KWANINI KODI YA MAJENGO TUILIPIE KWENYE LUKU| KAZI YA TANESCO SIYO KUKUSANYA KODI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 жов 2024
  • 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

КОМЕНТАРІ • 166

  • @muthegreat3667
    @muthegreat3667 3 місяці тому +12

    Kodi zimekua nyingiii sana halafu hakuna maendeleo yeyotee .

  • @GodblessNyongole
    @GodblessNyongole 3 місяці тому +11

    Mzee wa kaliua leo umeongea vizuri Sana ...... Upigaji mwingi Sana .... Kodi zetu zingekuwa zinaelekezwa kwenye miradi yenye tija hii kopakopa ingepunguaa sana

  • @EdwinAdAstra
    @EdwinAdAstra 3 місяці тому +9

    Double taxation. Mzee wa Kaliua leo umetisha sana. Chukua form babu

  • @allymusira2153
    @allymusira2153 3 місяці тому +8

    Mimi nampongeza sana waliobuni kuweka kodi kwenye luku imetupunguzia kwenda TRA kupanga foleni na kupoteza muda mwingi la muhimu ni mpangaji na mwenye nyumba kuweka makubaliano ndani ya mkataba pindi unapolipa kodi ya nyumba ikatwe pesa ya kadi ya jengo , hata mimi nafanya hivyo kwa wapangaji wangu na tunaelewana vizuuri

    • @FrolenceRogath-fv6ku
      @FrolenceRogath-fv6ku 3 місяці тому

      Uko vizur sana

    • @tracyjohn2957
      @tracyjohn2957 3 місяці тому

      siyo wenye nyumba wote ni waelewa kama wewe kaka wengine hawataki Hata kusikia ukiwaambia hivyo

    • @gabumkono
      @gabumkono 2 місяці тому

      Wewe una nyu.ba wewe nyambafu

    • @naturelle1097
      @naturelle1097 2 місяці тому

      Sio sahihi kufurahia uzembe wako..nyie ndo mmetufikisha hapa

    • @user13375
      @user13375 2 місяці тому

      Huna akili😮

  • @FahmiNassor
    @FahmiNassor 3 місяці тому +6

    Kodi zetu cc tunawalipia viongozi wajaze matumbo yao ndio maendeleo tuyapatayo kuona wakitembea na magari ya kifahari suti kubwa na vitambi tu

  • @naldclever
    @naldclever 3 місяці тому +1

    Hii wizara ya fedha na Tra lazima ijitafakari... Kwa mfano hii wanayokata kwenye umeme wanasema n kod ya pango la ardhi, sasa mm kwenye ardhi yangu 1 nmejenga nyumba ya wapangaji na ndani ya ardhi hiyo 1 kuna Luku 7 kwa room 14, sasa kwann wanakata elf2 2 kwa kila Luku kila mwezi wakati luku zote ni za mmiliki mmoja, na ardhi pamoja na room zote ziko kwenye nyumba moja!!? Huu ni unyonywaji wa wazi kwa wananchi.. Wapangaji wanalipa kodi la pango la ardhi isiyowahusu kivipi ? Waziri anasubiri nn madarakani ?

  • @mwalimudavidkizazihuru
    @mwalimudavidkizazihuru 3 місяці тому +5

    Kwakweli tukiendelea kutumia media kama hivi kusemea wananchi. Media zitakuwa na mchango mkubwa sana ktk maendeleo ya wasilizaji wake. Hongereni sana. 👏🏿

