MREMBO WA OMAN YAMKUTA MAZITO, AFICHUA UCHAFU WA MPENZI WAKE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 сер 2024

КОМЕНТАРІ • 398

  • @IvonaLeonardo
    @IvonaLeonardo Місяць тому +6

    Dada angu mm nimekupenda kwa mazungumzo mazur inshallah kheri mwenyez mungu atakuongoza utapata mwingine na uyo frenki atakukumbuka kwa mema na mazur

  • @ValentineFrisch
    @ValentineFrisch Місяць тому +4

    Hongera Sana dada umeonyesha upendo Sana lakini mungu atakusaidia ni mwanamke mpambanaji sana

  • @raymondrayfat3845
    @raymondrayfat3845 Місяць тому +12

    Weee mwanamke wa Frank ni mzuri saaana bwana ila basi tu tuyaache hayo dada wa Oman

    • @VeronicaDunbar
      @VeronicaDunbar 26 днів тому

      On second thought, contract, si siri ni ya miaka 2.
      So, ilikuaje akaweza fumania bf wake, na contracket si ya siri?
      Kwani Uarabuni for all those 2 years, boss hawaruhusu wafanyakazi/shagalas, kupiga simu nyumbani
      Mmmh, I'm starting to believe hii ni acting.

  • @NduwimanaHassan-k4c
    @NduwimanaHassan-k4c 5 днів тому

    Nakubali dada hujakoseya kimapenzi hayo kawaida wewe nimjengaji kapambana ikosiku utampata wakukufaa

  • @user-qf8zn6ui8q
    @user-qf8zn6ui8q Місяць тому +17

    Jamani acheni maigizo nyie aliyetoka Oman atakua huyo nyie VP mtu hana hata kielelezo chochote hana passport yani lazima angekua na hvo vitu mikononi mwake halaf kitu kingine atoke oman na kibeg kile kimoja tena chepesi hakina hata kitu muongo kama nn

    • @bernadetaleopord51
      @bernadetaleopord51 Місяць тому +4

      Mimi mwenyewe nimeshangaa kibegi kimoja tena chepesi na unasema umerudi jumla jumla mkataba umeisha 😢😊

    • @BennyTalimo
      @BennyTalimo Місяць тому +1

      Wewe dada nakupa pole umetapeliwa ila Mimi nipo tayari kama utaniitaji najua utaona utani ila Mimi ni mwaminifu dada

    • @BennyTalimo
      @BennyTalimo Місяць тому

      Bahati hii jamani

    • @BennyTalimo
      @BennyTalimo Місяць тому +1

      Nope namba yako tuwe marafiki kama hutajali

    • @ruqaiamohammed345
      @ruqaiamohammed345 Місяць тому +2

      Nilivyoona ile clip ya kwanza tu nilijua ni muongo na wala cjaimalizia ht hizo nyingine huwa nazipita km nimeona mgonjwa wa corona 😂naona ni ujinga tu kupoteza muda kuangalia upuuz wake

  • @MagrethDally
    @MagrethDally Місяць тому +1

    dada pole na upo sahii sana kuchukua vtu vyako

  • @hassanissa6893
    @hassanissa6893 Місяць тому +1

    Pole dada duuu kaziipo❤❤

  • @user-qk4de2go9n
    @user-qk4de2go9n Місяць тому

    Pole dada yetu mungu atakupa mwingine mzur

  • @EsauSospita
    @EsauSospita Місяць тому +2

    Pole sana dada wanaume ndivyo walivyo

    • @sanaf8367
      @sanaf8367 Місяць тому

      Stories za kupanga tu hizi

  • @joycerwabanu5961
    @joycerwabanu5961 Місяць тому +20

    Wee acha njaa utoke omani na bag nyepesi bila mkoba acha uongo bhana!

