MOYO ULIOPONDEKA: By Paul Mike Msoka - Kwaya ya Moyo Mtakatifu wa Yesu (UDSM) - Official VideO
Вставка
- Опубліковано 14 тра 2021
- Karibu utazame wimbo MOYO ULIOPONDEKA, Utunzi wake Paul Mike Msoka
Mtunzi ameutunga wimbo huu kwa ajili ya kumlilia Mungu na kumuomba ampiganie na kumshindia katika magumu mbalimbali anayokutana nayo katika safari ya maisha yake. Yawezekana nawe mtazamaji unapitia magumu mbalimbali katika safari ya maisha yako. Wimbo huu ukuimarishe na ukutie nguvu ili uzidi kusonga mbele pasipo kukata tamaa.
#ChemchemiYaFaraja #NikushukurujeBwana #NiKwaNeema #JinaLakoMaria #NizungushieBaraka
tuliorud this year 2024 tujuane😢
Nimejikuta nalia tu.kwa kweli umegusa maisha yangu.Mungu akubariki sana mtunzi.
Wimbohuu umeniluz umegusa maisha yang mung awabarik waimbaj wote naamin ipi siku na mm nitaponyw majerah majerah yang amina
Kaka MUNGU akuzishie baraka nimefarijika sana
Beautiful song 🎉
Utukufu na sifa kwa mungu...Nice song
Hongereni sana wimbo wa tafakari sanaaaaa 🙏
Nice work continue to produce another's
Amen
🙏🙏
Wimbo wanibariki saana🙏🙏
It's really toughing
🙏🙏
Wimbo mzuri ...nimeupenda ... Na umetoa machozi.... MUNGU AMJALIA PAUL APONE ..MUNGU YU PAMOJA NAWE
Amina
This song make me as I'm just in Haven
Be blessed more Bulus
mubarikiwe sana wapendwa MUNGU azidi kututia nguvu kila iitwapo leo amina
Its touching poul mike ....mungu yupo yuaona
Wimbo wenye faraja kwangu miaka yote since 2019
Now 2023
Barikiwa sana Herieth
Mungu awabariki sn,wimbo wenu umenigusa sn,albamu yenu nitaipataje!
Amina. Tuwasiliane kwa +255713265930 nikuelekeze utakapoipata
Ndugu zangu Ni wakati wakumrudia mungu na tumwombe mungu wety msamaha
Amina 🙏
Eeeh Mungu niokoe
Amina
Nice song congratulations. May God strengthen your faith to countiue priseing.
Amen
Asante yesu kwa kuwepo kwa ajili yetu❤❤❤❤❤❤❤
Amina
Mungu awabariki.ktk maisha yenu. Thanks God!!!!❤
Amina
i just got this song one day but i listen it more than 100 times a day, so touching may God bless you so much
Amen 👌
@@msokasgallery8323 Thank you so
Much regarding from America yani siishi kusikiliza huu wimbo Jaman unaniliza tuu very nice song thank you so much again nikika tanzania nitakuja kwa kanisa lemu niombe mniimbie huu wimbo jaman
Mungu awatunze
Wimbo mzuri sana Kuna ujumbe yote kwa yote tuishi kwa kumtegemea mungu tu
Amina
Hii wimbo ni nzuri sana🙏🙏😭
Thanks
Nimeipenda Sana wimbo huu Asante Sana waimbaji wote Mungu awatunze Amina
Amina 🙏
Barikiweni
Amina
Uwez kumuimbia mungu ukakosa raha
Hakika. Ubarikiwe sana
Kuimba ni kuomba mara mbili.. Blessed!
Amina
Wimbo mzuri umenifundisha kuwa mvumilivu nipatwapo na tatizo
Amina
Wimbo unagusa SANA...ni tiba kwa moyo uliopondeka.
Hongera sana mtunzi
Asante, ubarikiwe sana
Wimbo huu ni zaidi ya faraja, hongereni sana kwa kazi nzuri.
Amina. Barikiwa sana
Mungu niokoe
Sijui ni seme nini regard from America Huu wimbo umenigusa sana ndio
Nimeuona juzi hii ni siku ya tatu kila nikikaa nausikiliza naombeni nijue kanisa lenu
Liko
Wapi nikija nitakuja kusali nanyi niwaombe muimbe na huu wimbo thank you so much for this beautiful song
Asante Peter, na karibu sana. Tunahudumu kwenye Parokia ya Chuo kikuu (Univerisity of Dar es Salaam), Tanzania
Mungu sifiwe
Amina
Mungu ni mwema wimbo unafariji
Amina
Nimeupenda sana wimbo huu❣️endelea na kazi yako nzuri Mwalimu Paul... Mungu akutie nguvu✨
Amina
Amina sana
Karibu
Amina❤
🙏🙏
Amen 🙏 🙏
Mmmmh 😢wimbo amenipa faraja Kaka msoka hujawah shindwa...pongez nyingi kwako
Asante 🙏 Na Mungu akubariki
Mungu yupo pamoja nanyi
Amina
Kweli hiyo kwaya inanikumbusha mbari
Ubarikiwe sana
Wimbo mzuri huu..kila wakati niusikiapo machozi yanitoka naomba tu nimlilie Mungu...
