Kwangu bila shaka yoyote. Cool music from DB Wasonga huwa zinanibariki sana. Hazina papara, inazama hadi moyoni. You get a full meditation of the wonders of God. Hongera wanafamilia ya Mungu kutoka University of Dar es Salaam Tanzania. na mpiga kinanda ametenda haki.
Hongereni sana kwa uimbaji mzuri yaan uimbaji wenu na mapozz yenu mnanifurahisha sanaa, nipo moshi mjin CD zenu nazipateja wapendwa ? nawapenda sana mnaimba kwa kutulia.
NAWAPENDA WOTE KWA SIFA NA UTUKUFU WA MUNGU KWANI MUMEBARIKIWA MNO NA MUNGU NA MMETAMBUA MNAVITUMIA VIPAJI VENU VEMA KWA KUMUIMBIA MUNGU.MZIDI KUBARIKIWA KTK UTUME HUU KWAKWELI CJUI NISEMEJE MKO VIZURI.
Wimbo mzuri...pambo la rohoni
Nyimbo nzuri sana❤️🥰
Nice song, fumbueni vinywa vyenu..❤❤❤❤❤❤🔥🔥🔥🔥
Mbarikiwe waimbaji nafarijika nahuu wimbo
Kwangu bila shaka yoyote. Cool music from DB Wasonga huwa zinanibariki sana. Hazina papara, inazama hadi moyoni. You get a full meditation of the wonders of God. Hongera wanafamilia ya Mungu kutoka University of Dar es Salaam Tanzania. na mpiga kinanda ametenda haki.
Wimbo bora kabisa wa sifa kwa Mungu. asanteni wanamuziki na waimbaji
Disliking this magnificent show is so bizarre as disliking youself.
Nimeupenda mno! Mbarikiwe sana.
Safi sana...hongera kwa kwa wimbo mzuri sana
mungu awape heri zake zote waimbaji wa wimbo huu na mtunzi wake! aaameeen!!!
bwana awabariki waimbaji nasi tuimbe zaburi kwa kinanda na kinubi Amina
Muzuri sana. Mungu Asifiwe kwa wimbo. Pia mubarikiwe wote na Bwana Mungu wetu.
wonderful!!!!!!!!!!!!!!1 whenever I listen to this song I get the original meaning of Catholic music in Tanzania and Kenya! Utunzi wa kipekee!
Asanteni sana kwaya ya Moyo Mtakatifu wa Yesu -UDM kwa wimbo mzuri "Fumbueni vimywa vyenu". Nimebarikiwa sana
Love the song🔥
This how beautiful catholic choir is
Congratulations to all of you.
Pamoja kwa mimi mlevi wa nyimbo katoliki nawapongeza sana
mwenyezi mungu awabari wapendwa nyimbo zenu zinanipa faraja wakati wote
Mungu awabariki sana kwawimbo mzuri
kazi nzuri sana kwl. Asante sana
Ongereni
Mmbarikiwe sana kwa kazi nzur ya utumishi
nawapenda Mno , ninapoona wanarika wakieneza injili na kumsifu Bwana kupitia kwa njia ya uimbaji# baraka kwenu
mbarikiwe kwa wimbo mzur
This song is🔥🔥 it reminds me when I was little ... many appreciation to this choir mmenibariki sana #GODBless you all👏👏
wana kheri wote wenye kutumia karama zao kwa bwana, Wanakwaya mlimani UDSM Yesu anawaona furahni majina yenu yameandikwa mbinguni
Love this song. God bless you. Well composed
Ahsante wanachuo UDSM
blessed na huu wimbo
mtungaji na waimbaji mmeimba vizuri sana. Mungu awe nanyi.
Barikiweni sana
The choir rocks....Mungu awabariki sana
may God Bless you,What a blessed song
nimebarikiwa sana na wimbo huu mbarikiwe sana wapendwa katika bwana
wapendwa mmbarikiwe Sana nyimbo zenu nzuri zinanibariki sana
Amina ! Alphonse Marie
🙏🙏🙏
mbarikiwe
mzidishiwe neema
Good
Hongereni sana kwa uimbaji mzuri yaan uimbaji wenu na mapozz yenu mnanifurahisha sanaa, nipo moshi mjin CD zenu nazipateja wapendwa ? nawapenda sana mnaimba kwa kutulia.
Ameni
wimbo mtamu kwelli
Good song
NAWAPENDA WOTE KWA SIFA NA UTUKUFU WA MUNGU KWANI MUMEBARIKIWA MNO NA MUNGU NA MMETAMBUA MNAVITUMIA VIPAJI VENU VEMA KWA KUMUIMBIA MUNGU.MZIDI KUBARIKIWA KTK UTUME HUU KWAKWELI CJUI NISEMEJE MKO VIZURI.
Joseph Patrick ongereni sana
Asante Sana na uyu wimbo nzuri sana. Ndiyo tufungue vinywa vietu kwa kutangaza utukufu wa Baba Mungu watu. Mubarikiwe na Mwenyezi.
Asante Sana ndungu. Mungu Baba awabariki wote. Alphonse-Marie
😃👏👏👏
HUWASIWAELEWI WANAO DISLIKE lord forgive us
hii albamu naweza ipata wapi?
wasonga fundi
Mbarikiwe