    • @user-sn2ef2qt8r
      @user-sn2ef2qt8r Місяць тому +1

      Namimi nilisema kabegi kenywe kadogo Nani sizani kama KUlikua na kitu ata pochi ya bei Ata ya rial 5 alikua Ana 😅😅😅😅kwa nnavyojua wadada tunatoka Oman tunarudi tz na mabegi ya maana 😂😂

    • @MaArrr-mh2so
      @MaArrr-mh2so Місяць тому

      😂😂😂😂😂​@@user-sn2ef2qt8r

    • @sarahrashidabdallah3109
      @sarahrashidabdallah3109 Місяць тому

      ​@@user-sn2ef2qt8rumeona eee 😅😅

    • @bensonnyirenda
      @bensonnyirenda Місяць тому

      Dada anatafuta kiki 😂😂😂😂😂

    • @user-jt7pp4fg7r
      @user-jt7pp4fg7r Місяць тому

      Sio wote wanarudi na mabegi wengine wanaachana nguo zao km wana mpango wa kurudi​@@user-sn2ef2qt8r

  • @shakilamasoud2983
    @shakilamasoud2983 Місяць тому +3

    Eti frank mwanaume mpole, msitaarabu😂😂😂😂. Nimelia sana hadi machozi ya damu. Kwa hiyo ukajikuta umepata mwanaume wako peke yako pyee😂

  • @Furahazawadi-ym4be
    @Furahazawadi-ym4be Місяць тому

    Good achamume akuowe mariyako naye musaidiyane wemuke usihonge❤😂

  • @CastorGwamaka
    @CastorGwamaka Місяць тому +2

    Kiki hapo hamna kitu labda uolewe na mbwa 200,m kwa kipi ulicho nacho utazeeka hvyo hvyo au ulikuwa unajiuza huko..!!

  • @Furahazawadi-ym4be
    @Furahazawadi-ym4be Місяць тому +1

    Musihongewaume❤😂

  • @LucieGolden
    @LucieGolden Місяць тому

    Hahaha umemuonea kiredio,yan uone za wengine za kwako aaah!😂😂

  • @KassimMkota-to5ck
    @KassimMkota-to5ck Місяць тому +4

    Million 200 una TV ndani mnahojiana ujinga oman wadada wakazi riale 900 kwa mwezi

  • @HalimaIbrahim-x8x
    @HalimaIbrahim-x8x 4 дні тому

    Iyo ndo tabiya ya wanaume tz kenya atuna izo unapigwa na juwa

  • @mosesmwaisela2455
    @mosesmwaisela2455 18 годин тому

    Unamtuhumu frenk. Je. Wewe ulikaa Miaka 2 Huna bwana uko. Haiwezekani

  • @BinthaSultan
    @BinthaSultan 20 днів тому

    Huyu mwanamuke kwanza nimemupenda ilo kwanza anajielewa kwasababu alikuwa anatengeze maisha ya badae ni ile tu amekutana na mutu asiyokuwa sasa ila mwanamuke mwenye malengo yuko hivo na mutu anayohonga ni muze ila huyo ziyo muze nimuzuri anafwata anaweza kupendwa na mwanaume yohote tena wazaidi ya franck namuombea Mungu Ampe mutu sahihi

  • @Furahazawadi-ym4be
    @Furahazawadi-ym4be Місяць тому

    Hehehe muko nashida nahonga mume hahahaha❤😂

  • @omanoman2044
    @omanoman2044 Місяць тому +2

    😂😂😂😂😂 had nataman nitume voice mjinga san w

  • @bensonnyirenda
    @bensonnyirenda Місяць тому

    Muongo huyu Dada anajikanyaga sana unapuma pesa kwamtu ambayo hujuwi😂😂😂😂😂

  • @DayanaPeter-pd9yf
    @DayanaPeter-pd9yf Місяць тому

    Waweke Ndani sasa kumbe Hujakoma😂😂😂

  • @gfyt9036
    @gfyt9036 Місяць тому +2

    Mwana mke Akipenda mtu wake uwa sio et ana muhonga niuoendo tu ule nasio kua ana jipendekez alimpenda uyo kaka kwan ww mwana mume ukimpenda mwanamke uwa wamuonga am wampa kwa mapenzi yako

