JACKLINE WOLPER ATOA SIRI/HATA NYUMBA NILIOJENGA.../RICH MITINDO/GARAMA YA NYUMBA NILIOJENGA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 23 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 93

  • @misanamaige
    @misanamaige 10 місяців тому +20

    Kuolewa ni jambo moja, na kukaa kwenye ndoa ni jambo jingine. Kuishi kwenye ndoa 95% ni uvumilivu tu, hasa upande wa mwanamke. Vumilia wolper, msiachane. Hakuna mwanamume anayekaa na mwanamke mmoja. Hilo kwa wamama walioko kwenye ndoa tulitambue. Hakuna haja ya kuachika, maana hatabikitokea hutashindana na asili, bado utahitaji kuwa na mtu ambaye anamilikiwa na mwingine. Shikilia ukae na wa kwako. Linda goli lako usiendelee kufungwa magoli zaidi. Kadri umri unavyoenda itafika muda atatulia.Muombee sana kwa Mungu kuthibitisha kiapo cha kuishi pamoja katika shida na raha. Ombea mume wako dada. Acha walimwengu waseme ila wewe simamia ndoa yako.

    • @MohammedJaxksonlee
      @MohammedJaxksonlee 10 місяців тому +2

      Baruaaaa hiii sasa😂😂😂😂

    • @edsonnelson4464
      @edsonnelson4464 10 місяців тому +5

      Umesema la maaana hakuna mwanaume anakalia mwanamke mmoja, walio wengi wanapenda kuonja onja hata kama ana mke mzuri kiasi gani

    • @lusiaMushi-rf6jt
      @lusiaMushi-rf6jt 10 місяців тому

      Magonjwa sasa 😢

    • @judyngowi391
      @judyngowi391 10 місяців тому

      Shida yao ni ndoa zao za mitandaoni! Kina sie huku hata akicheat mpaka nije kujua saa ngapi

    • @johnjescajohnjesca
      @johnjescajohnjesca 10 місяців тому +1

      Hiyo ni barua hasa

  • @SafinaChamlomo
    @SafinaChamlomo 16 днів тому

    Mwenyezi mungu akupe subira akupunguzie machungu Yako Ili ufanye maamuzi mazuri yasiyo na hasira, rich ni baba wawtt wako, na wanaume wote wanamapungufu ya wazima❤

  • @alinefaida3496
    @alinefaida3496 8 днів тому

    Aaaaah non siamini kama mumeachana kweli mon couple préferé non non que Dieu vous aide murudiliane

  • @agneskighenda3795
    @agneskighenda3795 10 місяців тому +2

    Wolper - you got a beautiful heart!

  • @vailethhalson2647
    @vailethhalson2647 10 місяців тому +2

    Upo very straight ma p wang❤

  • @BahatiGidion-j4m
    @BahatiGidion-j4m 18 днів тому +1

    Nakuelewaga sana wolpa.we ni mama na mwanamke pia.Mungu akusaidie Zaid ya alivyokusaidia

  • @KamisaRamdan
    @KamisaRamdan 18 днів тому +3

    Ukianika maisha yako wanakufatilia

  • @LucresiaMsale
    @LucresiaMsale 16 днів тому +1

    Nakukubali sana Dada

  • @JeniferNgata
    @JeniferNgata 17 днів тому

    Nakupendaga Bure mama P

  • @naomikatharinaandrewmnkai6760
    @naomikatharinaandrewmnkai6760 17 днів тому +1

    I love Jack❤❤❤❤❤ nimepigaje hapo😅😂❤❤❤🎉🎉🎉

  • @judithsalvatory2892
    @judithsalvatory2892 9 місяців тому

    Nakukubari sana❤❤

  • @rahabudave9932
    @rahabudave9932 10 місяців тому +4

    Wolper akizeeka sijui atakuja,huwa anajibu maswali very funny,unaulizwa nyumba imechukua kiasi gani,anajibu naamka SAA Kimi na mbili nalala SAA SITA..anajibu kamami hayuko smart kichwani

