Wewe sio kiboko ya wachawi tu, wewe ni fagia fagia kwa waovu. Nimekuelewa sana mtumishi, ni unachonikosha haswa ni kuweka wazi. Tofauti ya nabii wewe na wengine kuweka wazi ukweli. Ubarikiwe sana, siwezi kushika simu bila kukuangaria kidogo ukifanya miujiza hatariiiiii
Daaah kijna wawatu kasingiziwa kaiba kumbe ni mtoto wa huyo mama kachikua jamani daaah Rinah😢😢Mungu anakuona nizambi 😢 Sana Mlipe fidia huyo kijana Rinah huna huruma hata kidogo yaani daaah imeniuma Sana Kama ndio mdogo angu amefanyiwa hivyo jamani ila wasichana wengine bhana daaah Wana roho ngumu Sana unachukua pesa unampelekea mwanaume anaye weza kutafuta pesa ndio tuseme umempenda Sana sivyo machozi ya huyo kijana Rinah hayata kuacha salama kweli Tena.😢
Mungu akubark mtumish wa Mungu maan wanadam ni makatil kwel mtu anaib hela mwenzie analia uck kuchaa jamn na anakaushaa kwel hayo machoz ya mwenzie jamn Mungu kwel ni Mungu na anayawekaa wazi ya sirin
Naitwa mwizanchuro Evodius naomba unitabirie siko sawa kabisa naishi maisha ya afadhali ya Jana nimechoka na magonjwa yasiopona vyote vipo kwangu nimechoka sana

wewe ni nooma Sana hakuna tena kama wewe unachambua Mambo ya MTU vilivyo
Ni kweli nabii ni kiboko ya wachawi
wewe koma mchawi
Tuwe tunachunguza na familia pia.@@eliasgama-mo2ss
Mungu akubariki sana mtumishi kwa hayo unayoyafanya hakika kwa Hali hiiwachawi waliobakia wajiandae kufa
Mwenyezi Mungu akulinde mtumishi. Hakika utaokoa wengi wanao ONEWA. ❤
Ubarikiwe sana mtumishi
Asante yesu kwa roho yako kuwa ndani ya watumishi waminifu amen
Mwenyez mungu akulinde mtumish unatuokoa sana
Am speechless Ur amazing ❤❤
Uyo mdada mjinga kweli unamwibia mamako hela unamuonga mwanaume,uyo mama amlipe uyo mfanyakazi wake fidia na pesa alizotowa kwa dhamana
Daah😢😢😢 nilikuwa siamini nimeanza kuamini
Bariwa mtumishi, Huyo kijana aache kazi kwa huyo mama.
AMEN AMEN BABA
Tuna Kila sababu kumshukuru Mungu kwa ajili yako Mtumishi. Mungu azidi kukubariki.
nabinisaidi ye ❤
Mungu ni mwaminifu sana
yaan mungu anakuona wee dada !!
Ameen
BWANA YESU atutuzwe. Nimetiwa umasikini kila ninachofanya sifanikiwi. Naomba msaada wako mtumishi wa MUNGU pastor Dominic.
Mungu akubariki sana mchungaji kututeteya sisi wanyonge
Eti mtumishi wa mungu jamani mungu simama piga mpinga kristo huyu katika jina la yesu kristo wa nazarethi
Amen nakataa umasikini
Mwenyezi mungu akulinde baba
Mungu ameona nchi ya Tanzania Ina uonevu sana ndio maana ameachilia manabii wakuona
Mungu ni mwema
NABII TAJIRI ANAITWA KISYER CHAMBILI AMENIDHURUMU MILLIONI 5 ya mishahara yangu naomba YESU ANISAIDIE
Hii ni kiboko aiseee safi Sanaa nabiii! Endelea kuweka mambo hadharani hvyo hvyoooo
Daaah kijna wawatu kasingiziwa kaiba kumbe ni mtoto wa huyo mama kachikua jamani daaah Rinah😢😢Mungu anakuona nizambi 😢 Sana Mlipe fidia huyo kijana Rinah huna huruma hata kidogo yaani daaah imeniuma Sana Kama ndio mdogo angu amefanyiwa hivyo jamani ila wasichana wengine bhana daaah Wana roho ngumu Sana unachukua pesa unampelekea mwanaume anaye weza kutafuta pesa ndio tuseme umempenda Sana sivyo machozi ya huyo kijana Rinah hayata kuacha salama kweli Tena.😢
Naitwa happy natokeya Moshi naomba unikague baba
Mungu akusaidie uishi miaka mingi sana
Mungu ni mwema. Ahsante kwa Utumishi wako Mwema.
yesu akupe umri mrefu ili uendelee kutusaidia
Mwenyenzi mungu akupe maisha marefu mtume wa mungu tuombee na sisii
Mungu akubaliki sana..