  • @nurumwinyi796
    @nurumwinyi796 Місяць тому +2

    We dda acha maringo,subiri usifiwe.....mbona wazri wapo wengi zaidi yako na wameyamaza tu nakuangalia

  • @hananali978
    @hananali978 15 днів тому

    Mwanamke mwehu.. 200 million?
    Una kichaa 😂

  • @hawasaid6625
    @hawasaid6625 Місяць тому

    🤣🤣🤣🤣😂😂here I nimechonga kwa sonara 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @user-tb5bt8lq8j
    @user-tb5bt8lq8j Місяць тому +1

    Dada muongo hyu anasema alinunua bajaji akanunua pikipiki akafungua duka akahonga milion 10 kakaa Oman miaka 2 kwa mshahara haga shagala hyu muongo sana labda alikuwa anauza gari la katikati ya mapaja😂😂😂

    • @MonnaPonda
      @MonnaPonda Місяць тому

      Unasema kweli nimuongo sana huyo kwa kazi gani atumie million 1kwa cku mshamba tu

    • @khadeegaabdallah5756
      @khadeegaabdallah5756 18 днів тому

      Ajielew vzr kwahiyo ilo baibui la million Khaa alafu oman gani alikuwa akifanya kaz mmmh

  • @Official83640
    @Official83640 Місяць тому +3

    We msenge tumekuchoka kila media kusambaza ujinga usioufanya tu juzi tu km miezi mitatu umehojiwa Carrymastory Oman unasema umekaa miaka 2 ndy urudi ht pasport huna mkononi wala pochi nyau ww punguza kiki boya wee

    • @ruqaiamohammed345
      @ruqaiamohammed345 Місяць тому +1

      Linataka umaarufu 😂

    • @user-sn2ef2qt8r
      @user-sn2ef2qt8r Місяць тому +1

      😅😅😅😅😅😅

    • @Official83640
      @Official83640 Місяць тому

      @@ruqaiamohammed345 Mi nataka nikalichambe kwenye Insta yake ila sijaijua tu anatumia jina gani

    • @janethmutoka
      @janethmutoka Місяць тому +1

      Bora ww umesema mana mwenyewe nlikua bado nashangaaa hiyo miaka miwili Oman vipi tena😂😂😂

    • @omanoman2044
      @omanoman2044 Місяць тому +1

      Katukera san wapambanaji wezie ubwaa hii

  • @user-zi1gp6dc2q
    @user-zi1gp6dc2q Місяць тому

    We nar muandishi mnafiki kwan kumhonga kitu gn watu walikuwa namipango yakuoana kwanini asimuhonge kwan kuhongwa kuna mipaka . Achen ufara hao walikuwa wanamakengo yakuishi na alikua ahongi alikuwa anampa ili frenk aandae maisha yao yabadae

  • @umfahad2609
    @umfahad2609 Місяць тому +4

    Kwani huyu mdada pesa zote anampa Frenk. Kwani hana wazazi wanao hitaji msada wake…?

    • @MariamOmary-ep6iv
      @MariamOmary-ep6iv Місяць тому

      Waongo Hawa we jifikilie huyo frenk ni mjinga kiasi gani akaish na mwanamke kwa hiyo nyumba alio pangiwa kwann asiame😂

    • @umfahad2609
      @umfahad2609 16 днів тому

      @@MariamOmary-ep6iv eti eeeh…? Kumbe hawa hua wanatupiga na kitu kizito tu ndugu yng.

    • @umfahad2609
      @umfahad2609 16 днів тому

      @@MariamOmary-ep6iv Unajua mimi mwenyewe ni nusu muomani nusu mtanzania. Naishi Oman. Nikitaka mdada wa kazi natafuta mtanzania mwenzangu. Ili atoboe na yeye. Kuliko kuleta wa inchi nyingine. Hua nawapa mawazo. Wajichange wajenge. Na wasichezee pesa zao vibaya. Kwa hivyo niliskitika kuckia kampangia mwanaume. Na yeye hajajijenga kimaisha.