Amina! Barikiwa sana
Mungu akupe imani,nkiskia huu wimbo natokwa na machoz
Amina. Tumuombe Mungu azidi kutubariki
Ee Mungu niokoe kupitia kwa mateso ya mwanao Yesu kristo
Amen
Wimbledon ni mzuri sana tunaomba mtuandikie na hayo Mashairi tuimbe wote
Sawa Theresia, Tutalifanyia kazi ombi lako 🙏 Ubarikiwe sana
Mungu humjalia kila amtumainiaye na kumuomba
Amina
This my life my mind breath in Jesus name ,i pray for my country Kenya to live as sheep's , from God , amen amen we have yeshu yehovah yesus jesu forever peace and love let it be
Amen
Plz what's the meaning of the song
mngu awabariki wapenzi wabwana tuzidi kumtumikia daima
Amina
Amen nice song barikiwa sana mpendwa Amen
Amina. Nawe ubarikiwe pia
Wimbo nzuri sana,mungu awazidishie,nimebarikiwa sana.
Amina
Mungu akujalie maisha malef mtunz wa nyimbo nzur hii
Uyu wimbo unanifaliji kwakwel nasikiya kuupenda san unanifunza mengi
Hongeren mngu awajaliye msonge mere
Amina
Mungu azidi kuwabariki kwa kaz nzuri sana
Mungu awabariki sana kila ninaposikiliza huu wimbo unanifanya niwe karibu na Mungu na sijawai kuuchoka mbarikiwe sana
Huu wimbo umenigusa saana katika maisha yangu
Amina
Mungu awatunze na awainuie kila mtu kwa hitaji la moyo wake
My god sijui nalia nini Mungu azidi kukuinua kwa viwango vya juu Mr msoke 😭😭😭
Amen 🙏 Ubarikiwe Teddy
Mungu naomba utege sikio usikie kilio changu,uniokoe
Amina
Napenda sana wimbo huu naiweka saa yote aki inanigusa sana hadi nikisikia majozi yanatirika ,
Amina. Barikiwa sana Philister
Such a touching song ....God bless the msoka's family to continue composing many songs
Amen. May God bless you too Michael
Wimbo huu nimeusikia Leo, na umenigusa sana😢 mpaka nimeurudia mara kadhaa!! Hakika aliyeutunga, pamoja na waimbaji wenye sauti tamu za Unyenyekevu, kwa kweli Mungu Awabariki sana. Asanteni. Nashindwa kumsifu zaidi... Nimeuoenda mno.
Unanitia moyo sana God bless you
Amen
Hakika wewe ndiye mwamba tunzi zako ni mahadhi ya kanisa letu Safi sanaaaa
Amina. Sifa zote ni kwa Mungu wetu anayeyawezesha haya
Nimesikiliza mwimbo huu nikiwa pia nakabiliwa na ya dunia hii nashukuru watunzi nyimbo hii iminishusha Bp kanisa la mungu kweli li kila mahala🙆♂️
Huu wimbo umeniguza Hadi nikaguzika hongera kwenu
Amina
Eee mungu uniokoe moyo wangu umepondeka
Barikiwa sana
Mara yangu ya kwanza kuskiza this song and I'm touched, stay blessed
Asante sana Kwa sala hii yenye maneno ya toba
Amen
Kama unaroho ya chuma lazima wimbo huu ukulainishe
Kazi safi ndugu yangu Hongera
Asante. Sifa kwake Mungu
May all your intentions and that of my heart come to pass through Christ our Lord. Amen. Jamani huu wimbo ni Sala ya msamaha na ya kuufanya upya uhusiano wetu na kristo
God bless him
Nawapend
Amina
Da hu wimbo unanitoa machozi mungu awabariki sna unanikumbusha maisha yangu 2014
Eee Mungu niokoe nimetoa machozi huu wimbo
A very nice song. Shukran. Naomba ukiwa waweza kunisaidia kupata wimbo wa merikebu. Tafathali.
Amina. Tuwasiliane kwa +255713265930
Jina la bwana libarikiwe
Amina
Amina mtumish mungu akupe heri umetugusa its good song
Asante kwa msamaha
Amina
Mungu wa mbinguni azidi kuwatunza.
Amina 🙏
Nabarikiwa Sana na wimbo huu,
Amina
Hongeren sana,,,nmefarijika machoz yametaman kunitoka,,,Mbarikiwe,,,,Na Atuponye kwan tunataabka sana,,
Very nice song.... mbarikiwe daima wapendwa 💕💕
Amen. Nawe ubarikiwe sana
Amen
Wonderful song touches my heart it brings holly spirits
Amen
God is able &fight for those who call apon his name
Amen
Kwa hakika ni moyo uliyopondeka, huu wimbo nlikutana não Facebook kama miaka 2 hivi Kisha ukafutwa, nmekuwa nkiutafuta Mara kwa Mara... Leo nmekutana não..... Kwa kweli naupenda na acha ututie nguvu katika changamoto zote za kimaisha. Representing kenyans here😢😢😢
Amina
Nimeupenda sn huu wimbo, hongereni sn
Asante
Thank you so much, this song is healing me and my family, thank you May God bless you 💞💞🔥🔥🔥
Amen
🙏🙏🙏 tuokoe Baba
Amina
Kazi nzuri sanaa💪
Asante
Amen wimbo mtamu sanå
Amina
Wimbo mzur sana.Mungu Baba usituache 🙏
Amina
Verry nice
Thank you
Amen . Hear our prayers lord . Great prayer song 🎉 🎉🎉🎉
Kwa kweli wimbo mzuri unafariji mioyo ya wengi mungu abariki utume wenu
Amina 🙏
Ee mungu niokoe Amen
Amina
Hakika inagusa Mungu simama nasi
Nice song from Msoka
Thank you Ommy
Wimbo mzuri wa kifariji
Amina
Wimbo wa maisha ya kila siku
😭😭 🙏
Nimeupenda wimbo mzuri
Asante