The honesty and godliness in this man is amazing. A man after God's heart with a very calm demeanour. I note from this video the following: 1. The lady has lost a wonderful husband because of being misled by a bitter sister. Marriage is between a man and a woman. Their parents and siblings only come to complement it. 2. Solemnizing a marriage is about putting God first as the man had intended. It is not about goats and material things. When God is happy he blesses you with more. 3. God speaks in mysterious ways. I don't know what message God is sending the man but from a human perspective that intended marriage has ended. God has better plans for both the man and the lady. Most importantly they should take care of their child.
Yule alieimba Mwamba Huyu hapa ndioo huyu Yeye Sasa baba la baba bonge la bwana anatumia akili Kubwa kujibu Swali bila kuumiza Upande wowote libarikiwe TUMBO lilitoa huyu Jasiri so Mungu ni mwaminifu aiseee utatoboa na Mungu ATAFANYA jambo usjali kabisa❤❤❤🎉🎉I love this Guy
Wewe ni kijana supaavu, mwenye msimamo thabiti wa kweli na kumtumaini Mungu. Tunakuombea uendelee kupata utulivu, usitetereke na hakika Mungu atakupa njia katika jambo hili. Umetupa funzo kubwa mno na sasa umejiongezea ndugu na marafiki wa kweli ambao ndiyo sisi.
Si busara tu ampe mke wa ukweli chaguo lake naona hyo Mungu hajampangia kuwa nae .lakini hyo kaka anaweza akampokea tena akija mna anajisifu najuwa kuchaguwa😂😂 pole yake
Kweliiiii kabisaaaaaaa huyu kaka ni mwanaume wakuigwa kwanzaa anamweshimu Mungu daaaaah Mungu akupe aja ya moyo wako amezungumza vizuriiiiii saaaaan adi nimempenda kwakweli
Jamani Yesu akiwa ndani Yako ni mzuriiiiiiiiiiiiii 💕 nimekupenda sana mtumishi shetani ameaibika ila Yesu wako Kuna kitu ameweka mbele Yako Kuna history inaiandika mtu wa Mungu,
@@missackley4792Inachekesha sana , eti chumvi kilo 2, kuku 9, Mafuta Lita 5, Mbuzi 2 na Laki mbili ilobaki.NARUDIA TENA WAZAZI TUACHE KUENDEKEZA UMASIKINI, MTOTO HAUZWI? KIJANA WA WATU ALISHATOA MAHARI 1,500,000/. INAUMIZA SANAAA😢
Achana na hiyo familia , tafuta mke mwingine hiyo ni ishara mbaya. Inabidi usikilize roho wa mungu Wacha kulazimisha mambo. Funga , uombe. Mungu akuhakiikishie kama huyo ndio mke , sema Kwa maono tayari huyo sio mke mungu ameshaonyesha. Kibali kuanza upya. Wacha uoga.
Du? Sijaona! Pole sana, hongera kwaujasili - Kila likuepkalo unahe Malo. Usimrejee hiyo mwenza wako, Bora kajionyesha mapema ungali Bado unanguvu yakutafuta. Usijekosea ukamrudia .
Kwenye haya maisha iwe mwanaume au mwanamke ukiwaskiliza sana wazazi imekula kwako niamini mimi aslimia kubwa wazazi au ndg wanaua mahusiano ukiwaskiliza lazma ufeli kwa wakati huo unaweza kuona ni sawa ila baadae unajuta kiukweli ushauri wa ndg unaua mahisiano watu mnaweza kuwa mnapendana sana na mmeridhia kila kitu chenu ila ukiwaskiliza unaingia shimoni
😂😂nayakumbuka mafundisho niliyopewa kuwa ndugu wa mke ni hatari kwa uhai wa ndoa,ingawa pande zote wanaweza tu msiposhikamana ninyi wenye ndoa yenu,😂😂mh,maisha yanamapito mengi
@@avelinabaluhya2804 ndg yangu pande zote ni majanga kikubwa kuwa na akili ya kuishi nao ukiwapa nafasi ndg ohoooo huna ndoa Mimi bila mume wangu kusimama imara tungekua tumeparaganyika ndg zake baada ya kuona tumepata maendeleo kidogo weeee nashuhudia Kila aina ya vituko halafu cha kushangaza na Mimi ni mfanyakazi tena mshahara wangu ni makubwa kuliko wa mume wangu ni Siri yetu wawili ila ndg zake Kila siku wanamwambia Mimi namfuja mara hawaskilizi siku akipata tatizo asiwahusishe ila wakiwa na shida maskini anawasaidia bila kinyongo
Moyo wa huyu mwamba unefanana na wangu..Mkaka mzuri hb mtulivu dah huyu dada huyu mh 🙌, usilazimishe kaka Mungu anakupenda ndomana amekuepusha ndugu yangu, hiyo familia hadi huyo mke siyo sahihi kwako. Yani familia imekula tayari hadi maali bado wanamtenda mtu namna hii kaaah ‼️ kaka Mshukuru Mungu songa mbele umeepushwa na jambo najua inauma lakin ukiepushwa na jambo huna haja ya kuumia tena shukuru furahi tu songa mbele. Kesho yako njema inakuja,
Mkoa ambao unasifika kwa watu wastaarabu ni mkia wa katavi kaka umetuthibitishia hili pia ni jasari huteteleki bigap sana naupenda mkoa wangu wa katavi 🎉❤
SHUJAA LA IMANI HILO. SAFI SANA... HILO LIDADA LIKIONA SERIKALI IMEKUINUA, AU SISI WADAU KUKUCHANGIA, LITAJIFANYA KUTUBU KIUNAFIKI. NDIO MIDADA YA KIBONGO ILIVYO. NASIKIA HASIRA!
