RUTO YUPO KWENYE WAKATI MGUMU SANA| AMEANGUSHWA SANA NA WABUNGE WA NCHINI KENYA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 лип 2024
  • 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm
  • Розваги

КОМЕНТАРІ • 95

  • @mtzhalisi2232
    @mtzhalisi2232 2 дні тому +23

    Wabunge walipewa pesa.... Hakuna kitu unajua oscar... Geopolitics hujui.. Vitu vingine muwe mnakaa kimya tu kama sio uwanja wenu

  • @SleimanMsellem
    @SleimanMsellem 2 дні тому +4

    Kuchambua ya Kenya tuu ya kwenu aaaa

  • @_bonfaceadera
    @_bonfaceadera 2 дні тому +6

    Wasafi TV make me your correspondent in Kenya. Haya mambo hamyajui vizuri.The protests were infiltrated by goons hired by politicians trying to settle old scores,preliminary investigations show these politicians are not from the opposition.

  • @amosotieno4418
    @amosotieno4418 2 дні тому +11

    Nyinyi hata hamna mnachojua...huyo ruto kanunua bunge na kanunua mahakama...

    • @DennisMalima
      @DennisMalima День тому

      Wajua wao hawajui nn kinaendelea hapa kenya...wabunge wenye washaanunuliwa na Ruto kila anachosema wao wanapitisha tu

    • @wizardundesputed2805
      @wizardundesputed2805 День тому

      Basi , hiyo sasa

  • @brianojiambo2814
    @brianojiambo2814 2 дні тому +2

    Ningesema tuu vitu za Kenya jiepusheni nazo hamna habari ya kile kinaendelea kwa wabunge sasa hivi.

  • @lynnedarling1135
    @lynnedarling1135 2 дні тому

    Siasa za Kenya tofauti sana

  • @elvisoscar9912
    @elvisoscar9912 2 дні тому +1

    Mbona ya kwenu uko bunge lote wapo wa chama kimoja amzungumzii

  • @AAa-it7nx
    @AAa-it7nx 2 дні тому +1

    Huyu anacho kiongea hata Hana uhahika nacho😅

  • @carolinekasiemeka9848
    @carolinekasiemeka9848 2 дні тому

    Kaka tuliza boli Ruto summons them to state house and bribes them each 2 million. #Ruto MUST GO

  • @farusaimon3490
    @farusaimon3490 День тому

    Kwa mtazamo wangu, kauli ya kusema Mheshimiwa Rais Ruto anaangushwa na Wabunge wake, siyo sawa. Kumbuka, miswada mingi hutokea serikalini na kwenda bungeni, na wakati mwingine wabunge haohao hulazimishwa (katika mazingira yaliyofichika) kupitisha miswada hiyo. Mwache aone hasara za usaliti!

  • @sabinaatema2065
    @sabinaatema2065 2 дні тому

    Kuharibu sana anaongezea hawa watu wake mishahara surely,,,, walimu ,madakitari na hao hao ma police wake bado, aki ningekuwa leo mimi ni police singefanya kazi

  • @user-rt5iv4py2g
    @user-rt5iv4py2g День тому

    shida si wabunge shida ni ruto coz yeye ndio anawaamulisha,so ruto must go

  • @OjiamboGodfreyMutumi
    @OjiamboGodfreyMutumi День тому

    Yeye ndio amejaribu kututawala kwa ki imla, akishurutisha wabunge wapige kura ya kupitisha sheria za kutukandamiza.

  • @user-fc3og1eo3x
    @user-fc3og1eo3x 2 дні тому +2

    Tatizo siyo wabunge kupitisha muswada tatizo wabunge wale walipitisha kwa sababu ya wingi wao ili wamfurahishe mh raisi wao na imekuwa Desturi za mabunge mengi ya kiafrika kupitisha miswada kandamizi ili rais aweze kuisani na wamekuwa wakifanya hivyo kiukweli hayo ni mateso kwa wananchi

