NYIMBO PENDWA ZA KWARESMA 2024. Mtunzi Aloyce Goden KIPANGULA Chang'ombe Catholic Singers Dsm Tz

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 жов 2024
  • Nyimbo Hizi Zote zimetungwa na Mimi Aloyce Goden Kipangula na Kuimbwa na Wanakwaya wakatoliki Parokia ya Chang'ombe Jimbo Kuu Katoliki Dar es salaam ( CHANGOMBE CATHOLIC SINGERS). Ni wajibu wa kila Mbatizwa kuhubiri Injili kwa kadiri ya Karama aliyopewa na Mwenyezi Mungu. Nasi tumekuletea Nyimbo Hizi zenye Tafakari ya kina ili zikufae wewe na Yeyote ambaye utapenda kumshirikisha ili kwa Pamoja kupitia Nyimbo Hizi za Kwaresma Tuweze KUWAPELEKA WATU KWA KRISTO NA PIA KUMLETA KRISTO KWA WATU ( KUTAKATIFUZA MALIMWENGU). NI Nyimbo za Kwaresma lakini pia zinafaa Kuimbwa wakati wowote kwani Katika tungo hizo Hakuna Sehemu hata Moja ambayo nimezungumzia neno Kwaresma Bali nimezungumzia kuhusu umuhimu wa kutubu, kuacha Dhambi, kumgeukia Kristo, kumtegemea Kristo huku Tukiiga mfano wa Mtakatifu Agustino Hippo, Kurudi na kuacha njia ya Dhambi na kufuata njia ya Uzima.

КОМЕНТАРІ • 785

  • @shyfettymtunda4619
    @shyfettymtunda4619 5 місяців тому +3

    Nimefiwa na mwanafunzi wangu mwenzenu,naombeni faraja zenu😭😭Nipo hapa nalia mwenzenu hasa kila ninapousikiliza wimbo wa kwanza,"lakini hata sasa,nirudieni mimi"😭😭😭😭😭
    Mimi ni muislam by the way

    • @AloyceKipangula
      @AloyceKipangula  5 місяців тому +1

      Pole Sana kwa Kufiwa Mwenyezi Mungu akupe Faraja katika kipindi ambacho ni Kigumu

    • @shyfettymtunda4619
      @shyfettymtunda4619 5 місяців тому

      @@AloyceKipangula Ameen!🙏

    • @johnwiraka1444
      @johnwiraka1444 Місяць тому

      @@shyfettymtunda4619 may the merciful lord comfort you

  • @nayoomisweya6890
    @nayoomisweya6890 3 роки тому +63

    Hizi nyimbo ni nzuri sana, zinanigusa mimi sio mkatoliki lakini ninazipenda na zinagusa maisha yangu sana, Ubarikiwe sana kwa kutunga nyimbo hizi! Mungu azidi kukubariki ili uguse maisha ya watu wengi... AMEN

    • @AloyceKipangula
      @AloyceKipangula  3 роки тому +3

      Asante Sana Mpendwa Katika Kristo Endelea kutufuatilia, na kwa Neema ya Mungu tutaendelea kukuletea Nyimbo Nyingine

    • @wencegeorge9872
      @wencegeorge9872 3 роки тому +1

      Mbarikiwe kwa nyimbo nzuri.

    • @anthonyjosephat4624
      @anthonyjosephat4624 3 роки тому

      Asant San ubarick saw

    • @everlynenato5466
      @everlynenato5466 3 роки тому

      P

    • @lizziembwambo1271
      @lizziembwambo1271 2 роки тому +3

      @@AloyceKipangula sweet songs Mie sabato ila nazfulahia saan nabalikiwa n navutw zaid especially wakat wa unyonge na nkihc ulemevuu wa dhambi

  • @holycrossfamilyministriest9448
    @holycrossfamilyministriest9448 Рік тому +15