    • @happymaimu4330
      @happymaimu4330 17 днів тому +1

      Hakuta kujibu kawapotezea. Maana ni WAMBEA sana😂😂

    • @MUDIKIDEVU-fl7ii
      @MUDIKIDEVU-fl7ii 17 днів тому

      😂😂😂kawafanyia kusudi

  • @MakrinaLuoga
    @MakrinaLuoga 10 місяців тому +2

    Kama utaendelea kupeleka Mambo ya.nyumba yako mitandano hutakuja ufanikiwe.kwenye ndoa Mambo ya nyumbani mwako yawe ya nyumbani mwako acha kuwapa faida watu Mambo yasiyo wahusu .hao waandishi muwe mnawakwepa

  • @MajutoElliasi
    @MajutoElliasi 10 місяців тому +3

    Mwanaume anatakiwa ujitume mambo nikama aya kuaibishana wanaume wanapenda sana kuhonga izoizo hera wezetu wanafanyia mahendereo sisi tunaishia kwenye utamu

  • @janetymatola6639
    @janetymatola6639 10 місяців тому +21

    Ndoa za Mastar huwa zinakuaga hivyo zinakuaga hazina mwisho mwema na Rich bado sana ila Wolper yupo tayari kujenga maisha

  • @mrambadiana9678
    @mrambadiana9678 10 місяців тому +7

    Umetupa funzo vijana❤ umeongea umenyooka hujapinda

  • @LaulenciaEdward
    @LaulenciaEdward 10 місяців тому

    Hongera dd ang unaongea point sana

  • @CafeJohn-n9o
    @CafeJohn-n9o 15 днів тому

    Mungu nifundishe kunyamaza

  • @jacklinepeter4158
    @jacklinepeter4158 10 місяців тому +12

    Kama umemchoka muache acha kuhadithia watu haitakusaidia usimdhalilishe muache kimya kimya

  • @elizabethjeremiah8323
    @elizabethjeremiah8323 10 місяців тому +1

    Nakupenda sana

  • @EstherSamwely
    @EstherSamwely 17 днів тому

    Jamani mlikua mnapendezana sanaa naumia mimi kama vile ni yangu

  • @KhadijaMasoud-m6u
    @KhadijaMasoud-m6u 10 місяців тому +2

    Kuna wengine wana kimbia wanaacha wtt na mke utavumiliya na nyumba tupu mume hayupo

  • @njuka3515
    @njuka3515 10 місяців тому +2

    Sikilizeni nyie waandishi Wolverine alishatoka huko kwenye ujinga . Sasa hivi yuko kwenye kufanya maisha

  • @sarahkinyashi6213
    @sarahkinyashi6213 16 днів тому

    Usingeyaweka humuu,umaita watu wambea kivp??ungekaa kimya Siri Siriniiii,hata ww ni m'mbea aisee, huna kabaà🙏🙏

  • @stellahwilfred5762
    @stellahwilfred5762 10 місяців тому

    That's good darling ❤❤

  • @joycealex8652
    @joycealex8652 12 днів тому

    Ma p najua we star lkn ushauri wangu achana na waandishi wa habari kweri chini ya bati mambo ni mengi usiwaruhusu wakuchimbe hawakusaidii chochote, ongea nao maswala ya kazi tuu tangaza nao biashara tu mambo ya ndoa watoto huku siyo sehemu yake wasikuchoshe, penda familia yako hatakama kuna mapungu niko na mwenzi wako wasikuchokonoe

  • @MarthaBura-or8fe
    @MarthaBura-or8fe 17 днів тому +1

    Yaani vitu unavyoulizwa naunachojibu unajikanyaga dada

  • @puritykumary8709
    @puritykumary8709 3 дні тому

    Mwandishi arudi shule.
    Hana ponts zakuhoji

  • @boazmsechu6134
    @boazmsechu6134 17 днів тому

    mwandishi ni very tricky........sasa tumepata majibu. lkn mkidivorce mtagawana na hyo nyumba...au siyo?
    😢😢😢😢😢 kwa nn muachane lkn???