  • @FunnyChess-ns9vf
    @FunnyChess-ns9vf 2 дні тому

    Hakika wabunge walikuwa wana Nafasi kubwa sana ya kuzuia holi mambo kwa sababu issue nzima imeanzia kwao
    sasa sijui walilambishwa asahi hawakujua Hawa Magen Z
    leo wanampa wakati mgumu sana Rais wao
    I think hizi ni hujuma za kisiasa

  • @SundayNkaza
    @SundayNkaza 2 дні тому

    Tanzaniania kenya tujifunze viongozi nawana nchi kuweni makini hata kwetu yapo et kiongozi unamchagua uyouyo anakufinya mpaka unaandamana wao kwapesazet wanatembelea v8 sisi hata boda bado kila sehem wanakubana ukifungua ata duka kodizingine hatuzijui majina service lev wanachosha

  • @aliomari5254
    @aliomari5254 2 дні тому

    Hawa hawajui mambo ya ruto wala michezo wanaporojatu nendeni mkale keki kule mtoni

  • @AlainNyabirungu-wn1dl
    @AlainNyabirungu-wn1dl 2 дні тому +2

    Wakati Ali vamiya Congo ata
    endeleya Ku angushwa tu.

    • @OjiamboGodfreyMutumi
      @OjiamboGodfreyMutumi День тому

      Ilikuwa mpango wa America na yeye, aliingizwa madarakani ili atumike kuiba mali Congo.

  • @shedrackmutalemwa7310
    @shedrackmutalemwa7310 2 дні тому

    Mnaongea mambo ya Kenya je TZ vp?:miswada yetu mnaijua au iko sawa? Kodi za kimya kimya je? Tozo?

  • @polotieno229
    @polotieno229 2 дні тому

    Boss humumjui Ruto,
    Mchukueni mkae nae hata siku mbili peke kama mtamweza. Mpate mmeporwa kila kitu. Hatupigi nduru bure.

  • @Bama959
    @Bama959 2 дні тому +1

    Kinachobaki ni Tanzania pia

  • @MohammedAli-fp9vn
    @MohammedAli-fp9vn 2 дні тому

    Mswada hakupitiahwa na wabunge bali Ruto aliwaita wabunge wa chama chake akaeapa maagizo wapitishe

  • @firdaushamid8200
    @firdaushamid8200 2 дні тому

    Wabunge washatekwa na Ruto nilazima tu watapitisha hakuna namna ila tu nikutiwa adabu tu nawananchi ndio maana wamerudi kuomba msamahakwa wananchi

  • @broamz
    @broamz День тому

    Wabunge walilipwa na Ruto ili wapitishe huo mswada. Khs 2M kila mmoja wao kutoka mrengo wa chama tawala. Kwa hiyo Ruto anahusika moja kwa moja. Ruto na wabunge wake wote wanahusika.

  • @tonniemwafrika6679
    @tonniemwafrika6679 День тому

    Zakayo must fall

  • @eddyrandu3127
    @eddyrandu3127 День тому

    Mzigo huu ni WA ruto.😂.

  • @mrjohn68
    @mrjohn68 22 години тому

    Watangazaji wa hovyo kabisa. Fanyeni basi research kidogo ndo msiongee mambo msiyoyajua. Kwa kifupi, wabunge walipitisha mswada kama walivyoagizwa na Ruto

  • @dailytalk2040
    @dailytalk2040 2 дні тому

    I wish I was there to inform you what is happening, sababu nyinyi hamuelewi hata kidogo

  • @wizardundesputed2805
    @wizardundesputed2805 День тому

    Hawa wanesema nini sasa? You should all do research on this issues ili mkuwe mnajua mnacho ongolea puga nyinyi 😅

  • @mduda_i
    @mduda_i 2 дні тому

    miswada inayopitishwa bunge la TZ mnaijua? au mnafatilia ya watu yakwenu Aaah

  • @ramagazet1362
    @ramagazet1362 2 дні тому

    Fanyeni muangalie comments oscar oscar munaongea pumba hamjui maswala ya Geopolitics