    Mungu atusamehe makosa yetu na kuzibariki familia zetu

  • @EuniceAkyoo-wd2ro
    @EuniceAkyoo-wd2ro 7 місяців тому +3

    Napendaa sana🙏🏿naomba mnisaidie nataka kudownload niandike vip hili kupata zotee

  • @cokolakasisi9211
    @cokolakasisi9211 3 роки тому +24

    Nasikiya kujazwa na huu nyimbo nimekosa unihurumiye bila huruma ya Mungu hakuna maisha kwa mwanadamu tupo sote binafsi mimi ni mwenye zambi Bwana anihurumie

    • @angelinembondo
      @angelinembondo Рік тому +1

      Mimi sio mkatoleki lakini zanibariki sana

    • @trztrzjb306
      @trztrzjb306 6 місяців тому

      Che bella!!!

    • @LeahPetersalamalohoni
      @LeahPetersalamalohoni 5 місяців тому

      Wimbo mzuri sana yesu krito alihulumie na anisamehe zambi Angu amina

  • @aminashariff9942
    @aminashariff9942 3 роки тому +13

    Asante sana mimi ni ni muislamu lakini napenda s⛪ana hizo nyimbo na napenda ukristo

    • @AloyceKipangula
      @AloyceKipangula  3 роки тому +3

      ASANTE NDUGU AMINA SHARIFF TUMEUFURAHIA UJUMBE WAKO. NA SISI SOTE NI WATOTO WA BABA MMOJA HIVYO NAKUKARIBISHA ENDELEA KUTUFUATILIA KUPITIA CHANELL YETU YENYE JINA ALOYCE GOLDEN KIPANGULA- ILI KUPATA NYIMBO ZOTE CHA CHANG'OMBE CATHOLIC SINGERS.

    • @everinrobert6539
      @everinrobert6539 7 місяців тому +1

      Karibu jmn

    • @winfridandunguru5834
      @winfridandunguru5834 7 місяців тому +1

      Karibu sana kanisan kwetu la katoliki.

  • @kwayabikiramariamamawashau2448
    @kwayabikiramariamamawashau2448 3 роки тому +34

    HONGERA NA ASANTE KWA NYIMBO NZURI ZA TAFAKARI YA KINA HASA KATIKA KIPINDI HIKI KIZURI CHA KWARESMA. IKAWE KWETU YA MAFANIKIO MAKUBWA KIROHO NA KIMWILI PIA

  • @metrinenasimiyu7588
    @metrinenasimiyu7588 3 роки тому +45

    ikiwa jumatano ya majivu,tunaanza msimu was Kwaeresma ,hivo basi nyimbo zako zinatukumbusha kumrudia Mungu wetu kwa kutubu na kuacha nia zetu mbaya ,Nabarikiwa sana nikiwa huku Kenya

  • @tutisalim2280
    @tutisalim2280 3 роки тому +187

    Jaman mi ni muislam lkn naguswa sana na nyimbo za baraka sana

  • @sophiesophie6452
    @sophiesophie6452 2 роки тому +22

    Asante mwenyezi mungu kunifanyizia nafasi wakati wa shida mwanangu ulmponya waziimu sina chakukulipa Bali nitaendelea kukutukuza

  • @matildanyallu7063
    @matildanyallu7063 3 роки тому +23

    Mungu akubariki kwa kutumia vema karama ya uimbaji katika uinjilishaji. Hakika nabarikiwa na nyimbo hizi

  • @marywambura9377
    @marywambura9377 2 роки тому +20

    My favourite lent songs collection of all time 🙏🏾🙏🏾😘👏🏾👏🏾

  • @rehemapima769
    @rehemapima769 3 роки тому +5

    Nimekooosaa nimekoosaaa nimekoosa baba nimekosa nihurumieee😭🤲🤦🙏

  • @sheysarahnjeno5207
    @sheysarahnjeno5207 Рік тому +7

    Nihurumie Nimekosa BABA..Nihurumie..Mie ni dhehebu tofaut na Romani Catholic ila Nimeguswa na nyimbo..hizi.kilala kher kwa kwaresma hii...MUNGU Awaongoze

