki Hebron yangu. Ee Yesu nirehemu.
Ubarikiwe mtumishi wamungu
Am blessed …
Mungu naomba niondolee roho ya hofu
ASANTE MUNGU KWAKUSEMA NA MIMI, ASANTE NAKWATUMISHI WAKO ANAKUBALI KULETA NENO LAKO KWANGU. ENDELEA KUMUBARIKI
Napokea, asante mungu
MUNGU NIPE UYO MLIMA KAMA ULIVYO NIAIDIA
NA MIMI NIKO KWENYE KIKAO KATIKA JINA LA YESU KRISTO
AMEN. NAPOKEA AYO MAFUTA, MIMI YEHU NIKO HAPA, NAPOKEA AYO MAFUTA