DEREVA WA MAGARI YA KUBEBA MAITI AELEZA MAZITO WANAYOKUTANA NAYO - "MAITI NI NZITO"
Вставка
- Опубліковано 19 жов 2022
- DEREVA WA MAGARI YA KUBEBA MAITI AELEZA MAZITO WANAYOKUTANA NAYO - "MAITI NI NZITO"
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm
Daaaaaaah mtu ukifa w2 wanakuogopa jmn, aijalishi ulikuwa qeen, king.... Akiii kifo wew ipo siku na mimi ht ndugu zangu wataniogopa🙆♀️🙆♀️😢😢😢😢😢
MAMAAEEE IYOO SINGI KWA RISAS WEEE HATA NIGAIWE SITAKI
Askari kuipigia saluti maiti ni last respect na ipo kwa mujibu ya sheria ya makoloni yote yaliyokuwa chini ya utawala wa kiingereza.
duniani wote wasafiri
Napanda kule kule ndani wanakowek maiti Tena na juis ya embe kabisa nainjoi..umejiuliza wewe ni nani?ulitoka wapi kabla ya Leo? Utaenda wapi baada ya Leo? Kabla ya jina la ukoo wako unakua mwenyejina alitokaga ukoo upi? Wako wapi saivi?
Kama unataka kutoa rfti endesha malori atabeba watu huyooo mpaka atachoka
🤣🤣🤣🤣🤣
Dah ukifa unaogopwa Astghafirulah
Dah hili sipandi aisee
Sheria ya Nchi inasema maiti ikiwa kwenye msafara hakuna kitu chochote cha kunachoweza kuzuia sababu ....Ata msafara wa Rais unapaswa kuupisha msafara wa marehemu
sheria ipi io😂😂 rais fuatilia bana😂😂
We kuweza 😂😂😂
Mimi napanda kabisa, tuogope tusiogope umauti upo, na unasubiri.
Mamaaeee hiyoo unigaie bure sitaki weee derva umerogwa nini kheee subutu
Lifti wapi uwaga unadai nauli Nani akujui wewe nilipe nauli kwa gari ya maiti
Nachukua lift hapo kabisa hata hapo nyuma nalala tu sema nafasi ni ndogo hapo.
Uskonde siku ikifika hutapewa lift utakuwa we ndo mgeni rasmi ulielala huko nyuma! Af nafasi itakutosha tuuu!
@@claudia1500 umemjibu vzuri 😅
@@claudia1500 😅😅
🤣🤣 umejibu vizur
Kwanini atoe lifti?? Kwani hii gari inatumia maji au petrol??]]🤣🤣 ata mi sipandi
🤣🤣🤣🤣🤣
Kwan lazma uwape wat lift
GALI HILO NI LAKO NA MAIT YAKO MZEEE
😓😅😅