  • @sylviashiundu382
    @sylviashiundu382 7 місяців тому +8

    Nimerudi hapa kuskiza tena nyimbo nzuri za kwaresma.....hongera bwana Aloyce kwà kazi nzuri,,,Mungu atuongoze kwa kipindi kinachotusubiri hivi karibuni

  • @samuelochieng4317
    @samuelochieng4317 Рік тому +36

    Catholic from Christ The King Opanga Catholic Church of Rongo Parish,Homa Bay Diocese in Kenya.
    The Kwaresma album and Nyimbo za Mama Maria albums are so spiritual to listen to.
    Blessed be the composers and singers,in a special way you are preaching to generations.
    May Rais Magufuli's soul continue Resting in Eternal Peace.It is during his state burial functions that I came to know about the Kwaresma Songs by Changombe Choir.Every moment I listen ,the funeral memory flows in my mind 😭.
    May he rip as he sing and dances with angels till we meet again.
    "Ee Bwana Unifaadhili Mimi.." was the hit that drew me to look for the song kwa UA-cam

    • @victoriousmakundi4771
      @victoriousmakundi4771 Рік тому +1

      Lccft

    • @adelinusacleus4237
      @adelinusacleus4237 Рік тому

      Keep it up

    • @martinsntonyo8537
      @martinsntonyo8537 Рік тому +1

      Baraka tele nyimbo tamu sana full of glory be blessed choir

    • @graceandrew3988
      @graceandrew3988 7 місяців тому

      Ee Bwana Unifadhili is my best song too in this album❤

    • @franmdleleni6520
      @franmdleleni6520 7 місяців тому

      I love this compilation of Chang'ombe choir. I will check out thd Homabay one also. Be blessed for feeling our hearts with such soothing songs. Listening from SA

  • @Kashashashuleyamsingi
    @Kashashashuleyamsingi Рік тому +1

    Amina,Mungu aendelee kuturehemu👏

  • @amanmaleko3085
    @amanmaleko3085 Рік тому +2

    Napenda kusikiliza hizinyimbo wakatoli 🙏

  • @sarahwekesa3117
    @sarahwekesa3117 7 місяців тому +1

    Touching songs, mungu tuhurumie na utusamehe makosa yetu..

    • @AloyceKipangula
      @AloyceKipangula  7 місяців тому

      Amina. Asante Sarah endelea kutuombea Ili Roho Mtakatifu ezidi kutupatia mapaji yake tuendelee kutunga nyimbo kwa sifa na utukufu wake

  • @marcmathewmuyala1937
    @marcmathewmuyala1937 2 роки тому +4

    Ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu kwa nyimbo zenye ujumbe tukufu

  • @richardmuema619
    @richardmuema619 7 місяців тому +1

    Mungu atujalie neema zake kipindi hiki cha kwaresma tunapotubu na kumrudia

  • @ludoviclymo2044
    @ludoviclymo2044 Рік тому +2

    Naguswa sana nikizisikia hizinyimbo.mungu aniurumie

  • @chrispinuswanjala7922
    @chrispinuswanjala7922 Рік тому +3

    I come from Christ the king Cathedral Bungoma, Bungoma diocese (western Kenya).All the best bro

  • @getrudecharles444
    @getrudecharles444 2 роки тому +2

    Barikiwa sana mtumishi kwa kazi nzur.

  • @kimaugymnast
    @kimaugymnast Рік тому +2

    And again here is Lent. Tumshukuru Mungu!

