Ukiota ndoto hizi 7 jua una jini la mikosi na nuksi | Ujue mti ambao ukioga unaondoa nuksi - Jaafar

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 23 кві 2023
  • Elimika na Sheikh Jaafar Abdul Rahman

КОМЕНТАРІ • 199

  • @zainabmaulidi9846
    @zainabmaulidi9846 9 місяців тому +3

    SUBHANAALLAH YAARABB TUKINGE NA MAJINI 🤲🤲😰😰😰

  • @khadijasalum1659
    @khadijasalum1659 27 днів тому

    Tunaomba Tafadhali kwa ajili ya ALLAH Shekh Othman akija Msa atupunguzie Malipo maana makubwa sana ndio pia dawa zina kua Taufik wengene hatuna pesa Fanyeni dawa kwa wepesi wa pesa INSHAALLAH

  • @carolineatieno2725
    @carolineatieno2725 Рік тому +4

    Nisadie Niko na shida ndoto mbaya sana,Niko na kisirani mbaya

  • @hassanikombe9053
    @hassanikombe9053 Рік тому +3

    Dah yan shekhee umeongea lugha zote kuhutaj uwo mti,.lkn kw kiswahil ndo umefeli 😁😁😁😁,make ungeutaj uwez ukapgiwaa sim 😁😁😁 shekhee ww noma sanaaa

    • @budabuda1326
      @budabuda1326 Рік тому

      Assalaamaleikum vipi sheikh ati ni mtigani anaouzungumzia hapo naona nikiwa search Google yanakuja mengi!!!

  • @zulfajoachim6145
    @zulfajoachim6145 2 місяці тому +2

    Mhh yaani shehe ww unaongea kweli sisi wenye jini mahaba tunapata shida sana na hatuna bahati kabisa

  • @sulekhamohammed5358
    @sulekhamohammed5358 7 днів тому

    Masha Allah Mimi nataka

  • @NhaloNhalo-ol7ls
    @NhaloNhalo-ol7ls Рік тому +3

    Ahsante Sanaa Sheikh kwa Somo nzuri

  • @brianmunde4415
    @brianmunde4415 9 місяців тому +2

    ALLAH hu Ahad ALLAH hu swamad

  • @florencewairimo2245
    @florencewairimo2245 Рік тому +3

    Asante sana kwa mafunzo mungu akubariki🙏🙏🙏

  • @aminahhabibu4652
    @aminahhabibu4652 Рік тому +1

    Shekh mm Niko na hizo shida nakupataje wallah nimechoka kabisa Mambo hayaidi kila nifanyalo nakuomba sana nidaudie sijui nifanyaje mm

    • @muba6699
      @muba6699 Рік тому

      Una swali kila Siku??? Simamisha Swala mambo yako Yatanyoka!

  • @shaphaina9941
    @shaphaina9941 Рік тому +8

    Huo mti wa mkuta ndio mti gani wanao jua watusaidie

  • @laurentnyembo6073
    @laurentnyembo6073 Рік тому +1

    Asante Sana kwa funzo🙏

  • @zarabati1750
    @zarabati1750 8 днів тому

    Maashaallah

  • @AminaAmina-mv4ko
    @AminaAmina-mv4ko Рік тому +1

    Shukran laka kwa elmu

  • @Hajra-vu9gd
    @Hajra-vu9gd Рік тому +2

    Yarabi inamanisha mm ninayo mm naota nikipaa subunallah

  • @NeemaSomo-rx7dy
    @NeemaSomo-rx7dy Рік тому +2

    Wallah nimejikuta nacheka

  • @sulekhamohammed5358
    @sulekhamohammed5358 7 днів тому

    Kabisaa

  • @user-mt4sd6cj5y
    @user-mt4sd6cj5y Рік тому +2

    Mm maisha siotiii kabisaa haya jini asieota aitwa nani .nalala fofo .wtt n mume wangu kutwa Kuni beza kwa usingizi mwingi.

  • @aliamour4970
    @aliamour4970 Рік тому +5

    Maneno mengiiiiiiiii!!