  • @robertzamani5612
    @robertzamani5612 3 місяці тому +6

    Waandishi ndio tunataka muwe mnajadili hoja kama hizi za kulijenga taifa

    • @EmmanuelChrispin-bo5xh
      @EmmanuelChrispin-bo5xh 3 місяці тому

      Kaka nahisikama hawajamaa wameotea tu wesubirikesho utawasikia tu kaupigamwingi

  • @gosppediapinnacle4230
    @gosppediapinnacle4230 3 місяці тому +1

    tunayachangia majizi kodi zetu, jioni yakutane kugonga cheazi

  • @israelmkaka2807
    @israelmkaka2807 3 місяці тому +4

    Gen Z ya Tz iko na Mishangazi

  • @josephjeremiah-x5v
    @josephjeremiah-x5v 2 місяці тому +1

    Hamuna nch hapa wazulumaji tu et nimeweka umeme wa 13000 nimepewa wa 2000 nimekatwa 10500 hamuna nch hapa ipo ck watajua hawajui

    • @naturelle1097
      @naturelle1097 2 місяці тому

      Wakati hata hilo deni halikuhusu walipaswa kumalizana na mwenye jengo

  • @robertmigabe8721
    @robertmigabe8721 3 місяці тому +2

    Osika umeongea kitu Cha akili Sana toka nikujuwe...kama pale napo ishi tunaishi wapangaji2 ikifika mwisho wa mwezi ukinunua umeme unakatwa ..Sasa kitu Cha kujiuliza nakatwa Kodi kwani mim ndo mwenye nyumba ..selikal ya hovyoo sana wanafanya vitu bila kufikilia

  • @gililwise
    @gililwise 3 місяці тому +1

    Huo ni uonevu mkubwa wabunge hilo hawashughuliki nalo wana kazi us kumuadhibu mpina anayetutetea.

  • @BituroPaschalKazeri
    @BituroPaschalKazeri 3 місяці тому +1

    Mkuu ulikuwaje mwandishi wa habari- mwajiri mbona anakusanya PAYEE

    • @gabumkono
      @gabumkono 2 місяці тому

      Huna unachokijua...
      Ninani alikwambiq oscar ni mwandishi wa habari

    • @BituroPaschalKazeri
      @BituroPaschalKazeri 2 місяці тому

      @@gabumkono ni kweli ningekuwa najua nisingestaajabu

  • @PaskaliCharles-pz8ds
    @PaskaliCharles-pz8ds 2 місяці тому +1

    Mtu saidie kupaza sauti maana ni shida kuanzia leo nitakuwa nawafuatilia kwa point hizo ila tatizo siyo tanesco ni serikali ya CCM na bunge lake ndo wameleta tatizo hilo

  • @amaniurio5655
    @amaniurio5655 3 місяці тому +2

    Swal Kwa zile nyumba za kupanga zenye MITA Zaid ya 4 Kwa jengo Moja wanakataje awakufukiria Hilo au walifanya maamuz tu

  • @NehemiahBashahu
    @NehemiahBashahu 2 місяці тому

    Yan Tanesco kwa kweli wameingilia kazi sio yao ili watudhulumu haki zetu wapangaji. Jana tar 08/07/2024 nmenunua umeme wa 3000 napew unit 2.8KW halafu nabiwa nmekatwa 2000 kod ya jengo?

  • @naturelle1097
    @naturelle1097 2 місяці тому

    Waleteni Kayombo wa TRA na Waziri wa fedha..waseme kufikia leo wamekusanya shingapi. Na hili zoezi litakoma lini maana sikuizi unakuta compound moja ina zaidi za hata nyumba kumi na kila nyumba ina luku yake na kila luku inakatwa hio kodi. Huu ni UWIZI! Wenye nyumba wengi hawawarudishi wapangaji hio hela na pia kodi inalipwa zaidi ya standard rate kama wapangaji ni wengi. Hili ni tatizo kubwa.
    Taarifa ya madeni waliotoa TANESCO NI YA UONGO!

  • @davidboazi2619
    @davidboazi2619 3 місяці тому +3

    Iko bomba hii serikali ya tz ingekuwa kenya aisee sijui wangekimbilia wapi wasafi mpewe 🎉🎉🎉 yenu

  • @EdwinAdAstra
    @EdwinAdAstra 3 місяці тому +2

    Bajeti ya kununua magari ya Tamisemi ni bilioni 189. Tunakamuliwa ili wanunue mavi eiti

  • @andrewmaiga4331
    @andrewmaiga4331 3 місяці тому +4

    Hapa Serikali inatuibia sana na kutuletea umasikini mkubwa.
    Hapa tumepanga nyumba moja familia 8 lakini vyumba tofauti na kila chumba kina mita yake. Tunaonewa sana.