  • @AfwilileNisaidie
    @AfwilileNisaidie 6 місяців тому

    Hongera mtunzi na waimbaji nyimbo nzuri

  • @rachelmwachofi9687
    @rachelmwachofi9687 7 місяців тому +6

    Mungu aishiye milele atuhurumie na atusamehe dhambi zetu sisi wakosefu na atujaze roho wake mtakatifu katika kipindi hiki cha kwaresma

  • @NancyIndulaji
    @NancyIndulaji 7 місяців тому +5

    Am a catholic by faith.The Lenten songs are so inspiring.More please.God bless.

  • @CATHERINEALANUS
    @CATHERINEALANUS 7 місяців тому +2

    Pamoja sana ktk.kipindi hili cha kwalezima tumrudie na tufanye toba ya kweli

  • @jacklinamatias9230
    @jacklinamatias9230 Рік тому +1

    🙏🏼🙏🏼🙏🏼hakika nyimbo zimenigusa zaidi

  • @noramshila889
    @noramshila889 Рік тому +5

    Mimi kila wakati haipiti siku kama sijasikiliza hizi nyimbo na kurudia mara kadhaa... Mungu Ambariki kwaya hiyi. Sauti zimepangwa vilivyo

  • @experiuschota-op3qk
    @experiuschota-op3qk 4 місяці тому

    Ee Mwenyezi Mungu, uwe nasi katika nyakati zote.

  • @AfwilileNisaidie
    @AfwilileNisaidie 6 місяців тому

    Hongera mtunzi na waimbaji nyimbo nzuri 1:35 2:09

  • @aminarajab1045
    @aminarajab1045 7 місяців тому

    Jamani nakumbuka tz kwaresma nyimbo zina sisimua sana

  • @تتغتا-س6ش
    @تتغتا-س6ش 7 місяців тому +3

    Ee Bwana unfanifhili mimi 💖 💓 ❤️ 💕 ♥️

  • @GeorgeWeyakisala
    @GeorgeWeyakisala 4 місяці тому +1

    Nakuomba ndugu kipangula nipelekee ushsuli wangu kwa jimbo kuu la dar es salaam naomba kama lile kanisa jipya. Litalochua nafasi ya st Joseph liiwe na sehemu itakayo wekwa picha za wale wote waliotunga tuzi bora yaani tokea ukatoliki upoingia tanzania 🇹🇿 ili vizazi vyetu vitambue michango ya wazee wao mungu hawabariki watuzi maana injili inasambaa kweli kweli amen 🙏

  • @benedictrkorosso153
    @benedictrkorosso153 Місяць тому

    Wakati nilipo pitia magumu na ninapopitia magumu mdao wote nyimbo hii hua inanifariji.
    asante kwa kuitunga

  • @ReyFau
    @ReyFau 6 місяців тому

    Huu wimbo wa kwanza unaniguza sana.nakummbuka msiba wa baba yangu

  • @OtienoAdipo
    @OtienoAdipo 20 днів тому

    Nimerudia bwana mungu na moyo wangu yote ,nilikua nimepotea nikala na ngururue lakini nikakumbuka nyumba ya Baba yangu nalala naye ,nimerudi nyumbani mwa Baba yangu ,EEE bwana yesu nipoke Mimi mwano

  • @robinsontheone4317
    @robinsontheone4317 2 роки тому +4

    We really need to walk with God and lead us in the way to heaven and live happily life in paradise. Dear lord we have done many sins now its our turn to pay you for good cause you have been with us all the time you don't care if we does wrong I love you God help me out of this sin and Forgive us all Help the world

  • @KalistaLagma
    @KalistaLagma 7 місяців тому

    Nawatakia kwaresma njemà

  • @LeticiaMasinde
    @LeticiaMasinde 6 місяців тому

    Mungu utuhurumie sisi pamoja na familia zetu

  • @HappinessBoniphace-v2j
    @HappinessBoniphace-v2j 7 місяців тому +9

    blessed again with this songs🙏on ash wednesday on 2024

  • @tilda1297
    @tilda1297 Рік тому +2

    Mpendwa Tuti Salim, Mungu akuimarishe katika ufuatiliaji wa nyimbo uzionazo ni za Baraka kwako

