Hivi ndivyo namna mwanga anavyo ingia ndani ya nyumba yako ilhali milango imefungwa - Shekhe Mpendu
Вставка
- Опубліковано 10 лис 2022
- Dondoo za Dars la Shekhe Mpendu:
Unajua kwanini mchawi anakula mwanae alie mzaa?
Namna Mwanga anavyoingia ndani ya nyumba yako milango na dirisha zikiwa zimefungwa
Namna wachawi wanavyoingizana katika uchawi
Namna ya kukabiliana na uchawi
Vitu rahisi unavyo ishi navyo nyumbani bila kujua ambavyo ni tiba ya maradhi mengi
Kama una swali unaweza muuliza Shekhe Mpendu No.0787467706
Allah wauwe wachawi wote
Wanatutesa kwakweli
Allah akuhifadhi sheikh wetu
Allah Akbar, Allah atuajalie kinga Na kheir katika maisha yetu amiin Yaraab
Subhana Allah, hiii inakumbusha mbali, machozi yatoka
Maishallah shewangu mpendu nakupenda kwa ajili ya ALLAH
SEMA :
MAA SHAA ALLAH
Allah atulinde na shirki atuepushie
Shakhe akujalie umri mrefu uzidi kuutetea uislam
Maashaallaa Allaah akulipe kheri
Raby akulipe shehe wetu ilimu yakuko akuzidishie
Mungu akuogoze kwenye hotuba shee mpendu nyumbani dua lini shee zinaanza.
Alllah akupatie Jannah sheikh
Nakupenda kwaajili yallah illah illah❤❤❤
Sheikh mashaallah tabaraka Allah ahsant umenifuraisha sana n hiyo darsa Allah akupe uzima na afya in shaallah biidni Allah
Uberikiwe sio masheik wanazungumzia diamond woman Ally Kiba hovyooo kabisa
Mungu akuongozee uhai shekhe
Inna Lillahi Wainna Ilayhi Raji'un.
Namwomba Allah Subhannahu Wata'ala atuepushe na Shirki,Allahummah Aamiin.
Unaona ujanja huo anataka kula
ك وه شيء لا 😅أحد الجميع الكل من قبل لانني لم ي😅😅😅😅😅😅😅
جزاك الله الخير شيخ علي
Allah akuhifadhi shekh Ally măan umetup elimu ambayo hatukuifaham,
Allah akbaru Allah utulnde n Kila Aina ya Shar na utusamehe madhambi yetu. Na shekhe Allah amlpe kwa darsa
ALLAH AKUHIFADHI SHEIKH WETU INSHAALLAH
Mashaallah Allah akulingania shekhe wetu...na mungu azidi kukupa maisha marefu
We paulocosmas muongo tu , uyu shekh anafundisha vizuri sana
Amin insha Allah 🙏🏾🤲
Mashaallah Allah be with you
Mpendu uko vzuri
Shekhe Allah akuhifadhi
Inshallaah sheikh wangu
Allah akujalie cheikh wetu kwamqfundisho unayo tupatia
Mwenyezi mungu atunusuru Astafilullah mtihani
Allahuakuba. MashaAllah
ALLAHU AKBAR.
MAA SHAA ALLAH
Utanisameh nimeunlike kwa sababu ya unyambi uliotufanyia hii video bora usingeieka kabisa kuliko kutuekea nusu halaf usitumalizie iliobaki
Asante shekh Kwa miss cha ibilisi na bint magonjwa, hakika kimenilenga, Ila hiyo bahati kusaidiwa na malakumauti!!!!!!!!!
Mola akuongeze mema zaidi ya elimu aliye kupa Sheikh wetu!
