Dereva wa gari la kubebe MAITI asimulia anayokutana nayo njiani; kuweka MKAA / JIWE mwili ukigoma

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 лип 2023
  • Mtazamaji wa mwananchi digital karibu kwenye mahojiano maalumu na dereva wa gari la kubeba maiti Mohamed Athuman ambaye anaeleza ugumu na ambayo amekuwa akikutana nayo kwenye safari zake tangu alipoanza kazi hiyo.
    Athumani anafanya shughuli zake jijini Dodoma analeza masuala ya imani anayokutana nayo na ikiwemo ile inayozungumzwa sana ya marehemu kugoma kwenda kuzikwa kutokana na wosia aliouacha na gari kuharibika wakati wakisafirisha au kuzima ghafla.

КОМЕНТАРІ • 7