Reeo asubuhi nikua zangu safalini naerekea zangu Tukuyu nipocheki kwenye Simu nikajikita Busati Tv imevunja leckodi Aisee watu kwenye gali wakawa wanani ulizia njee wemdada nikipi kinaku fulahisha mbona wacheka mwenyee! bana iribidi niwasumulie hakiya Mungu kiramtu arikua akicheki kwenye simu yake na kufulahishwa nakile ambacho arikikuta kwenye House GiRL ya Busati TV . njee niwangapi waloweza kujifunza kitu kupita Movie hii wagonge Lik☝️
Yule Yule ndgu yenu toka Malawi 🇲🇼🇲🇼🇲🇼🇲🇼🇲🇼🇲🇼🇲🇼 fundisho lko poa Sanaa tupigiane makofi Kwa House girl jaman... likes cjuw ndgu zangun munapataga nn hebu Leo born likes znifanyie Jambo Na mm toka Malawi 🇲🇼🇲🇼♥️🙏♥️
Follow WhatsApp Channel yetu
whatsapp.com/channel/0029VaEXYzkEVccPBP347F2c
Ifike Hadi mia tatu
Pole sana kendi
@@busatitv eti watch out part 36 tena . KAZ nzuri isiishe mapema🔥
Puwa yakent duu
Kamukonde vipi Hali ya muganga,,, aaaah bibi zuu Asante San kwa mizimu ya kwenu
Jamani tuliokuwa tunaangalia kila wakati cm kama imeingia tugonge like happy
Ambao tulikuwa tunasubiri kuona nani kadaka mkono wa kai gonga like hata kumi 😂😂😂😂😂😂nienjoy 😂😂😂😂😂😂
😅😅😅 akil km zang
😂😂😂😂😂🙏🙌@@FatmaSharif-mp1cm
😂😂
Mm nijuwa zuu😂😂😂
@@rosemarenga832 😂😂😂😂🤭
Wanao amini hii move ipo karibu kuisha gonga like
Sitamani hata iishe
Na mimi nahisi ila tungeona penz la zuu na kaii
Eeh inaelekea kuisha🎉🎉🎉❤
Kabisa inaisha muda wwte
Woyooo nimepatia nilisema uo mkono wa rafik yake kai😅
Ambao walikuwa wakiangalia hangalia kila mara like zenu please 😂😂
😂😂😂
Kambe nimebadika marange 😂😂
Niko hp 😂
Wamenichekesha hao vijana walivyo kumbatiana😅😅😅
Mm nilikuwa kama nimebandika maharage vile😂😂
Tokea nianze hii movie nakuwa wa mwisho na sijawah pata like hata moja please 😢😢❤❤🎉🎉nawapenda
❤❤❤❤❤❤
Sijaomba like ilah tulio toka 1 mpaka 36 tujuane kazi nzuriii tuwape mauwa yaooo🎉🎉🎉
Kabisaa wanastahili mauwa yaooo ❤❤❤ hapa nilipo nataman iendeleee🎉🎉🎉
yan hp ushaomb 😂😂😂😂
🎉❤❤❤❤❤❤
Jamani waliofurahi kupona kwa zuuu naombeni like zenu nawapenda mnoo maua kwa bibi zuuu🎉🎉🎉🎉
Mm nimefulah
Tunaofurahia kuona zuu anapona tujuane kwa like❤❤❤❤
Acheni ubaguzi mbona me sipati like hata moja
Jamn kam unamin shog anamumbua candy gong lik 10
Kashamumbuwa tayar😂😂
Move tamu kama hii msipende kuweka watu wanao jichetua kama hao vijana ona wamemvua bibi kitambaa
Kwahy we ujapenda kuona wigi jeupe😂😂😂😂
Leo siombi lake kama umependezwa na bibi zuuu gonga lake yako apa❤❤❤❤
Wangapi wamefrai kumuona Sania kumuelezea Kai mabaya yote ya Candy...tujuane 😅....Kai naye kufkuzwa kazi nayoooo....
