UJUMBE WA MONICA DAVIE KWA MARA YA KWANZA 2023 - GeorDavie TV
Вставка
- Опубліковано 10 лют 2025
- SMS/WhatsApp au Piga namba: (Makao Makuu) +255 784 31 51 91 au +255 754 31 51 91 au +255 715 31 51 91 au kwa msaada zaidi. Tupo Arusha, Tanzania, East Africa. Pia Download App yetu na ufurahie huduma zetu, Nenda AppStore au PlayStore andika geordavie halafu itakuja GeorDavie Ministries, endelea kupakua. Na Endapo Umeguswa na Huduma hii na Unapenda Kutoa Sadaka yako Tuma Kwenye namba hii (M-Pesa): +255 769 00 00 34 au (kwa AirTelMoney) +255 788 00 00 35. Pia unaweza Kusikiliza redio yetu sasa hivi Online, nenda: www.nyu.radio12345.com
Keeping Up With God's Kingdom Government Standards!
TUFUATILIE
▶︎ Facebook: / geordavietv
▶︎ Instagram: / geordavietv
▶︎@GeorDavie Maarifa
Powerful you're a great preacher,, teacher and servent of God,,may God bless you Monica,,, wonderful message what you have preached is reality in life
Binti Bwana Akufunulie Zaidi lipendezalo be blessed Bigup MUNGU Akupe hekima ufahamu wake Have The Best fureture On Jesus Name Glory be to God
"Kujishusha na kukubali kujifunza Ili uweze kuvuka"Powerful Asante sana Monica
Ooooh Hallelujah, thak you JESUS for this girl,Mungu akukuze kiroho zaidi,ufundishe mataifa yote kwa jina la YESU,AMEN
Amen, sipotezi tumaini langu na naitunza Imani yangu najua nafasi yangu ipo Kwa jina la yesu
❤❤❤❤❤
Monica kazi nzuri sana,nimekuelewa, kutunza Imani na tumaini wakati wowote.🙏🏻🙏🏻💕💕
Nimeguswa sana na neno Yani kanigusa sana na kanifariji ameen
Asante sana kwaujumbe huu lakini nakusisanakama mutoto wa mungu unkebadili muonekanowakowaje iliuwevizurikwamungu wako sababu petro 3:3inasemahivi kujipambakwenukusiwekwakusukanyele navienginevio nivionakokwako dadangu sikusemevibaya❤
Dada Monica Mungu akubariki, Mungu amekupa Karama nzuri endelea kuitumia kwa Utukufu wake.
You did amazing Monica. Extremely blessed by your message. ♥️🔥🔥
Ila nyie mungu ana waona mungu so wamchezooo ayyyyaaaaàà
Powerful message
Asantee Sana Mtumishi songs mbele Ameeeeen
Safi sana , ❤
Ubarikiwe na Mungu wa mbinguni azidi kukuinua zaidi uweze kuifanya kazi yake kwa ukubwa❤
Blessed so much, hapo kwa kulalamika umenisaidia Sana
@@monicahmueni62788888i8888ï 11:41
Mungu anisaidie nisilalamike ktk changamoto yoyote, niwe na Imani
God. Bless you Monika for transfer our heart s pia msalimu baba yetu nabii mkuu tunamuombea kwa machozi kwa hekima aliyo nayo ambayo watesi wake hawawezi kushindana nayo amen Dada Monika bwana yesu akulinde ww na familiya ya ngurumo ya upako
Neno lako limebariki kila mmoja Mungu aendelee kukuweka na uzima dada una nizamu sana utafikiri ijakulia kwenye mapesa mengi ivyo kwa baba nabii. Una nidhamu sana.🙏🙏
Endeleeni kujifaliji huku mkijalibiwa na tamaa zenu wenyewe,,,,Yesu hayupo hapo
Amen na hongera upo vizuri nimekuelewa
Petro 1 3:3 kujipamba kwenu ,imeelezewa Mungu apendi tupoteze asili yetu na mapambo hayatatuingiza mbinguni pamoja na mavazi yasiyompendeza Mungu mbingu ipo kuzimu ipo mtu unabadili kucha, nywele, ngozi , jamani Mungu hazihakiwi tufuare Yesu ametuagiza Nini?
ona makuchaa'nywele hivyoo vyamapamb9 awazungumzii na mavazii wakati lipo kwenye biblia Wajanjaa wanarenga kwenye kipatoo Dah
Uhakik
GEordavie hauna uwezo,hauna nguvu,hauna connection achia watu wa mungu pepo wewe .
