Mh waziri..Aweso watumishi wa mamlaka ya maji mijini ni mzigo mzito kwa serikali na wananchi...wamegeuza mamlaka ni zao na wanafanya wapendavyo wao.mh waziri pole sana naomba uje manispaa ya morogoro na ufanye mkutano na wananchi ili usikie kero vizuri ukikaa na uongozi wa mamlaka watakudanganya
Mhe.WAZIRI WA MAJI!. TUNAKUOMBA UTUSAIDIE WANA DSM. Wafanyakazi wa DAWASA wanaohusika ktk MTANDAO WA MAJI NA WASOMA MITA WOTE WABADILISHWE VITUO VYA KAZI. Utagundua mengi Mno kwa kufanya hayo MABORESHO, Ninawakilisha●
Yaani huyu Eliza hakuna kitu. Hata hapo ameshindwa kumuomba msamaha hata Waziri, Katibu Mkuu na Wananchi waliopo hapo. Kasimama tu na suruali yake kama Boss.😂😂😂
Usimuhukumu bila kujua undani wa jambo lenyewe. Wanasiasa wanajua kujiosha mbele ya wananchi. Amesema aliomba bomba muda mrefu kwa nini zimetoka wakati wa ziara ya waziri? Pia si Kibamba tu, ni maeneo mengi hapa nchini kwa upande wa sekta ya maji hawapewi hela za kutosha na kwa wakati. Juzi tu mlisikia bungeni wakandarasi wa miradi ya maji wanadai zaidi ya 400B. Jiulize bajeti ya wizara ya maji iliyopitishwa inatosheleza kwa kiasi gani? Acheni kutoa hukumu kirahisi hivyo.
Njia panda ya makabe kwa fungo wamefunga bomba usiku yanamwagika barabarani lakini majumbani mabomba hayana maji yameota kutu huku mitaa ya nyota njema
Mh waziri..Aweso watumishi wa mamlaka ya maji mijini ni mzigo mzito kwa serikali na wananchi...wamegeuza mamlaka ni zao na wanafanya wapendavyo wao.mh waziri pole sana naomba uje manispaa ya morogoro na ufanye mkutano na wananchi ili usikie kero vizuri ukikaa na uongozi wa mamlaka watakudanganya
Wanyooshe
Leo ni kwahao watumishi wadogo lkn for future is for the whole gvt.
Waziri afanya maamuzi ya kuwatumbua, lakini isiwe ni kwenye mtandao tu kinyume chake wanabadilishiwa vituo. Katika Hali ya kulindana
Safi waziri
Wazaramo Bana 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 eti hakua ivo
Njoo nakahama
Mhe.WAZIRI WA MAJI!.
TUNAKUOMBA UTUSAIDIE WANA DSM. Wafanyakazi wa DAWASA wanaohusika ktk MTANDAO WA MAJI NA WASOMA MITA WOTE WABADILISHWE VITUO VYA KAZI.
Utagundua mengi Mno kwa kufanya hayo MABORESHO,
Ninawakilisha●
watendaji watendaji. TUNAIANGUSHA NCHI SANA
Hv wasaf huwa mnarecodia simu ya tecno au 😂😂😂😂
😅😅😅😅
Daah kuleni lakini msijisahu jamanii na wananchi tukumbukeni hususan jambo la msingi kama hili la maji
Yaani huyu Eliza hakuna kitu. Hata hapo ameshindwa kumuomba msamaha hata Waziri, Katibu Mkuu na Wananchi waliopo hapo. Kasimama tu na suruali yake kama Boss.😂😂😂
Usimuhukumu bila kujua undani wa jambo lenyewe. Wanasiasa wanajua kujiosha mbele ya wananchi. Amesema aliomba bomba muda mrefu kwa nini zimetoka wakati wa ziara ya waziri? Pia si Kibamba tu, ni maeneo mengi hapa nchini kwa upande wa sekta ya maji hawapewi hela za kutosha na kwa wakati. Juzi tu mlisikia bungeni wakandarasi wa miradi ya maji wanadai zaidi ya 400B. Jiulize bajeti ya wizara ya maji iliyopitishwa inatosheleza kwa kiasi gani? Acheni kutoa hukumu kirahisi hivyo.
kweliwatu wanafanyakazi kwa mazoea
Watendaji hawa hawanaga aibu mmesimama hapo mnazomewa hata hamtishiki
😢😢😢😢
Eliza unajisiakiaje wanawake wenzio wanapokukataa na kukuzomea kiasi hiko na maneno machafu wanayokutolea,badilika acha usanii kazini
Duuh yaani ni aibu mno
Huyu dada kaja kuharibu hahahaha
Eliza Au alikua anachukua na Mabwana wa wateja wake...!?😅.
😂😂
Mabomba yameletwa baada kuona mh Waziri amekuja😂
Umepiga kwenye
kosa sio lake kaonewa
Huyo anaonekana hawezi kazi
Segerea leo siku ya tatu hatuna maji. Why
Sisi Maramba Kwa tesha huku tuna mwaka majumbani kwetu maji hayajawahi kutoka tunafta maji kwembe na kwingne
Wanatabia ya kujisahawu hatahapa bbt yupo?
Tumbua
Njia panda ya makabe kwa fungo wamefunga bomba usiku yanamwagika barabarani lakini majumbani mabomba hayana maji yameota kutu huku mitaa ya nyota njema
Hivi lakini kwanini hawa watendaji baadhi yao wanakwisha sana maendeleo?! Tatizo ni nini hasa?
hii hata mimi ningekuwepo ningeenda kutoa ushahidi ,kwangu pale maji yanamwagika over three months hawafungi.
Huyu anaamishwa tu hii ni kampeni ya uchaguzi