  • @japharyramadhani7831
    @japharyramadhani7831 Рік тому +1

    mimi nimefurahi mawaidha yanavyotolewa hakika ni somo nzuri sana, ila hofu yangu ni mahilizi na dini ya kislamu kwani yanaashiria ushirikina sasa hapo ndio siajaelewa labda elimu yangu ndogo

  • @rehemamrinzi6996
    @rehemamrinzi6996 Рік тому +1

    Nami hzo ndoto ndio zangu kbsa wallah

  • @moseskariuki6461
    @moseskariuki6461 Рік тому +4

    Maajabu ya dunia,kurushia wengine ouoga, nikama wao watakaa hii dunia melele😢😢

  • @cellcelll2151
    @cellcelll2151 Рік тому +2

    Sheikh kambe waniongelea mm😢😢

  • @MozarySeyouMozarySeyou
    @MozarySeyouMozarySeyou 21 день тому

    Duu atr Allah atupishe naivo vitu

  • @abubakarkhamisi3931
    @abubakarkhamisi3931 7 місяців тому +2

    Sawa ila mbon umevaa mielizi n miguo hiyo y kienyeji

  • @nduguhashimnapia3135
    @nduguhashimnapia3135 10 місяців тому +1

    Je ukiwa unasafir mara kwa mara safari za kawaida inakua jje sheikh

  • @doctormwalimjuma8040
    @doctormwalimjuma8040 Рік тому +1

    Inachekesha weweshehe wangu

  • @zohoraramadan4540
    @zohoraramadan4540 Рік тому +3

    Waleykumusalamu warahmatullah wabarakatuh, 😁mwamba, we jafari ninacheka unafikiri mazuri usituchekeshe na hali ni musiba

  • @ucjvvjcjjvih9934
    @ucjvvjcjjvih9934 Рік тому +8

    Maashallah baharin kupaa angani skuli yote nimeota kuingiliwa miala iloipita sasa afazar ila majenga mwaka wa5 numba imesimama nikikata pesa za kezeka bat sijui zinakwenda wapi inakuka kila sabab matumiz zinpungua siezeki ni lweki shehe inayoyasema mtihani mkubwa yarab🤲

  • @ladymuslima4956
    @ladymuslima4956 Рік тому +3

    Ni dhambi kuwa wawili watu wa jinsia tofauti

    • @khaalidcheo5383
      @khaalidcheo5383 Рік тому

      Ndio nizambi mnafanyanini uko vichocholoni.kwenye faraga?

  • @mancopy8851
    @mancopy8851 9 місяців тому +2

    asalam aleykum shekhe mm hayo yte ulosema yana nikuta sana shekhe ndoa mbil zimevunjika bila sababu wala mahusiano haya dumu shekhe napitia wakat mgumu sna shekhe

  • @linetaidi4723
    @linetaidi4723 Рік тому +2

    Tuonyeshe mti huo naomba tafadhali

  • @user-tn6ph2zs5y
    @user-tn6ph2zs5y 14 днів тому

    Jamani mkowapi

  • @irene3abi123
    @irene3abi123 9 місяців тому +1

    Nimependa sana mafunzo yako

  • @abubakarmpole4000
    @abubakarmpole4000 Рік тому +1

    Mm mara Moja moja ndio naota hiyo y kupaa mara Moja Moja je ninaye, naomba unijibu

  • @FatumaAhmad-rk4ou
    @FatumaAhmad-rk4ou 27 днів тому

    Shekhe mm ndoto hzo naota sn nitasaidikaje niko mbali

  • @everlynechebet-lh5hu
    @everlynechebet-lh5hu 10 місяців тому +1

    Mimi Kuota na kuhaudiwa pesa lakini siku ikifika anitumi anageuka

  • @lifeinmiddleeast8179
    @lifeinmiddleeast8179 Рік тому

    Hali hii inanikumba napambana sema sasa hivi alhamdullillah sipai na kuota niko baharini miaka zaidi ya 35 alhamdullillah vimepungua

  • @kassimabdilatif1802
    @kassimabdilatif1802 Рік тому +3

    Uwongo mtupu.
    Mnao tizama hii you tube chungeni.