    • @kibasamohamedi8029
      @kibasamohamedi8029 3 місяці тому

      2000 kwa mwezi ndogo! Hebu acha kulalamika, halafu Kuna utaratibu kama nyumba Ina mita nyingi mnaandika barua inalipia mita moja

    • @philemornmutta1597
      @philemornmutta1597 3 місяці тому

      Mwenye chumba yupo atakubali mita yake ndo yapitie malipo na unahisi wengne watamsaidia? @kibasamohamedi8029

    • @naturelle1097
      @naturelle1097 2 місяці тому

      ​@@kibasamohamedi8029hata kama ni shilingi 100 huo ni uwizi wapangaji sio wamiliki wa jengo na sio wapangaji wanaotakiwa kuandika barua tanesco..wenye nyumba wengi ni wahuni na ndio sababu huu mzigo umetupiwa wapangaji which is unacceptable

  • @Alute-son2003
    @Alute-son2003 3 місяці тому +4

    Oscar uko vizuri natamani ugombee Uraisi mwakani unaupiga mwingi kuliko hao wanaosema..oooh anaupiga mwingi

    • @mustafakimalio9129
      @mustafakimalio9129 3 місяці тому

      Kila mwenye maoni mazuri anafaa kuwa rais,,,,

    • @KesslyTravelZanzibar
      @KesslyTravelZanzibar 3 місяці тому

      😂😂😂😂

    • @Alute-son2003
      @Alute-son2003 3 місяці тому

      @mustafakimalio9129 Ndio si wanatoka hadharani tunawapigia kura za wazi atakayeshinda anaongoza nchi,lakini isiwe hizi chaguzi za mimi Raisi afu nateua watu wakinisimamia kura za nchi nzima afu baada ya kazi mimi huyo huyo nawalipa hela 😀😀😀

  • @jumannemalungo5018
    @jumannemalungo5018 3 місяці тому +1

    1000 mda mfupi 1500 sasa 2000 inchi ngumu hii Tanesco inakuaje lakini ndio ivo tukubali tu

  • @FeristaKoku-it9nx
    @FeristaKoku-it9nx 3 місяці тому +1

    Nacha kuongezea unakuta nyumba moja ina mita mbili zote zinakatwa kama sio wizinini?

  • @EM4CBeatz
    @EM4CBeatz 2 місяці тому

    Mnaambiwa nyinyi tu dar uko kuhusu kukatika kwa umeme msijizungumzie pekeenu

  • @philemornmutta1597
    @philemornmutta1597 3 місяці тому +2

    Hii inasababisha wapangaji kumlipia mwenye nyumba hii ni mbaya sana

    • @naturelle1097
      @naturelle1097 2 місяці тому

      Yaani TRA hawataona hata kuta za Mbinguni

  • @verdianabanabi2205
    @verdianabanabi2205 2 місяці тому

    Tunashangaa sasa hivi wameongeza imekuwa 2000 yaani makodi yamekuwa kibao. Wanyonge hao eti tunasikiluzwa.

  • @matukutajuma156
    @matukutajuma156 2 місяці тому

    JAMANI KWANINI HAMNAGA JEMA:VIJANA?? KWANI MPANGAJI HATUMII BARABARA? MIMI NIULIZENI NIMEENDESHA MAGARI BARABARA ZA MIAKA YA 79-80 DODOMA- DAR SUKU2;

  • @YasiniMkakile
    @YasiniMkakile 3 місяці тому +2

    Wananchi wa Kenya Havana mchezo

  • @wanguwangu34
    @wanguwangu34 2 місяці тому

    Kodi ya majengo kulipa kwenye luku ni wizi wa waziwazi na kushindwa watu kazi, wizara ya fedha in vihio wengi bdio maana hawana uwezo wa kujua kodi ya majengo maana yake nini, mfano wewe huna nyumba lkn umepanga kwenye jengo na kutaka separate meter na hapo inabidi ulipe kodi ya majengo wakati huna nyumba why.