Kaka mtafute Yesu Kristo akusaidie,fanya maamuzi sahihi simama na Yesu ndugu yangu hao wanaweza kwenda kukuloga ucpo kaasawa watakufanya chizi nibora ukae upande wa Mungu akutetee,uchawi na uchawi haifai kitu
Praise God brother, you really appreciate yourself that's great, may God continue showering his Mercy on you!.Mungu atakupa mwingne zidi kumuogopa yy,na yy mke hakuwa na kheri na ww ndo sababu Mungu amekuepushia mapema. Be strong Allah is sufficient for you dear.
Daah aisee, huyu mtu anamoyo sana., kwanza masela hatuoi. Mtu mshakaa wote mshazaa na mtoto halafu wazazi wanaweka kikwazo.. huo ndiyo umasikini wa kiroho tunaousikia. FAMILIA YA HOVYO SANA. Pole sana Kaka.
Inauma mimi nilijua kigoli tena bikila kumbe mnamtoto moja sasa mtoto wanamuweka ktk wakati gani familia ya mwanamke wanatamaa alafu mwanamke nae mshamba ningekuwa mimi ningeolewaaaa ningeenda kanisani pumbafu
Wengine ndoa tunazitaka tena kwa maombi haswa afu mwingine anachezea hiyo bahati khaa 😢 dada ukifika miaka 30 bila kuolewa Kama kina sisi hapo atakuwa anatembea akiwaza MUNGU hayupo 😢
Hongera sana.kwa ujasori huo sasa mimi kwa ushauri.wangu achana na kazi unayoifanya kamtumikie Mungu kwani.utaponya.watu wengi sana Damu ya yesu ukufunike uamkapo na utokapo kwamwe hata akitokea mtu kukujarbu hatakuweza kuanzia sasa jitambue ya kwamba wewe sio kijana wa kawaida tambua nafasi yako ya kumtumikia Mungu iko siku.utaniitafuta na sasa chukka hatua Mungu Kuongoze
Huyo Sio mke MUNGU amekuepusha mengine jipange upya brooo hongera sana kwa hekima ambayo MUNGU amekujalia.Mapungufu yke mumeyaona baada ya kupokea mahali mtajioa nyie
a@@HinohiatHidoCo.Bora aliamua kuacha ndoa sio harusi (sherehe) ndoa ni wito au utumishi kuwa Kila Moja yoko tayari kumtumikia mwingine kwa namna yoyote na Hali yoyote bila kuangalia wengine wanasemaje.
Alivyovaa ilo shera nimeamini huyu jamaa chenga😅😅😅😅 bibi harus pia hongera Mungu kakuepushia, wakat wanaume mnamuona mwanaume mwamba na sisi wanawake tunasema bi harusi aloingia mitini mwamba kwelikweli bwana harus gan anavaa veri😅😅😅😅
Kama mwanamke Hana maamuzi ya kuheshimu mahusiano yake,je ndugu wataheshimuje,ndoa husimamiwa na wawili na vinginevyo mshukuru Mungu hiyo siyo family utachoshwa sana.