  • @ibrahimfarha3853
    @ibrahimfarha3853 18 днів тому +1

    Wanaume wanajuwaga kuumiza wanawake

  • @ibrahimfarha3853
    @ibrahimfarha3853 18 днів тому

    Jamani zile garamaaa

  • @hanifamziray277
    @hanifamziray277 10 місяців тому +5

    Unaongea vzr sn una point kweli ww ni mama bora

  • @godfreymushi6966
    @godfreymushi6966 10 місяців тому +3

    Ungekaa kimya umri umeenda tayari piga kimya endelea na.life achana na online life na ukweli hapa huwo.usupastars huna ni shobo

  • @trice_yanga
    @trice_yanga 10 місяців тому +1

    Wolper mjengo ni wako bhana😂

  • @nasmabanda6340
    @nasmabanda6340 10 місяців тому

    Kweli my love ❤

  • @janetymatola6639
    @janetymatola6639 10 місяців тому +3

    Pia Wolper unaonekana una mnyanyasa

  • @stevenobure8241
    @stevenobure8241 17 днів тому

    Hapa shida ilianza hapa

  • @JackyTarimo
    @JackyTarimo 16 днів тому

    umepigaje hapo dada Jacky 😂😂

  • @AhishakiyeAsha
    @AhishakiyeAsha 17 днів тому

    Uki muzihaki wewe menzako anti ezechiel😢😢 mungu ni mwema

  • @agnesnafula-hz6kf
    @agnesnafula-hz6kf 10 місяців тому +2

    🥰

  • @KRIPHMWAKILOVOKO-rd7wy
    @KRIPHMWAKILOVOKO-rd7wy 10 місяців тому +4

    Anajikaza tuu wolper ila iyo ishu imekuchukua mazima

  • @DodiKabasele-d8v
    @DodiKabasele-d8v 15 днів тому

    Dada mukae na mume wako wewe uko mwanamke wa heshima ziditu nakumpenda mumeo wewe nitafauti na wale wana wake wapuuzi dada kaa na mumewako

  • @LinnaJohn
    @LinnaJohn 16 днів тому

    Sasa mnagombea nyumba mtafuteni mungu sio mali jmn mnajihaibisha jmn

  • @thetas08
    @thetas08 10 місяців тому +1

    Yaani nyie waandshi mda mwingi umeupoteza sana mnachouliza huyu dada hamna Cha maana kabisa Yani wanahabari nendeni chuoni mkarudie hamna la maana kabisa mnapoteza mda sana zero tafuteni habari za maendeleo ya nchi bogasi

  • @ZakiaAlRamadani
    @ZakiaAlRamadani 18 днів тому

    Mmh ngoja nitazame tu yakawangu mwenyewe yanishinda kamdomo🤭

  • @MamaMayai
    @MamaMayai 17 днів тому

    Ndoa jamani ni kuvumimiliana uwiiii acha

  • @halimambaga61
    @halimambaga61 10 місяців тому +3

    Mpka sasa ndoa iliyotulia ni ya Nandy na billnas

    • @MUDIKIDEVU-fl7ii
      @MUDIKIDEVU-fl7ii 17 днів тому

      Hawaweki hadharani tu mamboyao hakuna ndoa isio na mgogoro

  • @TumainJaphet-q7f
    @TumainJaphet-q7f 18 днів тому

  • @SaraMAVE-jt2mx
    @SaraMAVE-jt2mx 10 місяців тому +4

    Wolper murembo jamani

  • @DottoMtisi
    @DottoMtisi 16 днів тому

    opa,Bado,unalipa,dada,mungu,atakupa

  • @MarthaBura-or8fe
    @MarthaBura-or8fe 17 днів тому +1

    Tatizo dada unamajivuno nyumba ya nini kuongeleea .unamzalilisha mmeo kila kitu mitandao.mhhhh aibu

