Ya Allah tuepushie dhiki za duniani.na mazito tunayopitia.utupe kheri zote za dunia na akhera.na wabaya wanaotufuata kwa ubaya kwa dua hii iwe ni mwisho wao.majin,wachawi wote wabaya.uwafedheshe na uwaeke mbali nasisi🤲🤲🤲natia nia Ameen.
Yah Allah nifanyie wepesi katika duwa hii nifunguliwe Kila kilicho fungwa katika mwili wangu nakama Kuna kibaya chochote katika mwili wangu basi kitoke na umjalie mwanangu apone ugonjwa unao msumbua inshallah 🙏
Yarabi niondolee malazi nifungulie rizki niondolee kilatatizo lililopo katika maisha yangu yarabi nifungulie kila kilichofungwa popote pale kupitia duwa hizi zinazosomwa nasshehe ammina
Ya Rabbi mm Niko mbali na wtt wangu,,katika kutafuta rizk,wanangu kila mara wanaumwaumwa huko walipo,,yaa rabbi kupitia Dua hii kama Kuna anewafanyia husuda wtt wangu,,basi ww Allah ndio Hakim.
Yah Allah naomba unifunguliye kilah njia zangu zolizo funga napia uwaondoshee wazazi wangu maradhi waliyo nayo uwaponye katika kupitia Dua hii utakabaliye kila la kheri ln sha Allah 🙏🙏
Ya Alha niwekeewepesi kupitia dua hii niweze kuwatunza wanangu bila ya maadui na mm pia mama yao niweze kutimiza malengo yangu niondokane na misukosuko naniweze kujenga familia zangu niweze kusikilizana na wanafamilia zangu tuwenye kusikilizana na kusaidiana tusiwe wenye kutengana na unikinge na maadui wambali na wakalibu na unitumie uwepesi kwa yote ninayo kuomba inshallah Amin
Ehee mola Wang namin ana mwenye kuweza zaidi Yako amn unacho shindwa akika apa na mola apasae kibudiwa Kwa aki ispo kuwa wew nilindi Kwa dua hii niondolee vitu vibaya vyote ndan ya mwili Wang na uwe mwepesi na usiokuwa na madhala yeyote amin
yah allah naomba unifunguliye kila njia zangu zilizo fungwa napia uwaondoshee wazazi wangu maradhi waliyo nayo kupitia dua hiiiii naomba uniondosheee husda zote zinazo nianda kwenye mwili wangu nakuomba uniondosheee nuksi zote nipate kuolewa kila kheri inshallah🙏🙏
Alhamdulillah sheikh ni kama mungu aliniambia ingia youtube tafuta dua zitakusaidia nikakutana na hii wallah hii dua ina maajabu nimesikiliza mara saba nikapoteza faham hata kabla hujaanza kusoma dua enyew maneno yako sheikh ni baraka na ponyo kwangu mara ya saba nikazinduka nimepona kabisa Allah akuhifadhi uendelee kutua dua nzur kama hizi❤
Asante mwalimu Shabani ninakuwa huru kwa Dua zako ambazo tunazikiliza bila kuchoka imefikia mahali tunauina utukufubwa mungu mungu akubariki daima.mashalla utukufu kwa Alllha.
Allah amujaze khery ndugu yetu ,ust wetu,naomba ziku nyengine utuandalie mafunzo pia ya kutufundixha namna ya madawa pia kuyachanganya na matumizi yake,kwa mfano fuxho la kuwafuruxha majini aidha kwa mwili au kwa nyumba,pili dawa za kunywa kutoa machawi kwa tumbo,na tatu mafuta ya kujipaka kwa ajili ya kuondoa na kufuruxha majini pamoja na kueka jinga biidhnillahi kwa mwili, chengine nakukubuxha ndugu kutoa wasahau kwa dua zako ndugu zake wale walokuwa na kichaa sai tunashukuru kiasi lakini inxhaallah tuendelee kuwaombea majini yao ni juma ali nyoka na mbaraka ali nhoka na mimi ni Ustadhi rajab ali kutoka kenya kiji kinaitwa kizingo,na hizo dawa pia xheikh ukitufunza kutakuwa jambo lamxingi sana,mana wengine tunafatilia kujifunza kisomo cha rukia lakini hatuna ujuzi zaidi wamadawa naomba utusaidie kwa hilo pia shaikh wetu aaameen wajazakallahulkhairaljazaa.
