KUNGWI DUME sehemu ya Kumi na mbili
Вставка
- Опубліковано 30 сер 2023
- "KUNGWI kakupa mzungu huujui maana yake mfate akakwambie maana ili uondokane na usungo, Siku zote mwanamke mazingira jambo la kwanza ni kujipenda na ndio maana ya pambo la nyumba"
- Розваги
Yaan naona raha tuu kufatilia kungwi dume na mafunzo yake sijachelewa naomben like japo 5
Jamani kiukweli hii imeenda aso kubali kuwa haijaenda aache ku like🙏🙏
Nimeipenda bure kweli hii imeenda nimejifunza mengi mnoo kupitia hii move ❤❤❤ endelelea kutuelimisha bro
Kuna makabila yana tamaduni nzr xn Yani unaangalia move na una enjoy je ukikutana nayo live c una enjoy .........
Inshallah naelekea kuwa mke wa mtu na nimejifunza mengi
Aki ogereni sn nyote mashaallah .hii ni kweli kbs❤❤❤ gonga laki hapa km umependa
Hii imeenda yaani imeniingia ku moyo hasa nilipisikia nyimbo “unyumba ni mapatano na mkazio kuhembezana “daah Nimekumbuka mbali saana big up bro nasubiria yajayo kwa shauku kubwa ❤❤❤❤❤❤❤
Waooo nimewahi naomba like ❤
😂😂😂😂kuwa mpole mambo bado
Mwezeni nimewahi sana kumbe 😂😂❤
Yani na miaka 33vitu vingine nilikuwa sijui kabisa Asante Sana kwetu tabora watu awafanyiwi ivi na unajikuza mwenyewe hila Kwa sasa nipo omani nikirudi kwetu nataka kuwa mke mpya wa Mme nitakaempata
Najiuliza uyu mam mwñye snglend nyeus usichana alikuaje anakata mauno balaaa
Yaaani Raha tupuu nimeipenda sana hii naelimika sana ubarikiwe brother,The Don
Mashaallah nimeipenda sana
😢😢nikajua ipo hewan nafungua haifngki nusu nibamize cm kusoma chin kumbe mpaka uck dah amakwel mateka nimetekwa😅😅😅
😂😂😂😂😂
😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂 wewee ndo mimi kabisaa
Ungeibamiza na chini alafu ukalia ww
Dah tatizo ibra mwenyew hanijui ila mi namjua so ingenikula hasara mwenyew😂😂😂😂
Tunaosubir saa 21:00 tujuane❤
Kutoka episode ya kwanza hadi kufikia hapa nimejifunza vya kutosha 😊😊😊😊😊😊 IBRA UKIFA HUOZI🎉🎉
"Unyumba ni mapatano na mkaz we kubembelezanaa" Unyumba ni mapatano mke na mume kubembelazanaa" daa umenkumbusha mbali KUNGWI DUME achaa❤️❤️❤️❤️
Upo vizuri kaka unatuelisha wengi
hahaha nimeipenda Iko nzuri haha❤❤❤❤😅
Woow jamani Asante sana kwa mafunzo yako
Tuloisubiri Kwa hamu ep hiiii gonga like 🎉🎉
Tuko pamoja kaka Don from 🇺🇸
Kaz nzuri sn na anagalia nikiwa Saudi ❤❤😂
Wakina bibi wako sawa hongereni
Nipeni likes zenu nimekuwa wapili
Ibrah anajua anajua tenaaaaaa🥳
Kungwi dumee tupe vituuuuu❤
Tupo👍👍👍👍
Mash Allah nimeipenda sana is nice movie mash Allah
Mambo Ni 🔥 kwakweli so mchezo
Kungwi leo umetupa chemsha bongo 😂😂😂
Nzuri Asante kwa mafunzo
Nimechelewa jaman ila nimewah ,Kanga n kororo mzur nan ,Unyumba n kumbelezan jaman❤ it
😅😅😅tanga raha,,, siyo kwa magoti hayo mume,,, nmekupenda bure .