    • @angelanaftael7965
      @angelanaftael7965 17 днів тому

      We acha kuwa materialistic km upendo umeisha basi don't connect na vitu vinavyoperish...wako waliokuwa house owners ila Leo ni wapangaji..be careful darling

  • @luciasteven3314
    @luciasteven3314 15 днів тому +1

    Shida y umaarufu mnagombana huko mnaleta mambo yenu huku
    Hivi hamuwezagi kumaliza mambo yenu kimky kmy?
    Hv hamjuag haya maintavew yenu huwa yanaishi kizaz n kizaz?
    Upuuzi mtupu

  • @sephaniangulo4035
    @sephaniangulo4035 10 місяців тому +6

    Unajua kuficha vitu, it's not must uweke kila kitu unachoulizwa wazi

    • @sekelamwangomo5458
      @sekelamwangomo5458 10 місяців тому

      Yes afu hajui anavoanika migogoro yake na mumewe anawapa furaha watu wenye chuki na ndoa Yako waseme tulisema

  • @devothakisanga4334
    @devothakisanga4334 10 місяців тому

    tddx😊😊😂 1:31

  • @tatuduchi3404
    @tatuduchi3404 14 днів тому

    Ndoa haitolewi hadharani wewe kwani imeyasahau mafundisho umeyasahau. Achana na miyandao hawakisaidii hao

  • @rithadonatus8110
    @rithadonatus8110 10 місяців тому +1

    Wasanii ndoa zenu ndo hivyooo

  • @NicholousViper28
    @NicholousViper28 18 днів тому

    Uta achana na mme wko kisa anawapenzi wengine? We unasemaga mme wko awezi kukuacha, imekuaj? limbwata limeisha

  • @AzaAzamhmod
    @AzaAzamhmod 10 місяців тому

    Wolper Ana lugha ya kibongo 😂😂😂

  • @JeannetteManirambona-o6m
    @JeannetteManirambona-o6m 10 місяців тому

    Wolpar anaongea mazima

  • @naplousemukunzi10
    @naplousemukunzi10 3 місяці тому

    Pete ya ndoa iko wapi

  • @marianakamb-fg7sk
    @marianakamb-fg7sk 10 місяців тому

    Nimepigaje hapo🚶🚶🚶😂

  • @KhadijaMasoud-m6u
    @KhadijaMasoud-m6u 10 місяців тому +1

    Sio ndoa za mastaa tu unakosea ndoa ni ndoa ht huko mtaani ukikaa kuna changa moto nyingi za ndoa sio wao tu

  • @MwajumaRiami
    @MwajumaRiami 10 місяців тому

    Uyo rich amefanyaje

    • @judyngowi391
      @judyngowi391 10 місяців тому

      Kamwaga maziwa

    • @MwajumaRiami
      @MwajumaRiami 10 місяців тому

      @@judyngowi391 heeeee kwann jamn apite bila kuangalia hakujua kam atamkera Dada yetu

    • @judyngowi391
      @judyngowi391 10 місяців тому

      Maziwa yale mengine

  • @claudineali3561
    @claudineali3561 10 місяців тому

    Wacha kukicekeza turiya umekwisha tayari wewe nimaraya umekwisha

  • @karisgaitho1972
    @karisgaitho1972 9 місяців тому

    Nonsense

  • @FekiHappy
    @FekiHappy 16 днів тому

    Kama siri mbona uko hewani mjinga wewe

  • @paulinalukumay8043
    @paulinalukumay8043 17 днів тому

  • @KhadijaMasoud-m6u
    @KhadijaMasoud-m6u 10 місяців тому

    Kuna wengine wana kimbia wanaacha wtt na mke utavumiliya na nyumba tupu mume hayupo