Yah allah nifanyie wepesi katika duwa his nifunguliwe kila Kilcho fungwa katika mwili wangu nakama kuna kibaya chochote katika mwili wangu basi kitoke na umjalie Read more 🤲🤲🤲
Yah Rabi naomba uninusuru mm n mwanangu n familia yang yote..tunusuru n wachawi n Kila mtu yoyote anae tufanyia ubaya au anae tuangalia n macho mabaya yarabu wadhalilishe inshallah 🙏.. yah Allah ww ndie muweza
Jana usiku nliposikiliza dua yako , nmelala vzur , nimeoneshwa wabaya wangu mwanzo mwisho . Nikiwa nmefungwa nikiota sikumbuki , na wakat mngine sioti ndoto kabisa . HAKIKA SHEKH UKO VZUR . ALLAH AKUPE WEPESI
Ya Allah anifanyie wepesi nimedumu Kwa kusoma uradi na Dua hizi nimefanikiwa kumgundua mwanaume ambaye alijifanya ananipenda na ana malengo kumbe ni mshirikina wallah jamani tuishi katika Imani tusiishi Kwa kutegemea uchawi Dua za Allah Zina nguvu sana imenitokea nimesoma nimepata majibu wallah 🙏
Yaani mwalimu hizi Dua mwaga na wachawi pamoja na maajeti wao wanakufa tu hakuna mjadala mungu az8du kukupa ufunuo wa kutuletea duambalimbali, Asante Mwalimu Shabani .uwe na wakati mzuri
Ee mwenyez mungu nakuomba mi mja ninapo sikiliza dua hii naomba ushushe uponyaji wako juu yangu kila baya ambalo limefungwa juu yangu naomba ulifungueee
Ya Allah nijalie hii dua iwe ni shifaa kwa maradhi nilionayo naomba Allah ukubali Inshaallah kwa uwezo wako unifungulie mambo yangu kama kuna mtu.yoyote anahusika kwa haya maradhi ya pressure basi yaa Rabi mrudishie mwenyewe
Ya Allah,!!! Kwa uwezo wa dua hii na kupitia duwa hii naomba uniponye mm pamoja na wazazi wangu inshaallah kwa kila linalotusibu, wafungulie milango ya riski 🤲🤲🤲🤲🤲
Asante ALLAH kumpa.elimu kupitia maalum s. Tunakuomba uumpe mwisho mwema maana. tunapata.faida na mazingatio.na imani zetu zinazidi allahu akubariki.duniani na Akhera .🌴 tunakuomba allah pokee dua hii .🕋
Namuomba Allah katika dua yake hii afungue mafundo yote ya kichawi yaliyotuzunguka na atujaalie wepes kwenye utafutaji wetu na uwafedheheshe wanaotuchezea na kutufanyia hasadi In sha Allah
Yaa Allah kupitia dua hii nakuomba unifungue kila kifungo cha kichawi na uwafungue wanangu vifungo vya kichawi!na kila uadui niliowekewa urudi kwa mwenyewe na kila majini ya kichawi yaliyotumwa kwangu na kwa watoto wangu yarudi kwa wenyewe amin
