KUNGWI DUME sehemu ya Ishirini

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 24 лют 2024
  • "KUNGWI kakupa mzungu huujui maana yake mfate akakwambie maana ili uondokane na usungo, Siku zote mwanamke mazingira jambo la kwanza ni kujipenda na ndio maana ya pambo la nyumba"
  • Розваги

КОМЕНТАРІ • 62

  • @SakinaHassani-xm7ti
    @SakinaHassani-xm7ti 4 місяці тому +10

    Kazi nzur tunaomba usicheleweshe mwendelezo🔥🔥🔥💯🙏

  • @khadijakhalidabdallah9779
    @khadijakhalidabdallah9779 2 місяці тому +2

    Mwari kigego huyuu😢🤌🏼

  • @ladyaishaoloo-rd3ns
    @ladyaishaoloo-rd3ns 4 місяці тому +2

    Kumbe Kuna sikio lakusia nakuna sikio lakutapika daaaa uyu dada ameniabisha kweli kuleta ex wake mjini jamani😢😢 kazi mzuri kungwi hongera❤❤❤❤

  • @fikramajani4650
    @fikramajani4650 4 місяці тому +8

    Mafunzo mazuri kaka ila unatuweka had tunasahau tulipoishia kipindi cha nyumaa mjitahidi kutupa vituu🌹🌹

  • @user-ue8gz5yd1c
    @user-ue8gz5yd1c 4 місяці тому +4

    Tunaisubir mpaka tunakata tamaaa ni zur sana

  • @zuhurahussein4738
    @zuhurahussein4738 4 місяці тому +4

    Huyo bi harusi ni kigego ataka kumwaibisha kungwi wake. Bora arudishwe kwa bibi yake akafunde. Ex harudiliwi na ndio tabia ya badhi ya wanawake.

  • @bahatiomar5297
    @bahatiomar5297 2 місяці тому +2

    Uyu bi harusi kigego tena wa mwisho nini haya tena me sijapenda kabisaa akyy uridhiki uje kuolewa ni jaliwa aya sije ukajalia nitakucheka tuu😂

  • @asmaafamau8307
    @asmaafamau8307 4 місяці тому +3

    Twasubiria

  • @marylinegoodluck-fj1zc
    @marylinegoodluck-fj1zc 4 місяці тому +2

    Nakupenda kungwi hongera kwa kazi nzuri ❤

  • @avelinmussa4792
    @avelinmussa4792 4 місяці тому +1

    Kazi nzuri sana pole Kwa changamoto👍🙏

  • @samirajumanneanzuruni7320
    @samirajumanneanzuruni7320 Місяць тому

    Mmmh kungwi katoa boko😂😂😂

  • @user-xi5ko3nl3u
    @user-xi5ko3nl3u 4 місяці тому +1

    Yan unajua mpaka kero❤ kaz nzr🎉

  • @zawadismaili144
    @zawadismaili144 4 місяці тому +1

    Mashallah Kaz Nzurii🎉🎉🎉❤❤❤😊

  • @user-kd2hb8ii2j
    @user-kd2hb8ii2j 4 місяці тому +9

    Jamani yaani kumbe badhii yetu sisi wanawake nimashetani hivi na hamsemi jamani wanaume ? 😭😭😭 Hakika nimeumia saana mtuu unawezaj kukubari kufunga ndoa unakaa namtuu zaidi yamwaka umoja unamtimizia kila kitu alakini baado haumpendi yaani mwanaume wawatu anajitoa il baado tu wewe mwanamke hulidhik? 💔💔 Jaman jamani hiyi nizaidi ya Aibu 🙄🙄

    • @Nailaty564
      @Nailaty564 4 місяці тому +1

      Wanaume wenye mapenzi ya dhati hawanaga bahati Ila sio vizuri mtu ukipendwa pendeka

    • @RukiaMwakupairwa-yr7pe
      @RukiaMwakupairwa-yr7pe 4 місяці тому

      Dhambi io ukiingia kwny ndoa aufai kuzini nje wapata zambi kumbwa sn

  • @grice2075
    @grice2075 4 місяці тому +1

    Hongereni kazi njuri

  • @zenakioga6567
    @zenakioga6567 4 місяці тому +1

    Aiseee maharusi yote wanamsikiliza kungwi wetu lkn huyu msungo loooh puuuuh

  • @halimamohammed7863
    @halimamohammed7863 4 місяці тому +1

    Twasubr jmni 🙆‍♀️

  • @chamamaambambi3019
    @chamamaambambi3019 4 місяці тому +1

    Nimewahi mnooo😊

  • @SifaWangyaShabani-nt5ww
    @SifaWangyaShabani-nt5ww 4 місяці тому +1

    Kazi nzuri kweli ❤❤

  • @MozaFoum-yg9he
    @MozaFoum-yg9he 4 місяці тому +1

    Sehem ya 21 ❤❤🎉🎉

  • @MeraiOmar-ok8bo
    @MeraiOmar-ok8bo 4 місяці тому +3

    Harusi tunayo🎉🎉🎉🎉

  • @mariathashim1367
    @mariathashim1367 4 місяці тому

    Huyo Dada mshenzi kweli

  • @MkaryeTunje
    @MkaryeTunje 4 місяці тому +2

    Ninaisubiri kwa hamu

  • @mememe5689
    @mememe5689 4 місяці тому

    MashaALLAH. Kazi 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @neemaadam2259
    @neemaadam2259 4 місяці тому +1

    Kuna wanawake mashetani jamanii...