  • @IssaTayari
    @IssaTayari 2 місяці тому +1

    Kod yajengo kulipa kwenye luku Siyo sawa kabsa kunawatu tumepanga

    • @naturelle1097
      @naturelle1097 2 місяці тому

      Kweli inabidi tupaze sauti kuhusu hili..wanashindwaje kuwapata wenye majengo ama mchana majengo hayaonekani?

  • @abdallahabdulghani9150
    @abdallahabdulghani9150 3 місяці тому +1

    Na kwa wanaotumia umeme wa solar ambao hawana hiyo luku,je ulipaji wao wa kodi ya jengo watalipia vipi??
    From TaNgA CiTy..

    • @lydiadaudi4076
      @lydiadaudi4076 3 місяці тому

      Wanalipa kupitia sisi wenye umeme ndo mana wanaongeza tu kodi

  • @abdallahomary515
    @abdallahomary515 3 місяці тому

    Sasa hao wa tanesco watajuaje kama hiyo nyumba sio yako, mimi kwa mawazo yangu unapoingia kwenye nyumba uwe unamwambia hiyo Kodi alipe mwenyewe au muwe mnakatana kwenye kodi ya nyumba.

  • @aminielimushi8709
    @aminielimushi8709 3 місяці тому +1

    Wapi huko taarifa za kukata umeme Huwa zinatolewa maana mi Nina zaidi ya miezi 6 wanakata bila taarifa,,,Jana nimenunua umeme luku ya 5,000/ nikapewa unit 8, wizi au unyang'anyi?,,,,Sasa mi Nina mita ya kazini na nyumbani halafu nakatwa ya nyumba yangu na ya mwenyewe

  • @christianlutego1288
    @christianlutego1288 3 місяці тому +1

    Wachumi wetu hao wasiotaka kuumiza vichwa vyao, badala yake ni kututwika mitozo Kila sehemu, MUNGU ata jibu soon tu

  • @hezronjoseph405
    @hezronjoseph405 2 місяці тому

    Oska unaongea ukweli ila ,watu wa kampeni ,wataanza kukusumbua,washenz

  • @KuchumaAlfredMakesi
    @KuchumaAlfredMakesi Місяць тому

    Kazi ya Tanesco ni kutupatia nishati sasa kodi ya majengo wapi na wapi kodi ni nyingi sana TZ

  • @geofreynyakana
    @geofreynyakana 2 місяці тому

    Tunaumizwa sana wapangaji na kwa sasa kodi ya pango ni sh.2000 kutoka sh.1500

  • @stanymccary7136
    @stanymccary7136 2 місяці тому

    Bila ivo wabongo hatuwezi kulipia Kodi ya majengo

  • @hezronjoseph405
    @hezronjoseph405 2 місяці тому

    Wasenge hao si uku wameanza kutukata 2000 toka mwaka jana ,bila taalifa yoyote

  • @lydiadaudi4076
    @lydiadaudi4076 3 місяці тому

    Wenye nyumba wenyewe majeuri , wanakwambia kama hutaki kulipa kaa gizani

  • @MngwaliAllykizangwa
    @MngwaliAllykizangwa 3 місяці тому +1

    Hadi sasa kuna nyumba zinalipia kodi ×2 kwa nyumba moja,zenye mita zaidi ya moja.

