Це відео не доступне.
Перепрошуємо.

FAHAMU AINA YA NGOZI YAKO ILI KUTIBU CHUNUSI HARAKA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 бер 2021
  • Habari wapendwa siku ya leo nitaenda kukueleza jinsi ya kufahamu aina yako ya ngozi kwa urahisi sana.ni muhimu kufahamu aina yako ya ngozi ili uweze kununua mafuta sahihi ya uso na kupata matokeo unayoyataka.Asante sana kwa kuangalia hii video,LUV YOUU!!!
    kama unamatatizo zaidi kwenye ngozi yako tafadhali onana na daktari
    Disclaimer
    Video zote kwenye hii channel zipo kwa ajili ya kutoa ufahamu kwa watu.na sio kuingilia dawa unazopewa na daktari.hivyo kama unasumbuliwa na Matatizo ya ngozi au kiafya ni vyema kumuona daktari
    FAHAMU JINSI YA KULAINISHA MIGUU BONYEZA HAPA
    • JINSI YA KULAINISHA MI...
    JINSI YA KUONDOA CHUNUSI NA MAKOVU
    • JINSI YA KUONDOA CHUNU...
    #skintypes #chunusinamadoa #tanzanianyoutuber
    #mask #manjano#makeup#ondoachunusi #mba #ngoziyamafuta #madoa #dawayachunusi#kutunzanywele #mafutayangozi #nywelenatural #asili #zuchu#wasafi #kupakamakeup#fashion#tanzania#ayo#chunusisugu#wasafi#diamondplatnumz#wemasepetu#zuchu #nandy #millardayo#chunusi #makeup#lotion

КОМЕНТАРІ • 24

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly 3 роки тому +1

    Aaaaaaw shuper cute😍😍😘😘😘❤👏karembo sana,rangi sasa MashaAllah🙏🙏😍😍😍😘

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly 3 роки тому +1

    Video quality👏👏👏👏👏👏mashaAlllah..
    Nitafuata tips zako za urembo sasa coz ngozi yako tu MashaAllah 😘😘😘😘

  • @pendaelielisa8794
    @pendaelielisa8794 Рік тому

    Habari,naitaka hiyo seram ya kuondoa weusi unaotokana na kunyoa ndevu

  • @MissKyeniVlogs
    @MissKyeniVlogs 3 роки тому

    I have learnt a lot, and I enjoyed your swahili. Thanks for sharing

  • @user-sq1jf5ik4c
    @user-sq1jf5ik4c 27 днів тому

    Ngozi yangu ni ya mafuta mengi

  • @halimaibrahim1915
    @halimaibrahim1915 Рік тому +1

    Mie ngozi Yangu mchanganyiko nitumie sabuni gani na mafuta gani

  • @AmaniElias-br2oy
    @AmaniElias-br2oy 8 місяців тому

    Uso wangu una chunusi n Ina kakamaa , Ina zile vitu vyeup n mafuta gan inafaa?

  • @christinaemanuel8410
    @christinaemanuel8410 Рік тому

    Hello...nimetumia sabun ili kutoa vipele naona km ngoz yangu imeungua nitumie nn kutoa hyo halo?

  • @kulwaaminamhelamvi4116
    @kulwaaminamhelamvi4116 Рік тому

    Ngozi yangu kavu xana nitumie mafuta gan?

  • @bethisdori6097
    @bethisdori6097 2 роки тому

    Dada nisaidie ngozi yangu zito sana

  • @user-uh6sp9ex7o
    @user-uh6sp9ex7o Рік тому

    Ngoz yangu inamafuta nitumie mafuta gani

  • @everlastingmiriam
    @everlastingmiriam 3 роки тому

    Mimi ngozi yangu ya uso nikiosha bila kupaka mafuta uwa Ninaparara sana sow inanibidi nipake. Mavuta yeyote na Sina vitundu jee!hapo Mimi ninangozi gani ?please 🙏?

    • @Dayanar_skincaretips
      @Dayanar_skincaretips  3 роки тому

      Una ngozi kavu Miriam

    • @everlastingmiriam
      @everlastingmiriam 3 роки тому

      @@Dayanar_skincaretips sow ngozi kavu inafaa mafuta mingi au kidogo yani mafuta ya Aina gani kwa duga inafaa niwe na mafuta gani

  • @blessingmagnifiquemagnif-qm4mj

    Tupe namba ya whtpp

  • @smartndaipa4188
    @smartndaipa4188 2 роки тому +1

    Mm ngozi yangu niyamafuta nitumiye mafuta gan mom

    • @Dayanar_skincaretips
      @Dayanar_skincaretips  2 роки тому

      Unaweza cheki Video zangu nimeongelea mafuta ya kutumia kwa ajili ya mtu mwenye ngozi ya mafuta..hope yatakusaidia mpendwa

  • @ashurakibindo7671
    @ashurakibindo7671 2 роки тому

    Naomba namba yako

    • @mahengefelusta
      @mahengefelusta Рік тому

      Ngozi yangu inamafuta harafu inachunusi

    • @mahengefelusta
      @mahengefelusta Рік тому

      Naomba niandikie nipake mafuta sura yangu inamafuta sana nisaidie dada