Castro novatus ndege
Ubarikiwe Nabii kiboko ya wachawi kazi yako ni njema Mungu Azidi kukuinua
Baba kiboko ya uchawi ubarikiwe sana
Nabii unapomba niombee na mimi pia mambo yangu yako magumu asante amina
Naitwa baligila Silas, baba naomba unitabilie hatima ya maisha yangu
Mungu akubark mtumish wa Mungu maan wanadam ni makatil kwel mtu anaib hela mwenzie analia uck kuchaa jamn na anakaushaa kwel hayo machoz ya mwenzie jamn Mungu kwel ni Mungu na anayawekaa wazi ya sirin
Amen
Ameni
Akika mungu wamazabau hii ni yesu mwenyewe anaetenda mtumishi ubarikiwe sana tumeona wengi
Mutetezi wawanyonge God bless you 🥰🥰🥰💯 Amen amen amen 🙏
Mungu akubariki sana mtumishi miaka mingi kwako
Yaan nimemwaga machozi kwa uchungu mungu akupe maisha marefu nabii
Nabii bwana yesu asifiwe
David Apudo watching from Kenya
Daa kwaili mungu akuweke zaidi
Mungu mlinde nabii ili siku moja nimuone uso kwa uso
Baba barikiwa sana.Amina
Barikiwa sana nabii
Bwana yesu asifiwe baba yangu mimi niko arusha
Inauma ubalikiwe pastor baba angu anakifafa naomba umuombee
Mungu akubariki kwa kipaji chako
TOKKENNI BABELI JAMENI😢😢😢😢😢
Mmmm?? Mungu tusaidie.
Lucas Anthony Mveyange naomba unifungue pastor
Nabii mmewangu kipato kina yumba Sana na tulitamani tununuwe kiwanja tujenge mwakaa uu mambo mengi Sana kwenye family yangu baba nisaidie
Naitwa Vivian baba ubarikiwe sana Naomba unabii wako
Amen Amen 🙏
Huyo mama amlipa siku zenye amekaa jela kwa uongo
Shalom baba pindu pindu kata kata funua hivyo watu tupone
Barikiwa San baba
amina baba nimebarikiwa sana
Mungu akubariki tu saaana
Nabii nitabirie juu yangu
nabii mungu akulinde unawawokowa wengi nawomba unitabiriye na Mimi nani ananiaribiya maisha yangu
Nabii eeee Ni kidume Cha Mungu wanaokusema vibaya hawajielewi
Daaa najikuta nalia mwenyewe
Baba naomba unisaidie
Kazi tatizo kwangu,marafiki wamenikimbia niliowasaidia wote wameenda naomba unisaidie kiukweli
Mtumishi wa Mungu naomba unisaidie
Nabii naomba maombi Yako yanifungue namimi
Naomba yangalia na mm mtumishi wa Mungu
Mungu akubariki baba
Amina baba naomba utabiri wako
Yaani, so ndivyo ilivyo kwa Yehova. Inatisha.
Jambo mukubwa ukuye kwetu bkv Congo babamungu amekutumakweli
niombeyebaba Mimi naitwa Manka nisaidiye baba
AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Naitwa mwizanchuro Evodius naomba unitabirie siko sawa kabisa naishi maisha ya afadhali ya Jana nimechoka na magonjwa yasiopona vyote vipo kwangu nimechoka sana
Amina, mashine ya kwa lulenge
nisaidie nipate kazi baba
Ameeeen
Ee mungu umlinde uyu baba ili azidi kutusaidie.
Powerful powerful
Ameen baba
Nabii wa mungu mm natoka kenya natamani kuonana n ww lakini sijui chia nn atanelekeza
Mungu akubariki cna naomba uniomber nkipata pesa matayizo uwa mengi cna
Machozi yananitoka jamani huyu mungu niwamajaabu
Aisee Mungu kweli ni muaminifu
Amena
Ma pastors wengi sana ila kiboko ya wachawi mmoja tu hapa tumepata nabii wakwel nakukubar sana pastor
Nimeumia sana kwajili ya huyu kijana nabii
Nabii uwa
Mtumishi baba
Baba naomba unisaidie mim khadija
Baba naomba unisaidie niolewe kila mtu ninaye kuwa naye kweny mahusiano n ahadi tu mim khadija
MUNGU akuweke
Nakuja sio muda mrefu nabii nakuja baba
Jamn baba nakupend bureee❤❤❤❤❤❤❤
Bwana Yesu asifiwe baba,Mimi ni Joselyte nakuomba mambo Yako baba nateseka saana.chochote ninacho fanya hakifanikiwi.nisaidie baba
Naomba maombi yako
Nabii naomba tabili juu yangu
Mpaka machozi yamenitoka😢
Amen papa
Mung akulinde bb
Tusaidie familia yetu kiuchumi