    • @jeaninevumilia5917
      @jeaninevumilia5917 4 місяці тому

      Wewe piya waitazama

    • @kassimabdilatif1802
      @kassimabdilatif1802 4 місяці тому

      @@jeaninevumilia5917
      Inamaanisha unaamini huu upuuzi ?
      Tunajaribu kuwasaidia nyinnyi mnao danganywa.
      I'm not here to argue with people.
      Una uhuru wa kuamini na kutoamini.
      Sina haja ya utoto wa kushindana na watu !

  • @wrongnamemtuwahapa
    @wrongnamemtuwahapa Рік тому +2

    Kiswahili unaitwaje

  • @jeaninevumilia5917
    @jeaninevumilia5917 4 місяці тому +1

    😂 Ninayo kivuli hikyo ya Nuksi

  • @mombasaraha1502
    @mombasaraha1502 Рік тому

    Hapo kwa bibi harusi na po nimejifunza sana nilikuwa sijui watu husema nn

  • @user-xs2pf3pk9x
    @user-xs2pf3pk9x Рік тому +2

    Tuandikie Jina zahizo mti

  • @faidaimmaculee28
    @faidaimmaculee28 Рік тому +1

    Iyonikweli wa Ganga niwaongo 😂😂

  • @user-gl4wo2sg7q
    @user-gl4wo2sg7q 9 місяців тому +1

    Hello Mimi nashita Kama izo unaweza nisaidia namnagani? Pesa nabata kwa mwezi elfu hamsini lakini uwa sizioni kapsa Sina kitu

  • @richardstephano9059
    @richardstephano9059 Рік тому +1

    Aisee balaa

    • @YusufuMusani
      @YusufuMusani 26 днів тому +1

      Miminimete sekasana apaduniyani.

  • @mbisinzembei5857
    @mbisinzembei5857 18 днів тому

    Mimi niko kenya mti jana ya kenya

  • @baruaniabdallah3318
    @baruaniabdallah3318 Рік тому

    Unashindwa kuzungumzia tiba unatoa stor

  • @user-ci4dx2tx5e
    @user-ci4dx2tx5e 28 днів тому

    Pole

  • @budabuda1326
    @budabuda1326 Рік тому

    Anime Google kama alivyo sema nimepata al ausaj na al khaizaran imekuja miti miwili tofauti 😮

  • @NEBERT-rc6bb
    @NEBERT-rc6bb Місяць тому

    +254 Kenya mti wa kuondoa nuts audawa inapatkanna wait?

  • @fwk584
    @fwk584 Рік тому

    Huyu shiek alikata kunifanyia Dua shiek Michael

  • @ramlaismail7287
    @ramlaismail7287 Рік тому

    Kwahy uy mgang au shekh nasikia shekh wang😅😅

  • @starlight8794
    @starlight8794 Рік тому +6

    Mm ninae uwa ananisumbua sana maana mm hunijia pale ninapo anza ku lala huja nika pigana nae japo kua hunimaliza nguvu na kama kuna mtu ako karibu yangu basi atanisikia nikipiga kelele sijui nifanyeje ili aniondokee maana sazengine huninia na sauti yani aongea ila simuelewi kisha ananiingia anaanza kunisumbua ila uwa simruhusu maana uwa napigana nae hadi inanibidi nipige makelele ili wenye wame lala karibu yangu waniamshe ndo pale anapo niachilia aki nimechoka na hili li jini

    • @neemamboya-ss6pl
      @neemamboya-ss6pl Рік тому +2

      Mimi mwenyewe nkitaka kulala kale kausingizi inanijia yaan nakua naskia kila kitu ila mwil unakua hauna nguvu ata kujigeuza swez na saut haitoki imenitesa muda mrefuuu mnoo

    • @Churchofecclesia
      @Churchofecclesia Рік тому +5

      Itia jina la YESU KRISTO WA NAZARETH ALIE HAI KWA NGUVU AU ITA DAMU YA YESU KRISTO WA NAZARETH ALIE HAI, MAANA HUYO YESU KRISTO NDO KIBOKO YA WACHAWI WAGANGA WASHIRIKINA NA TAKATAKA ZOTE ANAZOZUNGUMZIA HUYU NA HATA HUYU MGANGA YESU KRISTO NI WEMBE

