Unajua kwanini mti wa Mbaazi unachukiwa na wachawi? Behind the scene Sheikh Othman akiwa Porini

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 6 тра 2023
  • Sheikh Othman Michael na Jaafar Abdulrahman wakiwa kazini Porini

КОМЕНТАРІ • 181

  • @paulinakiria7918
    @paulinakiria7918 Місяць тому +4

    Mimi shekhe Othman Michael huwa ananifanya niipende uislam nampenda kwasababu ni mnyenyekevu sana huyu kaka mungu akutunze akupe umri mrefu kwa unyenyekevu aliokupa mungu

  • @suleim505
    @suleim505 Рік тому +9

    MASHALLAH : Ndiyo maana mimi maishani mwangu mimi najivunia kuwa muislamu,, MASHEKHE WETU : ALLAH AWAPE UMRI MREFU WENYE MANUFAA HAPA DUNIANI NA KESHO AKHERA,, na kila atakaeitikia amin

  • @mshauriibrahimu-ov5fq
    @mshauriibrahimu-ov5fq 3 місяці тому +4

    allah awaongoze inshaallah muendeleee kutupa elmuu inshaallah

  • @jumamwamreko4683
    @jumamwamreko4683 Рік тому +2

    Asalam alaykum, shukran sana masheikh wetu kwa kutuonesha dawa za kiasili lkn hamkutuambia jina la mti huo mliouchuna! Tafadhali ningependa mtuambie jina la huo mti. Asanteni.

  • @KhadijaMaginya-ie1ir
    @KhadijaMaginya-ie1ir Рік тому +2

    Allah amrehemu Huyo mzee ampe Nuru njema ktk Kaburi lake
    .
    Nawe na ustadh awape nyingi heri

  • @user-uz1er8xp6h
    @user-uz1er8xp6h Рік тому +3

    Mashallah nimeipenda sana hii Allah awape umri mrefu mashekhe wetu amin.

  • @Sharifarajabudebe
    @Sharifarajabudebe Рік тому +3

    mashaallah ni kweli Jamani tuisome quran na tuifanyie kazi yani kunasehem ukisoma hata kama ulipon kuna wachawi wengi vihi hawahuwez kwa idhini yake Allah kupitia quran

  • @josianemavukiro4386
    @josianemavukiro4386 Рік тому

    Mashaallah tabarakallah Allah akuhifadhi Sheikh Osman

  • @meekman1805
    @meekman1805 Рік тому +1

    Jazakumullahu kheyr. Allah akulipeni kheri mufanye tiba kwa ajili ya Allah. Aaamin

  • @piliramadan875
    @piliramadan875 Рік тому +1

    Maashaallah maashaallah shekh athman

  • @user-de2xb8ic1v
    @user-de2xb8ic1v Рік тому +7

    Aslam aleyku sheykh othman mungu akuhifadhi inshaa allah❤

  • @mommywarda5529
    @mommywarda5529 Рік тому

    Aa shukran jazakallah kheir nahitaji sanaa tu kufanyiwa dawa sijui lini muniambie sheikh Othman na sheikh jaffar

  • @assinaassina1177
    @assinaassina1177 Рік тому

    Shukran ma sheikh Allah awazidishiye kila lakheri

  • @user-mk8ph8qc9k
    @user-mk8ph8qc9k 23 дні тому

    Shegh othman Allah bless you ❤ukiongea huna papara mardhia mashaallah nakupenda bure kaka

  • @khadidjasuleiman8006
    @khadidjasuleiman8006 Рік тому +1

    Mashallah tabaraka llah 🥰🌹❤️❤️❤️

  • @ashalaurent2465
    @ashalaurent2465 Рік тому +7

    Mashaallah Mwenyzi awahifadhi mpaka pumzi zenu za mwisho inshaallah

  • @badihamisi1012
    @badihamisi1012 Рік тому

    Sheikhuna, assalaam aleiqum, w,llahi wabaraqaatuh, shuqran wallah kwa tiba nzuri kabisa na nazidi kufwatilia ila nna swali kidogo, je huu mbaazi wenye wamaanisha nihuu wenye sisi wakenya twaufahamu au nigani labda kiuhalisia, afwan.