  • @msambalamjukuu3866
    @msambalamjukuu3866 3 місяці тому +1

    sasa kwa dizaini hii wasafi mtapata wasikilizaji wengi

  • @FortunataNguma
    @FortunataNguma 3 місяці тому +1

    Tunapigwa sana wapangaji ndio tunaumizwa . Simu nazo wanatuchukulia pesa nchii hii Mungu anawaona

  • @Stevenmakelesilutonja
    @Stevenmakelesilutonja 2 місяці тому

    Wabunge wa ccm tupige chini wote inch nzima ni wabunge nyumbu tu

  • @muganyiziluharara9668
    @muganyiziluharara9668 3 місяці тому +1

    Iyonikweli viongoziwetu wanamasikio lakini hawayasikii hayo sisi wapangaji kweli tunaumia

  • @AbuuThabiti
    @AbuuThabiti 3 місяці тому

    Wanazingua sana ilikuwa 1500 asaivi elfu 2000

  • @EdibiliSalum
    @EdibiliSalum 3 місяці тому +1

    Watatoaje taalifa wakati wanatumudu

  • @IsackBossa
    @IsackBossa 3 місяці тому

    Mimi nimetumia pia 8000 unit moja point mbili

  • @nicolauselias9084
    @nicolauselias9084 2 місяці тому

    Mi naona ni unyang'anywaji wa hela zetu tu

  • @subralugege7019
    @subralugege7019 3 місяці тому

    Jamani elfu 10 tu inakatwa kwa mwaka ss hao wapangaji si tunawarudishia tu hiyo elfu 10 yao kwa yunits za umeme

  • @nemesjosephat5612
    @nemesjosephat5612 3 місяці тому +1

    Hii nchí tunajadili matatizo zaidi ya ubunifu

  • @manoramatv858
    @manoramatv858 3 місяці тому +2

    Fact broo naitwa rama nipo temeke dsm

  • @zebedayobiswalo1924
    @zebedayobiswalo1924 3 місяці тому +1

    Hii nchi ya ovyo sana it's very sada

  • @EmmanuelSimion-d3e
    @EmmanuelSimion-d3e 3 місяці тому +1

    Hapo TANESCO WALIFELI

  • @user13375
    @user13375 2 місяці тому

    Tumefanya sensa juz tu majengo

  • @allymwilu8089
    @allymwilu8089 3 місяці тому +1

    Unaweza kukuta kuna watu tunawalipia madeni yao apo😂😂😂😂

  • @kwisa4899
    @kwisa4899 2 місяці тому

    watanzania sisi ni wajinga sana

  • @JitinyaIzengo
    @JitinyaIzengo 3 місяці тому +1

    Liangaliwe

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 3 місяці тому +1

    Nme nunua umeme wa buku 5 napata unit 6 😡 😡 😡 😡 hivi wana dhani ela tuna okota inabidi ni nunue solar 😢

    • @MtuSafi
      @MtuSafi 3 місяці тому

      Sasa Mbona mm wa 4,000 nimepata unit 1

    • @israelkisaila8401
      @israelkisaila8401 3 місяці тому

      ​@@MtuSafi😂😂😂😂pole

  • @ommyzubery8358
    @ommyzubery8358 3 місяці тому

    Kuwa mzalendo hivi nyinyi wapangaji hamjuani kuwa mwezi huu mwezi huu kuna kalipa na kumfanyia mchango na kumrudishia. Pili unapolipa kodi ya pango kwa mwenye nyumba kaaeni naye chini iliafanye makto katika kupokea zile fedha zake. Hakika wananchi wengi sio wenye kutoa bila kushurutishwa.huu ni udhaifu wetu ndio serikali inafanya mitindo hoi ya ajabu. Eleza ukifanya ukaguzi unaweza kuonawenye nyumba hajalipa kodi ya jengo miaka 10 mpaka ishirini haya tunaisaidiaje serikali