    • @Churchofecclesia
      @Churchofecclesia Рік тому

      @@neemamboya-ss6pl MWITE AU ITA KWA JINA LA YESU KRISTO WA NAZARETHI ALIE HAI

    • @Churchofecclesia
      @Churchofecclesia Рік тому

      Halafu HUYU anawadanganya UFALME WA giza hauwezi ukafitini UFALME WAKE maana hawa WAGANGA NA HAYO majina WOTE WAKO KATIKA falme moja AMBAO NI UFALME WA SHETANI, kwahyo msihangaike kutafuta vibaraka WA shetani AMBAO NI waganga hapana tafta watumishi wa MUNGU (YESU KRISTO WA NAZARETH ALIE HAI) watumishi wake YESU KRISTO NDO wanaoweza kuwaweka huru kwenye hzo nguvu za giza lkn sio waganga maana wanatumia nguvu za giza lkn sio inayotoka juu MBINGUNI tafta watumishi kama akina kuhani Musa, SUGUYE, MWAMPOSA, prophet david Richard , hawa ndio wanaoweza kuyatatua shda kama hzo maana NGUVU wanayoitimia inatoka juu MBINGUNI

    • @carendeborah5687
      @carendeborah5687 Рік тому

      Mimi nilikuwa naota hivo nikiwa najaamiana basi nikatoa sacrifice namba Saba ,,ya kukata hizo ndoto za kujamiana..tangu nitoe hazijawai nirudia hata kidogo

  • @MakaiKasala
    @MakaiKasala 10 місяців тому

    Elimu inaweza kuwa nzuri, ila uvaaji huu unatufundisha nini kama umma wa kiislamu?

  • @user-lq4zd5qn1p
    @user-lq4zd5qn1p 10 місяців тому

    😢😢😢utanisaidiaje mm maana Chenye unaongea kinanikuta kila wakati nafukuzwa kazi na nikipa mwanaume ananiacha bila sababu😢😢😢😢

    • @shalfaa
      @shalfaa 4 місяці тому

      Njoo upate dawa utoe nuksi 254712734325

  • @user-ki9um5sp6m
    @user-ki9um5sp6m 5 місяців тому +1

    Jambo jina ni sandrine Mimi nahitaji Numero yako ya wastapp

  • @tria2254
    @tria2254 10 місяців тому

    Kaka uyo mti unaitwaje kwenye kingereza ?

  • @hichayasin7244
    @hichayasin7244 Рік тому +5

    HAPO SASA UNATAKA KUWAGEUZA ILI UWATAPELI WATU WEWE NDIO MWALIMU WA MATAPELI UNATAKIWA UCHUNGUZWE UNATUMIA DINI KITAPELI WATU HAPO JAMANI TUWE MAKINI NA HUYU SHEKH MSHIRIKINA,,🤣🤣🤣🤣,

  • @user-ur4kj7gh7w
    @user-ur4kj7gh7w Рік тому

    Shkh tusadie tiba hiyo see tulioko mikoani

  • @tobiusjtz7607
    @tobiusjtz7607 Рік тому

    Mmmmmh

  • @khadijandabahagamye7252
    @khadijandabahagamye7252 Рік тому +2

    Me napenda kuota nikiwa nafunukwa na maji 😢 mana yake nini..?