  • @user-wi1jb8mb7o
    @user-wi1jb8mb7o Місяць тому +1

    Mtihani wallah 😂😂😂

  • @user-zz7jr7yj9m
    @user-zz7jr7yj9m Місяць тому +2

    Katokaaa Oman na kucha kabandikaa 😂😂😂

  • @Furahazawadi-ym4be
    @Furahazawadi-ym4be Місяць тому

    Usipatiye mume pesa ujinga❤😂

  • @user-he2pk6io4d
    @user-he2pk6io4d Місяць тому +1

    We mzuri unaonga wanaume kuliko wewe kuongwa😂😂😂😂 eti mi mzuri

  • @mamasalhat
    @mamasalhat Місяць тому

    Mdada mnafki huyu wakati alijua kama analikodiwa looh 😂😂

  • @user-qi4in8yx4w
    @user-qi4in8yx4w 9 днів тому

    Nipo hapa😅😅😅😅😅

  • @lucasmlowezi9214
    @lucasmlowezi9214 Місяць тому

    Acha kujichanganya, umesema, uongi unatoa. Saizi unasema ulimuonga million 10. Acha mbwembwe

  • @AbrahamParasetui
    @AbrahamParasetui Місяць тому

    Hahahahahahah mwenye million 200 ajitokez kumuoa Sasha jamnnnnn 15:52

  • @user-sj3mh5yh7m
    @user-sj3mh5yh7m 8 днів тому

    Uzuri Gani,,Sifa kusifiwa c kujisifu 😮

  • @MeryJuliusJulius
    @MeryJuliusJulius Місяць тому

    mmmh we dad embu acha uhongo😂😂😂😂

  • @QueencathKivuyo
    @QueencathKivuyo 20 днів тому

    Million 200!😮😮............

  • @SalmMussa-r8y
    @SalmMussa-r8y 12 днів тому

    Mmwanamke mwenzang kakosea kama umetoa sadaka kwann udai

  • @umfahad2609
    @umfahad2609 Місяць тому +2

    Sasa km mzuri. Ndio unajiuza milion mia 2.? Huyu majicfu saana. Mwenye hela hajinadi hivi.

  • @user-uv2zg4uc5o
    @user-uv2zg4uc5o Місяць тому +2

    Pole sana wanaume sio waaminifu

  • @SabinaChacha-dy2yg
    @SabinaChacha-dy2yg 27 днів тому

    Frenk huyo ni mdangaji aneth anakufaa ndo type Yakojitafute muanze maisha

  • @user-nk6zz4pe4e
    @user-nk6zz4pe4e 16 днів тому

    Ongera dada sana nimekumisi

  • @rqiyaabdallah840
    @rqiyaabdallah840 Місяць тому +1

    Tahira kweli mungekua unanyota uyo mwanaume Angekupiga matukio Pamoja na kumlea muanyota Au wanaume Awa wapendi Atakama mukiwa onga wawajali wala nini ona pesa ako ulizo kua una muona kaenda kumlipia Mahari mwekine milioni 2 Nanusu Alafu bado unaji ita unanyota ukubado unamtaka Pamoja nayote Alio kufanya poleyako

  • @MajidAlrawahi-p3k
    @MajidAlrawahi-p3k Місяць тому

    Kweli kabisaaa so kuhongaa ni mapenz yanu tu ilaa watu hawaelew

  • @hamidabarraball3162
    @hamidabarraball3162 Місяць тому +2

    , nyie wote ni waongo Umetoka Oman baada ya miaka 3 unarudi na sanduku la hand luggage? Kwanza asafiri wa kutoka nje hawataki kwenye huo mlango uliotokea

  • @nassirimasemo123
    @nassirimasemo123 29 днів тому

    Is Eeh kupenda sio mchezo,huyo dada ameumia sana,bahati haiji mara mbili,

    • @VeronicaDunbar
      @VeronicaDunbar 26 днів тому

      Haiti mara mbili vipi in this case? Kwani wale wote ndoani zao, wote walifaulu mara ya kwanza?

