Hawa mambulula hawajui chochote juu ya soka wameshapewa hela na GSM wanaongea utumbo tuu. Uchawa ni ugonjwa wa akili. Huyo Oscar Oscar hajui lini Simba ilifika fainali ya kombe la CAF??
Sisi kama yanga tunataka watoto wetu mo fc shirikisho wafike fainali ndio waje kupiga kelele mtaani,mwaka huu mo fc shirikisho hata robo sijui kama watafika😂😂😂😂😂😂😂😂
Nilikuwa nasikia kuwa Edo Kumwembe uwezo wake wa kuchambua ni Mdogo, leo ndio nimeelewa. Big up Oscar uko vizuri sana kwa leo.
Safi kabisa 😂wa kwanza mie like 10000 hapq
Unazila wewe user😮
Safi sana wasaf fm
Dada hawezi kiongozi kipindi cha michezo
Sasa unatuchanganya Oscar kikundi cha wachezaji kwa kingereza c ndo team 😂
Edo uchambuzi mwachie baba levo 😂😂
Nikweli kabisa
Huyo Edooo mtoen studio hajui kitu kabsaaaa
Wewe unajua nini zaidi ya majungu😂😂
mukwala na yule striker wa coastal anaitwa maabadi almost the same people.
😂😂😂😂
Kwahiyo hata bizaa ikipanda leo natakiwa nilipe na ile niliyonunua jana wakati bei haikuwepo? Huu ni wizi
Oscar ongerea mpiraaa kitalaaam
Huna akili ww
Nikwel Tanzania wachambuz hawaongelei mpira ila ligi ikianza hichokikundi cha mpira msije mkaanza kukisifia
Huyo anaesema Simba inakikundi Cha wachezaji hana akili kabisa Leo ndo nmeamini wachambuzi wengine bule kabisa
Kwani ww wamekulazimisha kukometi
Yanga anatimu Simba anakikundi cha wachezaji😂
Hahahahaha ila 😂 msimu ujao Kaz ipo
Osca umeongea point
Osca oscar kaka unatutukana kabisa kikundi Cha wachezaji😅😅😢😢😢😢
Mkwalaaaaaa
Oscar pombe zinampenda sana anaongea km mlevi ila chukua madini yapime uone😅😅
Kila siku zinvyoemda Edo unapunguza mvuto kwenye uchambuzi
Hakuna team vs kikundi haya😂😂😂 team and vikundi
Oscar ana kitu
Eti thank you ya Mukwala
Edo sikuiz anazngua hachambui mpira!!
Edo ww ujui mpira alafu ww yanga 2
MO MCHUKUENI FEI TOTO NA MAYELE SIMBA TUNATAKA FURAHA
Yan tv hii wot yanga wwnaongea pumba TU mie at sipend kuifatia sikuiz
Ss umekuja kufanya nn huku??
Tafuta TV yako na wachambuzi wako wa simba
Umbumbumbu wa wachambuzi wengi ndo unasumbua 😂😂😂
Kaombe kazi hapo bro... Uwe mchambuzi
@@mtzhalisi2232 siwezi kufanya kazi za kuongea ujinga ujinga
kikundi cha wachezaji🤣🤣🤣
Xavi mtupu
Siyo kikundi chawachezaji nikikund chawahun
😂😂😂
Wahuni😂
Hawa mambulula hawajui chochote juu ya soka wameshapewa hela na GSM wanaongea utumbo tuu. Uchawa ni ugonjwa wa akili. Huyo Oscar Oscar hajui lini Simba ilifika fainali ya kombe la CAF??
👊👊👊👊
simba chama kubwa
Kikundi cha wachezaji
Wachambua ubwabwa
Sasa hawa simba hawana mwalimu na wanasajili sawa. Pale atakapo kuja coach aseme huyu hamtaki anataka wachezaji wake shida iko pale pale
Njoo wewe uwe kochi.
Kuna kocha wa kumkataa mukwala???
Utawasikia wanahujumiwa 😂
Sisi kama yanga tunataka watoto wetu mo fc shirikisho wafike fainali ndio waje kupiga kelele mtaani,mwaka huu mo fc shirikisho hata robo sijui kama watafika😂😂😂😂😂😂😂😂
Fala wewe kikundi kipo kwenye familiar yako mbwa wewe nani kakwambia simba haina kocha
😂😂😂
Mchezo hauitaji hasira