  • @muniraomar2235
    @muniraomar2235 10 місяців тому +3

    Sasa naweza kuzitoa vp

  • @Mariam-fm8vq
    @Mariam-fm8vq Рік тому

    Yaan huyu sheikh ana comedy ndani yake😂😂😂utacheka tu

    • @manasa2449
      @manasa2449 Рік тому

      😂😂😂😂😂

    • @zohoraramadan4540
      @zohoraramadan4540 Рік тому

      @@manasa2449 kweli sngd comedian

    • @manasa2449
      @manasa2449 Рік тому

      @@zohoraramadan4540 yaani ukiangalia unaruadia rudia 😀😀😀

  • @SaudaMuhammedyussuf
    @SaudaMuhammedyussuf Рік тому

    Na napenda kuota nikia nimepaa

  • @abdullahkazungu4025
    @abdullahkazungu4025 5 місяців тому

    Ilo vazi shekh vipi mbona kama mganga wakienyeji ??unatueka njia panda

  • @neymarjunior8404
    @neymarjunior8404 Рік тому

    Mkuta mbona iyo kiswahili inatuchanganya

  • @Calistamakundi-jq2io
    @Calistamakundi-jq2io Рік тому +1

    Nami na apitia hayo, nakupataje unisaidiye

  • @awaahassan936
    @awaahassan936 Рік тому +1

    Mimi kila siku naota Niko na watoto

    • @anitahshere8063
      @anitahshere8063 Рік тому

      Hii inamaanisha ushaoleka kwa spirit huwezi pata watoto mradi ukombolewe

    • @awaahassan936
      @awaahassan936 Рік тому

      @@anitahshere8063 nipo nao 2

  • @didieruwingabire2370
    @didieruwingabire2370 10 місяців тому

    Sasa huyo muti tutaupataje

  • @coreiberryadam5939
    @coreiberryadam5939 Рік тому

    Namba za fundi huyo

  • @allymwilu8089
    @allymwilu8089 Рік тому

    Huo muilizi hapo ndo uonekane fundi au yani sikuizi mjini wezi wengi kwa kweli khaaaaa kujiganya unaongea kilafudhi ya kiislam kuchafua watu tuuu

  • @faiqaanwar7268
    @faiqaanwar7268 Рік тому +3

    Sheikh mti huo hauna jina Kwa kiswahili ili nasi tujue?

  • @laurinebihembo2907
    @laurinebihembo2907 6 місяців тому

    Naomba namba

  • @SaudaMuhammedyussuf
    @SaudaMuhammedyussuf Рік тому

    Mimi Nina mwaka sita nishaasha shule lakini kila siku nakua naota nikiwa shule

  • @robertndebate5462
    @robertndebate5462 Рік тому

    Uyu mganga au shekhe mbona ana mielizi kama mijezi ya makolo

  • @allyfadhili
    @allyfadhili Рік тому +1

    Huo ni uwongo.

  • @asuhramahamud1369
    @asuhramahamud1369 Рік тому

    Naweza je kukupata shehe huyo au kujua sehem gani naweza kufikia

  • @user-ze6fg2xo9v
    @user-ze6fg2xo9v Рік тому

    Nahitaji msaada ktk hili kila ulichokiongea kinanihusu mimi

  • @latifaradjabu3949
    @latifaradjabu3949 Рік тому

    Mtu huyo sheikh mungutuonyesha majani yake tungeutafuta au kama inawezekana kukupata kupitia ww tusaidie namba zasim mm nipo Burundi sjui nitaupataje

  • @zinathussein7294
    @zinathussein7294 Рік тому +2

    Omg...yani i have had all those kind of dreams...and my hubby never stay at my home...we're strangers to each other...how can you help me!

    • @Churchofecclesia
      @Churchofecclesia Рік тому +1

      Find JESUS CHRIST IS THE SOLUTION OF YOUR PROBLEMS, BECAUSE WAGANGA ARE NOT AGENTS OF HEAVEN THEIR AGENT OF THE DEVIL, FIND THE SERVANTS OF THE LORD JESUS CHRIST

    • @Madam870
      @Madam870 Рік тому

      Pole sana dadangu nitafute insha Allah

  • @razikahasan2114
    @razikahasan2114 Рік тому

    Mm naota napigana baadae naruka

  • @osmansalim172
    @osmansalim172 Рік тому

    Biashara hii na dini

  • @user-wy3ok9xr8s
    @user-wy3ok9xr8s Рік тому

    Naomba kujua vile naweza toa nuksi, na nipate nyota yangu na pia kupendwa na mwanamke akuwe tu akinifikiria kila saa.