  • @abelkilawe8964
    @abelkilawe8964 2 дні тому

    katiba ya kenya miswada yote inaanzishwa na bunge then inapelekwa kwa rais

  • @MebakariMohamed
    @MebakariMohamed День тому

    Kuchambuwa ya Kenya ya kwenu aaaaaaaa

  • @festamwaibabile2190
    @festamwaibabile2190 День тому

    Jadilini Mpira ndio mnaojuwa

  • @alkenia-luvchante.
    @alkenia-luvchante. 2 дні тому

    Wabunge na huyo mtu wao wote takataka hawajui lolote bure kabisa

  • @ndondiafrika249
    @ndondiafrika249 2 дні тому

    Sikubaliani na mtangazaji....Ruto mwnyewe alikuwa akiuza hii bill kwa wananchi. hadi alionga wabunge shillingi 2 million kupitisha. So lazima alaumiwe

  • @governorjosh
    @governorjosh 2 дні тому

    No you don't understand bro mps who voted yes to finance bill 2024 were bribed ksh 2 millions each by Ruto himself. So in that case we can't allow corruption.We demand every Kenyan be given ksh 2millions na watoke bungeni we want fresh elections.

  • @carolinemuli1862
    @carolinemuli1862 2 дні тому

    Mukiamka kama wakenya mutajua

  • @user-zn4nw9kl5f
    @user-zn4nw9kl5f День тому

    Kwani ni lazima gani mjadili vitu hamvijui? C mtulie wasanii wenu waendelee kutunga nyimbo za kumsifu mama yenu

  • @MosetiDismas
    @MosetiDismas 2 дні тому

    Wabunge walipewa pesa wao ni kama maraya

  • @BillyJames-l6x
    @BillyJames-l6x 2 дні тому

    Huyu jamaa anasema nn sasa??

  • @fredsabora2543
    @fredsabora2543 День тому

    Ruto alinunua wabunge

  • @user-rc6ww6rx7n
    @user-rc6ww6rx7n 2 дні тому

    Kusema ya nchi ya jilani tu lla kusema ya nchini kwn aaaaaaaah mnaogopa ht kugusia dadeki

  • @shuaibjuma8464
    @shuaibjuma8464 День тому

    That dude is actually clueless...infact I believe he doesn't know how a bill comes to be a success in Kenya endeleeni tu na kuwa mama ywaupiga mwingi lol

  • @gazanempireup2ditime133
    @gazanempireup2ditime133 2 дні тому

    manze hamjui kwamba mswada ulitoka kwenye executive na masharti yakuipitisha pia humo.

  • @barnaba3037
    @barnaba3037 2 дні тому +2

    Tatizo sio wabunge tu.Tatizo ni ahadi za uongo. Yan naona mawazo ya Dudu baya kuhusu uchambuzi wa Kenya ni ya juu mara 100 zaidi ya hawa wawili

  • @suleimanrashid3918
    @suleimanrashid3918 2 дні тому

    Oscar katika maisha yako yote usije jaribu kushindana na vijana wanao balekhe..ataka wame kukosea kua mpole hio age ni shida😂😂😂

  • @rehemashariff3119
    @rehemashariff3119 2 дні тому

    Kama unajua jeuri na kiburi ya tuto utaelewa hata wanaopitisha wanatishiwa ruto sio binadamu nikuombe hivi chukua ruto mwaka tu umueke tanzania awe raisi utatamani umtupe kwenye dzimbalah

  • @dalalimjinga.144
    @dalalimjinga.144 2 дні тому

    Simuoni hassle madarakani mwezi 8 kamsaliti Putin

  • @mengikiguruwe6750
    @mengikiguruwe6750 2 дні тому +2

    Oscar akili yako bado sana

  • @lunangabenjamin3121
    @lunangabenjamin3121 2 дні тому

    Hivi kwanini alituma jeshi la policie haiti na kwake kunavurugu.

