WABONGO JIFUNZENI KITU, KUOA AU KUOLEWA SIO LAZIMA KUTANGAZA, KUFANYA SHEREHE KUBWA NA KUPOSTI MITANDAONI. NI MAAMUZI TU YA WATU. WAKIJUA WAZAZI NA MUNGU NAYO INATOSHA PIA.
HAKIKA MADHABAHU YA YESU NI BWANA NA MWOKOZI WA MATAIFA YOTE INA NGUVU TUZIDI KUMWAMINI PIA MUNGU AZIDI KUKULINDA NA KUMTUNZA MTUMISHI DORCASS KWA HUDUMA TAKATIFU ATOAYO MADHABAHUNI IM HAPPY TO THE FULLEST
Wazinzi wengi kwenye comment ndo wanaongoza kunanga wenzao kuwaita wazinzi,kwahiyo mtu hajaolewa au hajaoa Asimtumikie Mungu??Utaoa au kuolewa huku ukiwa unamtumikia mungu acheni jealous😂😂😂😂
God bless you for this interview Mama Seven.👏👏👏 Jesus says: “And you will know the truth, and the truth will set you free.” John 8:32 [AMPC] “If you declare with your mouth, ‘Jesus is Lord,’ and believe in your heart that God raised him from the dead, you will be saved.” Romans 10:9 [AMPC]
😂Anatupanga huyu alikuwa mwana chama cha FREEMASON masharti yakamlemea akabadilishiwa Department hisiyoitaji kafara nyingi kama wanavofanya wasanii wengine kulitunza jina na utajiri wa kwenye himaya ya giza
Unajua uwa najiuliza wasanii wengine wa majuu,wanashuka kimziki na kipesa pia kiasi kidogo sana lakini still wapo kwenye utajiri tu,na show wanapiga na pesa wanaingiza ila sio kama mwanzo,kumbe mambo ya kubadirishiwa kitengo
In America unapata visa ya mwaka tu asingekuwa ameolewa asingeweza kurudi kipindi cha mimi mars. Alafu ukiolewa na nigerian kuna sherehe nyingi sana alafu she was pregnant anyway jibu utakuwa nalo
Asante kuna watu wanafikiri unaweza kuishi USA na mchumba tuu, ukaingia na kutoka kama huna ndoa. Siyo US, lazima kuna ndoa hapo ndiyo maana anaweza kuingia na kutoka USA. Sawa anaposti mambo maisha yake mengi ila si kila kitu@@gwantwadosi
@@gwantwadosialikuwa na green card kabla ya kukutana na Rotini, nahisi wote wanazo. Waliishi America Kwa miaka kazaa Baba Yao alikuwa anafanya kazi ubarozi Kwa miaka wakiwa wadogo
kwahiyo wee ndio shahid mkubwa kwao..haya tupe vizibitisho kwamba hajaolewa ili tujue na kama umeongea ilimlad tu umchafue mtu bc ujue hayo uliyoyasema cku moja MUNGU atataka utoe hesabu..cjui utasema nn hiyo cku
Powerful.... Umetisha Vanessa hiyo ya Watoto kuzuia muziki kucheza hizo secular very powerful...
Hongera sana Vanessa... Kumchagua Yesu ni kuwa mjanja sana... Big up
Shetani umesikia Vanessa harudi tena huko. Praise God
Hongera sn Vanessa kwa kumpokea Kristo.....Uzima na amani ni faida kubwa tunapata toka Kristo. Ng'ang'ana na huyo Yesu
Thank you so much woman of God, God bless you for sharing this testimony is so encouragement ❤
Karibu wajina. Yesu ndio njia ya uzima na kweli. Congratulations 👏🎉 yesss yes yes yes yes yes yes tunashangilia na wewe.
Ongera sana Vanness ongera sana sana maisha ya kuwa na YESU NI YA AMANI SANAA SANA MUNGU AKUBARIKI NA FAMILIA YAKO
Wa kwanza Leo kama unamkubali Vanessa like twende🎉❤❤❤
Pastor Joshua Selman is really the best
Sure apostle Joshua selman....Nathaniel Bassey my favourite ❤
Vanessa nakufuraia maisha yako ya kiroho HAKIKA NI UNAWEKEZA UNAYOMFANYIA YESU HAKUNA CHA BURE MBELE YA YESU BWANA YESU ASIFIWE SANAAAA
WABONGO JIFUNZENI KITU, KUOA AU KUOLEWA SIO LAZIMA KUTANGAZA, KUFANYA SHEREHE KUBWA NA KUPOSTI MITANDAONI. NI MAAMUZI TU YA WATU. WAKIJUA WAZAZI NA MUNGU NAYO INATOSHA PIA.