Mungu ambariki huyu kaka,ampe nguvu na ujasiri uzidi ndani yake,kamwe asiwe mnyonge. Mungu atazidi kumpigania na kumkuza katika matakwa yake yeye. Ila mimi naona Edward hana haja ya yeye kubaki na hizo picha za huyo msichana,achome moto hizo picha. Nguo na vitu alivyonunua kwaaajili ya huyo msichana kuvaa siku hiyo ambayo walipanga,aviuze hivyo vitu ajipatie pesa. Kuliko kukaa na vitu ambavyo akiviangalia vita mkumbusha kuwa siku fulani angefunga ndoa. Edward nyie mlipanga lakini inawezekana Mungu hakupanga mfunge ndoa,na kuishi kama mke na mume. Laki mbili,mbuzi wawili, kuku 9, chumvi kilo mbili sio sababu ya wao kuzuia wasifunge ndoa. Ila nahisi kuna sababu nyingine, maana tayari waliishi wote na mtoto pia wanae. Kuna sababu nyingine ambayo wao wanaijua na binti yao. Lakini Edward yote kheri tushukuru Mungu kwa yote, huyo hakuwa wako,endelea kusali bila kukata tamaa, Mungu atakuletea alie wa kwako na ndoa takatifu mtafunga. Furaha ya Edward siku ya send-off ni furaha ambayo alikuwa nayo kuona sasa huyu binti anaagwa na siku si nyingi atakuwa wake rasmi.Kupendeza siku ya send-off sio kitu,kama walitaka apendeze kama walivyotaka basi, wange mwandalia nguo.Hiyo familia na mtoto wao wanayao tu,mtu kuchangamka na kufurahi,haimaanishi kanywa. Labda walikuwa hawamtaki kijana wa watu,sasa wametafuta sababu ambazo ni unnecessary wala sio za maana. Huyo msichana aachane nae kabisa, hata wakimtafuta asipokee simu zao. Wadelete kabisa,wakatili sana hao. Inaumiza sana basi tu kaka watu anajikaza sana,ana kidondo kikali moyoni, maumivu hayo hayatoki leo wala kesho. Mungu azidi kumbariki Edward na amlete kilicho chema na Mungu ataendelea kukunyanyua utafanikiwa maisha yako yapo mikononi mwa Mungu, na Mungu atayabadirisha🙏. Samee,Mungu atakusaidia taratibu utasahau.
Huyu kaka anajikaza ila anaumia jamani...inakuwaje laki mbili ina gharimu vitu vyote ivi...kuna familia hazijali kabisa .just imagine sio mahari tu ila mwanaume anakuwa na vitu vingi vya kufanya,gharama upande wake ni nyingi na mtu anapambana apate...Mungu azidi kukusimamia zaid
Baba nimeskia yule dada clouds midia broo kama unaakili timamu kadai maari na garama zako kweli vyokuwa amepigiwa cm anamdomo sana achana nae yule nibom lanyukili anaongea sna
The honesty and godliness in this man is amazing. A man after God's heart with a very calm demeanour. I note from this video the following:
1. The lady has lost a wonderful husband because of being misled by a bitter sister. Marriage is between a man and a woman. Their parents and siblings only come to complement it.
2. Solemnizing a marriage is about putting God first as the man had intended. It is not about goats and material things. When God is happy he blesses you with more.
3. God speaks in mysterious ways. I don't know what message God is sending the man but from a human perspective that intended marriage has ended. God has better plans for both the man and the lady. Most importantly they should take care of their child.
Sure no more marriage there even if the woman come back...these event are a big RED FLAG! RUNNN
Utapata anaye kupenda bro
I like kiswahili
Na ndio kinachomsaidia hapa hapakosi ushirikina naona. Hawataki hyu dada aolewe.
Yule alieimba Mwamba Huyu hapa ndioo huyu Yeye Sasa baba la baba bonge la bwana anatumia akili Kubwa kujibu Swali bila kuumiza Upande wowote libarikiwe TUMBO lilitoa huyu Jasiri so Mungu ni mwaminifu aiseee utatoboa na Mungu ATAFANYA jambo usjali kabisa❤❤❤🎉🎉I love this Guy
Yani ukiskia mwanaumeeee,,ndo huyu sasa
Kaka Mcha Mungu jamn Mungu Akupe Wa Kufanana Nae Kaka
Usikate tamaaa kabisaaa
Naomba ukimpata mke mwingine utuambie tukuchangie Iwe bonge. Lasherehe
Kabisa kapitia jambo zito sana
Nakuunga mkono tum support
Hakika
@MohamedMkota upo serious au??
@@JaneyChigga ndy akimpata aniambie mchango lazima
Wewe ni kijana supaavu, mwenye msimamo thabiti wa kweli na kumtumaini Mungu. Tunakuombea uendelee kupata utulivu, usitetereke na hakika Mungu atakupa njia katika jambo hili. Umetupa funzo kubwa mno na sasa umejiongezea ndugu na marafiki wa kweli ambao ndiyo sisi.
Huyu kaka ni msitarabu sana MUNGU akupe hekima na busara siku sote za maisha yako...
Si busara tu ampe mke wa ukweli chaguo lake naona hyo Mungu hajampangia kuwa nae .lakini hyo kaka anaweza akampokea tena akija mna anajisifu najuwa kuchaguwa😂😂 pole yake
Uyu kaka mstaarabu Sana..mpole sana anaupendo sana..na uyu kaka ni bonge la bwana...mungu akubaliki tena
Ogopa sana watu wa haina hiyo niulize mm
@@jamilanasir6833wakojee mom
😂😂 ni hatarii😢@@jamilanasir6833
😂😂😂@@jamilanasir6833
Ila Duniani kuna mambo mengi jamani ukiwa unakaribia kufanya sherehe ya ndoa funga na kusali sanaa mnooo shetani anakuaga kazini sana
Wanaume kama huyu, sio wengi hapa duniani! Ni mkweli, na mwenye hofu ya Mungu. Nampa pole sana Bibi harusi kwa kukosa Mume bora na mwema.
