Це відео не доступне.
Перепрошуємо.

Mt. Kizito Makuburi-YESU NI MWEMA, (official music video)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 тра 2011
  • Wimbo huu ni utunzi wa Bernard Mukasa, ulirekodiwa na kuimbea na Kmk Makuburi katika album ya Nyumba ya Roho

КОМЕНТАРІ • 790

  • @beatriceloyang
    @beatriceloyang 2 місяці тому +32

    Who's here in 2024

  • @pattypatty9315
    @pattypatty9315 2 місяці тому +12

    2024 bwana Yesu asifiwe

  • @user-fredrickmtei
    @user-fredrickmtei 2 місяці тому +7

    Hongera mtunzi wa kwaya hii

  • @immanicoikonko5287
    @immanicoikonko5287 5 місяців тому +25

    Kaiiiiii this song wueeeehhhhh!!!! Powerful!! Praise...Nimetafakari habari zako, nami nashindwa kuelewa kabisaaaaaaa, binadamu angenipa Neema, kesho angechoka kunipa zaidi....lakini wewe Haina kikomo wala mvua zako hazina majiraaaa!!!! This one got to my spirit with immediate Effect....vipi na hiiii....ulijua wazi ya kwamba mimi sikustahili lakini ukaruhusu nifanikiwe juhudi zangu!!! Dahhhhhhhhhh nyieeeeeeee aiseeee this song is preaching a great deal sanaaaaaaaa ❤❤❤❤❤❤Much Love for the song!!!!

  • @mauruskomba9187
    @mauruskomba9187 7 місяців тому +23

    Nimeanza mwaka 2024 na huu wimbo, naona nina kila sababu ya kusimulia ukuu wa Mungu siku zote za maisha yangu. 🎉🎉🎉❤

  • @PerisMokeira
    @PerisMokeira 5 місяців тому +7

    It's 2024 still the song like of yesterday,can't get enough of it🙏🙏

  • @TibyondimuJooo
    @TibyondimuJooo 4 місяці тому +2

    Huu wimbo kila niusikiapo unakua mpya masikion mwangu haakika Mungu ni mwema

  • @FraiscaNestory
    @FraiscaNestory 2 місяці тому +4

    SIFA NA UTUKUFU NI ZAKO MILELE 🙏

  • @winniem8115
    @winniem8115 4 роки тому +47

    Nimetafakari habari zako nami nashindwa kuelewa kabisa
    Binadamu angenipa neema kesho angechoka kunipa zaidi
    Lakini wewe hauna kikomo, wala mvua yako haina majira
    Bwana, wanyesha mvua, Bwana, kwa walio jangwani
    Bwana, wawasha jua, Bwana, mpaka baharini
    Kweli Bwana wewe ni mwema sana
    Nitasimulia miji, Yesu ni mwema, Yesu ni mwema
    Nitahubiri vijini, Yesu ni mwema Yesu ni mwema
    Nitayafafanua haya, Yesu ni mwema Yesu ni mwema
    Watu wote wapate kuyajua, Yesu ni mwema Yesu ni mwema
    Nitasimulia nchi, Yesu ni mwema Yesu ni mwema
    Niliwaza kwa ubinadamu mpaka mwisho wa kufikiri
    Ukataka nijipe moyo, nisihofu kitu
    Kwa kuwa humtupi anayekutumainia
    Ukataka nijipe moyo, nisihofu kitu, kamwe
    Uzoefu wa mapito haya ukaninyima usingizi
    Ukataka nijipe moyo, nisihofu kitu
    Kanuni za dunia zikavunja matumaini
    Ukataka nijipe moyo, nisihofu kitu, kamwe
    Giza lilipotanda mchana likanifunika usoni
    Ukataka nijipe moyo, nisihofu kitu
    Nikapiga kelele hofu kuu ikanisonga
    Ukataka nijipe moyo, nisihofu kitu, kamwe
    < h i t i m i s h o>
    [t|b] Naimba he he, naimba leo
    Naimba he he, naimba mimi
    Ulijua wazi kwamba mimi sikuwa nastahili,
    Kwa sababu mimi mdhaifu mwili na roho
    Ukaruhusu nifanikiwe juhudi zangu
    Makusudi ili nione ukuu wako
    Ndugu wanipende, jamaa waniheshimu
    Marafiki wanijali, wanisaidie
    Ndiyo maana leo, mimi nakurudishia;
    [w] Utukufu ni wako milele
    Sifa heshima ni vyako daima
    Wewe peke yako unastahili
    Usifiwe na uhimidiwe!
    Nakushukuru Bwana, kwa kuwa umeniona asante
    Nakushukuru Bwana, kwa kuwa umeniona asante
    Nakupa utukufu, kwa kuwa umeniona asante
    Milele na milele, kwa kuwa umeniona asante
    Nakushukuru Bwana, kwa kuwa umeniona asante