God give a job niweze kufanya kazi nyumbani. Amen Amen
Vanessa ,i love your interview so much, God bless you and your family too ma lovely daughter. Congratulations for choosing the right way ❤
Nampenda VEE sema hawa presenters sijawaelewa ...mic set up na sauti zao zinavyosikika sijapenda
mbona munamuhoji wakati hamuko comfortable km munaogopa mikono mumefunga hamko relax hivi
V n mrembo jaman❤🎉
Nathaniel Bassey🔥🔥🔥❤️
Kwangu hii ni EXCLUSIVE INTERVIEW for this weekend.hongera Vanessa,am your fan.be blessed and mungu awabariki pia.
BEST INTERVIEW 🙌🏾
Hongera sana kwa kuokoka
Barikiwa sanaVeee❤❤
Interview yangu bora ya mwaka ukiacha ile ya Irene Uwoya...Mbarikiwe sana sana sana
Well said Vanessa...kama hujaamua ndani kutengeneza na Mungu,hakuna mtu atakayekwambia fanya ukafanya.
Ushauri mzuri Vane ila unaowaambia ss, wa kuzungumza na Roho wa Bwnaa wakwapi na mashisha wamuachie nani
She's amazing ❤
HAKIKA MADHABAHU YA YESU NI BWANA NA MWOKOZI WA MATAIFA YOTE INA NGUVU TUZIDI KUMWAMINI PIA MUNGU AZIDI KUKULINDA NA KUMTUNZA MTUMISHI DORCASS KWA HUDUMA TAKATIFU ATOAYO MADHABAHUNI IM HAPPY TO THE FULLEST
choosen from God ❤
You can’t go wrong with Jesus
Wazinzi wengi kwenye comment ndo wanaongoza kunanga wenzao kuwaita wazinzi,kwahiyo mtu hajaolewa au hajaoa Asimtumikie Mungu??Utaoa au kuolewa huku ukiwa unamtumikia mungu acheni jealous😂😂😂😂
Hongera sana Yesu ni bwana hakika
DAMU YA YESU IKUFUNIKE WEW NA FAMILIA YAKO.
I have experience big lessons today
Mungu akubariki sana Vanessa🙏🏽
She is so cuteee
Nakupenda sanaa
❤
Nathaniel wooow wooo
Don't dear DON'T usirudi kwenye music
👏👏
By the way, Vanessa lives in the state of Georgia. Please host her. I believe I will win a green card.
Wow Mungu akutunze vee
Daaah Life hili....Vee money on the.....
Jamani nauliza Vanesa x rotim wamefunga ndoa?
I live Atlanta ga Stone Mountain 20+ years ❤❤
Aisee MUNGU anabadilisha nyie usimdharau mtu yeyeote hata kama yukoje kila mtu anakusudi la MUNGU
Ni kweli Vanessa mdee ameokoka
Clouds hamna sound engineering? Mbona sauti haziko vyema za presenters, na pia set up ya interview iko local sana
God bless you for this interview Mama Seven.👏👏👏
Jesus says: “And you will know the truth, and the truth will set you free.” John 8:32 [AMPC]
“If you declare with your mouth, ‘Jesus is Lord,’ and believe in your heart that God raised him from the dead, you will be saved.” Romans 10:9 [AMPC]
Wacha tule Raha tuvae vichupi 💃🏽👙🩱Hadi tufike hiyo marekani au tupate bwama wenye maokoto Kisha tutulie
Good for you, humjui anayekuongelesha
Glory to JESUS Amen
Watenda kazi kwenye kila sekta
Utumishi sio madhabahuni tuu,,,
Baada ya kuchoka kudanga😢😢😢
Wew Bado hujachok?