MWAMBA KABISA YAN SMART SANA ANAZUNGUMZA KAMA HAKIJA TOKEA KITU TUMPE MAUA YAKE🎉🎉
Kabisa, huyu jamaa ni mwanamume halisi,,
ua-cam.com/video/05737KHo7CE/v-deo.htmlsi=WAybZU8YGbyhUfau
Akibaki pekeake sasa mnnn mnnn mtu uliemzoea mnalala wote miaka 3 sio rahisi
@@gloriaaugustino8031 ANATAKIWA akaze tu
@@gloriaaugustino8031hee walishalala wote kumbe??
Namuonea huruma anaumia sana ila anajikaza kwa sbb kamshiba mungu ,Pole sana
Sasa akiwa mwingine tu ndo utasikia wanaanza kuloga waachane kwani hajaowa mtoto wetu nawakati shida niwao
Anaumia maskini ila anajikaza mwee mungu akutie nguvu😢😢
Sana!
Kweliiiii kabisaaaaaaa huyu kaka ni mwanaume wakuigwa kwanzaa anamweshimu Mungu daaaaah Mungu akupe aja ya moyo wako amezungumza vizuriiiiii saaaaan adi nimempenda kwakweli
Very honest guy, Mungu akufanyie wepesi
Fursa hiyo adelina
Utabaki na stori zile zama zimekwisha mtateseka sana
Kaka mwenyezi mungu akujalie hekima hiyo hinyo wewe ni mwamba kweli kweli 👍🙏
Jamani Yesu akiwa ndani Yako ni mzuriiiiiiiiiiiiii 💕 nimekupenda sana mtumishi shetani ameaibika ila Yesu wako Kuna kitu ameweka mbele Yako Kuna history inaiandika mtu wa Mungu,
Kabisa huyo kaka anaelekea utukufu hadi utukufu Mungu mwenyewe akupiganie. Shalom huyo shemeji yake ana wivu na inawezekana hajaolewa
Kuna Kaka huku Isha mtokea
Likuepukalo, una heri nalo kaka.
Duh this literally got me into tears✊🏾 Mungu akuzdishie amani ya Moyo Kaka etu
Sio kila unachokipoteza ni hasara vingine ni faida kuna kitu mungu kakuepusha kaka yupo wa kwako ikifika muda atakuja ktk maisha yako
Point
Dasalamu jamnn mwenyeye anatabasabu❤
Nikweli msamaha ni kitu kizuri sana , ubalikiwe mungu yupo atakupatia mke mwema kbs 💃💃💃💃
Mshukuru Mungu kaka huwenda kakuepusha na balaa zito
Uko sahihi Mwenyezi Mungu amfanyie wepesi InshaAllah
Mungu ana makusudi itokeee ivo
Kwakweli
si vyote Mungu anasababisha
Kweri kabisa,
MWAMBA HUYU HAPA, MWANAUME NA NUSU❤
Move on kaka Tena usiangalie nyuma,,mungu atakusaidia
Pole haiku family nzurikwako,nawe nimtù WA Mungu, kilakinachokuepuka nikherikwako using'ang'anie
Pole sana my brother wangu. Huyo mwanamke hafai usirudiane naye 😭😭 usije ukasubutu 😢😢
Jamaa mungu atakupa Chuma kingine, wewe ni binaadam safi kabisa, achana na usifikirie hata akirudi, mungu amekuonyesha kitu
ukae nyumba moja na mwanamme,mmezaa,mkaamua kufunga ndoa unataka ku act kama mwanamwali! likuepukalo lina shari, omba Mungu endelea na maisha
Yaan imemkata
Shangaa na wew yaan watu wameshaish na Wana mtoto halaf amekataa kuolewa wakati walishaoana bila ndoa
@@missackley4792Inachekesha sana , eti chumvi kilo 2, kuku 9, Mafuta Lita 5, Mbuzi 2 na Laki mbili ilobaki.NARUDIA TENA WAZAZI TUACHE KUENDEKEZA UMASIKINI, MTOTO HAUZWI? KIJANA WA WATU ALISHATOA MAHARI 1,500,000/. INAUMIZA SANAAA😢
Achana na hiyo familia , tafuta mke mwingine hiyo ni ishara mbaya. Inabidi usikilize roho wa mungu Wacha kulazimisha mambo. Funga , uombe. Mungu akuhakiikishie kama huyo ndio mke , sema Kwa maono tayari huyo sio mke mungu ameshaonyesha. Kibali kuanza upya. Wacha uoga.
Du? Sijaona! Pole sana, hongera kwaujasili - Kila likuepkalo unahe Malo. Usimrejee hiyo mwenza wako, Bora kajionyesha mapema ungali Bado unanguvu yakutafuta. Usijekosea ukamrudia
.