  • @nancynkya4462
    @nancynkya4462 Рік тому

    jamani Mimi nimeota ni merudi sehemu ambayo nilikuwa nafanya kazi zamani na apo nilishafukuzwa sasa nimerudi na wafanya kazi wezangu wananishangaa nimerudije naomba nijibu plz shekhe

    • @farajadldm2256
      @farajadldm2256 Рік тому

      Komboa nafsi yako

    • @Madam870
      @Madam870 Рік тому

      Daa pole aisee hem nitafute unieleze labda naeza kushauri insha Allah

  • @zumbemgalawe
    @zumbemgalawe Рік тому

    Uwo mti unaitwaje shekhe

  • @joanesasalavaleriano9980
    @joanesasalavaleriano9980 Рік тому +1

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇲🇿🇲🇿🙏🙏

  • @everlynechebet-lh5hu
    @everlynechebet-lh5hu 10 місяців тому +1

    Niko na muzungu alikuwa ananisadia lakini sahii

  • @wrongnamemtuwahapa
    @wrongnamemtuwahapa Рік тому +1

    Mimi mara nyingi uota na paaa sana msituni

  • @mussamatondo4886
    @mussamatondo4886 Рік тому +16

    Some time mmetuvalia juga kutundanganya, ndoto inaendana na mawazo yako

    • @reenaismael4310
      @reenaismael4310 Рік тому +17

      You know what,kama kitu hakijawahi kukutokea utaona chochote kile unachoambiwa ni uongo tu
      Lakini nikwambie watu wanapitia mtihani huku nje ,kama uko sawa sema Alhamdulilah
      Allah akulinde na kukuepusha na mabaya.
      Kwa wale wana shida wacha waskie Insha'Allah kwa auezo wa Allah watapata shifa na kufanyiwa wepesi katika kila jambo Lao.
      Mungu akulinde na kukuepusha na maadui,mashetani na kila jambo mbaya likitaka kukutokea Allah akutangulie mbele Aameen.

    • @carendeborah5687
      @carendeborah5687 Рік тому

      Life is spiritual,kama waelewa what spiritual is basi haifai kupingana

    • @madamprayer6490
      @madamprayer6490 Рік тому

      @@reenaismael4310 kweli asee

    • @sinobosstv5565
      @sinobosstv5565 Рік тому

      Na mawazo yako yanawezatawaliwa bado na shetani

    • @happybalama3591
      @happybalama3591 Рік тому

      Sio kweli ndoto huletwa na Mungu au shetani

  • @AishaMshaka
    @AishaMshaka Місяць тому

    Tunataka huwomti nimtigani

  • @user-ku9hw9mg1l
    @user-ku9hw9mg1l Рік тому

    Samahanini huyu msemaji hapa tumfahamu vipi AMA yupo kundi gani?

  • @rahmaomary5134
    @rahmaomary5134 2 місяці тому

    😁😁😁😁Waganga

  • @user-fi6hb3lp5y
    @user-fi6hb3lp5y Місяць тому

    Bahati mbaya na wewe ni mganga umekuja tu na kuwaponda waganga lakini na wewe ni mganga kuni neno uganga ni utibabu kwani hata wale wahospitali wanaitwa waganga Sasa waponde wenzako lakini Bado itabaki wewe ni mganga no comment

  • @user-pu7xr6fe7c
    @user-pu7xr6fe7c Рік тому

    Mimi nnaye nitakupataje dalili zote nnazo naokewakila naachika nitakupataje nasumbuka

    • @Madam870
      @Madam870 Рік тому

      Pole sana nitafute naeza kushauri insha Allah dadaa

  • @mwakamestephen9001
    @mwakamestephen9001 Рік тому

    Unaongea ukweli yaani wachawi kiukweli ni kipi wanachokipata

  • @didieruwingabire2370
    @didieruwingabire2370 10 місяців тому

    Uyu anaitwa nani

  • @IsmailAhmadChakudeka388
    @IsmailAhmadChakudeka388 Місяць тому

    Ivi huyu mbona yupo nawatu wa bidaa asaiv au Bora tonge

  • @everlynechebet-lh5hu
    @everlynechebet-lh5hu 10 місяців тому

    Shrek Niko nazungu

  • @badmanno.1650
    @badmanno.1650 Рік тому

    Na huyu nae pia anitwa shekhe??? Mnaomuamini nyote mnakufuru