🔴LIVE: Mjadala wa Wazi Mchakato wa Upatikanaji wa Katiba Mpya Tanzania - DSM

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 14 чер 2024

КОМЕНТАРІ • 8

  • @desiderihugo5704
    @desiderihugo5704 Місяць тому

    Kwa kweli mijadala imetuchosha tunahitaji Katiba Mpya

  • @lawrencekombe2929
    @lawrencekombe2929 Місяць тому

    NI MOJA KATI YA MKAKATI WA KUCHELEWESHA UPATIKANAJI WA KATIBA.

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 Місяць тому

    TUNATAKA KATIBA MPYA SASA IS HIVII

  • @LutenTz
    @LutenTz Місяць тому

    Tunataka Katiba mpya hatutaki uchambuzi mnatuchosha

  • @xaixaiobrigado4846
    @xaixaiobrigado4846 Місяць тому

    Ma wakili mnatupa hali/wakati mgumu!
    Tume ya J.nyalali na nyengine,ziisha toa hoja zote (hata sheria mbovu 40)
    Hadi ss hakuna kitu chchte kilichoboreshwa.
    Tume ya J.Warioba iko wazi japo kw sasa nayo itakuwa imepitwa na wkt flani.
    Sasa,nyie,kwa hiyo semina mnaona kuna dirisha la kutufikisha kwenye katiba mupia?
    Kama hakuna,rudini mkafundishe nadharia viuoni!

  • @GeofreyMwandanji-ot2lf
    @GeofreyMwandanji-ot2lf Місяць тому

    Tumechoka namijadala yenu watanzania tumechoka tunataka katiba mpyaaa

  • @ephraimsaimon3125
    @ephraimsaimon3125 Місяць тому

    Wasomi wa nchi hii mnatuchosha kwa kurudiarudia hatuhitaji ufundi wa maelezo yenu tunataka hatua za utekelezaji

    • @gowekogoweko5803
      @gowekogoweko5803 Місяць тому

      KABISAA HATUHITAJI KUELEWESHWA CHOCHOTE TUME YA WARIOBA ILISHAMALIZA KILA KITU. UTEKELEZAJI UNACHELEWESHWA