Kwenye haya maisha iwe mwanaume au mwanamke ukiwaskiliza sana wazazi imekula kwako niamini mimi aslimia kubwa wazazi au ndg wanaua mahusiano ukiwaskiliza lazma ufeli kwa wakati huo unaweza kuona ni sawa ila baadae unajuta kiukweli ushauri wa ndg unaua mahisiano watu mnaweza kuwa mnapendana sana na mmeridhia kila kitu chenu ila ukiwaskiliza unaingia shimoni
Yan umenena sana
😂😂nayakumbuka mafundisho niliyopewa kuwa ndugu wa mke ni hatari kwa uhai wa ndoa,ingawa pande zote wanaweza tu msiposhikamana ninyi wenye ndoa yenu,😂😂mh,maisha yanamapito mengi
@@avelinabaluhya2804 ndg yangu pande zote ni majanga kikubwa kuwa na akili ya kuishi nao ukiwapa nafasi ndg ohoooo huna ndoa Mimi bila mume wangu kusimama imara tungekua tumeparaganyika ndg zake baada ya kuona tumepata maendeleo kidogo weeee nashuhudia Kila aina ya vituko halafu cha kushangaza na Mimi ni mfanyakazi tena mshahara wangu ni makubwa kuliko wa mume wangu ni Siri yetu wawili ila ndg zake Kila siku wanamwambia Mimi namfuja mara hawaskilizi siku akipata tatizo asiwahusishe ila wakiwa na shida maskini anawasaidia bila kinyongo
Kabisa kabisaa
Ni kweli kabisa. Mm imenitokea hii.
USIMRUDIE UYO MWANAMKE TENA KAKA
Uyu mtangazaji hanaulizia supu inaelekea hanapenda sana supu
@WilsonEmmanuel-bs6op 😂😂😂
Nimekupenda bure Mungu akupe haja ya moyo wako i truly like you may God bless you!
Kuna jambo kubwa ambalo Mungu amekuepushia kaka hata usiwe na kinyongo endelea na maisha Yako tu
Huyu jamaa anafaa sana yaani anaongea vizuri sana.
Eti anaambiwa kachangamka mno 😂😂😂 Kuna watu ni wajinga mno
HHHH NDIOOO_🤦🏿♀️
Mkuu ikitokea unaowa mke mwingine niambie na Mm nikuchangie....Nadhani ukitangaza tu tutapata taarifa
Uyo dada akikufata usikubali kuishi nae ninyoka huyo mda wowote anakugonga😢😢
Yawezekana shida sio dada wazazi wanaweza wakawa shida
kabisa dada na wazaz hawajielewi
@@alexmwalingo5020mwanamke kama anakupenda hawezi fanya hivyo ataona wazazi wanamakosa atafanya kilicho sahihi atajua
Pia familia yao inanjaaa sana
@@beatricejoseph2784yvvvv
Moyo wa huyu mwamba unefanana na wangu..Mkaka mzuri hb mtulivu dah huyu dada huyu mh 🙌, usilazimishe kaka Mungu anakupenda ndomana amekuepusha ndugu yangu, hiyo familia hadi huyo mke siyo sahihi kwako. Yani familia imekula tayari hadi maali bado wanamtenda mtu namna hii kaaah ‼️ kaka Mshukuru Mungu songa mbele umeepushwa na jambo najua inauma lakin ukiepushwa na jambo huna haja ya kuumia tena shukuru furahi tu songa mbele. Kesho yako njema inakuja,
Huyu kaka nataman hata ningempata mimi jmn yaan ana imani kubwa sana....MUNGU atakupa mke mwema kaka angu❤❤❤ wadada wengi tumekupenda bure
Hahaha,ya kweli hayo
Nitafute😢
😂😂😂@@damasprotas4126
😂😂😂😂
Umewakilisha wengi sana
Mkoa ambao unasifika kwa watu wastaarabu ni mkia wa katavi kaka umetuthibitishia hili pia ni jasari huteteleki bigap sana naupenda mkoa wangu wa katavi 🎉❤
He’s very bright kwenye mazungumzo kupitia Hoja Zake, watz tumeelewa shida ipo wapi na hapa lipo la kujifunza 📌
Pole sana mdogoangu.Mungu anamakusudi ktk hiro.mwambie Mungu ahsante😢
Huyo sio mke, kwa nn akubali process zote at last aamue hivi, liko jambo Mungu ameona hakufai
Hakuna mke hapo 😂😂
Mungu akusimamie usibadilike kamwee... Ishi katika misimamo uliyonayo... Na Mungu ampe MKE MWEMA ATAKAE KUHESHIMU NA MCHA MUNGU KAMA WEWE
SHUJAA LA IMANI HILO. SAFI SANA... HILO LIDADA LIKIONA SERIKALI IMEKUINUA, AU SISI WADAU KUKUCHANGIA, LITAJIFANYA KUTUBU KIUNAFIKI. NDIO MIDADA YA KIBONGO ILIVYO. NASIKIA HASIRA!