  • @NasreemNganya
    @NasreemNganya 17 днів тому

    Wanaume tafteni hela dada kasema kweli

  • @NeemaJoseph-d3w
    @NeemaJoseph-d3w Місяць тому

    Umeanza kuharibu sasa😂

  • @ZakkirNasri
    @ZakkirNasri Місяць тому

    Huyo dada sio mzuri hata kidogo hana ishu hana uzuri wowote alafu ana jichubuatu

  • @suleymaniqram1510
    @suleymaniqram1510 4 дні тому

    Mbona nyumba uliijuwa wacha uongo

  • @MartinsAgufana
    @MartinsAgufana 15 днів тому

    Mjini Shikamoo Makelele! Mbona usimshtaki Kiredio? Ulimwambia wazi asirekodi na bado akazidi kurekodi. Una haki dada haswa kama huku sign mkataba na Kiredio

  • @fatimahirakoze7311
    @fatimahirakoze7311 Місяць тому

    Mwanamke mzuri ahongagi ulihonga kwa sababu hukua unajiamini sokweli n'a mie mzee ninawajukuu siwezi kuhonga

  • @AbdillahiAlly
    @AbdillahiAlly 18 днів тому

    Nawy nimalaya kwamaneno yako 😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😅😅

  • @AbrahamParasetui
    @AbrahamParasetui Місяць тому

    Pole xan dad

  • @martinakimaro3302
    @martinakimaro3302 14 днів тому

    Wadada wengi sana tunakoseaga sana kuwapa hawa wakaka hela

  • @mkambaselemani-ej7np
    @mkambaselemani-ej7np Місяць тому

    Mzuri ngombe kuku mzuri ukataliwe mzuri uhonge unahela house gell acha shobo

  • @jeskaoscar9423
    @jeskaoscar9423 Місяць тому

    Hana uzuli wowote kwanza egi goooooo Hana lolote ety mahari mirioni200

  • @africanentertainment2124
    @africanentertainment2124 Місяць тому +1

    Mwambie aweke namba kaka yangu amempenda

  • @Aisha-ic1rl
    @Aisha-ic1rl Місяць тому

    Heee jamani kwaio miaka mimwili kapata million 100 au😢

  • @danmpare7778
    @danmpare7778 Місяць тому

    Jmn watanzania mnadanganywa mkiona hii ni content walitunga story wakenya hatuwez danganywa kitoto Ivo jaribuni kufanya nzuri zaidi

  • @judithtitomalyeta4000
    @judithtitomalyeta4000 Місяць тому +16

    Wametunga story hakuna uhalisia kabisa kama igizo la yule bibi

    • @MwanajumaShaban-z2x
      @MwanajumaShaban-z2x Місяць тому

      @@judithtitomalyeta4000 kweli

    • @janethmutoka
      @janethmutoka Місяць тому

      Kabisa huyu dada miez michachache kadhaaa hapa nyuma alitrend sijui kwenye media gan lkn ss hv anatuambia kakaaa Oman two years😂😂😂foolish

    • @MwanajumaShaban-z2x
      @MwanajumaShaban-z2x Місяць тому

      @@janethmutoka 3 years na kibegi kidogo😅😅

    • @khadijaomar7015
      @khadijaomar7015 Місяць тому

      Huyu kiredio siku pesa zikimtembelea nazan iyo surual hatofunga na kamba za viatu ayo masweta pia ataacha kuvaaa 😂😂 kiredio km nakuona ukianza kung,aa tu madem watapanga folen

    • @VeronicaDunbar
      @VeronicaDunbar 26 днів тому

      Haya ni mambo hutokea. Sijui km ni igizo.
      Lakini, ina dipict mambo yake hutokea in real life.
      Na km ni acting, believe me, basi ni actress MZURI SANA. Na, angekua ashatambulika km ni acting.
      In short, naona ni real. But it's good umetupatia benefit of doubt.