God bless you Mona Davie I appreciate your message
Amina, binafsi nimekuelewa sana! Barikiwa sana! ❤
Mungu akubariki dada Monica....somo lako halichoshi kujifunza.....sitaman umalize
nakupenda baba unavyo saidia watu akika wewe niwapekee mungu akubariki naomba nafasi yakuja naimani ntabarikiwa
Kajitahidi sana kufafanua ila mavazi hanaendani na mazingira aliyopo binti geor dav jiaribu kuheshimu madhabao mama nakupenda❤
Nguo hazimpi MUNGU Utukufu ,Na blich kichwani,Hadi hapo Ushamkosoa MUNGU,Ni machozii😭😭😭Hakika Mwana WA Adamu yupo karibu YESU tusaidie😭😭😭
Kwa kwel Baba Umewalea watoto wako vyema .nashukuru kwa SoMo zur Sana.🙏🙏🙏
Thanks for the good message
Be blessed Father.songa mbele usimwangalie mwanadamu,nikigeugeu mwangalie mungu pekee
Nabii ubarikiwe kwakuwalea watoto ktk kulihishi neno hii nimeipenda ni zuri sana wengi wataongea wawezavyo ila hauwezi kuubadilisha wakati no ningumu tu🙏
Thank you for a wonderful message. Watching from Nairobi, Kenya
Fhee
Hapo sasal
Ubarkiwe sana mtumishi wa Mungu mimi unanibarki sana
Good teacher
Blessed family..loving and humble child.
Somo lako zuri, nimelielewa limenikaa moyoni, I SALUTE U❤❤❤
Ubarikiwe San binti Monica geordavie hakika wafilipi 4:13 ni neno ambalo ilinibariki
Nayaweza Mambo yote katika yeye anitiae nguvu.usipoteze Imani yako...itunze tumaini lako.
GOD BLESS YOU ABUNDANTLY 🙏 MISS MONICA DAVIE.❤
Powerful Message. AHSANTE SANA
Iko vizuri mis you
Iyo umeka poa
Asante monica ❤❤❤❤
Daddy natamani nikuone tu sir amini Mungu atafunguwa njia baba yangu
Ameen!Nimependa sana mafundisho yako binti
Mwanadada ni mwalimu wa neno mzuri sana. Nimefurahia sana sana ..from +254.
Monica ,ndakuombeya kwa Mungu akuze hico kipawa cha uinjiliste, ubarikiwe sana
Barikiwa sana Monica Umeifanya vizuri snaa🌹
haya ndio mambo mungu arikutuma kuriko kuitetea viongozi wa ccm wakanye kwa kuuza bandari utakua nabii wa kweli goerdevie
Hongera Monica nimekuelewa somo zuri sn, nimejifunza jambo kutoka kwako. Mungu akubariki dear.
Monica wajina wangu nakupenda mno Mungu anakutumia Sana wewe unakitu kukubwa Sana umepewa kusema namataifa
Uyu baba niwakipekee sana love u nabii mkuuu
Mungu akubarik
Binafsi nmetambua uwepo wako maneno yako all in all I thanks to God
Thank you so much for a nice word.I have lern something so precious ofcorse you touched my situation. Be blessed servant of God.
