JOKATE AFUNGUKA KUWA MAMA KWA MARA YA KWANZA "NILIAMUA KUNYONYESHA MAZIWA YANGU"
Вставка
- Опубліковано 8 вер 2024
- JOKATE AFUNGUKA KUWA MAMA KWA MARA YA KWANZA "NILIAMUA KUNYONYESHA MAZIWA YANGU"
www.youtube.co...
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm
Mh.Dc una uwezo wa kuwa mkuu wa mkoa unaeleweka big up
Tanzania tunajivunia WASAFI TV... Good Morning👏👏👏
Hongera sana Jokate Mungu aendelee kukupa nguvu na afya njema..❤
Beauty with brain 🧠😍💕
Role model hongera sana mheshimiwa
Ubarikiwee Dada love uu
MashaAllah 🎉🎉🎉
Mzuriiiiiiiiii.❤️
Safi sana kwa maelezo mazuri
Mashallah 😍
Nimezidisha sauti mpaka 100 lakini bado ipo chini
Ili iweje???
Simu yako labda
Yes sauti iko Chini
😂😂😂😂Labda kamuelewa sana.
Nilikuwa na wasi wasi simu yangu imeshaharibika spika 🥺🥺
❤❤❤
Uko vizur mueshimiwa
Baba wa mtoto ni nani?
ww tuliza mdomo ukimjua atakusadia nn??
Kusema kweli huuyu ni kiongozi lakini hana sifa nzuri katika maadili.. Hii ni Tatizo kubwa Kwa jamii hasa inayomzunguka
acha kutembea naengi kifuani yaliyopita yamepita
Ni kweli yaliyopita yamepita , bado inabaki palepale kuwa hana sifa nzuri( hana maadili) hivyo kuwa kiongozi ni changamoto Kwa jamii hasa anayoingoza.
Ninyi mna sifa nzuri acheni kumnyoshea vidole na wakati hata ninyi mna mizambi yenu
Ww mwenye cfa unacheo gan
Bado inabaki palepale kuwa hana maadili ya kuwa kiongozi .