  • @ruqaiamohammed345
    @ruqaiamohammed345 Місяць тому +3

    Mrembo wa oman wap bhna wee 😂😂😂apunguze cream vidole ndiz za kuchoma

  • @bontenirera4795
    @bontenirera4795 13 днів тому

    Naamini kama haukuwa unahonga ulikuwa namipango mingi nae

  • @floratillya8078
    @floratillya8078 Місяць тому +1

    Sasa wewe ulimtafuta kiredio kumpotezea Muda au ungemjuaje kama angekua anasikiliza swala la kutopost hutaki kuonekana mtandaon usimtafute huyo kiredio unamuonea tu kwanza kakufanya uwe star

    • @VeronicaDunbar
      @VeronicaDunbar 26 днів тому

      Kweli, mbona aliita Kiredio km alikua hataki video ionekane? Still, mbona akaleta 2nd. vidiographer ikiwa hakutaka mambo yake mtandaoni.

  • @mkundemosha1046
    @mkundemosha1046 16 днів тому

    Huyu dada akili haijakomaa.
    Mara nin hela mara nn
    Wenye hela wanasemaga. Kamwanamme kenyewe kale kamevaa mibwag. Vivulana vya dar

  • @MajidAlrawahi-p3k
    @MajidAlrawahi-p3k Місяць тому

    Daaah dadaa sashaa emb jarb kusamhee frank anatiaaa hurumaa kamaa unampendaa msamehee tu

  • @FridanyoniFridanyoni
    @FridanyoniFridanyoni Місяць тому

    Kwani anayetoka oman lazima abebe mabegi mengi labda kasafirisha kwenye mery

  • @umranim5854
    @umranim5854 Місяць тому +2

    😂😂😂 milioni mia mbili kwa uzuri gani hasa wala haujatoka Oman kiki tu 😏

  • @rqiyaabdallah840
    @rqiyaabdallah840 Місяць тому +2

    Muongo uyo Alikua mfanya kazi wandali Ame Aibika Anajitoa Aibutuu eti akiuzamangari ndo mkataba wa miaka miwili hhhh

    • @Judy-dy4zt
      @Judy-dy4zt Місяць тому

      Kaz za ndani Oman zinalipa kuzidi alihopo ofisini Tanzania lakini hihi ni Kiki sio kwer njaa tu zinacubua

  • @umranim5854
    @umranim5854 Місяць тому

    Anauza magari 😂 muongo anajua kuongea kiarabu 😮

  • @GaishaFelix-fc7xl
    @GaishaFelix-fc7xl 4 дні тому

    Weee huna uzuri wa m 2.

  • @mwasitigervas2624
    @mwasitigervas2624 Місяць тому

    Uliacha umempangia nyumba mbona Tena unaishangaa nyumba eti ya kawaida au sijakuelewa mwanzo ulimtumia pesa apange au ulituma za matumizi ,,,uumh pole dada😂. Wa kawaida ndio Yuko nae🤝

    • @jadetoto
      @jadetoto Місяць тому

      Hukuelewa yaani ndani hakuna vitu kawaida yaani hajanunua vitu

    • @mwasitigervas2624
      @mwasitigervas2624 Місяць тому

      @@jadetoto oosante

  • @Ndenza
    @Ndenza Місяць тому

    Ma ex zangu mjiandae Kila mlipo narudia virus vyangu😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @jacksonmakoga683
    @jacksonmakoga683 16 днів тому

    Yaani frank katuangusha sana ase

  • @awadhrajabu1403
    @awadhrajabu1403 Місяць тому

    Yani Ile Safari Mpango Kila Kitu Feki Mpaka Watangazaji Feki Akuna Tukio Wala Bibi Kitukio