Tajiri MKUBWA KABISA @charles Mbunda upooooo
Bwana Yesu atakuinulia mwingine Wa kufanana nawe,Mungu anakupenda Sana,mshukuru yeye Kwa kila jambo
Mwamba ametisha sana hana hata shido ukisikia ubaharia ndio huo😅😅😂😂
Cuba candidate 😂
@@ahz6907 halafu anakomaa kiburiburi😅😅😅🤣🤣
Pole kaka na hongera kwa ujasiri huo. Mwachie Mungu kama ni wa kwako atarudi lakini kama sio basi. Mungu atakupa wa kufanana na wewe.
Nimemuonea huruma sana Mungu amtie Nguvu
Kaka mtafute Yesu Kristo akusaidie,fanya maamuzi sahihi simama na Yesu ndugu yangu hao wanaweza kwenda kukuloga ucpo kaasawa watakufanya chizi nibora ukae upande wa Mungu akutetee,uchawi na uchawi haifai kitu
Nan amekwambia Hana Yesu??
@@geofreyj.1986 Kama ambavyo wewe haumjui mimi pia cmjui nimetoa ushauri tu
Huyo mwanamke alikua hakupendi...kwel mwanamke anashindwa kumtetea mumewe 😂😂
Alimpenda ila kasikiliza maneno ya ndugu siku za mwisho kabisa lakini atajuta
Kuna wanawake wanaendeshwa na maneno ya ndugu zake
Au 2000
@@MussaJabiri-w9j huyo ni 2000 kwel😂😂
ndugu zetu hao ndugu wana mdanganya wamemjaza maneno.
Duu!Inaumiza sana lakini katika wanaume wewe ni mwanamme na una roho ya kiume sna,Mungu akupe kila jema kwenye maisha yako.🎉🎉🎉
Bila D mbili apa uwezi kuelewa brooo umetisha sana mungu akupe ujasiri utapata atakayekupenda
Praise God brother, you really appreciate yourself that's great, may God continue showering his Mercy on you!.Mungu atakupa mwingne zidi kumuogopa yy,na yy mke hakuwa na kheri na ww ndo sababu Mungu amekuepushia mapema. Be strong Allah is sufficient for you dear.
Unaenda kushinda kishindo cha ajabu yni MUNGU atakupambania😢🙏
I proud to be muslim kwenye dinni yetu hayo tumeepukana nayo kwakweli
Masha Allah mkaka wa maana kabisaa kha allah akupe mke mwema🤲🏼🤲🏼
Duuuuu Mwamba ana utulivu wa Akili Sana watu wengi hua wanachukua maamuzi magumu kwa mambo kama haya Anastahili tuzo na mfano wa kuigwa thank you🙏
Daah aisee, huyu mtu anamoyo sana., kwanza masela hatuoi. Mtu mshakaa wote mshazaa na mtoto halafu wazazi wanaweka kikwazo.. huo ndiyo umasikini wa kiroho tunaousikia. FAMILIA YA HOVYO SANA. Pole sana Kaka.
Polee Kaka wala ucjali,,, Mungu amekuepusha ,,, huyu alikuwa co mpango WA mungu
Daah huyo dada kajiwekea laana mwenyewe, badae asije kutusumbua manabii na wachungaji tumuombee.😢
Hii familia ya huyo mwanamke lazima watakua wachawi mama mkwe mchawi anataka akae na bint zake awabebeshe uchawi.
😂😂😂😂😂😂
Eee mungu naomba unijibu nipate mume najua unajua hili amen
Pole sana kaka ❤❤❤wewe ni mume bora Allah atakujaria mke mwema❤❤❤🎉uyo mwanamke achananae kabisaa
Mwenyez MUNGU aendelee kumtia nguvu na awe jasili hvohvo
Duuuuuu hapa kuna kitu, niko nimekaaaa paleeeeeeeeeee, huyu mwanamke cjuiiii ataishia wap mwisho wake. Ogopa mtu anayecheka na kusema amesameheeee.
Yani ata kuolewa na mwinginee hapoo mtihan 😮😮
tatizo la mwanamke lipo kwao, huyo dada asahau kuolewa, ndugu zake wanataka angaike na dunia.
Inauma mimi nilijua kigoli tena bikila kumbe mnamtoto moja sasa mtoto wanamuweka ktk wakati gani familia ya mwanamke wanatamaa alafu mwanamke nae mshamba ningekuwa mimi ningeolewaaaa ningeenda kanisani pumbafu
@scolasticahaaaaaaaahaaaamayanda9048
@@scolasticamayanda9048kweli kabisa hata mimi familia yangu ikiwa na kipingamizi naolewa hata wawo wasije
Kaka wewe umeumbiwa moyo wa msamaha
Hongera Sana
Mimi nasikia kutetemeka.
Naomba kukushauri kaka
Mungu akikuepusha na jambo usijaribu kulikimbilia.
