@NSWANA LUCHEYA, hata kama umeoa wewe pendelea kuusikiliza uwe kichocheo ktk kuimarisha ndoa yako, ni maneno kutoka kitabu cha WIMBO ULIO BORA, SURA YA 2 :8, 2:16, 5:9b, 4:1b, 1:15b, 5:11b, 5:II, 5:13b, 7:11, 7:12
Yani sichoki kuutazama wimbo huu,hongera sana waimbaji video imetulia sana, hongera mwanangu Laurian Nyoni kwa utunzi Mungu akubariki sana Mtumishi wa Mungu
Daa hii ngoma kiboko sana, Nimewapenda wote ghafla kama ujumbe wenu mmnaotoa aise. Mbarikie sana Wana Gaspar kwa kazi iliyotukuka Sana.. Mpendwa wa Nafsi yangu...
Hongeren sana Wanakwaya wa kwa wmbo mzuri na kwa video nzr, mmependeza kwa mavazi mazuri na yakuvutia, Mungu azid kuwabariki mdumu katka kumtumikia yeye kwa Nyimbo nzr za kumsifu Yeye ,Amina
The way this song is marvelous why does not take more than 10mins... Those who sung it are really portraying the the words spelt out....meaning handsome and pretty as they are. They did justice for the song..congratulations!!! ...great work
Kazi nzuri Sana Wana HT na wanakwaya, itabidi ntafute mchumba Kati ya hao wanadada kutoka na sifa wanazomsifia mpendwa wao. Pengine atakuwa akiniimbia na Mimi katika nyumba yetu
Na ninyi ni wazuri sana wapendwa wangu na wimbo wenu mtamu sana, Sauti yenu nyororo na safi zaidi, Sikomi kuwasikiliza hata, na mwendelee kutupatia zaidi mkibarikiwa
Safi sana uwepo wa mungu ndio unafanya hivyo mulivyo
Huu wimbo ndiyo utaochezwa jumamosi siku kubwa kwangu siku ya harusi namshukuru Mungu Sana niombeeni na karibuni Sana
Hongera Grady na Mungu akuongoze katika ndoa yako
Nmeipenda Dana wimbo huu Big up wanakwaya❤👍
Wimbo mzuri waimbaji mungu awabariki
Nimepata wimbo wakuingilia ukumbini bado mme nashela❤😂
Still watching at 2024???
Wimbo Mzuri Sana 💐 💐 hongereni
Wimbo mzuri sana. Nengekuwa sijaoa, nigechagua wimbo huu na kwaya hii.
Hongereni sana.
Kutoka Zambia Kafue.
Nimeupenda
@NSWANA LUCHEYA, hata kama umeoa wewe pendelea kuusikiliza uwe kichocheo ktk kuimarisha ndoa yako, ni maneno kutoka kitabu cha WIMBO ULIO BORA, SURA YA 2 :8, 2:16, 5:9b, 4:1b, 1:15b, 5:11b, 5:II, 5:13b, 7:11, 7:12
Wimbo umenigusa Sana kwa kweli na nitapenda uchezwe siku ya ndoa yangu...
Hongereni naona vionjo vya Kingoni hongera Mr Nyoni Ubarikiwe kwa kazi nzuri.
Wimbo mzuri sana
Wimbo bora, waimbaji bomba, video bora. Hongereni sana wanakwaya kwa uimbaji wenu mzuri!
Leo wimbo huu umekuwa wimbo wa wiki kupitia Radio Maria Tanzania
Hongereni sana
Yani sichoki kuutazama wimbo huu,hongera sana waimbaji video imetulia sana, hongera mwanangu Laurian Nyoni kwa utunzi Mungu akubariki sana Mtumishi wa Mungu
Dàah nyimbo nzurii sana Mungu awabariki sana
Congratulations, Mungu azidi kuwatia moyo wa kuinjilisha kwa nyimbo.
Hongereni sana wanakwaya kwa kuimba wimbo mzuri wenye kuvutia
Hongeren sana mungu awabariki kwa kazi nzuri
Thanks for sharing this beautiful video. Such delightful singers, fantastic young men and women.