Mm ndowakwanza leo kuifunguwa🎉
Asante kaka ibrah kwa mafundisho yako
Nice one
Kungwi dume mbona wachelewa ❤
Jamani nawapendA bure ❤
Nzuri mnooo😊
Big up
Shukran kwa mwendelezo
Had raha jaman
Jamani bdo haipoi gonga like bc
Asante Sana kutuokolea ndoa
Sopoa nakukubali san
Kazi mzur sana kaka ibra endelea kutufunza
❤❤❤❤ hii imeenda somo zuli ana nakuchapwa aiseeee😂😂😂😂
Mungu akutie nguvu
Kiukweli ka ibrah unatuelimisha sana
Nice ❤
shukrani sana kaka ,Mungu akubariki
Jamani me ndo nmechelewa hv kumbe ishatoka acha nikaitazame sasa
Ubarikiwe kaka❤❤❤
Hawa wambea wawili roho mbaya ndio zinawatesa
kungwi dume unachelewesha sana coz kila nikiangalia hii filam inazidi kuwa nzuriii ucchelewe sana kutuekea vipande vinavyoendeleaaa
Mashallah
THANKFULLY ❤ IBRA THEDON
Mh hii kwerii pambe
🎉🎉🎉
Uyu dada kaganana na raya uyu bi arusi
Mashalllah 🎉❤
😂😂 jamani mimi pia niko halima kenya
Asantee sanaa kwa mafunzoo
Yote haya kwa ajili yenu wanaume hapo nimanusura ya Allah, majoka na wadudu, mbu, unamfanyia kila mtido bado atakusaliti, munataka nini wanaume?
🙄🤔Mmh!! Si Kwa ubaya ila wafanyia mtu haya yote, ila bado anachepuka😢
Haya yamebaki mapenzi ya I lndia kwangu tu😊
Afadhali 😅 Jana kutwa nzima nilishinda n'a subiriya Ila iligoma kufunguka 😂 mpaka nikataka ku lia jmn 😂
😂😂😂nilitaka kujuwa labda wifii haifanyi kazi😂😂😂
Jamani kumbe kuna tamaduni n tamu hivii itabidi nitafute mume wa hko nnipate kufundwa nimetaman haya mafunzo 😢
Tunaotumia wiFi tujuane😅
Tupo. Uduguwangu. Raha. Tupu. Wifi
@@omanoman4313😢😢
Tupo udugu wangu Raha tupu wifi
Kama kawaida
mana apa nimo kukitafuta kipande cha kumi na tatu,,,,😭😭 ila ckioni ujue
Hongera mrunzi😊
Waooo jamn
Ayiiiiiiiiiiiiiiii babi sengo jmn 😂 furaha kam yote sehem y kumi 13 Kaka ibra
Congratulations ❤❤
Saf ❤❤
Bi harusi amefanana na raya wa barnaba
Shukraan don
Ibra mbona unachelewesha kutupa vitu 😂
Tulete mapema kaka
Ma Shaa allaha 🔥❤️❤️
Msondoo❤
Watu.mpo fasta
Love
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
😂😂😂😂pambeeee
Huyu BB mwenye blauz nyeus ni bib yangu kabisa mambo yake😂😂😂 haki ya kwelii daah nimekumbuka mbaliiiii kufundwa Kuna rahaaa yakeeee jamani daah nimekumbukaaa mbaaaali kinomaaa😂😂😂😂
Naona na kiuno anazungusha😂😂😂😂😂😂 bibi pambeee
Nyikanga uyoo😅😅
Like😢
❤❤❤❤❤
🎉🎉🎉🎉
tupo wegi tunasubiri kwa ham
Unachelewa mb zitaisha
Mafunzo mazur baba🔥🔥🔥wambea Kaz wanayo kupanga plan( B)
Nakwambia wachawi wa roho wamechacha na plan haziwi kama riziki sio yako hata ukarauka uipati tu senga na sikitu ni waowane tu wapende wasipende
@@aminaissa9709 kazi wanayo mbona ndowa itafungwa tu🤣🤣🤣
Sijachelewa kumbe
❤❤❤❤❤❤
❤❤
Ila iyi ngoma ni bala mpka nika jikuta n'a taka ni anze ku cheza jmn 😅
🎉🎉❤❤❤❤
Nimechelewa kuniona ila hiki kipindi pambe nakipipenda
💓💓💓💓😭