  • @biggyshari3328
    @biggyshari3328 2 дні тому

    Kwanza alivyoingia madarakani alinunua wabunge hyo inamana alitaka kuua upinzani sasa basi wacha tudeal nae sisi

  • @FauziaJoseph
    @FauziaJoseph 2 дні тому

    Aki ndungu nikweli awa wambunge ndio wameleta vifo

  • @athumanmlamba4372
    @athumanmlamba4372 2 дні тому

    Watauzuia vp wakati walihongwa million ya pesa kupitisha bajeti, tatizo la viogozi wakenya ni mafisadi sana hivi wamenunu ndege wa natembelea na

  • @zachmaselle6635
    @zachmaselle6635 2 дні тому

    ....jamani acheni haya masuala ya siasa, inaonyesha uekewa wenu ni mdogo na siyo ushabiki wa mpira wa Simba na Yanga. Chimbuko la hili tatizo siyo Ruto. Ni Rushwa a miaka mingi. Hili siyo tatizo la Kenya tu. Ni nchi zetu nyingi za kiafrika. Tatizo la Ruto amejaribu kulitatua tatizo kwa kufunika rushwa. Mswaada wa fedha ulikuwa ni wa Ruto na serikali yake. Yes wabunge walitakiwa kujadili kukubali au kukataa. Lakini Rushwa ikaingilia. Angekuwa muwazi kwa wananchi na kuwaambia hali ya kifedha ikoje nchini labda wangemuelewa.

  • @supastar-kf4pb
    @supastar-kf4pb 2 дні тому

    Uyo.jama.aende.nyumbani

  • @mariamjamali1444
    @mariamjamali1444 2 дні тому +2

    Huyu Oscar Oscar anaongea non sense kbs, ebu chukulia Toka umekuwa ukaanza kufatilia siasa za hapa kwetu Tz ni lini Serikali ishawahi kupendeza au kupeleka muswada wenye ubovu wa kiwango Cha kimataifa alafu mbunge wa chama tawala akapima kura ya hapana. African politics are the same!
    The Head of the state is The Head of Parliament as well as Judiciary. There's no so called separation of power or Independent State Organs. You got me bro May be this is not your ground or it is but still amateur!

    • @mtzhalisi2232
      @mtzhalisi2232 2 дні тому

      Truth

    • @user-fc3og1eo3x
      @user-fc3og1eo3x 2 дні тому

      Na huo ndo ukweli hata kwetu hivyo hivyo Mara ngapi bunge letu lenyewe limepitisha miswada kandamizi na Rais anasaini na inakuwa Sheria Sana sana vyama tawala hupiga kura ya ndiyo kwa sababu ya wingi wao miswada kandamizi inapitishwa

  • @joshuawekesa7094
    @joshuawekesa7094 2 дні тому

    Nyie hamelewi lolote ruto mhuni huyu. Aliwalipi wabunge million mbili kupitisha mswaada ,sasa wabunge wanamaangusha aje ama ni yeye mhuni to

  • @KaburameHamisi-fm7fo
    @KaburameHamisi-fm7fo 2 дні тому

    Oscar dunia ya sahii siyasa nyingi wabunge wanafanya anacotaka raisi mnacagua mapendekezo ya mkuu si kuteteya wanainchi

  • @ChireGriffin
    @ChireGriffin 2 дні тому

    Rais ndo kwalipa mpaka wapizani wapitishe

  • @williambenedict6074
    @williambenedict6074 2 дні тому +2

    im jus here listening to all this ridiculous trash... Tz y'all kno nothing bout what's going on with new govt in office.. Leave us alone.. Y'all sound goofy asf whenever y'all speaking yah minds and making suggestions lol..

  • @alibarisa7739
    @alibarisa7739 2 дні тому

    He fail cz he paid the mps to pass the bill.so yeye ndie amejiangusha. He keeps on buying the members of parliament to pass every bill for his own benefits.

  • @allyalhussainy1216
    @allyalhussainy1216 2 дні тому

    Huyu Oscar hajui lolote linalo endelea... Yaonesha siasa zampiga chenga waliopitisha ni wabunge wa upande wa Ruto kisha atasema vipi sio raisi ni wabunge? Na master plan ni Ruto

  • @Bama959
    @Bama959 2 дні тому

    Mpumbavu sana huyo ruto, alitukashifu sana sisi wa kongo akashindwa kujua kwamba yote hulipwa hapahapa chini ya Jua

  • @TheJetSetter101
    @TheJetSetter101 2 дні тому

    You guys just stick to your Yanga/Simba football shenanigans! Ya Kenya kabisa hamyafahamu. Leave us Kenyans to sort out our issues with our president/MP's. Hakuna ya ukabila huku, it's a fight against bad governance, period!

