MSHUKURUNI MUNGU BY FRT. KWEKA LUCAS FERAN Kwaya Ya Mtakatifu Thomas More Chuo Kikuu Mzumbe

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 жов 2024
  • Karibu kutazama wimbo huu kutoka kwaya ya Mtakatifu Thomas More Chuo Kikuu Mzumbe - Morogoro
    WIMBO: MSHUKURUNI MUNGU
    MTUNZI: FRT. KWEKA LUCAS FERAN
    KINANDA: DEOGRATIUS SIMON KITEBO
    SOUND ENG. : FABIAN MUTAYOBA & HANS RUSHEMA
    STUDIO: HOLY TRINITY (HT)
    DIRECTOR: MDETE TM
    MAWASILIANO YA KWAYA: 0672 361 080
    Follow Us On:
    INTAGRAM / kmtm_mzumbe
    TIKTOK, (kmtm_tmcsmu)
    FACEBOOK kmtm_mzumbe
    #kanisakatoliki #choir #gospelmusic #uzinduzi #music #vaticano #newmusic #tanzania #love #africangospel #africangospelmusic

КОМЕНТАРІ • 62

  • @nyaki5510
    @nyaki5510 2 місяці тому +2

    Watu ni wamoto hakuna kupoa Mungu azidi kujali neema zaidi na mbarikiwe mnoo Kwa utume

  • @marymbata
    @marymbata 2 місяці тому +2

    Kuimba ni kusali mara mbilii hakika tutaimbaa hata mbingunii 🎉❤

  • @Sarah-bo8lc
    @Sarah-bo8lc 2 місяці тому +2

    MUNGU awabariki sana kwa kazi nzuri na ya baraka MUNGU azidi kuwainua sana na sana

  • @Kacimbaz
    @Kacimbaz 2 місяці тому +2

    Amazing from St.Thomas more mzumbe University may our almighty God bless you all 🙏🙏✍️✍️✍️Sauti ya radi

  • @TheresiaPaul-x6s
    @TheresiaPaul-x6s 2 місяці тому +2

    Congratulations 👏🎉🎉🎉 . Mtakatifu Thomas More choir

  • @julithaphilipo4489
    @julithaphilipo4489 2 місяці тому +2

    🎉🎉mbarikiwe sana WAPENDWA Kwa Kaz nzur🙏🙏

  • @JOSEPHDUNIA-qi3ol
    @JOSEPHDUNIA-qi3ol 2 місяці тому +1

    TMCS-MZUMBE: MUNGU ATUKUZWE MILELE, Hongereni sana kwa Kazi nzuri ya Uinjilishaji ⛪✝

  • @paschalmwalongo4991
    @paschalmwalongo4991 2 місяці тому +2

    Hongereni kwa kazi iliyotukuka mnoo

  • @LindaNicholaus
    @LindaNicholaus 2 місяці тому +1

    Congratulations brothers& sisters

  • @WisterPacficus-tt7zz
    @WisterPacficus-tt7zz 2 місяці тому +5

    Mbarikiwe sana wanakyawa wote . MUNGU akawe taa ya maisha yenu siku zote za maisha yako. Nawapenda sana wanakwaya wa MT.THOMAS MORE

  • @AsfdMtenga
    @AsfdMtenga 2 місяці тому +1

    Mb hero🎉🎉

  • @FloraMao-be3ek
    @FloraMao-be3ek Місяць тому

    ❤❤ Amazing...,,,, More blessings to STM🙏🥰🥰

  • @jamesmutonga7684
    @jamesmutonga7684 2 місяці тому

    Great song with touching message
    Be blessed..