Baarakallaahu fiykum wa jazaakumullahu khayrul jazaai al jannatul fir'daus inshaallaah assalam alaykum warahmatullahi wabarakatuh mashaallaah tabaarakallaah al habiib inshaallaah ndugu yangu kipenzi katika iimaan maulana mufti sheikh amir ustadh al habiib shaaban kwanza akulipe na akuzidishie kila la kheri inshaallaah na allah kariim akulipe akuzidishie kila wema inshaallaah allah kariim sw akukinge na akuepushe na kila huzuni na majonzi na kila shari na kila balaa na kila hsda na hasad inshaallaah na allah kariim rahmaan akufurahishe kwa kila furaha inshaallaah na allh kariim rahiim haliim swt akuepushe na killa husda fitina hasad na killa aina ya maradhi inshaallaah na allah kariim rahmaan akukinge na akuepushe na killa aina maradhi na mabalaa na majanga na mitihani mbalimbali inshaallaah na allah kariim rahmaan akupe na akuzidishie afa njema na siha njema
Nasumbuliwa na misukosuko sauti za ajabu mapigo ya moyo kwenda kasi inapelekea kukata tamaa kikazi kabisaaa nipo kikazi nje 😢 , na maradhi ya ajabu na alama nimepigwa kwenye tumbo langu kalibia na ndoa yangu kwenye ndoa sijadumu nimeachika, na alama hadi leo ipo kwenye tumbo langu napitia majalibu kwenye kazi ya kutisha nakosa nguvu kizunguzungu yani tafrani.ya rabby 😢😢😢😢 niponye mja wako nipe nguvu kwenye utafutaji wangu nchi za watu alama nilopigwa ifutike .nakosa hamu hata ya kula sna furaha kabisaaa
Inshaallaah allah kariim rahiim haliim jallah jalaluh rahmaan akikuwezesha na kukuwafikisha inshaallaah kwa uwezo wa rahmaan inshaallaah al habiib nakuomba kwa hisani yako na iiman yako inshaallah unitumie hio duaa kwa njia ya maandishi kwa kiarabu na kiswahili inshaallaah

Allahumma aaamin

YaaRabb niondoshee kila mabaya katika maisha yangu mimi wanangu ,katika maisha yangu .utufungulie kila la kheri Allahumma Ameen yarabb 🤲🤲
Nikisikiya unavo adhini naunavo soma duwa nasikiya kutetema mweli mizima paka kichwa ishallaha alha akuzidishiye ruhuma ulo nayo nakipaji mola alokujaliya ameni❤❤❤❤❤❤
Ya Rabbi mm Niko mbali na wtt wangu,,katika kutafuta rizk,wanangu kila mara wanaumwaumwa huko walipo,,yaa rabbi kupitia Dua hii kama Kuna anewafanyia husuda wtt wangu,,basi ww Allah ndio Hakim.
Yah Allah naomba unifunguliye kilah njia zangu zolizo funga napia uwaondoshee wazazi wangu maradhi waliyo nayo uwaponye katika kupitia Dua hii utakabaliye kila la kheri ln sha Allah 🙏🙏
Yee Allaah mpe maisha marefu sheih wetu azidi kutupa dawaa
Ya Alha niwekeewepesi kupitia dua hii niweze kuwatunza wanangu bila ya maadui na mm pia mama yao niweze kutimiza malengo yangu niondokane na misukosuko naniweze kujenga familia zangu niweze kusikilizana na wanafamilia zangu tuwenye kusikilizana na kusaidiana tusiwe wenye kutengana na unikinge na maadui wambali na wakalibu na unitumie uwepesi kwa yote ninayo kuomba inshallah Amin
Naam lnshaallah mwenyezi Mungu akufanyie wepesi
Mashallah Allah akupe umri mrefu ili tuzidi kufaidika❤
