MAASHAALLAH....MNAJUA KU ACT NA PIA MKO NA VIPAJI VYA JUU SANA .... NI MAFUNZO TOSHA KATIKA MAISHA YA KIDINI NA PIA KIJAMII YETU KAMA WANADAMU.... #INAFUNDISHA.... #INASIKITISHA SANA.... #INAFURAHISHA PIA KUTOKAMA NA VIPAJI VYENU VYA HALI YA JUU SANA...ALLAH AZIDI KUWAONGOZA VYEMA....#INSHAALLAH 🙏🙏❤❤
I remember very well I passed through these kinds of problems 😢 until I end up divorcing the first one due to too much domestic chaos and remained with the second wife forever 💔❤
Asalam aleykum. Wake wakubwa baadhi yao ndio tatizo. Huwasumbua wake wadogo kiasi cha kujutia kuolewa mke wa pili. Ewee Mwenyezi Mungu tujalie kheri ,subira na uvumilivu tuliowa wake zaid ya mmoja.
Kazi zenu nzuri sana ndugu..ila tuekeni sawa waislam...talaka ukitamkiwa 3 huwa ni 1 pekee na pia haifai kumaliza talaka 3 kwa mkeo ukamwambia olewa uwachwe urudi kwangu hilo kosa kubwa sana.shukran from 🇰🇪
Zama za mtume s.w ilikuwa mtu akiacha kwa talaka 3 inaisabika 1 na mtume s.w alipokuwa karibu kufa Alisema fuateni sunnah zangu na sunnah za mahalifa wangu 4 na baada ya mtume s.w kuondoka zama za omar katika mwaka wake wa pili ndio alipitisha hio kauli ya mtu akitoa talaka 3 inakuwa 3 kweli na alipitisha hio kwa sababu watu walikuwa kama wanachezea talaka pia omar ni miongoni mwa wale mahalifa 4 aliosema mtume s.w wafuatwe sunnah zao kwa hio mwenye atatoa talaka 3 kisha akaifanya 1 atakuwa amefuata talaka sunnah ya mtume s.w na mwenye atatoa talaka 3 kuwa 3 atakuwa amefuata omar . Na mwanamke akiachwa talaka mpaka zifikie 3 kwa kufuata masharti mwanamke awe twahara asiwe kwenye heidh na lazima akae eda na mwanamke mwenye mimba ni ruhsa kupewa talaka lakini eda yake mpaka ajifungue ndio eda inapoishia. Mwanamke akifuata mashariti hayo hali ya kuwa amemaliza talaka 3 na itokee anataka kumrudia yule mme wa talaka basi apo mpaka aoleke kwa mme mwengine kwa kuridhia kisha atalakiwe kwa hiaari ndio aruhusike kumurudia mme wake wa awali. Allahu A'alam
I like the standard or naomi and the respect she have she knows the value of being a woman I feel your pain naomi you deserve to be settled And finally I stand opposing this law of muslims about 2,,3,4 yf I feel is not right muslims you are giving this ladies hard time of life as well as making ladies like a football I feel very sory for this naomi needs a serious man not to be rolled like this why kuchukua mtoto wa watu kama mbuzi ati aolewe afukuzwa ndio akuje tena unampeleka mwenyewe 😢😢feel sad
Mchezo ume fanywa kwa njia ya Madhehebu ya wanao amini kwamba ukisema talaka tatu basi ni tatu. . Kwa maana hiyo mke hakupaswa kurejea kwa baila. Ila kama film ingefanywa kwa dhahebu linalo amini kwamba ukisema talaka tatu kwa mpigo basi hiyo ni talaka moja,hapo mke angerejea kwa baila na ndoa ingekuwa halali
Mimi n mwislamu lakini mambo ya uke wenza siyapendi yanasababisha ushirikina.niliyaona kwa familia yetu mume wangu akiamua kuoa mke wa pili n bora basi niwaondokee than kuanza kufikiria ushirikina😢
Wanao mkubali bahilam weka like apo
IPO vizur sana 👍
Masha'Allah 👌 Tabarakallah wallai nimejifunza mengi kuusu ndoa n kuishi n mke mwenza kwa upendo n hamani bila kumshirkisha Allah, shukran 🙏
Maashallah. Muvi nzuri sana
Vraiment félicitations mnajuwa kufundisha kazi nzuri sana MashaAllah
mashaallah
MAASHAALLAH....MNAJUA KU ACT NA PIA MKO NA VIPAJI VYA JUU SANA .... NI MAFUNZO TOSHA KATIKA MAISHA YA KIDINI NA PIA KIJAMII YETU KAMA WANADAMU.... #INAFUNDISHA.... #INASIKITISHA SANA.... #INAFURAHISHA PIA KUTOKAMA NA VIPAJI VYENU VYA HALI YA JUU SANA...ALLAH AZIDI KUWAONGOZA VYEMA....#INSHAALLAH 🙏🙏❤❤
Nakubali sana movie zenu❤❤❤
Nivichekesho kweli ukewenza niatari
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰mm napenda mnavo lia mbwela na bhailam nyinyi nawapenda bure kakazangu ❤❤❤❤❤❤
I have learned something from there brother Bailam .....ingawa mimi c muislam lakini nimeshukuru sana.......❤❤ watching from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Mila yetu ni nzuri kwa kimaisha 😢😂na pia wake wetu ni wazuri 😢
Allah S.W ....hakuiharamisha talaka bali anaichukia tu.....ila ameihalalisha ......