Kaa tulia tafakari songa mbele
Wengine ndoa tunazitaka tena kwa maombi haswa afu mwingine anachezea hiyo bahati khaa 😢 dada ukifika miaka 30 bila kuolewa Kama kina sisi hapo atakuwa anatembea akiwaza MUNGU hayupo 😢
Nipo hapa dada🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂 nacheka kama mazuri janatu nimepewa block nasema Asanteee MUNGU huwenda sio wangu nilopangiwa na miaka Sasa🤦♀️🤣 MUNGU TU atuletee watu sahihi
@@mariamkibindo1741😂pole
Hivi upande wa mke wanamwamini mungu kweli maana mila na mungu haviendani. Kaa! Pole sana.
@@VERONICA-o7n asanteee my acha TU yaani.
KUKU 9 PAKA 3 MBWA 2 AU NIMESIKIA VIBAYA
Jamaa anafurahisha sana the way anaongea, Bro utafika mbali , iyo ni blessings
Hongera sana.kwa ujasori huo sasa mimi kwa ushauri.wangu achana na kazi unayoifanya kamtumikie Mungu kwani.utaponya.watu wengi sana Damu ya yesu ukufunike uamkapo na utokapo kwamwe hata akitokea mtu kukujarbu hatakuweza kuanzia sasa jitambue ya kwamba wewe sio kijana wa kawaida tambua nafasi yako ya kumtumikia Mungu iko siku.utaniitafuta na sasa chukka hatua Mungu Kuongoze
Daaah aiseeh pole sana pia hongera sana Kwa ujasiri ila mungu atakufanyia wepesi atarudi tu
Mnaweza mkamlaumu bibi harusi kumbe ni nguvu za giza zilitumika dunia ina husda sana hiii sikuhizi😢😢
Kweli inawezekan jmn
Huyo Sio mke MUNGU amekuepusha mengine jipange upya brooo hongera sana kwa hekima ambayo MUNGU amekujalia.Mapungufu yke mumeyaona baada ya kupokea mahali mtajioa nyie
Jamani kaka anaonekana mstarabu sn
Huyu Kaka mungu atamuongezea namshauri asimuoe kbsa amuombe mungu ampatie mke mwema asifosi kupa itamgarimu mbeleni
Pole kaka jaman MUNGU akufanyie wepesi duuh 😢😢😭😭😔
Achana naye huyo mwanamke. Mungu ameshakuonyesha tayari . We endelea na maisha yako mengine mbona ni kijana mzuri sana
Hongera kaka Mungu no mwema huwezi jua kakuepushia nini
All in all familia na marafiki za huyu kaka wanahitaji kuwa naye Karibu sana ndani yake siyo rahis kama anavyo zungumza
Exactly
Pole kaka mungu akutie nguvu usiwape muda hiy familia siy rizk yako hiy familia awakutaki ata ukioa uyo dada utateseka nayo hautakuwa na amani nao
😢😢😢huyu dada baadae anakuja kusema wanaume wote mbwa kumbe mwenyewe umejitia nuksi
😅😅😅😅😅
Tena bonge la nuksi promax
Nuski proooooooooomax
Ni mwendo wa kuchezewa tu
Kaka amejitahidi saaana ku come down
Ungemchukuwa Mwanamke yeyote Ukafunga naye Ndoa.
Mahari yake Ingefata.
Mahari huwa haimalizwagwi
Kwani Ulimnunua.
Mshukuru MUNGU Huyo hakuwa Ubavu Wako (Mkeo)
Ndoa sio jambo la ki-lelemama. Wala halitakiwi kufanya ki- mzahamzaha. Wala ki- maigizo.
Kama yupo mkewe "rasmi" tusubiri, siku si nyingi atatokea.
Yaan achukue mwanamke yoyote aiseeee uko serious kweli???? Kaka yupo smart sana sio zoazoa
a@@HinohiatHidoCo.Bora aliamua kuacha ndoa sio harusi (sherehe) ndoa ni wito au utumishi kuwa Kila Moja yoko tayari kumtumikia mwingine kwa namna yoyote na Hali yoyote bila kuangalia wengine wanasemaje.
Alivyovaa ilo shera nimeamini huyu jamaa chenga😅😅😅😅 bibi harus pia hongera Mungu kakuepushia, wakat wanaume mnamuona mwanaume mwamba na sisi wanawake tunasema bi harusi aloingia mitini mwamba kwelikweli bwana harus gan anavaa veri😅😅😅😅
@@kazkaz1943unaonekana huna uelewa wa Mambo kabisa!!
Mpaka Waziri kuamua kumpa tuzo Sio kitu kidogo! daa, broo hongera Kwa ushujaa!