Naomba like hata kumi tu nifurahi😢😢😢😢😢
Wanao Amin candy kishamramba msipite bila like zenu
Hii move hata kama nyengine haijatoka uwa naangalia za nyuma wallah aiboeshi napenda sana hii move 🎉🎉🎉❤❤❤
Asante sana ubarikiwe
Mm pia
Nikwer
wanaosema hii move ichukue tuzo naomba like zangu.. please,🙏
Mwenye atakuja nyuma naomba like ❤🎉❤🎉🇧🇮🇧🇮
❤❤❤
Jamn namimi like 10 tyu znanitosha tim zuuu tujuane
Nan anahisi kibindu na candy ni ndugu kama unahisi hivyo gonga like apa
Yule alikuwa anatak kumbaka zuu 🤣🤣mm nahis yule rafiki yake
Hii ni zaidi ya jua Kali na huba ❤🎉🎉maua yenu
Wachoyo kaa nn hamtaki kunipea like mungu anawaona
Reeo asubuhi nikua zangu safalini naerekea zangu Tukuyu nipocheki kwenye Simu nikajikita Busati Tv imevunja leckodi Aisee watu kwenye gali wakawa wanani ulizia njee wemdada nikipi kinaku fulahisha mbona wacheka mwenyee! bana iribidi niwasumulie hakiya Mungu kiramtu arikua akicheki kwenye simu yake na kufulahishwa nakile ambacho arikikuta kwenye House GiRL ya Busati TV . njee niwangapi waloweza kujifunza kitu kupita Movie hii wagonge Lik☝️
Ndoa tunayo hatuna ❤😂😂 like naomba namimi🎉🎉🎉
Wankwanza mimi apaa nipeni like zangu
𝐰𝐨𝐨𝐨𝐰 𝐤𝐢𝐦𝐞𝐮𝐦𝐚𝐧𝐚😂😂😂
*duh*
Mwafaidika na nn basi hizo like
@@saumodzumbo9671 tunapata pesa
Sija wai kucomment chochote leo naomba like zenu 🥰
A2kup kwenda
Wale wanaofurahia kupon Kwa zuuh mk wapi jaman mbn gemu linakuw tamu ili tijuwane basi🥰🥰♥️♥️♥️♥️😘😘😘😘
Tuko hapa jamani
tem zuu gongeni like
Tupo
Jameni mbona kazi nzuli team zu tujuane munipe like jameni kutoka burundi hongela sana kai kwa kazi nzuli munafanya
Leo jamani siku nzima nawangoja Ila basi2 nipeni like zangu
Kutoka Cameroun
Naomba like jameni
Busati TV Leo mko fresh 🎉🎉🎉🎉
Aky jameni zuuuh aky acting ww hd nywele imechakaa weeeh bt good job bidii siku zote enjoying from 🇰🇪🇰🇪
Ohiiiii mchezo unakwenda kuishaa jamani ky tuletee kitu kama hiki tena tuna kukubali sana 🎉🎉🎉🎉🎉❤
Yule Yule ndgu yenu toka Malawi 🇲🇼🇲🇼🇲🇼🇲🇼🇲🇼🇲🇼🇲🇼 fundisho lko poa Sanaa tupigiane makofi Kwa House girl jaman... likes cjuw ndgu zangun munapataga nn hebu Leo born likes znifanyie Jambo Na mm toka Malawi 🇲🇼🇲🇼♥️🙏♥️
Ndoto kutimia,,sema Mrs Kai kuzabwa Kofi,,zuu is on the way naamini lazima zuu atamwota Kai leo❤️❤️
Walio tamani kuona candy kibao kinge mpata vizur gonga like ap
Bonge la Move naombeni like jamani
Mnao angalia movie mnajifunza au mnaomba like tu
Swali zuri 😅😅😅
Tunajifunza sana..
Kwangu najifunza 😂😂😂😂swala la like nawaachia wengine tangu nianze kuangalia
Tunaangalia like tu 😂😂😂😂
Kwa mm najifunza San Kil siku nikitazam natok na kitu❤
Wakwanza leo nipewe like
Wa pili 😂 Nipo Team Candy nataka Kiendelee Kumramba Ajute
Mkono WA rafiki Ake kai😅😅😅😅 nmeweza😂
@@Saumu254We kachawi 😂😂🙌🙌💪✌️
Namchukia candy tangu tuanze kipindii 😂😂,, nampenda zuuu mbaya sana 😂
@@Saumu254,😂😂😂😂😂😂
@@KiboxMediaten akishirikian na muzim ya bibi zuu😅
Jamani naomba like namimi leo Kila siku nalike but hamlike kwangu
Misikuiz si comment kila siku mwasema niwamwisho😢😢😢
Leo nimewai naombeni like angalaukumi nawapenda bure🎉🎉🎉🎉🎉🎉
😂😂😂😂 ked,mwisho wa ubaya niaibu,suburi uabike ,kai amerud sawa,
Zuuu wetu emepona tunae furahi munipe like bas
Nenda zanzibar watakupatia like za kutosha saw e
Umepat
Tunaoamin kuwa candy na kibendu ni mtu na ndugu yake tugonge like hapa
Jamani mm wa pili naombeni like hata moja2
Harusi tunayo hatuna like hapa mashabiki😂😂😂