  • @mariamjames5462
    @mariamjames5462 Рік тому +1

    Nyimbo nzur mno za kwalesma zinafundisha vizuri mno

  • @juliusmichael6191
    @juliusmichael6191 Рік тому +1

    Nyimbo na sauti nzuri sana mbarikiwe

  • @JacobErnest-vk7me
    @JacobErnest-vk7me Рік тому

    Nabarikiwa Sana na nyimbo hizi

  • @yohanahussen
    @yohanahussen Рік тому +4

    Mungu awabariki kwa kutenga muda wenu na kumuimbia Mungu hakika tunaobarikiwa ni wengi kupitia nyimbo zenu na kutumbusha mambo muhimu ya kumtafuta "Mungu"

  • @wilhelminacheyo6137
    @wilhelminacheyo6137 7 місяців тому

    Aloyce hongera sana kwa kazi nzuri
    Mungu akubariki sana kwa kazi yako njema na kizazi chako Mungu akibariki kazi umeifanya

    • @AloyceKipangula
      @AloyceKipangula  7 місяців тому

      Asante Sana Wilhelmina Cheyo tuzidi kuombeana Ili kupitia nyimbo hizi Watu wamwone Kristo Mkombozi wetu

  • @RoseRose-si9ik
    @RoseRose-si9ik 2 роки тому +3

    amin

  • @FatumaAloyce
    @FatumaAloyce 7 місяців тому

    AMINA

  • @irenejunechiriikenyangal254
    @irenejunechiriikenyangal254 Рік тому +2

    Thanks for uploading 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @charlesndugulile7726
    @charlesndugulile7726 3 роки тому +2

    Mkuu uko vizuri sana,

  • @lydiakubingwa3180
    @lydiakubingwa3180 3 роки тому +5

    Hongera Kaka kwa kuhubiri injili ya kupitia uiimbaji, tunafarijika na nyimbo zako hasa katika kipindi hiki cha kwaresma, Asante

    • @AloyceKipangula
      @AloyceKipangula  3 роки тому +1

      Asante Dada Endelea kutufuatilia kupitia hii youtube channel Yetu Ili uinjilike Zaidi

  • @alexcaspary7226
    @alexcaspary7226 6 місяців тому

    Mungu ni mwema kwetu

  • @christinekhaemba1524
    @christinekhaemba1524 6 місяців тому +1

    Good song ❤

  • @gastokibabas2871
    @gastokibabas2871 Рік тому +2

    Mungu akubariki kwakutumia Karama vema aliyokupa mungu

  • @kimichiboytz8697
    @kimichiboytz8697 Рік тому

    Napenda sana hz nyimbo

  • @marthajoseph3297
    @marthajoseph3297 2 роки тому +4

    napenda nyimbo za injili sana za imani zote ili mradi zina utukufu wa MUNGU.

  • @HarrietMusimbi-n6f
    @HarrietMusimbi-n6f 7 місяців тому

    Nabarikiwa Sana inagusa Moyo Wangu be blessed all ❤

  • @salmasalometitus2139
    @salmasalometitus2139 3 роки тому +14

    Huu wimbo naupenda sana hakuna mwanadamu ambaye anaweza jitoa kufa kwaajili yetu ila Yesu tu .