Mungu akufanyie wepes polee saaan
Kaka wawatu anatia huruma jaman😢Mungu ampe mke mwingine daah🙌
Dah 😢😢 ila huyu jamaa anaimani mnoo Mungu akawe faraja ya moyo wako Broo 🙏🏽🙏🏽
Aiseee Pole kaka Mungu akupe wakufanana naye
Watu wengine tunataka ndoa hata kesho. Wengine wanakataa. Wewe dada nakupa muda utaitafuta hiyo ndoa hitaipata. Pole sana kaka Mungu akutie nguvu mnoo
Nakusubiri hapa😊
Njoo buza kwa mparange hapa nipo husband materials.
God will make a way.
Mungu akutunze mwanangu usihofu Mungu hatakuacha nakuombea mapenzi ya Mungu yatimie
Jaman ila wakwe wana roho mbay kumwambia mwenzao ajapendez kweli??😅😅loo wabaya sana
Pole sana. Naamini unacheka machoni moyo unaumia mungu aendelee kukutunza
Kama mwanamke Hana maamuzi ya kuheshimu mahusiano yake,je ndugu wataheshimuje,ndoa husimamiwa na wawili na vinginevyo mshukuru Mungu hiyo siyo family utachoshwa sana.
Kabisa aisee,,hapo hamna mwanamke
Pole sana brother MUNGU atakusaidia
Mungu ambariki huyu kaka,ampe nguvu na ujasiri uzidi ndani yake,kamwe asiwe mnyonge. Mungu atazidi kumpigania na kumkuza katika matakwa yake yeye. Ila mimi naona Edward hana haja ya yeye kubaki na hizo picha za huyo msichana,achome moto hizo picha. Nguo na vitu alivyonunua kwaaajili ya huyo msichana kuvaa siku hiyo ambayo walipanga,aviuze hivyo vitu ajipatie pesa. Kuliko kukaa na vitu ambavyo akiviangalia vita mkumbusha kuwa siku fulani angefunga ndoa.
Edward nyie mlipanga lakini inawezekana Mungu hakupanga mfunge ndoa,na kuishi kama mke na mume.
Laki mbili,mbuzi wawili, kuku 9, chumvi kilo mbili sio sababu ya wao kuzuia wasifunge ndoa. Ila nahisi kuna sababu nyingine, maana tayari waliishi wote na mtoto pia wanae. Kuna sababu nyingine ambayo wao wanaijua na binti yao.
Lakini Edward yote kheri tushukuru Mungu kwa yote, huyo hakuwa wako,endelea kusali bila kukata tamaa, Mungu atakuletea alie wa kwako na ndoa takatifu mtafunga. Furaha ya Edward siku ya send-off ni furaha ambayo alikuwa nayo kuona sasa huyu binti anaagwa na siku si nyingi atakuwa wake rasmi.Kupendeza siku ya send-off sio kitu,kama walitaka apendeze kama walivyotaka basi, wange mwandalia nguo.Hiyo familia na mtoto wao wanayao tu,mtu kuchangamka na kufurahi,haimaanishi kanywa. Labda walikuwa hawamtaki kijana wa watu,sasa wametafuta sababu ambazo ni unnecessary wala sio za maana. Huyo msichana aachane nae kabisa, hata wakimtafuta asipokee simu zao. Wadelete kabisa,wakatili sana hao. Inaumiza sana basi tu kaka watu anajikaza sana,ana kidondo kikali moyoni, maumivu hayo hayatoki leo wala kesho. Mungu azidi kumbariki Edward na amlete kilicho chema na Mungu ataendelea kukunyanyua utafanikiwa maisha yako yapo mikononi mwa Mungu, na Mungu atayabadirisha🙏. Samee,Mungu atakusaidia taratibu utasahau.
Wapuuzi sana hio familia.....
Hy familia haifai Achan nayo Mungu kakuepusha bro
Achana nahiyo familia na huyo dada atajuta
Ila kaka beka we kiboko umetisha💪💪
Huyu kaka anajikaza ila anaumia jamani...inakuwaje laki mbili ina gharimu vitu vyote ivi...kuna familia hazijali kabisa .just imagine sio mahari tu ila mwanaume anakuwa na vitu vingi vya kufanya,gharama upande wake ni nyingi na mtu anapambana apate...Mungu azidi kukusimamia zaid
Daaaah!! Dunia ina Mambo
Baba nimeskia yule dada clouds midia broo kama unaakili timamu kadai maari na garama zako kweli vyokuwa amepigiwa cm anamdomo sana achana nae yule nibom lanyukili anaongea sna
aezi pewa cos ashamzalisha
Basi wampe mtoto
Wewe kaka mwamini Mungu, Mungu anamakusudi na maisha yako. Wakati mwingine Mungu anawaondoa watu ktk maisha yako kwa sababu maalumu. Nakuombea mema
Mungu pekee ndio anajua nafsi zetu zimeficha Nini pole thanaa kaka Wacha maisha ya endelee
Dawa ulizopewa Mzee ni kali sana 😅😅😅
Daah kaka una busara ila Kwa hili Mungu atakulipia😢
Dah nmelia😢😢😢😢hii story imeniumiza.ANAJIKAZA SANA