Baba katika jina la Yesu nakuja na hati ya dharula juu ya dada Rehema mzaliwa wetu wa kwanza umrehemu na kumwinulia watu wa kuja kununua eneo lake analouza illi akalipe madeni anayodaiwa na apate mtaji wa kufanya kazi zake katika jina la Yesu. Simama mwenyewe Baba wa yatima nimekukimbilia wewe tusiaibike milele. Amina
Kwaimani kubwa ee Mungu nakuomba kasikie maombi na naitaji langu ukapate kunipa majibu ndani ya mwezi huu kabla haujaisha nakuomba bwana ukanitendee sawa sawa na uonavyo nakuomba bwana ukatende
MUNGU akubaliki sana mtumishi kwa neno zuri! Lakini mimi natamani sana kuelewa jinsi unavyo fundisha kwa vipindi vyako mwalimu lakini najikuta naishia kusikiliza tuu na sielewi chochote naomba msaada wa maombi mwalimu tafadhali....
Amen 🙏 naamini Mungu atayayaingilia kati maisha yangu nakuja na hati ya dharura naomba Mungu unikumbuke mimi Joyce pamoja na uzao wangu
Mungu akubariki sana mwakasege
Mungu akubariki mwalimu na mama kwa mafundisho mazuri
Baba katika jina la Yesu nakuja na hati ya dharula juu ya dada Rehema mzaliwa wetu wa kwanza umrehemu na kumwinulia watu wa kuja kununua eneo lake analouza illi akalipe madeni anayodaiwa na apate mtaji wa kufanya kazi zake katika jina la Yesu.
Simama mwenyewe Baba wa yatima nimekukimbilia wewe tusiaibike milele. Amina
Ubalikiwe mtumishi
Amen mtumishi wa Mungu asante kwa neno na maombi napokea katika jina la Yesu. Mungu akubariki sana kwa kazi yake.
😊
Amen nimepokea katika jina la Yesu
Ubarikiwe.sana.mtumishi.waMungu
Kwaimani kubwa ee Mungu nakuomba kasikie maombi na naitaji langu ukapate kunipa majibu ndani ya mwezi huu kabla haujaisha nakuomba bwana ukanitendee sawa sawa na uonavyo nakuomba bwana ukatende
MUNGU akubaliki sana mtumishi kwa neno zuri! Lakini mimi natamani sana kuelewa jinsi unavyo fundisha kwa vipindi vyako mwalimu lakini najikuta naishia kusikiliza tuu na sielewi chochote naomba msaada wa maombi mwalimu tafadhali....
Napokea kwa Imani ya Mungu Baba
Amen napokea kwa jina la Yesu
Napokea kwa jina la YESU...
🎉Mungu wa mbinguni akutunze mtumishi wa Mungu mwlmu Mwakasege🎉Diana Mwakasege
Namwona Mungu sana juu ya madhabahu hii,,
Mungu awatunze na kuwatia nguvu zake kwa baba mwl na watumishi wote wanaousika na huduma hii
Mwalim mungu akubaliki sana anayekuchukia wewe na mafundisho yako m m
Mungu wa mbinguni awakumbuke jaman katika utumishi huo
Ameen 🙏 barikiwen sana watumwa WA Mungu Alie hai 🙏.Mwalim Mwakasege 🙏 na Mama Dianna
mungu atusaidie kujiandaa juu ya uamsho wa siku za mwisho
Ubarikiwe babangu kwa mafundisho
Inchi kavu hii huwa ya baraka Kwa neno ambalo mungu ameweka na kuliachilia ndani Yako baba, Asante kuwa baraka ya Tanzania,na kutuombea nasi pia.
Amen
asante kwa mafundisho
Hata sasa n ebenezar
Amina mtumshi
Amina mungu awakumbuke kwajili ya maombi ya taifa
Sio atukumbuke wote?
Amen Amen Utukufu kwa Yesu
Amina mwalimu
Ubarikiwe sana mwl
Amen
AMEN
Amen 🙏
Hallelujah 🙏
Anaye chukia mafundisho yako namahuburi yako laaana I'we juuuyake
Ameeen
Amen
Amen