    • @candyngeny8272
      @candyngeny8272 2 дні тому

      That's I am also thinking....how is our country their business...their country is fucked up and they are here discussing issues of another country...

  • @arthuroduor7253
    @arthuroduor7253 День тому

    Sorry my friend first learn about budget making process in Kenya before addressing us

  • @user-wb6lm2qk3s
    @user-wb6lm2qk3s 2 дні тому +2

    Poorly analysising ,we're after finance bill,this is new generations gen z
    Deal with your samia tz hawajui katiba na nights , Kenyans knew theirs rights unlike tanzanians

  • @Mammy-eq7ef
    @Mammy-eq7ef 2 дні тому

    Hamjui mnacho kiongea nyiny tulieni

  • @danielmgalla558
    @danielmgalla558 2 дні тому

    Oscar kuna kitu kinaitwa party caucus, wabunge pale walifanya kile rais anawaelekeza kwenye hizo party caucus, na endpo hata mmja wa chama chale angevote no, Ruto huyohuyo angedeal nae

  • @hamoudcreator6343
    @hamoudcreator6343 2 дні тому

    WASAFI vilaza sana😂😂😂...
    Hiyo Bill ameimepeleka mwenyewe Raisi Ruto.. Sasa unategemea Wabunge Watapinga...
    Ruto ndo Jipu.... Ameondoa Bill yake mwenyewe 😅😅

    • @InnocentZamkulu
      @InnocentZamkulu 2 дні тому

      Kama kaiondowa kwanini bado waandamane nakuharibu mali? Kuna siasa inayo jificha na sio hio bill ndio chanzo.

  • @abdulkheri7322
    @abdulkheri7322 2 дні тому

    Ongeleeni simba na yanga, hamjui siasa ya kenya 😂😂😂

  • @cHin91O
    @cHin91O 2 дні тому

    Hakuna mjualo buana nyie jadilini mipira tu na kwa uchambuzi huu ni wazi siasa za Kenya hamzifuatilii kabisa!

  • @hilarymayende
    @hilarymayende 2 дні тому +1

    This guy's doesn't know what is happening in Kenya they are just bucking they need to do research

    • @alfredmhana235
      @alfredmhana235 2 дні тому

      Kaomgea fact wakenya hawajielewi na hii ni biasha ya kina odinga tuu.

  • @Cao_ZeKai
    @Cao_ZeKai 2 дні тому +1

    Unprofessional... Wachambuzi wa mpira kuchambua siasa, Wasafi mnatuangusha sana

  • @FahadAbubakari
    @FahadAbubakari 2 дні тому

    Hahaa uchambuzi wenu unaonyesha hamjui kabisa what was behind it all kwanza huo si muswada ilikua ni bajeti, pili Kuna vitu vingi mnoo vilihusisha serikali ya Ruto yote na sycophants wake, wabunge sio target kusema wabunge wamemcost Ruto hiyo si sana ishu ni serikali yake, n Ruto alitoa ahadi nyingi mnoo ambazo katimiza less than 10% wala si wabunge subject ni Ruto .

    • @FauziaJoseph
      @FauziaJoseph 2 дні тому

      Akuna kitu President anawesa vitisha peke yake bila wambunge.

    • @FahadAbubakari
      @FahadAbubakari 2 дні тому

      @@FauziaJoseph uliskia interview ya Ruto Sunday? Nenda kaangalie then utajua wht I suppose to mean.

  • @AlexKimani-jt6pe
    @AlexKimani-jt6pe 2 дні тому

    Wambunge walilipwa million 2kupitisha huo mshwanda

    • @FauziaJoseph
      @FauziaJoseph 2 дні тому

      Nani aliwalipa kila mp wakikuja mbungeni kila moja anawakilishanga upande wa kwake, kile kinahanisha wameogea na watu wao

    • @FauziaJoseph
      @FauziaJoseph 2 дні тому

      Kile kina maanisha wameogea na watu wao ,sasa Ruto apo ako na makosa akusema peke yake ,lakini kunawale wamelipa vijana kualivia Ruto kazi