  • @SiloRosy-oz1lw
    @SiloRosy-oz1lw Рік тому +7

    Natamani kujiunga na kwaya hii

  • @JeremiahMatuku-wb3fi
    @JeremiahMatuku-wb3fi 3 місяці тому +6

    Huu wimbo nasikianga ukinibariki sana

  • @alexminde3129
    @alexminde3129 7 років тому +3

    yesu no mwema katika maisha ya kila mwanadamu amina

  • @petermbinga3128
    @petermbinga3128 5 років тому +4

    yesu kweli ni mwema sana mungu wetu yupo hai

  • @Ellybeny
    @Ellybeny Рік тому +13

    Hata ipte miaka 100 nikiwa dunian .,,
    Huu ndio wimbo wangu pendwa namba 1

  • @shukuranizawadi
    @shukuranizawadi Рік тому +6

    Huu wimbo sisemi k2 kabisa

  • @fedhakamili942
    @fedhakamili942 5 років тому +4

    Yesu ni mwema kilasiku mungu awazidishie vipaji

  • @JanethMadios
    @JanethMadios 9 днів тому +2

    Jamani huu wimbo sina cha kusema kwa kweli, maana umekuwa ukinibariki kila iitwapo leo!.......... mbarikiwe sana watu wa MUNGU❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @benoitwaziri2004
    @benoitwaziri2004 4 роки тому +7

    Bwana asifiwe na furaishwa na wimbo huyu ... from DRCongo

  • @taracisiogikonyo9989
    @taracisiogikonyo9989 5 років тому +4

    hongereni sana twangoja vibao vingine Mungu na awajalie neema

  • @VelejilyoMhongole
    @VelejilyoMhongole 12 днів тому +2

    Acheni utani Hawa watu waliimba vizuri vizuri vizuri vizuri.

  • @abelkaka9266
    @abelkaka9266 Рік тому +8

    2023 Utukufu ni wako milele

  • @georgelucas8031
    @georgelucas8031 4 роки тому +4

    Nmetafakari habari zako, nami nashindwa kuelewa kabisa, binadamu angenipa neema, kesho angechoka kunipa zaidi, lakini wewe hauna kikomo, wala mvua yako haina majira. Bwana wanyesha mvua kwa walio jangwani, wawasha jua mpaka baharini. Kweli Bwana wewe ni mwema sana.
    Haya maneno yakiimbwa kwa Imani, katika ulimwengu wa roho yanisikika kwa nguvu, kuna namna fulani hivi unaanza kuyaona maisha katika mtizamo tofauti

  • @pasiensiabel7278
    @pasiensiabel7278 Рік тому +4

    Miongoni mwa tungo bora zaidi kuwahi kutokea kwenye kwaya za Tanzania. Be blessed

  • @antonynganga4186
    @antonynganga4186 4 роки тому +11

    Wanakizito hongereni...huu wimbo ata Cjui niseme nini jamani...dah!! Naupenda sana..nausikiza kila siku na c choki,Asanteni Sana,barikiweni!!!!!