Ya Allah nilinde na mumewangu na watoto wangu na mamangu na jamii uslam
Shekhe wangu Mimi nipo Mozambique 🇲🇿kweli nimepona sana sana basi Mungu akupe lá kheri sana sana ❤
Kweli
Huko Mocambique Mambo
Jazaka ALLAH KHER ALLAH Akuzidishie Elim IshaaALLAH killa mwenye maradhi shida za mwili ALLAH Ampe Shuffa kupitia Dua hizo
Allahumma Aameen 🤲🏻🤲🏻
Amiina yyarabb
Amiin Ya Rabbi
Ehee mola Wang namin ana mwenye kuweza zaidi Yako amn unacho shindwa akika apa na mola apasae kibudiwa Kwa aki ispo kuwa wew nilindi Kwa dua hii niondolee vitu vibaya vyote ndan ya mwili Wang na uwe mwepesi na usiokuwa na madhala yeyote amin
Ya Allah naomba kupitia dua hii kila jmbo lolote lililofungwa kwenye maisha yangu naomba unifungulie niweze kufunhuka
Shukran allah akulipe sheikh wetu. Ila dua hio ili tuweze kuismo na kuomba inshaallah
Yaa Allh mu umba mbingu na Ardhi kupitia kisomo hiki nibatwilishie sihiri zote zilizokuwa ndani ya mwil wangu ameen
yah allah naomba unifunguliye kila njia zangu zilizo fungwa napia uwaondoshee wazazi wangu maradhi waliyo nayo kupitia dua hiiiii naomba uniondosheee husda zote zinazo nianda kwenye mwili wangu nakuomba uniondosheee nuksi zote nipate kuolewa kila kheri inshallah🙏🙏
Alhamdulillah sheikh ni kama mungu aliniambia ingia youtube tafuta dua zitakusaidia nikakutana na hii wallah hii dua ina maajabu nimesikiliza mara saba nikapoteza faham hata kabla hujaanza kusoma dua enyew maneno yako sheikh ni baraka na ponyo kwangu mara ya saba nikazinduka nimepona kabisa Allah akuhifadhi uendelee kutua dua nzur kama hizi❤
Asante mwalimu Shabani ninakuwa huru kwa Dua zako ambazo tunazikiliza bila kuchoka imefikia mahali tunauina utukufubwa mungu mungu akubariki daima.mashalla utukufu kwa Alllha.
Allah amujaze khery ndugu yetu ,ust wetu,naomba ziku nyengine utuandalie mafunzo pia ya kutufundixha namna ya madawa pia kuyachanganya na matumizi yake,kwa mfano fuxho la kuwafuruxha majini aidha kwa mwili au kwa nyumba,pili dawa za kunywa kutoa machawi kwa tumbo,na tatu mafuta ya kujipaka kwa ajili ya kuondoa na kufuruxha majini pamoja na kueka jinga biidhnillahi kwa mwili, chengine nakukubuxha ndugu kutoa wasahau kwa dua zako ndugu zake wale walokuwa na kichaa sai tunashukuru kiasi lakini inxhaallah tuendelee kuwaombea majini yao ni juma ali nyoka na mbaraka ali nhoka na mimi ni Ustadhi rajab ali kutoka kenya kiji kinaitwa kizingo,na hizo dawa pia xheikh ukitufunza kutakuwa jambo lamxingi sana,mana wengine tunafatilia kujifunza kisomo cha rukia lakini hatuna ujuzi zaidi wamadawa naomba utusaidie kwa hilo pia shaikh wetu aaameen wajazakallahulkhairaljazaa.