  • @AzhadSaid-j1t
    @AzhadSaid-j1t 3 місяці тому

    Xavi mtupu

  • @JamesAloyceMabicha
    @JamesAloyceMabicha 3 місяці тому

    Oscar wewe ni mpanga ndiyo maana hujuwi sisi wenye nyumba tulivyo pata unafuu wa kulipa hiyo Kodi ya nyuma wewe fanya hivi wakati unalipa Kodi kata kabisa Kodi ya nyuma serekali unajuwa Kila anayekaa kwenye nyuma ndiyo mwenye nyumba

  • @ExcitedCave-cx9rx
    @ExcitedCave-cx9rx 3 місяці тому

    Mhhh hii ndio tz ,bado tumelala.sana sijui nani katuroga wa tz ila ipo siku yatahisha haya wacha watupige mpka tukome ili tuamje

  • @festokemibala5832
    @festokemibala5832 3 місяці тому

    Wewe Mha, nani alianzisha huu utaratibu na wakati huo mbona hatukukusikia ukitoa hoja yako? Uliogopa nini, kipotezwa?

  • @nikky4757
    @nikky4757 3 місяці тому

    Alafu pia unakuta nyumba moja ikiwa na luku zaidi ya moja zote wanakata unakuta nyumba moja ikiwa na luku mbili unalipia kodi mora mbili

  • @tarimojoshua6336
    @tarimojoshua6336 3 місяці тому

    Hivi bill zimepadishwa tena naona wanakatà 5000 saiz sijaielewa

  • @Chrishenryson-beats
    @Chrishenryson-beats 3 місяці тому

    Serikali inatumai matatizo yetu kwama mitaji yao kisiasa. Wanasahau zama zimebadilika wanaendelea na mambo yale yale toka uhuru. Ngoja watuaribie amani yetu wakituibia na kututia hasira wananchi wa kawaida.

  • @SophiaKamgunda
    @SophiaKamgunda 3 місяці тому

    Nakuna vijumba vyamradi vmejengwa kama nguzo hakuna jengo hukinunua umemeunalpia kod yapango napango halo hatar

  • @abdallahkambangwa7215
    @abdallahkambangwa7215 3 місяці тому

    hatar sana

  • @lucymtui8680
    @lucymtui8680 2 місяці тому

    Katiba ibadilike tu
    Viongozi watakuwa na heshimaa😢😢
    Itakuwa zaid ya kenya

  • @KenedyDesigner
    @KenedyDesigner 3 місяці тому

    Yani ni Usumbufu Juu ya Usumbufu Kuna nyumba zina MITA luku 3 na sisi wapangaji hatuna muda wa kuenda TANESCO kujieleza Hapa mjini tukobize ukimwambia mmiliki anasema nendeni TANESCO

    • @naturelle1097
      @naturelle1097 2 місяці тому

      Wamiliki wana vichwa vigumu sana na majibu yasiyo ridhisha..Mwigulu ajitafakari kwa hili kuwabebesha Watanzania mizigo mizito sababu yeye na huyo Kayombo wa TRA wameshindwa kufikiri

  • @domymerinyo8165
    @domymerinyo8165 3 місяці тому

    Hapo usiwalaumu Tanesco,lawama ziende kwa wabunge walioleta sheria ya kutuibia mpaka huku kijijini. Tulikua hatulipi ila sahivi tunalipa na barax2 hakuna maji pia hakina ni huduma gani tunalipia

  • @madukaj.j.6999
    @madukaj.j.6999 3 місяці тому

    Singida Big Star Bingwa 2024/2025 😂😂😂 Singida Big Star Juu...😮😮 D 2

  • @FabianiNguvumali
    @FabianiNguvumali 3 місяці тому

    Wanakata cod nyng elfu mbili kwamwez tanzania kunanyumba ngpi zenye umem

  • @edistidiusmutalemwa5758
    @edistidiusmutalemwa5758 3 місяці тому

    Wizi, maana yake ni kuchukua kisicho chako kutoka kwa mwenyenacho bila idhini yake.
    Swala la kuvizia fedha za watu,katika manunuzi yao ya umeme ni WIZI kama wizi mwingine.Jamani,kodi ya jengo kulipwa kwenye manunuzi ya umeme wapi na wapi.
    Nyie watu (Mwigulu na wenzio) mnatukosea sana. Ila naamini yana mwisho.