  • @dannjoroge2002
    @dannjoroge2002 Рік тому +4

    Live long Bernard Mukasa😍😍😘😋🎶🛐🛐🛐🛐🛐🛐

    • @esthernzioka8988
      @esthernzioka8988 Місяць тому

      This man Bernard, God bless him for His own glory.God bless whoever finds comfort in this Godly inspired song, Amen

  • @rahelmanyama6338
    @rahelmanyama6338 6 років тому +2

    Mbarikiwe sana hakika nafarijika sana nikisikiliza nyimbo zenu.hakika yesu ni mwema ck zote

  • @nelsonnchimbi5869
    @nelsonnchimbi5869 5 років тому +2

    asante mungu maana huu wimbo nimeutafuta nashukuru kwa kuupata . barikiwe sana kwa uwimbaji wenu . by amina nchimbi

  • @sheckycobb5240
    @sheckycobb5240 3 роки тому +2

    Nasisimkwa mwili kusikilizia wimbo huu....una uvuvio wa roho Mtakatifu. Kazi nzuri kumsifu Mungu

  • @eplisbackchannel2358
    @eplisbackchannel2358 Рік тому +6

    It's now 2023 and the song still afresh in our play list 😀😀

  • @sarah-hy7gz
    @sarah-hy7gz Рік тому +4

    Mungu ape nguvu Tena atunge nyimbo nzur Sana ubarikiwe Sana 2:54

  • @khairatzinzibar1434
    @khairatzinzibar1434 5 років тому +2

    Jamani Mungu awabariki kwa wimbo mzuri sana yaani ww acha tu mpaka nimelia kwa kukumbuka ukuu wa Mungu kwa kweli mwanadam angenipa neema angetaka kulipwa na maskini tungekua wageni wa nani tungekufa kama utitiri kwa kweli Mungu ni mwema tumsifuni mpaka kieleweke kwa ukuu wake na utukufu wake

  • @veronicamgimba5964
    @veronicamgimba5964 Рік тому +2

    Hata nikiwa sina chakula niusikilizapo huu mwimbo naona Amani tele moyoni na njaa haipo tena mt kizito mbarikiwe sana

  • @NeemaKmussa
    @NeemaKmussa 4 роки тому +3

    Nakumbuka enzi hizo nafanya kazi iringa za ndani tulikuwa yunasikiliza kipitia redio Maria 2009- hadi leo28/ 01/2020 Yesu ni mwema

  • @anatolyandrew7777
    @anatolyandrew7777 4 роки тому +2

    Huu wimbo ni mzr sana jmn hata ipite miaka 50 kama niko hai sintaacha kuusikiliza jmn naupenda san huu wimbo mpaka najion mwenye furah muda wote!
    Naimba eehh! Ulijua wazi kwamba mm sikuwa nastahili kwasabb mm mdhaifu mwili na roho ukaruhusu nifanikiwe juhudi zng makusudi ili nione ukuu wako ndg wanipende,jamaa waniheshimu marafiki wanijali wanisaidie ndio maan leo mm ninakurudishia Utukufu ni wako milele sifa na heshims ni zako daima ww peke yk unastahil uhimidiwe n Utukuzwe amina

  • @Martha4422
    @Martha4422 13 років тому +3

    NYIMBO INA MANENO MAZURI SANA KWELIMWANADAMU ANGENIPA NEEMA ANGENIDAI SIKUMOJA ILANEEMA YAKO MUNGU HAINA KIKOMO, NAKUSHUKURU MUNGU KWA KUA UMENIONA

  • @aggreyotieno
    @aggreyotieno 9 місяців тому +5

    I like Catholic and I urge all the families to be in catholic church, this this the only church which teaches the way of truth. THANKS TO MT. KIZITO FOR THIS GREAT SONG.

  • @justinemaingu1460
    @justinemaingu1460 4 роки тому +2

    2020 Yesu ni mwema anazidi kutupa baraka tele heri wale ote wanaomtumainia

  • @user-in6me1mx5p
    @user-in6me1mx5p Рік тому +5

    Mungu awabariki sana

  • @peterevalest-gp7md
    @peterevalest-gp7md Рік тому +2

    Mungu ni mwema nyimbo nzury sana mbarikiwe sana

  • @zinedinezidane2129
    @zinedinezidane2129 Рік тому +4

    Hadi raha jamani

  • @alexblazi4678
    @alexblazi4678 Рік тому +2

    This song never die,me watching 2023🙌

  • @morinemuonja3382
    @morinemuonja3382 Рік тому +2

    Mubarikiwe makuburi kwa nyimbo zenu

  • @metrinenasimiyu7588
    @metrinenasimiyu7588 Рік тому +2

    11 years down the line isn't a joke ,wimbo wenyewe waweza dhania uliimbwa jana,maybe some faces were too young now they are full grown kwa kimo na zaidi kwa hekima ya uimbaji