  • @aminaamina3972
    @aminaamina3972 Рік тому

    Asante Sana Allah akulipeni Duniani na akhera inshallah

  • @MwaishambaKipanga-bu9sz
    @MwaishambaKipanga-bu9sz Рік тому

    Allah mubariq shehe wang

  • @hassansammy1076
    @hassansammy1076 Рік тому

    Mashaallah ❤️ ❤️ ❤️ ❤️ ❤️ ❤️ ❤️

  • @lallylasly2074
    @lallylasly2074 Рік тому

    Asalam.aleykum shukrann sn SHEIKH othmann ila nashid naww nakupataj

  • @jasminyabdully499
    @jasminyabdully499 Рік тому

    Maashallah tabaraqallah

  • @rashidimrangi1953
    @rashidimrangi1953 Рік тому

    Shekhe nakupnd san ndugu yangu kwajili ya allah jalla jallalli allah akupe uzima na umri mrefu inshaalalh

  • @khadeejahrashid3177
    @khadeejahrashid3177 Рік тому

    Masha Allah, sheikh mm nahitaji unitumie huo mti Kenya, ama nije tz kuonana nawe na kuuchukua

  • @emmysam7938
    @emmysam7938 11 місяців тому

    Amen watumishi wa MUNGU ❤

  • @faridaiddi104
    @faridaiddi104 Рік тому

    Allah akuhifadhi vipenxi va Allah

  • @aminatakhamis3390
    @aminatakhamis3390 Рік тому

    Mashallah tabarakallah

  • @halimamfaume1925
    @halimamfaume1925 Рік тому +1

    Shukraan sana mashekhe zetu Allah awajaalie pepo❤❤❤

  • @amenamaashaallahyasheikh3457

    Maa sha Allah

  • @alimzee
    @alimzee Рік тому

    Shukran 🙏🙏

  • @SamaduIdrisa-kp6uh
    @SamaduIdrisa-kp6uh Рік тому

    Masha allah

  • @kyaraal2155
    @kyaraal2155 Рік тому

    Mansha Allah

  • @SamuelKobia-iy3fs
    @SamuelKobia-iy3fs 6 місяців тому +1

    mashaallah,allah,awalipe,ningepeda,dawa,yenu

  • @user-de2xb8ic1v
    @user-de2xb8ic1v Рік тому +4

    Mimi natamani nikuone mwanangu lakini mie ni mgonjwa sijui nitafanya nini

  • @latifaSeleman-bh8lz
    @latifaSeleman-bh8lz 25 днів тому

    Mashaallah

  • @HalimixHamix
    @HalimixHamix Місяць тому

    Shehe nakuelewa Sana katika tiba kuliko dr sule wallah,,,na Alhamdulillah haina majigambo

  • @mealii5793
    @mealii5793 Рік тому +4

    Assalamualaikum warahmatulah wabarakatuh shekhe naomba utuonyeshe na majani yake pia😢😢😢😢😢😢😢😢

  • @mejumaashabani203
    @mejumaashabani203 Рік тому +2

    Asalam aleyku sheykh mungu akulinde

  • @makebakelly9935
    @makebakelly9935 Місяць тому

    Shehe mimi ni mkenya naumba duwa biashara yangu sipati wateja,,,mambo yangu yote yamekwama.mtoto wangu pia akaa msisha ya kung'ang"ana hadi hawezi nisaidia .naomba dua kwa heshima zote milango yangu ifunguke.