  • @wagalyrics
    @wagalyrics 2 місяці тому

    IKo safi sana

  • @adamuhashimu720
    @adamuhashimu720 2 місяці тому +1

    Hongereni sana🎉🎉🎉 Thomas more

  • @PRISCAMBWELWA
    @PRISCAMBWELWA 2 місяці тому

    Mungu aibariki talanta yenu ya uimbajii❤ hata mbinguni tutaimba

  • @DanielChristian-d2o
    @DanielChristian-d2o 2 місяці тому

    Nice job May the Lord our God be with you All

  • @ARONNDALO-vf2bf
    @ARONNDALO-vf2bf 2 місяці тому

    What a song😯🔥🔥🔥

  • @OctaviusChavala
    @OctaviusChavala 2 місяці тому

    Good job. Hongera pia kwa organist.........vema

  • @paulonyaki5512
    @paulonyaki5512 2 місяці тому +2

    Kazi nzuri sana mbarikiwe sana Kwa kumtukuza mungu Na kumshukuru mungu

  • @GorethNtalyoka
    @GorethNtalyoka 2 місяці тому

    Pongezi Sana kwenye mungu abariki kazi Zenu🙏🎉🎉

  • @pauljustinian8271
    @pauljustinian8271 11 днів тому

    kazi nzur mbarikiwe, msaada wa copy tafadhari 🙏🏾🙏🏾

  • @petrogodfrey5353
    @petrogodfrey5353 2 місяці тому +1

    Naweza kupata suti kma io hata ya 6000😂❤❤

  • @Misol003
    @Misol003 2 місяці тому

    ❤❤❤❤❤❤

  • @DominicLeo.
    @DominicLeo. 2 місяці тому

    🔥🌹🔥🔥🔥🔥🔥

  • @MonicaMbando
    @MonicaMbando 2 місяці тому

    ❤❤🎉

  • @Arati3
    @Arati3 2 місяці тому

    Nice❤

  • @WisterPacficus-tt7zz
    @WisterPacficus-tt7zz 2 місяці тому +3

    Jamani , sijui hata niseme nn. Ila MUNGU azidi kukutia nguvu za kuzidi kumtumikia Kwa kuimba , ili tizidi kupata baraka tele kutoka kwake

  • @FreBaba
    @FreBaba 2 місяці тому +3

    KAZI nzuri watumishi wa mungu na mungu azidi kiwafungulia katika maisha yenu wanakwaya wote.
    ST JOHN'S UNIVERSITY

  • @kwekalucasferan
    @kwekalucasferan 2 місяці тому +2

    🎉Asanteni sana Ndugu zangu... Pongezi nyingi. Na Mungu azidi kuwabariki kwa utume Wenu huu na Maisha❤

  • @christergama
    @christergama 2 місяці тому +2

    Mungu awabariki kwa utume mnaoufanya

  • @pambajrtv2186
    @pambajrtv2186 2 місяці тому +2

    Bwana asifiwe kwa nyimbo nzuri sana wakuu kazi imetulia kutoka kwenu na mtunzi bado naona anazingatia vitu vyake

  • @paulmagafu7547
    @paulmagafu7547 2 місяці тому +2

    Aloo mmenikimbusha mbali sana

  • @DastanNyaki
    @DastanNyaki 2 місяці тому +2

    Waoooooh amazing sana 🔥🔥🔥🔥

  • @sephanianyondo5868
    @sephanianyondo5868 2 місяці тому +1

    Woooooooow wimbo mzuri sana wa kumshukuru Mungu. Haleluya...
    Namuona madam Meryciana kazi njema sana

  • @SilvesterMikael65
    @SilvesterMikael65 2 місяці тому +1

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉congrats

  • @angellaskolanze
    @angellaskolanze 2 місяці тому +1

    ❤❤❤❤ mbarikiwe nyote kwa kujitoa siku za ujana wenu kumtumikia Mungu na azidi kuwa taa yenu katika kuutangaza utukufu na sifa zake Hongereni🤗🤗🥰🥰🥰

  • @afrahelgoth5657
    @afrahelgoth5657 2 місяці тому +1

    kazi nzuri, mwenyezi mungu azidi kuwatia nguvu katika kutangaza sifa na utukufuku wake

  • @elipidiusemmanuel173-hw7ll
    @elipidiusemmanuel173-hw7ll 2 місяці тому +2

    wimbo mzuri na kazi imependeza mtakatifu Thomas more hamjawaahi kupywa hongera sanaa🤝

