🔴LIVE: Mjadala wa Wazi Mchakato wa Upatikanaji wa Katiba Mpya Tanzania - DSM

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 14 чер 2024

КОМЕНТАРІ • 15

  • @eliassumila8173
    @eliassumila8173 24 дні тому

    Mzee Rutembeka,umeeleweka sana kwetu.bigups

  • @possianokigwinya9988
    @possianokigwinya9988 26 днів тому +2

    Kama watanzania hawawezi kudai Katiba kwa kuingia barabarani kwa mazungumzo tu mnajidanganya.

  • @salimukimwaga-fu8cc
    @salimukimwaga-fu8cc 25 днів тому +1

    Katiba ni ya chama kimoja sio ya watanganyika mpaka apende

  • @xaixaiobrigado4846
    @xaixaiobrigado4846 25 днів тому

    Mwambie huyo dr.nao fundisho insbidi limuingie barabara!

  • @xaixaiobrigado4846
    @xaixaiobrigado4846 25 днів тому

    Nchi moja yenye katiba mbili?
    Zanzibsr ni nchi-hujasoisoma?
    Af unaleta za kuleta?

  • @possianokigwinya9988
    @possianokigwinya9988 26 днів тому +1

    Katiba ni tatizo kwa watawala hatuwezi kuipata Leo Wala kesho Kama warioba amezunguka nchi nzima kwa kutumwa na watawala huku wakijua watu wanawapenda walipoona maoni ya watu kuwa wamechokwa walijilaumu Sana kumtuma warioba hadi Wanakosa aibu wanamzingishia mzee wa watu eti ni mawazo yake.

  • @hadjihadji197
    @hadjihadji197 25 днів тому

    Sio rahisi kuwakanyagia "Nguru wao CCM" wakati ndio wafaidika wa Katiba Mbovu iliopo hivi sasa.

  • @kakawataifa6752
    @kakawataifa6752 25 днів тому

    Mimi napendekeza tuwe na muhimili wa nne ambao itahusiha viongozi wa Dini maana ukweli ni kwamba ndio wako na watu

  • @user-pn8vz2jv3h
    @user-pn8vz2jv3h 19 днів тому +1

    😅😅😅😅😅😅👍

  • @user-bp7nb7yp2o
    @user-bp7nb7yp2o 25 днів тому

    Ujobhile mwana gwa Ally.

  • @namsifubwana2152
    @namsifubwana2152 25 днів тому

    Katiba mpya mtusaidie nyie. Hao watawala ndo wanapindishapindisha mambo ili tusipate katiba mpya

  • @rasnchimbi
    @rasnchimbi 26 днів тому +1

    HII MIJADALA KILA SIKU YALEYALE HAKUNAGA HATUA ZOZOTE ZINAZOENDELEA KIVITENDO👇🏿
    #katibampyanisasa #TUSIKUBALIKUSHIRIKICHAGUZIBILAKATIBAMPYA !Hiyo ni kushiriki Dhambi(kujikabidhi kwa shetani) !✍🏿

  • @gidongailo7174
    @gidongailo7174 25 днів тому

    Mchakato wa kudai Katiba mpya ni UPUUZI. Kinachotakiwa kudaiwa hapa ni TANGANYIKA, sio Katiba

  • @lucaskatoga6896
    @lucaskatoga6896 26 днів тому

    Katiba imetakiwa miaka zaidi ya miaka 30 mpaka leo TUNAJIDANGANYA

  • @FurahaJeremiah-kd5ht
    @FurahaJeremiah-kd5ht 21 день тому

    Tanganyika sets kuliongoza taifa.raisi ashitakiwe mikataba yote iende bungeni mawazili waendane na taaluma zao