  • @salmashinna7705
    @salmashinna7705 Рік тому +2

    MashaAllah Allah awazidishie Kila la kheir

  • @rashidswalehmwanjama3404
    @rashidswalehmwanjama3404 Рік тому +2

    Assalamu Alykum warahmatulah waabarakatuh n mbaaz gani huu

  • @wardawardaarshad
    @wardawardaarshad Рік тому

    Asalam aleykum Allah awahifazi nakila shari nauliza kidogo jee huo mti dukani unapatikana na km upo unaitwaje

  • @user-nu7qx2td1t
    @user-nu7qx2td1t Рік тому

    Asalamu alekum sheikh athuman sheikh jaifar nikepenada sana kumualeza sheikh athaman sheikh mm nimejaribi sana kuwasiliyana na ww hatanikafukasafari kujahuko lakini nalupofika Dar salam mawasiliyano mm na ww ikabadilika sauti ikawa si ww na nalio abiwa nifane yalinishaza sana so vip kukupata

  • @naomiapoko9404
    @naomiapoko9404 Рік тому

    Marshall

  • @user-gf5tw7fw7t
    @user-gf5tw7fw7t Рік тому

    Allah akuongoze

  • @maryamhamad3485
    @maryamhamad3485 Рік тому

    Allah qareem

  • @aminabdalla7824
    @aminabdalla7824 Рік тому +1

    Aslm alykum warahamtulah wabaraktuh masheikh wetu ...naomba mtufungue macho huo mti mkuu jina lengine ...unaitwaje,,,tumeskia mkunazi Masha Allah iko tele kwetu Kenya ila huo mti mkuu kwa jina lengine mutuambie tafadhalini ili tukomeshe wachawi apa kitaa Cha kwangu balaa atari wako tele....

  • @ALLYMTAWATAWA
    @ALLYMTAWATAWA Місяць тому

    Assalam alaykum Allah awalipe heri

  • @mrokay1time958
    @mrokay1time958 12 днів тому

    Nihatariii poleeeeniii saaaanaaaa saaanaaa

  • @mateusvianovaaraujo
    @mateusvianovaaraujo Рік тому

  • @kassimmanaramalika8592
    @kassimmanaramalika8592 Рік тому

    Bismillah maishaallah Asanteni kwa elimu masheikh zanguu,lakini Kuna kitu kinaniumiza kichwa kuhusu kuoga maziwa sio Haram?kwa akili yangu Naona kama chakula naharibu,😢nitoweni huu wasiwasi inshallah

  • @user-xu8qj4by3u
    @user-xu8qj4by3u 10 місяців тому

    Mungu awajalieni kwakutufahamisha mungu atupe maisha malefu

    • @emaMateru
      @emaMateru 2 місяці тому

      Ninaamini sheh wachawi wabayasana

  • @blueberrypotatogames7950
    @blueberrypotatogames7950 Рік тому

    ❤❤❤❤❤❤❤

  • @salmashinna7705
    @salmashinna7705 Рік тому

    Asalmkum shekh hapo kuoga na maziwa ya faa

  • @nasilmatichomes1949
    @nasilmatichomes1949 Рік тому

    Masha'allah jazaka'allah kheyr,Allah awaongezeni umri

  • @assfzainab912
    @assfzainab912 Рік тому +5

    Kweli kila maradhi yana dawa naamini sana hilo hata ukimwi unadawa zake za kiasili

  • @AhmedNaswagi
    @AhmedNaswagi 3 дні тому

    Jina lamuti sheikh

  • @salmamohammed2986
    @salmamohammed2986 6 місяців тому

    Asalam aleikum mawaidha mazuri❤❤❤❤❤😂😂🎉🎉🎉🎉

  • @neemahassan5726
    @neemahassan5726 3 місяці тому

    Asalam Aleikum sheikh naomb jina la huo mti naomb sana

  • @piliramadan875
    @piliramadan875 Рік тому

    Tumeona mambo ya dawa Masha Allah

  • @tawadudihaji3907
    @tawadudihaji3907 Рік тому

    Situnambiwa tiba hyo ni ushirikina vp leo watupo elmu hyo niweke wazi sheikh kipenzi wetu mwalimu wetu