  • @briannakendrick1346
    @briannakendrick1346 3 роки тому +7

    Mimi sio mkatoriki lakini nimebarikiwa sana na hizi nyimbo Ee bwana unifadhili mimi🙏

  • @FortuneMlela
    @FortuneMlela 6 місяців тому

    Kaka Aloyce,wimbo wa nne unanikumbusha kuwa mlango wa uruma ya MUNGU huu wazi,Kwa Nini siukaribii,,,,

  • @devothasamora8012
    @devothasamora8012 3 роки тому +4

    Nyimbo ina hisia sana hii,Mungu azidi kuwabariki waimbaji

  • @lwanjiedna5233
    @lwanjiedna5233 3 роки тому +4

    Nazipenda hizi nyimbo mimi mlokole mpentecoste.nyimbo hizi nzuri zimeimbwa kwa utulivu na ni neno la MUNGU.Mbarikiwe sana kazi nzuri Changombe katolic

  • @rosembwawa20
    @rosembwawa20 9 місяців тому

    ❤Mungu tusamehe watoto wako

  • @alicemuia1775
    @alicemuia1775 Рік тому +6

    And today marks beginning of another Kwaresma, May God help us

  • @mariamulupatu-wl3qb
    @mariamulupatu-wl3qb Рік тому +1

    Napenda sana nyimbo hz pia nabarikiwa sana

  • @Annmurichu-iu4qi
    @Annmurichu-iu4qi Рік тому

    Tumsifu yesu kristu kila wakati

  • @christinemaero3245
    @christinemaero3245 Рік тому +1

    God my Father indeed I have sinned,,,,,, have mercy on me

  • @IsumailTiger
    @IsumailTiger 7 місяців тому

    Ubarikiwe sana ndugu, nyimbo tamu sana hizi

  • @angelinanicora
    @angelinanicora 6 місяців тому

    Congratulations!! 🙏🙏And thanks a lot for boosting our love in God through this song prayer🙏🙏👏

  • @KelvinKasuga-ij7lg
    @KelvinKasuga-ij7lg 3 місяці тому

    M balikiwe wote mnao sikiliza hizi nyimbo nzuri

    • @AloyceKipangula
      @AloyceKipangula  3 місяці тому

      Amina. Tunaomba uwatumie na wengine Ili wasikilize

  • @AristidesAdorath
    @AristidesAdorath 7 місяців тому +2

    Tufunge na kusali kwa roho na kweli bwana atapokea sala zetu huku tukitafakari nyimbo za kwaresma

  • @charlesndugulile7726
    @charlesndugulile7726 3 роки тому +3

    Mungu akubaliki sana, ninapokua ktk wakt mugumu, nyimbo zako hunifariji sana, ubalikiwe Mr Aloyce

  • @ROSEMARYLENEMI
    @ROSEMARYLENEMI Рік тому

    I,thank God 4 everything

  • @alicemuia1775
    @alicemuia1775 7 місяців тому

    Nyimbo nzuri sana za Kwaresma, today is also ash Wednesday

  • @ramasirro770
    @ramasirro770 2 роки тому +1

    Katika hii album wimbo Ee bwana unifadhili huwa nanyenyekea mno nikiusikiliza yaani daah nimeutafuta kwa muda sana kumbe ni kazi ya Chang'ombe Catholic Singers ubarikiwa sana Aloyce Golden..

    • @AloyceKipangula
      @AloyceKipangula  2 роки тому

      Asante Ndugu Ramadhan sirro. Uzidi kutuombea Ili tuendelee kuinjilisha Pamoja

  • @januarykazoba931
    @januarykazoba931 Рік тому

    MWENYEZI MUNGU AKUBARIKI SANA

  • @LucyMbatha-b9s
    @LucyMbatha-b9s 7 місяців тому +8

    I like your Lenten songs, very inspiring.

  • @yustermathias3856
    @yustermathias3856 7 місяців тому

    Ee mwenyezi Mungu nisaidie nitubu hima

  • @yustermathias3856
    @yustermathias3856 7 місяців тому

    Zinanipa faraja sana, ila namukumbuka sana Mama yangu kipenzi😭😭😭🙏🏼

  • @sylvestermatalu3245
    @sylvestermatalu3245 7 місяців тому

    Ee Mungu uniwie radhi Mimi mwenye dhambi

  • @adelinelyaruu3036
    @adelinelyaruu3036 7 місяців тому +1

    Mungu tunakushukuru kwa kwaresma hii. Tembea nasi katika safari hii ya toba. Tunaomba utusemehe makosa yote tuliyokukusea tukijua na bila kujua. Upendo wako uwe nasi milele Amina❤❤❤