Eeee Mungu ahsante kwa neno lako takatifu, kupitia Mtumishi wako Monica,amegusa nafsi yangu mpaka mwili umesisimka, Mungu akutunze mwanangu,Pia wabariki wazazi wake kwa malezi mazuri ya kumjua Mungu, AMEN
Kweli ni NENO la kusisimua mweli WALA sio kuponya roho
@@mugishomwenda4265 hapo sasa watu tunapenda neno la kusisimua mbali sio neno la kuponya Roho 😭😭
❤❤❤ mtumishi wa mungu tunashuru Sana mkuu wetu amina
Asante. Monica. Kw ujumbe mwema. Umenitia Imani na mungu. Ukazidi. Kutuombea. Ameni
Mungu AKULINDE Monica songa mbele piga hatua.Umefundisha vizuri.
Mifano mizuri sana.KUJISHUSHA, KUKUBARI KUJIFUNZA.HONGERA KWA WAZAZI.
Song.
Iende Mbele Injili hiyo......
Iyende Mbele...
Ndiyo Mana tunawambia Iende Mbele....(x4 )
Yaokoa Injili hiyo....
Yaokooa....
Monica uko vizuri be blessed
Amazing family
Mungu, akutie nguvu usonge mbele zaidi, coz watoto wengi wa wachungaji huwa hawajaokoka na hawapendi kabisa neno. Kwahiyo kitendo cha huyu binti kupata ujasili wa kufafanua na kufundisha vizuri ni neema ya Mungu. Hata kama atakuwa na mapungufu machache ,lakini hakuna aliye mkamilifu, huu ni mwanzo, tuendelee kuwaombea ili Mungu awatienguvu ,wasonge mbele.
Acheni umbea na kukariri mambo, kakwambia nani kwamba watoto wa wachungaji huwa wanakuwa hawajaokoka , we ndio unatazama mioyo ya watu, na mbona huelezi watoto wa waalimu , wakulima, na wengine , hao Je huwa wanakuwa wameokoka ? Don't generalise mambo
Achakukurupuka kuongea bila kuelewa nilichomaanisha.Kwani mi mi nimewataja wakulima na walimu hapa? Unatakiwa utoe comenti zako kulingana na ulivyomuelewa aliyehubiri, siyo kudakia tu mzee! Au usije ukafikiri kila mmoja anapenda malumbano yasiyo na maana, Alwayz tafakari kabla ya kutoa maneno, kuwa makini sana
Ni kweli watoto wengi wa wachungaji wanakuaga hawajaokoka na watukutu balaa sijui shetani ndo anakuwaga kazini, mf Linah Sanga baba yake mchungaji lakini mwangalie
Amejitahidi sana kufafanua! Kwa kweli maji hufuata mkondo kuhusu mwonekano! Kuna watu wanavaa mavazi ya kujisitiri ila matendo yao ni machafu kupitiliza siwezi kumwukumu! Tumwachie Mungu aonae ya sirini ahukumu mwenyewe!!!
Umesema vema
Mungu akikuonyehsa tatizo ataka wewe iwe sehemu ya mabadiliko, kumwachia Mungu ni kiburi
Kubali kubadilika hata wewe unajua sio sawa
@@LordGodskitchen6470 😃🤣😂 nimechekaa atiii kiburi kabisaaa..hii gauni Haina utukufu😃hata nywele😄
Huwezi kuchunguza nguvu ya neno tuu bila kuchunguza appearance ya mhubiri,, huyu hana tofaudi na muonekano wa watu wanaodanga kama makahaba walivo, huwezi sema fuateni maneno msiangalie mavazi ,,iyo ni kuhubiliwa na wapuuzi wanaokalili neno ila mioyo yao ni vipofu.
Natunza Imani yangu na muujiza wangu upo
Mungu tusaidie
Binti, mafundisho yako mazuri na mazito sana, nakushauri usichekecheke, unapunguza uzito wa mafundisho, somo zuri sana!