  • @aminabdalla7824
    @aminabdalla7824 Рік тому +10

    Tunaomba mtupe jina lengine kuhusu huo mti mkuu masheikh wetu wachawi washenzi Sana ili tuwachepe vibao usiku na wao..... Allah anatulinda twashkuru 🙏......... Allah awalipe kheri fii dunia Wal akhera 🤲

  • @nuriahussen2160
    @nuriahussen2160 Рік тому

    Assalam caleikum sheikh tuletee huu mti Kenya iA

  • @Mposa-ds5yq
    @Mposa-ds5yq 28 днів тому

    English please

  • @user-rk9vj7rl8g
    @user-rk9vj7rl8g 22 дні тому

    Usthad mm niko na mwanangu yuko na shida ya kuongeaakiongea leo ywaeza chukuwa siku tano ndipo aongee je naezafanyaje naomba unisaidiye

  • @mrokay1time958
    @mrokay1time958 12 днів тому

    Kwa mihangahiko ya dawaaaaa

  • @tobiusjtz7607
    @tobiusjtz7607 Рік тому

    Ukwl mtupu

  • @meekman1805
    @meekman1805 Рік тому +1

    Sheikh tueleze matumizi ya mbaazi kufukuzia majini au wachawi.

  • @blueberrypotatogames7950
    @blueberrypotatogames7950 Рік тому

    Tunaomba number za simu

  • @Shumy-nw6rm
    @Shumy-nw6rm 10 місяців тому

    Asalam aleikum unaweza kuchemsha mizizi ya mbaazi ukanywa ikasaidia kuponesha tumbo la chango

  • @user-iw6ut6sp8f
    @user-iw6ut6sp8f Рік тому

    Shekhe. Unga wakutowa jini mahab nko Mombasa ni pesa ngapi tafadhali

  • @fabianmkimbu880
    @fabianmkimbu880 Рік тому

    Hayo mambo ni ya kishirikina na nimpango wa shetani siyo mpango wa Mungu,mtafuteni Mungu wa kweli uchawi au mapepo hayatakupata.jina la Yesu linatosha maana yeye ndiyo kila kitu.

  • @user-uz1er8xp6h
    @user-uz1er8xp6h Рік тому

    yenye kheri na baraka ?

  • @faiqaanwar7268
    @faiqaanwar7268 Рік тому

    Jina la mti huo kwa kiswahili unaitwaje nasi tulo mbali tujisaidie tafadhali sheikh wangu naomba utujimbu tujue maana nasi pia tuna madhila sheikh please.

  • @nehemiaayo9527
    @nehemiaayo9527 Рік тому +1

    Mmmm hii siyo ni uchawi tu Kama uchawi mwingine Ukweli ni kwamba jina la Yesu ni top katika ushirikina asilimia kubwa uwo Ukweli amtaki kuusikia ila ndivyo ilivyo

    • @ramadhanshabani9736
      @ramadhanshabani9736 Рік тому +1

      Ukweli gani?.

    • @user-ez4df7qg2f
      @user-ez4df7qg2f 2 місяці тому +1

      Na huuu ukweli wa kua issa n prophet si mungu kwa mana mungu hakuzaa wala hakuzaliwa kwanini usiuamini

  • @rehemaedward9494
    @rehemaedward9494 Рік тому +1

    shekhe Othuman nkufuatilia sana ,naomba namba zako nauguliwa na mzaz wangu Baba,ili umsaidie

    • @jasminyabdully499
      @jasminyabdully499 Рік тому

      Namba yake ni hio insyoonekana katika screen

    • @mswakisaid2320
      @mswakisaid2320 Рік тому

      Namba zake si hizo hapo kwenye video?
      Au wataka namba gani?