    • @magdalenakulwa4802
      @magdalenakulwa4802 Рік тому +1

      Ni, 2007 rafiki😂... so, ni miaka 16 tangia wareckord audio na ku-shoot video

  • @tasharosre6026
    @tasharosre6026 4 роки тому +2

    Ni kweli Yesu ni mwema dunia nzima mpate kujua jamani any one watch with me may 14 2020

  • @neemasaringe3307
    @neemasaringe3307 6 років тому +1

    ukataka nijipe moyo nisihofu kitu kamwe ,jamani kakangu mukasa hongera saana

  • @jacklinechepkoech1865
    @jacklinechepkoech1865 4 роки тому +8

    Nitasimulia nchi, Yesu mwema!!
    Super! Super! Great voices and spirit!!!!

  • @whiteirambona5544
    @whiteirambona5544 4 роки тому +2

    Wimbo huu naupenda sana. Nausikia Lila Siku asubuhi na jioni. ..unanipa fursa ya kutaja ukuu wa Jesus. Ila tu nigeomba aliye tunza huu wimbo atutilie maneno kwenye vidio ili tuweze tambua maneno yake yote. Juu kama mimi Murundi asiye zoeya vyilivyo Kiswahili cha Tanzania, Kuna maneno ambayo siyadikii vizuri.

  • @HappyJaakim
    @HappyJaakim Місяць тому +1

    Nyimbo nzuri Sana imenifariji sana

  • @martinodhiambo1639
    @martinodhiambo1639 Рік тому +3

    Huu wimbo naupenda sana.... the organist , the vocals....wacha tu. Mbarikiwe tena na tena.

  • @akwinomsombe
    @akwinomsombe 20 днів тому +1

    Wimbo wangu pendwa😊

  • @johnsadiki2657
    @johnsadiki2657 5 років тому +50

    A trillion likes for this catholic praise and worship song. Never will I leave the catholic church. Singing well is praying twice. Long live KMK Makuburi.

  • @lelo3106
    @lelo3106 Рік тому +1

    Yesu ni mwema nakupenda yesu kristu

  • @jescamuijsers4206
    @jescamuijsers4206 19 днів тому +1

    Yesu ni ngome yangu 🙏

  • @user-fredrickmtei
    @user-fredrickmtei 2 місяці тому +2

    Nabarikiwa sanaaa

  • @lilianpatrick3990
    @lilianpatrick3990 4 роки тому +4

    Mbalikiwe San wapendw wote mnaoskiliz nyimbo za din

  • @mercychepkorir656
    @mercychepkorir656 2 місяці тому +1

    After meeting Zacharia in person i had to look for his name everywhere and im realizing you are here. My favorite song, God bless you brother

  • @floramarco255
    @floramarco255 Рік тому +3

    Yesu ni Mwema 🙏

  • @witinessnombo4717
    @witinessnombo4717 5 років тому +2

    Naipenda San hii nyimbo jaman

  • @PaulineNzioka-tc7iy
    @PaulineNzioka-tc7iy 6 місяців тому +2

    It is truly said that "old is gold". I've always loved this song since the first time I watched it in 2013. 👏👏

  • @benmshongi3411
    @benmshongi3411 2 роки тому +16

    Yesu ni Mwema Yesu ni Mwema..my favourite catholic song.,getting to watch this Choir perfoming live is a real life blessing..

  • @anthonygambishi5580
    @anthonygambishi5580 7 років тому +1

    Hongereni kwa nyimbo zenu zenye ujumbe na majitoleo makubwa..Mungu awajarie uharisia katika myoyo yenu..uharisia wa nyimbo zenu

  • @martinmuthuititotitomuthui3383
    @martinmuthuititotitomuthui3383 4 роки тому +18

    I feel much blessed with this song every time. Proud to be a Roman Catholic believer .in the name of the father the son and of the Holy spirit Amen!