    • @naturelle1097
      @naturelle1097 2 місяці тому

      Rudia hii tena kwa sauti. Mwigulu na Kayombo wa TRA wanatuumiza wapangaji. Wakaona wametoa solution ya kimataifa..🙄

  • @homeboybeyondtheborders4935
    @homeboybeyondtheborders4935 3 місяці тому

    Tanesco na mabando ya sm bado kodi kubwa,alaf kuna REA,EWURA na VAT

  • @SeciliaKasian
    @SeciliaKasian 3 місяці тому

    Kumbuka kunanyumbanyingi hukukwetu hazina umeme nao wanalipaje

  • @msochamouddy7742
    @msochamouddy7742 3 місяці тому

    Baada ya kuwanunulia watoto matokeo ya mitihani kwa muda mrefu leo wamekuwa viongozi na haya ndio matokeo yake,nchi inakuwa ya hovyo tunalazimishana kuwa wazalendo.

  • @EmmanuelChrispin-bo5xh
    @EmmanuelChrispin-bo5xh 3 місяці тому

    Haya majamaa kilasiku yana madilika wasafi hongoleni achaneni na mamboya anaupiga mwingi

  • @idinado-wk3lx
    @idinado-wk3lx 3 місяці тому

    Kusema ukweli walikosea sana kuleta huu utalatibu insnikela sana hii la kulipa pango kila mwenzi

  • @Samwelianaseti
    @Samwelianaseti 3 місяці тому

    Tatizo sio TANESCO tatizo ni serikali yetu ndio inayopaswa kutatua changamoto zetu

    • @naturelle1097
      @naturelle1097 2 місяці тому

      Wao TANESCO ni moja ya hili tatizo kwa nini walikubali swala la kijinga kama hili?

  • @bminawandu
    @bminawandu 3 місяці тому

    Sisi tuna lipa Kodi hongera na vigelegele anapigiwa mama Samia alafu Kila siku tuna lipa kodi

  • @ramadhankombe2643
    @ramadhankombe2643 3 місяці тому

    Nawapongeza xn tanesco kiukwel imepunguza xn msongamano tra.kikubwa mwenye nyumba apange utaratibu na wapangaji wake.

    • @rashidingole1588
      @rashidingole1588 3 місяці тому

      Utaratibu upi?? Kuna baadhi ya nyumba za kupangisha kila mpangaji na mita yake, Sasa hapo inakuwaje?????

  • @charlesmtangi9046
    @charlesmtangi9046 3 місяці тому

    Wanafiki kwani ndo imeanza Leo mbona amkusema befor sikuzotee

  • @bakarimahenge
    @bakarimahenge 3 місяці тому

    kwaiyo wenyenyumba ambao hawatumii umee inamaana wao hawalipi kodi yamajengo

  • @saidaliomar
    @saidaliomar 3 місяці тому

    mm naunga mkono kodi iendelee kama wewe umelipia kodi ya aridhi si unaonesha kwa mwenye nyumba akulipe

  • @amotvtz1302
    @amotvtz1302 3 місяці тому

    Hii seriksli ni ya wezi tu wanajiona kama hawatakufa kazi Yao kuiba .tu tunaongozwa mbwa

  • @iddiramadhani5111
    @iddiramadhani5111 3 місяці тому +1

    Mambo ya hovyo sana haya.