Thanks again.
Keep well
Keep singing!
Jarlath
Safi Sana mbarikiwe
Tusali kwa nyimbo ya kwaya nami nilikuwa mwanakwaya wa parokia ya makole miaka ya 85 .from italy now
Hongereni sana. Wimbo mtamu sana. Sauti nyororo barikiweni sana. Mungu awazindishie baraka.
wimbo ulio na maneno mazuri ya kumfanya binti kukaza ndoa yake, wewe ni mzuri sana mpendwa wangu,
Mmeimba vizuri wanakwaya mungu awabariki Sanaa
Wimbo mzuri sana lakini tutafakari yaliyomo Mungu awabariki sana
Daa hii ngoma kiboko sana, Nimewapenda wote ghafla kama ujumbe wenu mmnaotoa aise. Mbarikie sana Wana Gaspar kwa kazi iliyotukuka Sana.. Mpendwa wa Nafsi yangu...
Jmn Mungu nijarie mume nfunge nae ndoa kansan tucheze wimbo huu
Mbarikiwe na mungu kwa kazi nzuri
my dad asked the choir to sing this song on the day we paid our last wishes to my dear late mother....
Wibo mzuri unacheche za upendo
Wimbo Mzuri Mungu Wabariki sana Hongera na Mtunzi pia
Hongeren sana Wanakwaya wa kwa wmbo mzuri na kwa video nzr, mmependeza kwa mavazi mazuri na yakuvutia, Mungu azid kuwabariki mdumu katka kumtumikia yeye kwa Nyimbo nzr za kumsifu Yeye ,Amina
Namwona cherestine masemla hongera sana Mungu awabariki maneno yanasikika sana
Nawapenda sana wajilani wangu .
Kwaujumbe wa nyimbo zenu
Wooow wimbo uko vizuri sana...kama waimbaji wenyewe...mubarikiwe
Hongera Sana Kwa utume...
A beautiful song in deed
very nice song....saut ya kwanza mnanivutia mnoooooooo
Mbarikiwe sana wimbo ni mtamu sauti inavutia na nyi yi wenyewe khaki mnape ndeza sana
Well composed song. The message is powerful. Mungu azidi kuwabariki na utunzi wa nyimbo zaidi
Hongereni sanaaaaaaa kazi nzuri... Mungu azidi kuwabariki
Wimbo huu niki upiga huwaga unani kosha sana❤❤
😊
Hongereni wanakwaya mmependeza sana
Asante nyimbo nzuri sana wewe ni mzuri sana mpendwa wangu
i love how you guys look at each other in a romantic manner......wimbo mzuri sana,i would sing to someone in future
wooooow
The way this song is marvelous why does not take more than 10mins...
Those who sung it are really portraying the the words spelt out....meaning handsome and pretty as they are. They did justice for the song..congratulations!!! ...great work
Na wimbo hii , naenda mbinguni , mungu apewe sifa sana.
Kazi nzuri Sana Wana HT na wanakwaya, itabidi ntafute mchumba Kati ya hao wanadada kutoka na sifa wanazomsifia mpendwa wao. Pengine atakuwa akiniimbia na Mimi katika nyumba yetu
Thanks for the nice song .
Huu wimbo mzuri yaani nausikiliza mda wote dah.. hongera kwenu
@@athanasiaanney5839 yes, unagusa sana. Yani ni wimbo wenye message kuu
Yaani wanaume wenye mpango wakufunga ndoa siku za karibuni huu wimbo unawafaa na kupigwa siku ya harusi zenu
@@athanasiaanney5839 wakuolewa waliisha jamani.