  • @IbrahimIbuart
    @IbrahimIbuart 3 місяці тому

    Kweli brother🎉🎉

  • @user-gi2qj9un6b
    @user-gi2qj9un6b 4 місяці тому

    Kazi mnzuri ila anachelewa kuitoa sana

  • @user-eo4hd8xu6d
    @user-eo4hd8xu6d 4 місяці тому

    😢😢😢Yaan NDio kwnz ndoa changa unaanza kumtekenya mwenzio akuache mbwa weee mwari kigego.

  • @FatumaHamisi-sr6yj
    @FatumaHamisi-sr6yj 4 місяці тому

    Kazi nzuri sana 😍😍😍

  • @FinoTusambe-hk1cw
    @FinoTusambe-hk1cw 4 місяці тому

    Good sana kabisa 😊😅😅😅

  • @user-uu6ei1ys3k
    @user-uu6ei1ys3k 4 місяці тому

    Nimesikia uchungu😢😢😢😢😢mfano ndokaka ako sasa anafanyiwa hivyo je utajisikiajeee daaah ndoman sahiz mahusiyano yamekuwa changamoto mauwaji ndoyameshika %100

  • @FatmaOmar-py1cn
    @FatmaOmar-py1cn 4 місяці тому +1

    Mmb c ndio Ayo kungw

  • @ZeynabKarama-hj1ux
    @ZeynabKarama-hj1ux 4 місяці тому

    Kazi nzuri jamni lakini musichelewe sana

  • @monarose6091
    @monarose6091 4 місяці тому +1

    Mlikuwa wap jamani nliwamic

  • @hussainalajmi5511
    @hussainalajmi5511 4 місяці тому +2

    Huyuu biharusi mpya asima anaichezea bahati kunamm ata kuchumbiwa hapiti mdudu ila nimepepelza waliyo wengi wakiolewa tu wanadai talaka? Sijuw kwann najifuna kaka kupitiya humu

  • @aminaabraham-tc1xh
    @aminaabraham-tc1xh 4 місяці тому

    Unachelewesha sana muendelezo

  • @wastarangayonga8562
    @wastarangayonga8562 4 місяці тому +1

    🔥🔥🔥🔥🔥

  • @user-kc9bt7md3g
    @user-kc9bt7md3g 4 місяці тому

    Dah

  • @user-vc3fy9fb8p
    @user-vc3fy9fb8p 4 місяці тому +1

    Huyu mwanamke kiboko

  • @SakinaHassani-xm7ti
    @SakinaHassani-xm7ti 4 місяці тому +3

    Tunasubir kwa ham zoote insha Allah ❤

  • @jacksenmola
    @jacksenmola 4 місяці тому

    Nice 🎉

  • @user-vc3fy9fb8p
    @user-vc3fy9fb8p 4 місяці тому +1

    ❤❤❤❤❤

  • @user-tt3dt9hj4j
    @user-tt3dt9hj4j 4 місяці тому

    Huu ndo ujinga wa sisi wanawake hatina waminifu.

  • @mwanawetumwatumwa3000
    @mwanawetumwatumwa3000 4 місяці тому

    ❤❤

  • @dhahabukatana3996
    @dhahabukatana3996 4 місяці тому

    ❤❤❤

  • @user-fq2sg6yy7y
    @user-fq2sg6yy7y 4 місяці тому

    ❤❤❤❤

  • @hafsaaman908
    @hafsaaman908 4 місяці тому

    😢😢😢😢😢

  • @MozaFoum-yg9he
    @MozaFoum-yg9he 4 місяці тому +2

    Munachelew san

    • @ibrahthedon
      @ibrahthedon  4 місяці тому +5

      Mnisamehe channel yangu walii hack hivyo imerudi mikononi mwangu juzi

    • @FatmaKassim-fr3fd
      @FatmaKassim-fr3fd 4 місяці тому

      Waaah pole snaa ​@@ibrahthedon

    • @Aiisha901
      @Aiisha901 4 місяці тому

      @@ibrahthedon pole sana sana

    • @remiomar7154
      @remiomar7154 4 місяці тому

      ​@@ibrahthedonpole bro na tumashukuru kuipaa

    • @user-kd2hb8ii2j
      @user-kd2hb8ii2j 4 місяці тому

      ​@@ibrahthedon Pole sana Kaka kwa changamoto ♥️

  • @user-kd2hb8ii2j
    @user-kd2hb8ii2j 4 місяці тому +1

    Jamani yaani kumbe badhii yetu sisi wanawake nimashetani hivi na hamsemi jamani wanaume ? 😭😭😭 Hakika nimeumia saana mtuu unawezaj kukubari kufunga ndoa unakaa namtuu zaidi yamwaka umoja unamtimizia kila kitu alakini baado haumpendi yaani mwanaume wawatu anajitoa il baado tu wewe mwanamke hulidhik? 💔💔 Jaman jamani hiyi nizaidi ya Aibu 🙄🙄