  • @DaudadamMwansasu
    @DaudadamMwansasu 3 місяці тому

    Halafu wamepandisha ni 2000 jaman kweli

  • @MariamMpanga
    @MariamMpanga 3 місяці тому +2

    Hii inatuumiza Sana sisi wapangaji
    Tunalipa Kodi
    Tunalipa umeme
    Tena tunalipia Kodi ya nyumban daaaah Inaumiza sana😢

    • @trecygohy7847
      @trecygohy7847 3 місяці тому

      Kulipa umeme n jukumu lako

    • @MariamMpanga
      @MariamMpanga 3 місяці тому

      @@trecygohy7847 Sijazungumzia umeme, nmengungumzia Makato ya tanesco ya pango la nyumba ndugu sio jukumu letu Kama wapangaji, lakini tunakatwa kuptiaanunuzi ya umeme

    • @naturelle1097
      @naturelle1097 2 місяці тому

      Mwigulu na Kayombo wawajibishwe kwa hili maana ni uwizi. Wameshindwaje kuwakamata wakwepa kodi kisha kuwatwisha wapangaji mzigo huu. Mbona ukuta zinachorwa X wakati wakuvunja..wazunguke nchi nzima sababu kufikia mda huu wenye nyumba walitakiwa kua wameshajisalimisha ili wapangaji wasiendelee kubeba huu mzigo

    • @MariamMpanga
      @MariamMpanga 2 місяці тому

      @@naturelle1097 hapo tupo sawa ndugu

    • @trecygohy7847
      @trecygohy7847 2 місяці тому

      @@MariamMpanga ungefafanua hivyo ili watu wakuelewe na sio kusema kulipa umeme

  • @jumamkwelengala4599
    @jumamkwelengala4599 3 місяці тому

    Wezi sana hao ila wakumbuke Mungu yupo

  • @hajjisanga789
    @hajjisanga789 3 місяці тому

    Imekua ni rahisi wengi walikuwa hawalipi kwahiyo tumefanyiwa urahisi wapangaji si waelewane na wenye nyumba

    • @naturelle1097
      @naturelle1097 2 місяці тому

      Bado sio sahihi wanachokifanya..ni sawa na kumlipia nchi jirani deni ambalo halituhusu

  • @JOSEPHPETERMACHOTA
    @JOSEPHPETERMACHOTA 3 місяці тому

    Safi sana osca huyo mwenyew kupata kakaa kichawa sana watangazaji kama hao hawafai kbsa

  • @halimaally5349
    @halimaally5349 3 місяці тому

    Washatuona sisi ni wanyonge na ndiyo maana wanatuburuza wanavotaka hapo ukileta kihere here cha kuikosoa serikali kesho utajikuta uko kuzimu na aliyekupeleka humjui kwa hiyo tuendelee kuumia kimoyo moyo

    • @MtuSafi
      @MtuSafi 3 місяці тому

      Katavii😅

  • @devangandhl2255
    @devangandhl2255 3 місяці тому

    Tanesco wameshinikizwa tu na mifumo tu.kwani waliopanga hiyo taratibu hawajui shida yake.

  • @moriskalegeleshusha2619
    @moriskalegeleshusha2619 3 місяці тому

    Mimi ni mpangaji sina mambo mengi kwenye matumizi hapo nyumba nilikuwa natmia umeme wa 1000 kwa mwezi nilinunua umeme wa elfu tano siku umeisha nikaweka 5000 ninunue umeme walikata hela yangu yote,

  • @KwebaChuma
    @KwebaChuma 2 місяці тому

    😂😂😂😂

  • @iddiramadhani5111
    @iddiramadhani5111 3 місяці тому

    Tuna viongozi wanawaza kutupiga hela tu.

  • @EzekiaMyila
    @EzekiaMyila 3 місяці тому

    Ww acha mambo ya kizamani Kodi hapo ndipo lahisi tra inamana watu wakapange foreni tra ni ujinga kabisa

    • @GibsonNtamamilo
      @GibsonNtamamilo 2 місяці тому

      Uliishia lamgapi ndugu? Tunapolipia LUKU tunamlipia mwenye nyumba wakati ilitakiwa mwenye nyumba ndiye alipe kwakuwa mpangaji ameshalipa pango lake.

    • @naturelle1097
      @naturelle1097 2 місяці тому

      Alieleta hii sheria aachie ngazi wapangaji wanaumia