Kumwimbia Mungu ni raha sana!!! Nimetamani!!!!! Mungu awabariki
Sauti tamu sana
Na ninyi ni wazuri sana wapendwa wangu na wimbo wenu mtamu sana,
Sauti yenu nyororo na safi zaidi,
Sikomi kuwasikiliza hata, na mwendelee kutupatia zaidi mkibarikiwa
Nimeufuraia ni nzuri n.a. mnaimba vzuri
Wimbo mtam Sana, nimeipenda na wanakwaya mmependeza
Wewe ni mzurii Sana.... love it walai
Hongera sana wanakwaya kwa kazi nzuri ya bwana,mnilioifanya na mnayoendelea kumfanyia bwana!
wimbo mtamu kweli. mungu awabariki zaidi
Nyimbo zote za HT ni nzuri sana,zinapendeza sana,mwatubariki na tungo safi na midundo
@@HOLYTRINITYSTUDIOS Nyimbo zenu zinakosha sana
Good video and great song
Wimbo mzuri sana huo...hongera kwa sauti zenu nzuri
Toutes les chansons religieuses de tous les pays j'ai les adore . je les écoute régulièrement sur you tube.
Waooooh! Wimbo nzuri xana,mbarikiwe xana
This song is a blessing to me I used on my wedding day when entering the the church,
Well dressed
Hongereni wanakwaya mungu naomba na mm nipe mpendwa wangu najua kwa mungu linawezekana mume mwema hutoka kwako baba uliye mbinguni
Hongereni kwa kaz nzuri
Lovely song indeed. Aki mimi ntahama Kenya nkuje Tanzania.
Nimebalikiwa
Asante kwa wimbo mzuri
Tamu sana ....blessed naskisa al the way from Colombia very inspiring
kwa kweli mmenibariki sana. Hongera kwa kazi nzuri.
Wimbo mzuri,video nzuri mno Mungu aendelee kuwabariki ktk utume huu
Wimbo mzuri video nzuri
Safi sana mmetisha mungu awabariki sana
Mungu wa mbinguni awabariki
Kwa kweli kwa Yesu raha
Hongera Sana kwa wimbo mzuri
HT...hakika ninyi ni furaha nawapongeza sana wanakwaya kwa kazi hiyo nzuri Nimependa mpka nahisi utukufu na upako
Kazi nzuri mbarikiwe nyote
Ongeraaa sanaaa umenibariki
Wanakwaya ata mbinguni tunaimba kazi ninzuri sanaaa mbarikiwe
Mungu awainue katka kazi zenu nyimbo nzur kweli
Hongera Laurian Nyoni
Hongereni Gaspar del Buffalo
Hongereni Holly Trinity studios.
Amazing video ina utulivu wa kikatoliki.
Wimbo mzuri Sana mungu hawazidishie talanta zenu ktk masomo yenu na maisha yenu
Ubarikiweni sana hata kwamavazi mkovizuri daimamsijisahau nyie nikioo
Msg nzuri, hongereni jmn
Mbarikiwe mno mno, nitamwimbia Mungu siku zote maishani mwangu.
Nimeifurahia huu wimbo mzuri sana sana...nimeupenda...
kwaya hii naipenda sana hongeleni sana kwa uinjilishaji
Wimbo mzuri mungu awabariki mmependeza pia hongereni sana.
God bless you nice song
Wimbo mzuri sana asanten sana Mungu azidi kuwainua
Duu hongeren jaman mungu awabariki
Asanten.sana.kwanza.mmependeza.mungu.awabarik.sana
Hongereni Sana mmeimba vzr nammependeza sana
Nimeupenda sana wimbo,ongera
Asanten kwa nyimbo nzur mungu awatie baraka daima
This song reminds me someone who was special to me, whenever we met he played it for me😢
Hongereni sana mnaimba kwa hisia kweli. Kweli Mungu wetu mi mziri sana
Hongeren sana❤❤
hongereni sana wapendwa kwa wimbo mzuri barikiwa sana
Mungu awabarikiiii sana sauti ya pili mmeimba vizuri
Halloow wew ni mzuri sana mpendwa wangu ee Bwana bless me
Hongerni Sana wanakwaya mmeimba vizuri saaaaanaaaa, pia mmependeza sana mungu azidi kuwabariki
Ww n mzuri sana mpendwa wang i lyk it Mungu awabariki
Well done kwaya mt.Gaspar
Nyimbo zimetungwa ili ziimbwe...hongereni sana...
Hongereni Sana kwa kujitoa na kutumia muda wenu kwaajili ya Bwana!! Mbarikiwe Sana