  • @EvordNyamkecha
    @EvordNyamkecha 2 місяці тому

    Karibu sana ukristu

  • @mwangebulongo
    @mwangebulongo 7 місяців тому +1

    Nyimbo nzuri sana i love the songs ho🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏✅

  • @KhaembaMatata
    @KhaembaMatata 7 місяців тому +3

    Listening to this songs so touching in Riyadh be blessed Mr aloyce

  • @blandinamollo699
    @blandinamollo699 6 місяців тому

    Mungu tusamehe ,maana cc ni wadhambi. Baba utuhurumue

  • @petrosombe7315
    @petrosombe7315 2 роки тому +1

    Eeeee mwenyenz mungu tuandalie sisi na makosa yetu sisi wenyewe tumeshindwa kuona na kutambua tunaomba utupe macho ya roho

  • @lucythobias7268
    @lucythobias7268 Рік тому

    👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾🙏🏾

  • @annaauyo1958
    @annaauyo1958 3 роки тому +17

    😭😭😭😭.tutubu na tumrudie Mungu.i just feel relaxed when ever I hear this songs

    • @consolatamoses5601
      @consolatamoses5601 7 місяців тому

      Kiukweli ukiutafakari ukuu wa Mungu ndani yake lazima utoe 😭😭😭😭😭😭

  • @shadrachsanga2140
    @shadrachsanga2140 Рік тому

    Ubarikiwe sana kwa nyimbo nzuri zenye ubora kama huu

  • @shariphasalum4111
    @shariphasalum4111 7 місяців тому +1

    Mimi ni Muislam Bibi na Babu kwa pande zote, baba yangu mzazi ni ostadh haswaa Ila hizi nyimbo zinanifariji Sana nazipenda kwa asie muelew ANAWEZA jua nimebadili Ila zinaniingia Sana moyon mwangu nazipenda sana naimani hata wakristo baadhi ya Qwasida zetu wanazipenda...MUNGU NI WETU SOTE NA NI 1

    • @AloyceKipangula
      @AloyceKipangula  7 місяців тому

      Asante Sana Sharifa salum tuendelee endelea Kusikiliza hizo nyimbo Kwani anatukupenda sana na kupitia nyimbo hizi anaongea nasi kwa Namna mbalimbali Hasa kupitia nyimbo hizi. Endelea Kufuatilia Acaunt yangu UA-cam kwa jina la Aloyce Kipangula Ili upate nyimbo zote nilizoweka Mtandaoni 🙏

    • @DianaEliasy-ue6ld
      @DianaEliasy-ue6ld 7 місяців тому

      Ubarikiwa sana 🙏🙏

  • @stellahokworo3947
    @stellahokworo3947 7 місяців тому

    Mungu wangu nirehemu mimi mtenda dhambi

  • @JamesSeverin-k5z
    @JamesSeverin-k5z 6 місяців тому

    Nimekosa❤😢

  • @getrudabenedict-fp5yd
    @getrudabenedict-fp5yd Рік тому +1

    Mungu aturehemu sisi na dunia nzima

  • @matildschami5879
    @matildschami5879 Рік тому

    Mungu awainue zaidi na zaidi

  • @RosemaryNchumira
    @RosemaryNchumira 7 місяців тому

    Ziafundisha sana

  • @gambagraphics5020
    @gambagraphics5020 7 місяців тому

    Mungu awabaliki nyote mnaona sikikiza hizi nyimboo

  • @JanethGabriel-s5o
    @JanethGabriel-s5o 7 місяців тому

    Mungu awabariki kwa ujumbe mzuri mliotupatia kupitia huu wimbo unanitia nguvu sana