❤❤ hongereni sanaa hasa mkemdogo Rose 🌹 ♥️
I remember very well I passed through these kinds of problems 😢 until I end up divorcing the first one due to too much domestic chaos and remained with the second wife forever 💔❤
Bhairam hii kwamaoni yangu ndio filam Bora like it 🔥imenitoa machozi Yani haijawahi kutokea movie za kibongo
Asalam aleykum.
Wake wakubwa baadhi yao ndio tatizo.
Huwasumbua wake wadogo kiasi cha kujutia kuolewa mke wa pili.
Ewee Mwenyezi Mungu tujalie kheri ,subira na uvumilivu tuliowa wake zaid ya mmoja.
Nimeipenda iyo
@@shawejiramadhani2922 Amiinna Rabillah Allah miinnah 🤲
pamoja sana nimejifunza mengi mno
Wow kaz nzur sana👍🏻
Nzur sana ❤❤❤
Mashaallah
Mashallah kazi nzuri
Sinema story yake mzuri sana 👏🇹🇿🇬🇷
mashallah movie nzuri lakini ukimwacha na ukapaga ndoa ili aolewe kisha aachike hio haikualiki ki sheria ya kisslam
Sahih kabisaaa
Uyu mamake shetani ana shida😂😂😂
Kamuchukua jumla.why not😢😢
Nimeelewa kitu nilicho kuwa sikijui. Kimenielimisha. Well done for the good job.🎉🎉🎉❤
Maasha Allah Baraka Ya Allah Hii Move Mumeweza Maasha Allah❤❤❤❤❤
Duu Hawa wakubwa jamani asilimia 90 huwa Hawa wapendi wadogo sijui ni kwa mini duu
Nice good job😢😢😢
Ww fatuma acha ushetani utauzoeya ujuwe
Nice
Sasa hii sio kumtoa mhalili........? Maana hii ni dhambi....
Kazi zenu nzuri sana ndugu..ila tuekeni sawa waislam...talaka ukitamkiwa 3 huwa ni 1 pekee na pia haifai kumaliza talaka 3 kwa mkeo ukamwambia olewa uwachwe urudi kwangu hilo kosa kubwa sana.shukran from 🇰🇪
Zama za mtume s.w ilikuwa mtu akiacha kwa talaka 3 inaisabika 1 na mtume s.w alipokuwa karibu kufa Alisema fuateni sunnah zangu na sunnah za mahalifa wangu 4 na baada ya mtume s.w kuondoka zama za omar katika mwaka wake wa pili ndio alipitisha hio kauli ya mtu akitoa talaka 3 inakuwa 3 kweli na alipitisha hio kwa sababu watu walikuwa kama wanachezea talaka pia omar ni miongoni mwa wale mahalifa 4 aliosema mtume s.w wafuatwe sunnah zao kwa hio mwenye atatoa talaka 3 kisha akaifanya 1 atakuwa amefuata talaka sunnah ya mtume s.w na mwenye atatoa talaka 3 kuwa 3 atakuwa amefuata omar .
Na mwanamke akiachwa talaka mpaka zifikie 3 kwa kufuata masharti mwanamke awe twahara asiwe kwenye heidh na lazima akae eda na mwanamke mwenye mimba ni ruhsa kupewa talaka lakini eda yake mpaka ajifungue ndio eda inapoishia.
Mwanamke akifuata mashariti hayo hali ya kuwa amemaliza talaka 3 na itokee anataka kumrudia yule mme wa talaka basi apo mpaka aoleke kwa mme mwengine kwa kuridhia kisha atalakiwe kwa hiaari ndio aruhusike kumurudia mme wake wa awali.