Akicheka ndo inaongeza bidii ya kutuelezea vizuri wengine tunapenda akicheka
Huo ndo ualimu, kucheka muhimu
Mungu akulinde sana una kipaji na kalama za mungu mungu anaangalia matendo haangali nguo acheni kumnuku vipaya mtoto wa wawatu Amina pambana mungu yuko na wewe
Safi sna ❤
Barikiwa kwa kuwa biological daughter of prophet. It's blessings
Amen amen
I do appreciate you Frankly speaking, you inspired me
Amina binti wa Yesu
Ubarikiwe
Amen Amen Amen dada nimekuelewa sana somo zuri sana
Amina mungu akubariki mtumishi
Mungu alinde uzao awainue awalinde ni fraha sana sisi watumishi kuona mtoto wako anasimama madhabahuni analisema neno la Mungu ni fraha sana Mungu awainue hawa watoto wa huyu baba awainue sana awatukuze sana nawaombea
Hii comment ni yako au naona vibaya
Utanitambuaje kama mie nimeokoka? Nope majibu waumini wa kweli
Hakika leo nimejua Kuna Siri kubwa Sana ya kimungu kwa watu tunaoitwa Monica my sos umenitia moyo Sana nakupenda wajina wangu na hakika sitakata tamaa tena.
Mrs nabii nimeelewa mahubili yako zidi kumpendeza mungu
Dah umenifariji sana moyowangu kutokana namapito yngu😢. MUNGU AKULINDE
Good girl, be blessed in JESUS name MONICA
R.i.p nisher 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Mungu pekee akakuinue monica ukafanye zaidi binti yangu
Amina Somo zuri sana lenye kutia moyo hakika mtu hutakiwi kukata tamaa cha msingi ni kupambania ndoto zako huku ukimtanguliza Mungu yeye muweza wa mazito na mepesi ipo siku atatenda kwa njia usiyoitaraji zidi kubarikiwa
U are smart my sister 😊
Monica love you so much god bless you
Great
Ubarikiwe dada monica ❤
U made it lady..keep it up 🥳
Nakubali maneno
Mnaacha kusikiliza ujumbe mnamchambua binti wa watu kiufupi nimejifunza vitu vingi sana na nimebarikiwa na nitashinda
Siskiii Bwana Yesu asifiwe,
😃😃😃
usikariri, hapo ni kusikiliza mafundisho kwanza.
Mungu akubariki sana mtoto❤
Umeva vibaya sana kwenda za kwendeya disco
Powerful
Dah inauma sana baba na mwana wote vipofu......
❤❤sana
Mungu wangu huyu ni faya nyingine nakuomba baba nabii asaidiwe ili kukua Saidi damu ya yesu umfunike kwa damu yako
Nakupenda monic jitambue hivyohivyo wazazi wamezaa ila Mungu akuongozeee mama
Asante Monica
Shallom shallom niko marekani lakini ni Mtanzania Naomba number ya Nabii ninashida naye ombi
Katika vitu watumishi wengi hawafanyi nikuwaambukiza watoto wao kuhusu kumtumikia Mungu au kuwaelekeza kwa Mungu hii nimeifrahia wakumbushen watoto wenu kuhusu utumishi hongera saana saaana Jo dev kuwakumbusha watoto nakuwalea vizuri mtoto anapoongea hapo inaonekana kabisa amelelewa ongera saaana nawatumishi tujifunze apa
Monica unao utashi na ndani yako unamoyo wa jiungu Sana. Kama hicho unachoongea ndicho. Mungu akulinde
Asante🙏 Monica maneno yako nimafunzo kwa watu
Asomaye neno la Mungu anajua asili ya nywele hizo, zitokako ndio mana mumeona baba kazigusa bila kujali kuwa ni binti yake.
Good job Monica.
Angalia nafsi yako wewe usiangalie ya mwenzako! Huyu amejitahidi sana kwa mara ya kwanza tu ameweza hivi! Huyu ni kipaji mavazi nywele wala havina shida kabisa sikuliza ujumbe tu.
Dah kwakweli mwanamke anatoa neno akiwa amevaa nguo ya kwendea bar kichwani ameshevu kiduku tunasema inalilah wainaliahi rajiuni huu ni msiba mkubaa
She talked to me direct this lady,abarikiwe.
Barikiwa Kwa ulichopanda Rohoni,
Shetani anafunga watu ufahamu na anakundi kubwa ila Mungu ana wachache waliomkubali waitwao ni wengi wateuliwao ni wachache .