  • @AminaOmary-sm4wl
    @AminaOmary-sm4wl Місяць тому

    Na waandishi wa tz cjui hawana kaz za kufanya sio kweli huy dada hakuwepo oman aulize ss mdo tupo oman

    • @MonnaPonda
      @MonnaPonda Місяць тому

      Kabisa na mshara gani afanye vyote hivyo bajaji ahonge milioni kumi afungue duka bodaboda alipe kodi tunaijuwa hiyo

  • @EsterAloyce-m4j
    @EsterAloyce-m4j Місяць тому

    Ni mzuli kweli we daa

  • @zuwenaabdallah2059
    @zuwenaabdallah2059 6 днів тому

    Apana dada kiredio hajuwi kitu bali ni uyo bwana wako kakusaliti

  • @bontenirera4795
    @bontenirera4795 13 днів тому

    Dada jipe amani uko sahihi

  • @navukalunavatanzi6227
    @navukalunavatanzi6227 Місяць тому

    Hivi kama ni kweli basi wanawake wana shida sana. Yaani mwanamke unamtumia mabela mwanaume hujamwona miaka na unaamini anakungoja halo. Unaye na anachepuka ndiyo haupo halafu hata wazazi huwakumbuki mjinga sana

  • @Trixiewixie
    @Trixiewixie Місяць тому

    Kichwa maji 😂😂😂

  • @ShukuruJully
    @ShukuruJully 23 дні тому

    Frenk noma

  • @marymanoni5536
    @marymanoni5536 Місяць тому +1

    Muongo dada ww kama ulitaka asipost kwanini umwite kiredio Acha nyau ww kutumalixia MB unataka kuingia mjini mwangalie na sura Lake pana

  • @julianagowele9163
    @julianagowele9163 Місяць тому

    Na kiredio ajitahidi tu kuwa makini km walivyo wenzie wale wa kenya na Nigeria

  • @EsauSospita
    @EsauSospita Місяць тому

    Dada nimekupeda bule unaonekana msitalabu sana Mimi shabiki yako

  • @joycerwabanu5961
    @joycerwabanu5961 Місяць тому +4

    Maigizo

  • @hawasaid6625
    @hawasaid6625 Місяць тому +1

    Sawa wewe mzuri Ndio utumie tecno macho matatu 😅

  • @FrancisMotivation002
    @FrancisMotivation002 Місяць тому

    Mwache Atajioa Yeye Kenge Huyooo!!! Kwa Uzuri Gani alionao wa kuolewa kwa M200, tunampatia Muda Tu Miaka 35 Ataanza kuhaha hata WA kumuoa kwa bureee

  • @bontenirera4795
    @bontenirera4795 13 днів тому

    Kunako uyu kiredio akutake msama kama nimuelewa

  • @ruthk8302
    @ruthk8302 Місяць тому

    Tusio honga tukutame.oman😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @agynoel2846
    @agynoel2846 Місяць тому

    Kavulana kenyewe sasa..😊,

  • @mzalendomzalendo2567
    @mzalendomzalendo2567 Місяць тому

    Kama shagala anasema anaweza kumweka mtu yyte kwa sababu ya hela basi kuna tatizo kubwa sana kwa wanaume wa bongo

  • @user-bs5yr3xg2e
    @user-bs5yr3xg2e Місяць тому

    Yani wew unastajabisha uyo kiredio umemjulia mtandaoni kwa kuangalia challenge za watu anazo ziposti wew ulitaka yako asi eposti kwann

  • @user-lx2hg9mh2t
    @user-lx2hg9mh2t Місяць тому

    Hata kiarabu hakijui huyo muongo kaja omani ndio hata kama kaja omani ila karudishwa kashindwa kazi ndio mana alikuwa na kibegi hakina kitu hizo Kiki tuy😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @omanoman2044
    @omanoman2044 Місяць тому

    Ww mwenyew mwusi weupe wa kujichubuw kwendaaaaaa huko kiredio amefanya vizur san tumejifunza mambo