Heri yake na wewe je? Bado unaendelea 😂😂 pole sana
Watangazaji sifuri hawajui hata kuhoji mtu
Ninyi mpo studio, but sauti zinatoka mbaya, na zina miangwi. Rekebisheni bwana. Siku nyingine usiwe hivyo
I like u vee money
🎉🎉🎉
❤❤
Roho huyo anae kuongoza anakuambia pete zote hizo ni za nini
Watakatifu mmeanza, Pete zina nn
Bado hajamwambia akisema nae atazivua
Mungu hakatazi urembo
Rotimi sings secular right? Can someone be saved and sing secular music? This is just a question am not judging ✌️
Hajibu swali umeolewa? Sema ukweli huwezi kuwa mtumishi wakati unazini
Kwahyo unashauri amtumikie shetani kwakuwa hajaolewa???tuambie mtakatifu
Wehu huo tafta Amani ya moyo wako kwanza
Amesema mume wangu means ameolewa full stop, sio lazima akuambie wewe
Is alana not atlanta
😂Anatupanga huyu alikuwa mwana chama cha FREEMASON masharti yakamlemea akabadilishiwa Department hisiyoitaji kafara nyingi kama wanavofanya wasanii wengine kulitunza jina na utajiri wa kwenye himaya ya giza
Unajua uwa najiuliza wasanii wengine wa majuu,wanashuka kimziki na kipesa pia kiasi kidogo sana lakini still wapo kwenye utajiri tu,na show wanapiga na pesa wanaingiza ila sio kama mwanzo,kumbe mambo ya kubadirishiwa kitengo
@princekarani7836 ndiyo, kama alivyobadilishiwa huyu Poz Kwa Poz
You got brains bro.
Kwenye pronunciations we mdada sio poah, na una saut nzuri sana
Na wew jifunze kuandika
@@JuliethMtui-pm8ki Ila julieth😅😅😅
Kwani alikuwa dini gani?
Katoliki
Sasa mbona bwanaako ni mwanamziki na unamsapot?
Kila ulimi utakiri kila goti litapigwa
Anavojua kupost every detail and trips asipost harusi atakama ya serikali angeposti hajaolewa
In America unapata visa ya mwaka tu asingekuwa ameolewa asingeweza kurudi kipindi cha mimi mars. Alafu ukiolewa na nigerian kuna sherehe nyingi sana alafu she was pregnant anyway jibu utakuwa nalo
Asante kuna watu wanafikiri unaweza kuishi USA na mchumba tuu, ukaingia na kutoka kama huna ndoa. Siyo US, lazima kuna ndoa hapo ndiyo maana anaweza kuingia na kutoka USA. Sawa anaposti mambo maisha yake mengi ila si kila kitu@@gwantwadosi
@@gwantwadosialikuwa na green card kabla ya kukutana na Rotini, nahisi wote wanazo. Waliishi America Kwa miaka kazaa Baba Yao alikuwa anafanya kazi ubarozi Kwa miaka wakiwa wadogo
Wanaweza kufunga ndoa bila kupost! Kama wazazi wao wapenda Mungu sioni wawaache waishi bila ndoa muda wote huu.
Hamna mtu anamkandia alivokuwa engaged aliweka picha pete adi video huyu hajaolewa na anaunarcissism huwezi ukawa mtumishi wakati unazini
Kuna watu wana ndoa na wanazini kuliko ambao hawajaolewa Mtu asimtumikie Mungu khaaa waja bhna
Usihukumu usije ukahukumiwa
Sio lazima aweke video kila kitu. Kuna walio kwenye ndoa na wanazini
Amelimbuka na maisha
kwahiyo wee ndio shahid mkubwa kwao..haya tupe vizibitisho kwamba hajaolewa ili tujue na kama umeongea ilimlad tu umchafue mtu bc ujue hayo uliyoyasema cku moja MUNGU atataka utoe hesabu..cjui utasema nn hiyo cku
❤
?
Anaongea kizungu kabisa kama mzaliwa wa uko😂😂
Si unatujua
Kakulia nje vanessa
Kizungu ya Vanessa ni ya level zingine
Ameishi huko America akiwa mdogo
Aliishi huko America na Baba Ake alikuwa ubarozi WA tz wakiwa wadogo,hata Mimi Mars
Hongera sn Vanessa kwa kumpokea Kristo.....Uzima na amani ni faida kubwa tunapata toka Kristo. Ng'ang'ana na huyo Yesu
BEST INTERVIEW 🙌🏾
🎉❤
❤