    • @AtilioKigahe-pp1ep
      @AtilioKigahe-pp1ep Рік тому

      @@mswakisaid2320 hizo namba Hadi matapeli wanatumia video hizi za watu wa mungu kutapeli watu

  • @iphermayd
    @iphermayd Рік тому +1

    Mtu mkuu n mvujee ama

  • @aminasuleimanmohammed4487
    @aminasuleimanmohammed4487 Рік тому

    Asalam alaykum warahmatullah shekhe jafar mm Nina matatizo lkn sio sahiihi kuongea ktk public media nahitaji no yako au ya shekh maiko

  • @NicholousRoman-xi3hy
    @NicholousRoman-xi3hy Рік тому

    Shekhe naweza nikapata namba yako

  • @rashidmohamed4051
    @rashidmohamed4051 Місяць тому

    Sasa huu kwtu Kenya tuaupata VIP na hatujui

  • @shifaazawadi4438
    @shifaazawadi4438 Рік тому

    Mti mkuu hauna jina lengine

  • @hidayah3405
    @hidayah3405 Рік тому

    Hawa anatesema sana na nyinyi mwajua fumbuo la maradhi yake na nimuuislamu kama nyinyi 4yrs kila siku maumivu tuu hana raha kabisa tunachanga anabasuliwa kila siku lakin hakuna matumaini mbona musiende mujamsaidia na kama mwataka pesa tuko tayari kuchanga tuwalipe basi lakin muokoeni

  • @catherinemhagama7505
    @catherinemhagama7505 Рік тому

    Mie nipo Songea naomba namba ya simu niweze kuwasaidia nawe

  • @drpaulfullstop1332
    @drpaulfullstop1332 Рік тому

    Mnadaganya nyinyi io ni mti ya mbaazi mmeshika ama doo kumbwa sana

  • @nawandafamito500
    @nawandafamito500 Рік тому

    Mwanga jini ni, kivumbasi.

  • @Alicia12343
    @Alicia12343 Рік тому

    Nawezaje kupata kuwasiliana nanyi nahitaji msaada wa dawa hiyo

  • @annalugano5246
    @annalugano5246 2 місяці тому

    Mbona hamtaji jina la mti

  • @Estherkaidza-zq3ed
    @Estherkaidza-zq3ed Рік тому

    huo mti ntaupata vp.

  • @blueberrypotatogames7950
    @blueberrypotatogames7950 Рік тому

    👍🏽🙏💪👏

  • @user-cz6mr1wd4p
    @user-cz6mr1wd4p 11 місяців тому

    Nahisi mti mkuu ni mbaazi

  • @hashtagdarling4738
    @hashtagdarling4738 Рік тому

    Asalam Alaekum. Shekhe setu.
    Naomba jina jingine la huu mti mkuu....Sasa sijajua nimkunazi au vp

  • @user-dc7do7dv8k
    @user-dc7do7dv8k Рік тому

    Huo mkunazi ndio unaitwa mti mkuuu

  • @MaaneML
    @MaaneML Рік тому

    Mbona mti wenyewe hamuuonyeshi

  • @RehemaNyela-ps1tn
    @RehemaNyela-ps1tn 4 місяці тому

    Nimekuelewa NaombA namba yako shekh

  • @hasinaalrahbi6681
    @hasinaalrahbi6681 Рік тому

    Kwa mtizamo wangu huu sio mbaazi

  • @user-to5pz8tu6f
    @user-to5pz8tu6f 3 місяці тому

    Huo mti unaitwa na unapatikana wap na wap samahan naomben majibu

  • @kabayesankula7895
    @kabayesankula7895 Рік тому

    Shekhe Namba ya simu nahitaji

  • @user-sr9cu1ee1w
    @user-sr9cu1ee1w Рік тому

    Nataka namba za uyu sheeh nimpe ushuda wa swala ya mtume napata wapi namba zake

    • @kalamuMedia
      @kalamuMedia  Рік тому

      Sheikh Othman Michael +255784122858

  • @shaphaina9941
    @shaphaina9941 Рік тому +4

    Mti mkuu kwa kisiwani zanzibar unaitwaje ?

  • @zuberhamza7852
    @zuberhamza7852 Місяць тому

    Sasa huo mti mkuu mlouzungumzia hapo ni m,baazi?
    Au ni mtihuo mloufata huko porini hamjaeka wazi hapo