amini
Amin yarab🤲🤲🧕
Mimi ninamatatizo naomba unionbee dua Mimi pamoja na familia yang vitu vyangu vilivopotea Kwa uwezo wa allah basiviweze kurudi🧕🤲🤲❤️
Assalam alaikum wahramatulai wabarakatu,shukrani maalimu Mola akujaze kheri kwa Kila njia yenye mafanikio kwa waja wake Aamin
Yah allah nifanyie wepesi katika duwa his nifunguliwe kila Kilcho fungwa katika mwili wangu nakama kuna kibaya chochote katika mwili wangu basi kitoke na umjalie Read more 🤲🤲🤲
Mashallah mungu type wepesi
Allah akukinge na macho ya usuda na akupe kher dunian na kesho akhera inshaallah
Yarab nifungulie milango ya ridhk nauniondolea vifungo vyote na husuda pia umurehem mzazi wangu naumuondolee maradh mama yangu
Allhaa akujalie kilalaheri kwa kweli nilikua nasumbuliwa na wachawi sana lakini tangunime anza kukiliza hii dua nalala alhamdulilh
Kama siwezi kusoma quran nitafanya je naweza kuzunguka nasimu kupitia saut yako
Yah Rabi naomba uninusuru mm n mwanangu n familia yang yote..tunusuru n wachawi n Kila mtu yoyote anae tufanyia ubaya au anae tuangalia n macho mabaya yarabu wadhalilishe inshallah 🙏.. yah Allah ww ndie muweza
Mjukuu wangu analialia Sana hii inshallah apunguze kuliya kwa Dua yako inshallah
Ewe mola nifanyie wepesi wepesi katika familia yangu iwe yenyefuraha na amani, pia mke wangu aweze kujifunguwa salama na Kwa wepesi
Mungu aturanyie wepec na familiya yanngu inshallah mgonjwa was mguu alone kwa hlk inshallah
Jana usiku nliposikiliza dua yako , nmelala vzur , nimeoneshwa wabaya wangu mwanzo mwisho . Nikiwa nmefungwa nikiota sikumbuki , na wakat mngine sioti ndoto kabisa . HAKIKA SHEKH UKO VZUR . ALLAH AKUPE WEPESI
Mashaallah
Asalam aleykum natumain n wazim a afya n ramadhan hii n walokuw wanaumwa Allah awape shifaa 🤲🏻🤲🏻🤲🏻🤲🏻
Naomba nifahamishwe vyema hii dua
Mashaallah Allah akuzidishie Kila lenye kheri na elimu zaidi uzidi kutusaidia kwa uwezo wa Allah. Aaameen Yarabal alameen
Yaarabb kupitia dua hi naomb uniepush kil bay me pamoj na ndug zang inshallah
Eeeeeh allah ni jaliye niwe miongoni yawele ambao wata nusurika katika maisha yangu amin
Ya Allah anifanyie wepesi nimedumu Kwa kusoma uradi na Dua hizi nimefanikiwa kumgundua mwanaume ambaye alijifanya ananipenda na ana malengo kumbe ni mshirikina wallah jamani tuishi katika Imani tusiishi Kwa kutegemea uchawi Dua za Allah Zina nguvu sana imenitokea nimesoma nimepata majibu wallah 🙏
Jazakallah Khaira Sheikh wetu.
Allah akuzidishie nguvu tuzidi kufaidi na mafunzo yako kutoka kwa Qur'an tukufu.
Mungu akupatie maisha marefu inshaallah
Mashaallah mungu akuzidishie kher na me napon kupitia Dua hii inshaallah
Assalamu alaykum kitabu kinaitwaje shekhe
Yaani mwalimu hizi Dua mwaga na wachawi pamoja na maajeti wao wanakufa tu hakuna mjadala mungu az8du kukupa ufunuo wa kutuletea duambalimbali, Asante Mwalimu Shabani .uwe na wakati mzuri
Shukrani shekh umenikumbusha mbali hiyo dùa.mungu akufanyie uwepesi katika mambo yako
MASHALLAH SUBANALLAH ALLAH AKBAR ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Allah akulindea na akupe Maisha marefu
Ee mwenyez mungu nakuomba mi mja ninapo sikiliza dua hii naomba ushushe uponyaji wako juu yangu kila baya ambalo limefungwa juu yangu naomba ulifungueee
Maalim nnaskiza hii Dua mwili wanicheza wallahy Allah akuhifadhi uje usaidie watu yarrab
Ya Allah nijalie hii dua iwe ni shifaa kwa maradhi nilionayo naomba Allah ukubali Inshaallah kwa uwezo wako unifungulie mambo yangu kama kuna mtu.yoyote anahusika kwa haya maradhi ya pressure basi yaa Rabi mrudishie mwenyewe
namuomba mwenyezi mungu anijarie duahii iniingie ndani ya mwiri wangu asante mungu
Alhamduli llah alla atuondolee maradh ya nuks na tuongezewe mishahara makazini mwetu aamin
Assalamualaikum!!! Sheikh samahani naomba unitumie hiyo dua hapa kwenye hiii commet Allah akulipe kheir inshaallah
Allah anifanyie wepes nasumbuliwa na wachaw
Allah Akbar,Allah akulipe kher NYINGI diniani na Akherat
Mungu akupe kheri inshallaah❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Ya Allah turahisishie kwa yote magumu tunayo pitia iwe nyepese baada ya kuisikia du hii
Yah Allah nifanyie wepesi na unisaidie yarabi Insha Allah
Ya Allah,!!! Kwa uwezo wa dua hii na kupitia duwa hii naomba uniponye mm pamoja na wazazi wangu inshaallah kwa kila linalotusibu, wafungulie milango ya riski 🤲🤲🤲🤲🤲
Zajak llah khair maalim
Allah akuhifadhi na majicho akupe ilmu izidi zaidi kwa hesab ya witri
Ameen🙏🙏
Asante ALLAH kumpa.elimu kupitia maalum s. Tunakuomba uumpe mwisho mwema maana. tunapata.faida na mazingatio.na imani zetu zinazidi allahu akubariki.duniani na Akhera .🌴 tunakuomba allah pokee dua hii .🕋
Ameeen yarab
Masha Allah niko mbali lakini lnsha Allah nitakutafuta nikirudi
Sasa tunaipataje hii Dua ili tuisome????