  • @user-fredrickmtei
    @user-fredrickmtei 2 місяці тому +1

    Hata sasa yesu ni mwema🙏🙏

  • @fadhilawashiku7
    @fadhilawashiku7 3 роки тому +2

    Actually,Yesu ni mwema,kazi njema.Mbarikiwe sana.

  • @tarryfahy4317
    @tarryfahy4317 6 місяців тому +3

    I thought it was a new song kumbe it's this old ❤

  • @jamesmwasambili381
    @jamesmwasambili381 8 років тому +15

    Yesu ni Mwema ni moja kati ya nyimbo za kwaya ya Mtakatifu Kizito Makuburi zisizonichosha kusikiliza,maana zausifu wema wa Mungu na hakika Yesu ni mwema sana.Mungu akubariki sana mtunzi B.Mukasa na kwaya yote

    • @fredmsemwa9671
      @fredmsemwa9671 5 років тому

      Mungu ongoza jahazi l ako wasikate taamaa

  • @dominashirima873
    @dominashirima873 5 років тому +1

    Mungu awalinde sana, wengine mmekulia hukuhuku jamani, Mungu naomba uwabariki

  • @annielove5351
    @annielove5351 7 днів тому +1

    MUNGU ni mwema🙏🙏🙏🙏😇

  • @polinesagina-ut1rs
    @polinesagina-ut1rs Рік тому +2

    Amen amen amen nimebarikiwa sana🙏🙏🙏🙏

  • @josephlupasha6228
    @josephlupasha6228 5 років тому +53

    Several years down the line, but this song never grows down mtunzi alituliza kichwa akaja na sala hii be blessed.

    • @philiposungu8035
      @philiposungu8035 3 роки тому

      Aaaàll. À a a a a. A à

    • @angie_dance254
      @angie_dance254 2 роки тому

      9 eh

    • @nyamohangamahemba534
      @nyamohangamahemba534 Рік тому

      Fffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffgfyyyyhftfw

    • @puritywanjiku181
      @puritywanjiku181 Рік тому

      @@angie_dance254 kkik88kkkikkkkk8kkkik8kikkikkkkkkkkk8kkk8kkkkkikkkkk8kkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkikkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkk

    • @julianakitinde7913
      @julianakitinde7913 Рік тому +1

      Indeed

  • @marymimina
    @marymimina Рік тому +13

    11 yrs ago and still rocking.....I can only recognize two singers who are still active in this choir to date. May God bless them and KMK at large🙏

  • @jaynejoseph8368
    @jaynejoseph8368 9 років тому +10

    Hongera wanakwaya ya mt kizito kweli mnatisha kwa nyimbo zenu tamu

  • @veronicasyombua6193
    @veronicasyombua6193 2 роки тому +15

    This song doesn't get old,,I like it...the sweetness of being a catholic😍😍😍

  • @angelkaiyula6980
    @angelkaiyula6980 6 років тому +1

    Napenda sana kwaya mt kizito wako vizuri hasa kwenye wimbo wa yesu ni mwema mungu hawabariki

  • @emmanuelsadiki7160
    @emmanuelsadiki7160 8 років тому +38

    I have 10000 reasons to listen healing songs like these, God talks his people in several ways, among of these ways is through choirs, I'm blessed with your nice songs dears in jesus christ, let God go on blessing you

  • @deogratiussweke5007
    @deogratiussweke5007 4 роки тому +1

    Dah! Tusife moyo tu jamani,.....Ni Mwema kweli.