  • @andreabatholomeo6965
    @andreabatholomeo6965 2 місяці тому +1

    Hongereni sana Mzumbe🎉🎉

  • @lukakivamba7245
    @lukakivamba7245 2 місяці тому +1

    wana tomas more so haba aise kazi nzuri❤

  • @JosephMwinula
    @JosephMwinula 2 місяці тому +1

    Mungu ni mwemaa kwetu sote🎉

  • @EmmanuelLume
    @EmmanuelLume 2 місяці тому +1

    🎉🎉🎉🎉 Amina sanaaa

  • @kwaya_ya_mt.agustino_wa_hippo
    @kwaya_ya_mt.agustino_wa_hippo 2 місяці тому

    Congratulation to u all 👍

  • @laulianmpepo1267
    @laulianmpepo1267 5 днів тому

    Amen 🙏,,,, wimbo mzuri sana 👏👏👏👏👏

  • @godfridkapipi7035
    @godfridkapipi7035 2 місяці тому

    Kazi nzuri sana watumishi. Huyo director anazingua sana mwambieni hii mara ya pili organist haonekani kwenye video kwanini anamfanyia hivo ?

  • @KelvinKamugisha-wq8qp
    @KelvinKamugisha-wq8qp 2 місяці тому

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉great great

  • @STEPHANIADEOGRATIAS
    @STEPHANIADEOGRATIAS 2 місяці тому

    Mungu azidi kuwapa nguvu zaidi vijana wa Tomas more mzumbe never let me down together we can💪

  • @lucashosea5713
    @lucashosea5713 2 місяці тому

    Safi na hongera sana ila kuna mahali Director amezingua...
    Organist ni sehemu ya muziki yaani namaanisha Ara ni muziki pia sijawahi ona nyimbo yote asionekane mpiga kinanda maana yake hapo muziki haujakamilika maana kuna sehemu ya muzuliki haionekani next time Director remember that all in all mmetisha sana ila naomba mnisamehe ka nitakuwa nimezingua

  • @RoseHerman-r6n
    @RoseHerman-r6n 2 місяці тому

    Barikiwa sana jmn 🎉 family ya Mungu hakika Mungu azdi kuwa nasi daima hongeraa sana Kwa kaz nzr ya utume

  • @Misol003
    @Misol003 2 місяці тому

    Mmetisha sana Mungu awabariki mnoo kwa kumtumikia wakati wa ujana wenu💖💖🎉🎉🎉😍🥰🥰

  • @SALVANUSMTEKANGA-co4wb
    @SALVANUSMTEKANGA-co4wb 2 місяці тому

    Barikiwa Sana watumishi wa Mungu!! Daima Mungu awe nanyi❤❤

  • @SilvesterMikael65
    @SilvesterMikael65 2 місяці тому

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉congrats

  • @TusajigweJengela
    @TusajigweJengela 2 місяці тому

    🔥🔥🔥🔥🙏🙏

  • @andersonstanley1539
    @andersonstanley1539 2 місяці тому

    🎉🎉❤

  • @GETRUDACHINANI
    @GETRUDACHINANI 2 місяці тому

    ❤❤❤❤🔥

  • @jumannewataigo3895
    @jumannewataigo3895 2 місяці тому

    Hakika ninayo sababu ya kumshukuru Mungu😊 ❤

  • @petrogodfrey5353
    @petrogodfrey5353 2 місяці тому

    Mimi sare zenu tu zinanikosha jaman❤

  • @gedariamandele5334
    @gedariamandele5334 2 місяці тому

    Wow Mungu ahimidiwe milele

  • @brightonpeter1034
    @brightonpeter1034 2 місяці тому

    Nice 🎉🎉

  • @mbembetyson05
    @mbembetyson05 2 місяці тому

    Hongereni sanaaaaa

  • @LemburisMollel-n2m
    @LemburisMollel-n2m 2 місяці тому

    Safi sana