Namba yako maalim tafadhal
Mashallah
Namuomba Allah katika dua yake hii afungue mafundo yote ya kichawi yaliyotuzunguka na atujaalie wepes kwenye utafutaji wetu na uwafedheheshe wanaotuchezea na kutufanyia hasadi In sha Allah
Yaa Allah kupitia dua hii nakuomba unifungue kila kifungo cha kichawi na uwafungue wanangu vifungo vya kichawi!na kila uadui niliowekewa urudi kwa mwenyewe na kila majini ya kichawi yaliyotumwa kwangu na kwa watoto wangu yarudi kwa wenyewe amin
Ya Allah kupitia Dua hii naomba imponye mwanangu maladhi yanayomsibu.
Nashkur sana sheikh kwa dua ila niulize kama unataka kuisoma hio dua na wakati huijui nifanyeje
Mashaallah tabarak Rahman sheikh tu naomba tuandikie hii duaa thawabu yako utaipata kwa Allah subhanahu wa taala
Mashaallah
AHSANTE MASHEIKH WETU MUNGU AWAZIDISHIE UJUZI.
NA
KUTUPA
ELIMU
WAUMINI
WENU
Allah Atusaidiye tulisho nasho kiodoke kwauruma wako
Asalama Aleyekumu bora ungekuwa unaziandika Allah atakulipa
tafuta mtandaoni utapata audio ya kuweka ktk simu ..pia utapata ya kuprint
@@hassanmody3005waandikaje ili zipatikane tutafute
Ya Allah mjaalie Kila la kheri shekhe wetu.
Yah Allah nijalie kuhusu Dua hii mambo yangu yafungulie maana nateseka sana mpk wanafanya mm nisiolewe
pole sana, Allah yashfeek
Nasumbuliwa na pepo mbaya Allah nifanyie wepesi katika hili inshallah 🙏
Shu ran sheigh, wamenifisidi maisha yanguna kuhidesa kwa mardh na kunitia husda uchumi wa pato lang woote umefisdiwa
Mungu akuzidishie kheri
Asante kwa msaada wako inshallah Allah akuzidishie Kila la kheri
Mwenyezi,mungu.nijaalie.nipate familia.yaaalwa
Shekhe nakupigia tuongee vizuri hupokei sim
Mashallah for dua
Shekhe .Salam nasumbuliwa na miguu inauma sana naomba duwaaa maaalum kwa ajiri ya shida ishaalah.
Ma Sheikh wetu nawapendasana duwayangu M Mungu awazidishiye ilmu naafya
Mashallah
Alhadulilahi hizbu bahari unaisoma Kwa ufundi maashaallah ustadhi
Yaallah kulitia dua hii naomba niondeshee maradh haya niliyonayo naimani naninakuamini mungu mbele yako hakuna kinachoshindika ishaallah
Shehe wakati wadua nilitia Nia nipone kizungu zungu, nikawa nimefumba macho nikaisi mbavuni mwangu ametoka mwenda wazimu naupande wapili nikahisi katoka mtu mweupe, nashukuru Mungu Amina.