Allahu A'alam
Ficheni nywele
Mke mkubwa anahitaji kuolewa na wazinifu au watu kama yeye
Ndio uzuri bhailam mke mkubwa umchane😂😂😂
Mnatuumiza wake wakubwa 😂😂😂
Hayonimauwaaji❤
😢😂😂😂😂😂😂so kwa vilie hizi
Kama hauwezi kuishi uke wenza ondoka na umuache mwenzio😂
Mbwela analia vizuri 😂😂😂😂
Ila big up Sana imetisha mzazi
Nakwell mungu kamripa😅
Shetani😮😂😂😂😂😂😂😂😂
Kazi Zenye Elimu Tosha . Tunawashukulu Sana
kazi nzuri🌹🌹🌹🌹
Sijaipenda
Tamuu sanaaaa
Mimi sikubali
I like the standard or naomi and the respect she have she knows the value of being a woman I feel your pain naomi you deserve to be settled
And finally I stand opposing this law of muslims about 2,,3,4 yf I feel is not right muslims you are giving this ladies hard time of life as well as making ladies like a football I feel very sory for this naomi needs a serious man not to be rolled like this why kuchukua mtoto wa watu kama mbuzi ati aolewe afukuzwa ndio akuje tena unampeleka mwenyewe 😢😢feel sad
Hapo kwa kulia mimi nimependa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Umejuaje kama momba ya bailam wakat ushalala nawanaume wa3 mfululizo
Inakuaje unaomba amuoe ili umuoe..haiji hvo!! Aolewe kwa hiari yake na aachike kwa hiari yake
Mchezo ume fanywa kwa njia ya Madhehebu ya wanao amini kwamba ukisema talaka tatu basi ni tatu. . Kwa maana hiyo mke hakupaswa kurejea kwa baila. Ila kama film ingefanywa kwa dhahebu linalo amini kwamba ukisema talaka tatu kwa mpigo basi hiyo ni talaka moja,hapo mke angerejea kwa baila na ndoa ingekuwa halali
Swadakta
Oy jamaa fundi😂😂😂😊
Niko kwenye ukewenza lakini mimi ndio mkorofi ukewenza kazi
Kuoa kwa lengo la Bailam halikubaliwi katika DINI
😂😂😂so kwa vilio hivi
🤣🤣
Nmeipenda sna kazi henu
Kwamimindoimeishandowa😂
Kama tukifikwa na changamoto mzito haipaswi kuendelea kutumia fikra zetu kutatua Allah yuko kwa yeyote kumsaidia.
Ifike sehemu waigize haya mambo watu wanao ifahamu diyni, make uongo ni mwingi mnoo
Mmhh nilitarajia kuwa mke mwenza lakn dah kwa haya nagair
Cjawah kuona mwanamke mnafki km huyu mke mkubwaa wa bailam daah anaweza akakuua huku anakuangaliaa
Yani nishid huyu mwana make best
Pia tujifuz happy pia wanawake nao wajifuze napo
Hayo
Haitofaa ndoa yoyote yenye kutolewa muhalili
Good job's
Nzuri jamani❤
Allah atusaidie Sana
Safiii
Tatizo sio pesa tatizo ni mapenzi
Mimi n mwislamu lakini mambo ya uke wenza siyapendi yanasababisha ushirikina.niliyaona kwa familia yetu mume wangu akiamua kuoa mke wa pili n bora basi niwaondokee than kuanza kufikiria ushirikina😢
❤❤❤ story
Uyo mke mkubwa
Mungu hapendi talaka.
Mashaallah ama kweli tumejifunza mengi ndani yake keep it up ❤❤ am from🇰🇪
😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅❤
Hapo kwa kutoa talaka tatu kwa mpigo ndio nashangaa napo😳
Umetisha sana 😂😮😅
Bailam umeigiza ila apo sehem ya talaqa yahasira haipo kidini
Nice
Bailam kamuacha mbali Allah lakini pia Naomi hajajisogeza kwa Allah
ukewenza Mimi no,,,😅🤔
mpo vizur sana 😅😅😅
uyo ni ujinga kabisa kupeana mwana mke kama upila.
nmeipendea hii moja safi na mafunzo...💯🔥🔥🔥🔥❤️.. duh imenigusa na sijaoa.. 👌Another one
Niko hp nahitaji kuolewa
❤❤❤❤Good job
Nimekubali ni mafindisho tosha
Swali ni kwaba je ata muoa tena Wana sema akiachwa mpaka aolewe halafu aachike ndo amuoe tena sasa inakuaje hapo??😂😂😂
Asante kwakunifunza
Sio ndoa yako ni ya mke mwenzio. Tafta wa kwako uache ndoa ya mwenzio
Kazi nzuri sna
Rishwa 😅😅
😮🎉😮😅😅😅😊😂❤❤
Ila mbwera anajua kutongoza 😂😂 jaman
We have got a lesson through this (Bailam)...
Mwanzo sikujua umecheka nini had ukose mbavu sasa nimejua nami nimejikuta sina mbavu
Ila dinyo jamn unauzi sana
Vizuri saana
❤❤❤❤❤❤
Duh😂😂❤❤❤