  • @restitutamartin7455
    @restitutamartin7455 8 років тому +94

    i like Catholic Church for ever in my life but i like that song,be blessed all Roman catholic

    • @jeanmubemba1204
      @jeanmubemba1204 5 років тому +2

      kwa kweli Benard mukasa amepakwa mafuta ana kipaji cha sana cha kuandika vigongo,huwa anatubariki sana na kwaya yote,barikiwa

  • @rosepiere1857
    @rosepiere1857 3 роки тому

    Uwiiii imeimbwa Leo kanisani wote tumesimama na kucheza hakika yesu ni mwema

  • @joshuakaira-fe4yq
    @joshuakaira-fe4yq Рік тому +2

    Inanikumbusha mkoa wa manyara 2008 acha kabisa

  • @jaelmgassa3332
    @jaelmgassa3332 7 років тому +99

    Barikiweni jamani, Mimi ni Msabato lkn nyimbo zenu zinanibariki saana

  • @justinamwikali4975
    @justinamwikali4975 2 місяці тому +1

    Hakika Yesu ni Mwema

  • @luxuriantxeryza6476
    @luxuriantxeryza6476 2 місяці тому +1

    Kwa kweli yesu ni mwema

  • @johnsakala.9442
    @johnsakala.9442 5 місяців тому

    Hakika Ni mwema Sana Bwana Yesu.Amina.

  • @wesleyrogito8326
    @wesleyrogito8326 5 років тому +1

    mungu apariki kanisa letu katholiki na watunzi wetu wenye kibaji na neno LA mungu ienee kote

  • @marthamollel-mm5ws
    @marthamollel-mm5ws Місяць тому +1

    Yesu ni mwema.

  • @user-cj4um7ec4g
    @user-cj4um7ec4g 8 місяців тому +1

    Mtunzi abalikiwe sana

  • @izackgarimoshi6828
    @izackgarimoshi6828 4 роки тому

    Yaan nikisikiia hz nyimbo naona kama hakuna kfooo mungu atuszidie

  • @gracebuhatwa6359
    @gracebuhatwa6359 Місяць тому +1

    Naimba leo naimba leo

  • @elyseekarimu6667
    @elyseekarimu6667 3 роки тому +1

    Yesu kristu ni mwema

  • @kipawacrew5639
    @kipawacrew5639 Місяць тому +2

    Nani ametoka tiktok kwa ule mc wa maharusi😂🎉

  • @lawrencerogena3929
    @lawrencerogena3929 3 роки тому +2

    Hii ni kwaya ya ajabu

  • @robertmose2428
    @robertmose2428 3 роки тому +1

    Kweli Yesu ni mwema maishani mwetu. Yeye kajitoa mhanga kwa ajili ya maisha yetu. Mbarikiwe Sana.

  • @mkobapoli915
    @mkobapoli915 7 років тому +2

    Sawa wachangiaji ila ni 'Mungu ' badala ya 'mungu' ....Yesu badala ya 'yesu'

  • @cyrusregnald1718
    @cyrusregnald1718 2 роки тому +1

    Who come to watch this after tcra do there thing 😃

  • @raphaelomwenga5436
    @raphaelomwenga5436 5 років тому +1

    Huu wimbo hunipa motisha sana kwa maisha!YESU NI MWEMA,TUJIPE MOYO TUSIHOFU KITU KAMWE,Organist naomba tu tafadhali,unigawie hiyo talanta,naomba!!!You make songs zinakua na feelings moto Waah!!tugawie na Mungu akubariki

  • @bonatasha176
    @bonatasha176 5 років тому +1

    Huu wimbo unanisisimua hadi sijielewi. Yesu ni Mwema. Yesu ni mwema

  • @kabusinjaanselimi392
    @kabusinjaanselimi392 7 років тому

    Bwana wanyesha mvua kwa walio jangwani,...........hakina wewe ni mwema. Kizito Nawapenda, Barikiweni

  • @graciouzbae8106
    @graciouzbae8106 8 років тому +2

    one of my favourite song ever...nnapofeel down daima nawaza haya yaliyoimbwa na kwaya hii ata mara ingine hufikiri kweli hapa nlpo loe isingekua Yesu wangu mpenz nisingeweza ata kidogo ata marafiki na familia ni yy amenipatia...kweli daima natembea kwa ujasiri nikijua yeye ndio fimbo na ngao yangu

  • @bonitutah
    @bonitutah 10 років тому +30

    YESU NI MWEMA...huu wimbo uko juu. Bwana awabariki

  • @Cilouh_Music
    @Cilouh_Music 9 місяців тому +7

    Today I lost the Teacher Who made me know about the existence of this Hymn😢, It Will forever be special