Shukrani Maalim Shabani Mungu hakupe afya njema na umuli mrefu lnshaallah
Ameen kwa sote
shukran kipenzi wa Allaha Maalim Shaban Allaha akuifadhi na mahasidi
Yah allah nifanyee upesi katika maisha yangu 🌹
Baarakallaahu fiykum wa jazaakumullahu khayrul jazaai al jannatul fir'daus inshaallaah assalam alaykum warahmatullahi wabarakatuh mashaallaah tabaarakallaah al habiib inshaallaah ndugu yangu kipenzi katika iimaan maulana mufti sheikh amir ustadh al habiib shaaban kwanza akulipe na akuzidishie kila la kheri inshaallaah na allah kariim akulipe akuzidishie kila wema inshaallaah allah kariim sw akukinge na akuepushe na kila huzuni na majonzi na kila shari na kila balaa na kila hsda na hasad inshaallaah na allah kariim rahmaan akufurahishe kwa kila furaha inshaallaah na allh kariim rahiim haliim swt akuepushe na killa husda fitina hasad na killa aina ya maradhi inshaallaah na allah kariim rahmaan akukinge na akuepushe na killa aina maradhi na mabalaa na majanga na mitihani mbalimbali inshaallaah na allah kariim rahmaan akupe na akuzidishie afa njema na siha njema
Ukiandika weka nukta na full stop hiiiiiii unaandikaje ndugu!!!
mashallah Allah akup umri na afya
Sheikh imekuwa vyema ulivyo tuombea na imani yangu tutafanikiwa na nilikuwa napendekeza ingekuwa kwa mfumo wa maandishi ili tusiojua tujifunze. Amin
السلام عليكم ورحمة الله وبركاته alhamdulillah daima nafatilia kipinde hichi cha maalim shabani
Mashallha
Jazaka Allah 🤲
Assalam alaykum warahmatullah wabarakatu. Shukran kwa duwa. Jazakallahulkhayr.
Naomba unijalie dua hii mdogo wangu zawadi saidi anafanyia operesheni Keshao asubui
Inshallah nitafunguliwa
Mungu akulipe kila la kheri shekh Shabani
Mashaallah asante Sana maalim wangu Allah akujaalie naweye uzidi kuwa na afya njema Ameen🙏
Nasumbuliwa na misukosuko sauti za ajabu mapigo ya moyo kwenda kasi inapelekea kukata tamaa kikazi kabisaaa nipo kikazi nje 😢 , na maradhi ya ajabu na alama nimepigwa kwenye tumbo langu kalibia na ndoa yangu kwenye ndoa sijadumu nimeachika, na alama hadi leo ipo kwenye tumbo langu napitia majalibu kwenye kazi ya kutisha nakosa nguvu kizunguzungu yani tafrani.ya rabby 😢😢😢😢 niponye mja wako nipe nguvu kwenye utafutaji wangu nchi za watu alama nilopigwa ifutike .nakosa hamu hata ya kula sna furaha kabisaaa
Mwanangu anasumbuliwa na dege dege la kutupiwa mungu mjaalie mwanangu apone inshallah 🙏
Amin
Yeah rabi kupitia dua hili naukuomba unifanyie wepesi katakana maisha yngu
Nadhkuru kwa uombaji wako.... mwenyezi mungu atulinde sote
Inshaallaah allah kariim rahiim haliim jallah jalaluh rahmaan akikuwezesha na kukuwafikisha inshaallaah kwa uwezo wa rahmaan inshaallaah al habiib nakuomba kwa hisani yako na iiman yako inshaallah unitumie hio duaa kwa njia ya maandishi kwa kiarabu na kiswahili inshaallaah
Sawa hata mimi nimeomba hivyo.
Mashalhaah Allah akujalie maisha marefu pia nikilaa naota Nala v2 cjui Allah anijalie kwa hii dhua ❤