Rasupotea
Ebunjohapa
Sheghe mi nakuelewa sana mungu akuweke utuombee na sisi wenye mitihani mizito
Allah atuhifadhi sote
Salallahu Alaihi Wasalam ❤️❤️❤️
Huenda kuna muendelezo,,Inshaa Allh
Mashaalla tabaraka Allah
Asante MUNGU akulinde
Allah. Kabariki
Masha Allah funzo nzuri sheikh
Allahu akbar mwenyezimu gu mkubwa
Machallah Allah akujaliye mwisho mwema
MAA SHAA ALLAH
Tunashukuru shehe unatufundisha mengi
❤❤❤ Allah akuzidishie
Mashallah napenda preaching
Amin
INNALILLAH WAINNA ILAYHI RAJIUUN
Nimuswiba kweli
Shekh hata mm nawachukia sana
😂😂😂nakupenda kwajili ya ALLAH
Mashaallah tabarakaah mawaiza yako mazuri sana 😂😂
MashaaAllah shukrani sana
"Watching from Germany,nawezaje kukutumia sadaq? Allah Thuma Barik"
Allah akulipe kwa nia yako njema.
Karibu Capetown South Africa.
BARAKALLAH ,sheikhul-isalaaam
Mashallah baraq llah
Mashalla alhabdulilai barakalla fih wajazakallahu haira 🤲
MashaAllah
Jazakharahu kheri,,, jamani panado na dawa tatu nizifanyeje kama amezi,,, yani tusaidie kwa jil ya Allah
Shekhe upo vzr
Mashallaah 🙏
Lailaha ilallah Muhammad Rasur Allah
Maashallah.
Sheikh Allah akuhifadhi
Tunashuru shehk mwenyezi mungu akupe unlike mlefu uzidi kutupa dalasa
Shekh Allah Amuhifadhi inshallah
Mashaallah ❤️
MashaAllah ustadh
Sheikh mungu akuzidishie imani
Allah grant as his blessings
Shukran
Allah Akbar💚
asanteeeee sanaaaaaaaa
Mashaallah
Jamani WACHAWI amna tanzania mkanushe
Tukithirishe Istiqhfar,ili Allaah Subhaanahu Wata'ala Atuja'alie mvua kunyesha.
Allahuma amiin
هذا القول ان لله عبادو اذا ارادو اراد قول باطل hii qauli nibatili
Masha Allah I love becox of Allah
Naomba ya shelkh ya wap ni ipi kupiga direct mwengine hatuwazi kupiga sbb ya mbali
Yarrab tuinue imanj waislamu kwani tumekuwa watu wa lawama sana. Kutoa sadaka mtu anaangalia hela isiyo na kazi mia 200 mia 500 book kajitahidi. Wabaili sana tumezidiwa na upande wa pili wako vizuri sana. Lakini sisimhhhl!!!!!!
Inshaallah
Subhanallah astakhafirullah ya sheikh sukran
Mpungaaaaaaaaa,
Mashallah
Ameen ya Rabby 🤲🤲🤲
Shekh tunaomba tafsiri yamajina wengine hatujuwi
Ndio maana Ile mvi diningi sasa nimeelewa nimekusoma ingawa mm Ni mkristo ndio maana ya makombe ila watu hawajui Mungu akutunze shekh
Maashaallah shekhe tupe dawa
Awape uchawi labda,Mmswalie mtume hahaha
Swadakta maneno Yako.Mshirikina Mtu mbaya sana
Maashaallah
Allah akupe nguvu ya kwendelea kufanya dawaa
Tuache ujanja ujanja aisaidiii!!!!!!
Shekhewaaibishehaowalanyama
Neema na maarifa zikuongoze...sheikh.!!?....Kenya...watamu.
mashaallah
Allah Akbar Allah Akbar
Wamenichukia Hawa siwapendi kwakweli
Mimi ni saida sheikh nauliza nimeona kaaba Mbele ya mlango yangu kwa ndoto inamanisha nini
الله اكبر الله اكبر
Maana ya dua hii
Allah akuripe kura rakheri
Shekh MUHUNI WEWE TUNAKUJUA
Uhuni wake ni nn? au na ww mwanga?
Kuna mhuni zaidi yako wewe una mjulia wapi alikuibia Nini?ukiona Allah ameanza na yaa ayyu Hal munafiqun kwa Quran utilie maanani Allah ni akina wewe Ana ongelesha
Mzee nakuomba ufate masharti ya kutamka kalima ya Lailaha ilallah
Kwani anakosea kumbe kitamkaa
Nikutumie vpi sadaka yangu