Leo ndotunagundua kaka mbkaji Ndo Ndo mdogo wke kendi daaaa😂 hii movie umeactiwa kwa unazid mkubwa hongera yenu
Weee mambo yatazidi kuchemka upande wa Candy😂😂😂
Leo kitaeleka kma unapinga usinigaiye like 😂 from Oman 🇴🇲 nawapenda wte
Riziki mambo
Waonan 🇴🇲tujuwane bas
😂😂
@@SusanJulius-cu8xp4vx4mk nmbie😂
@@Mwana85Mwana85-wz1oltupo Ndo viburudisho vyetu😂😂😂
Hatimae zuuu kapona 😊team strong 💪 tuko yaan ona ww apo badala uandike comment yko we wasoma za watu 😂😂😂😂❤
🙏🙏🙏
Tupoooo❤❤❤😂😂😂🎉🎉🎉🎉
🎉🎉🎉🎉🎉😂😂😂❤❤❤
Masha Allah leo nawai🎉🎉🎉🎉
Kwani izo like zimakazi gani mnazo omba toeni maoni yenu ❤
Wakwanza leo npea likes tatu jamani❤❤❤
Wakwanza leo naomba like zangu
Sijawai kuomba laik atamara Moja ebunipen Leo namimi nione watu wanacho ombaga Mimi nawapa ila sielewi
Na maputo kaweka lakn bado kanaswa kibao 😊 wap team zuuuh usisahau kuwek net ❤
Candi round hii tunakufinishi.shida mnachelewesha sana
Sania apewe mauwa yak🎉🎉🎉🎉🎉
Mko fasta watu wa comment 😀
Candy kwisha😂😂😂Like zangu from Burundi
❤atari❤❤ 4:56 ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Nimewaiiiii nipeeni likes 👍 👌 jamani
Leo nimewahi pia kutoka Kenya 🇰🇪🇰🇪 wapi likes za genz ❤❤
𝑬𝒃𝒖 𝒏𝒊𝒑𝒊𝒕𝒊𝒆 𝒑𝒊𝒂
@@Korinogalmoney1 sawa
Nenda zanzibar watakupatia hizo like za kutosha sawa e
Sasa jamn huyu bib zuu amechorwa km nan mganga au mchaw mbn sielew hem nijibun basi nielewe mchez
Jam an Leo nimekuwa wa kwanz jamn ❤❤❤❤nimeisubir kwa hamu san🥰🥰🥰
Nilikua nachungulia mda wot nyie😅😅😅
Bora zuu kapona tusubiri harusi ya kai na zuu❤🎉🎉🎉
Kuna muda bibi ako akiwa mchawi Raha 🤣🤣
😂😂😂😂😂 Au sio
Kabisa
Kwakwel
😂😂😂😂😂 nyie acheni utani bana😂😂😂😂😂
Jamani toka niaze sija pata ata like naomba like japo moja wale mafasi wa zuu na kai❤❤❤🎉🎉
Jameni zuu kapona asante mungu sasa candy chake kiko motoni
Hata mm hapa cjawahi pata like hata moja😮
Sjawah kosa team zuu mikono juu
🖐️✋
😂🙌 tupo mpenzi
Janani like zqngu zipo 😂 wapi
Kwabibi ako🎉😢😢😢
Kazi nzuri Sana nimefurahi kuona zuu amepona good work Kai 🎉🎉🎉🎉
Safi sn nimefurahi na tabasamu lako Kisha Kofi Kai funzo nzt
😂😂ww ndo miye
Nipeni like leo
Mapema ndio best as team zuu
Na mm wakwanza nipen like
Nimeungana nanyi saiv naomba like zangu
Nzuri sana hongereni🎉🎉🎉❤❤❤ naenjoy mpka raha n raha tena nmpe hi candy
heeeeee jamani hatimae nime kuwa wakwanza hafu siringi wala nini😂😂😂😂
😂😂😂,
😂😂😂
Kai hilo jicho waah hata mm nimuogopa 😂😂😂
Munakawia saana,Sasa basi muuwe mukitupea episode 2 ❤❤😂😂
Zuu leo umenitowa machoz nakupenda sana ❤❤
Wadau ndio hiyoo ssss
Ongela sana nawapenda sana like 👍 👌 hapo
👌🤏
👌🏾🤏
Jamani sijachelewa sana naifwatilia sana house girl team zuuu mko wapi jamani ! Nampenda kai
Jamani mbn xielewi mwendelezo up au inakuwaje
Kamkode is typing .....😂😂😂
I’m enjoying watching this house girl now.
Waooo nice zuu kapona na kend jua linamuwakia safi sana malipo ni hapa duniani 🎉
Tm zuuu leo tunalala nafuraha ❤️❤️❤️❤️
Waah😂 jamani mm niwamwisho pia naomba mugonge Ata tano tuko pamoja
Nipeni likes zangu kwa kufika mapema kuona
😂😂nilitaka kuuliza vp mbona Kai kachekelea tena hilo suala la mimba kidg niache kuangalia kumbe mtego aya asante
naona tunakaribiya fainali, big up sana wana busati tv, kazi nzuri tuko pamoja mwanzo mwisho, shabiki wenu hapa nikiwa south africa❤🙏👍💪💪
Jamaan ongezeni ata dakika bas angalau zifike 30
Ingekuwa bora zaidi mngepost ya 37 sahv
Mimi wa mwisho kila siku nipeni like zangu