KUNGWI DUME sehemu ya ishirini na moja

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 жов 2024
  • "KUNGWI kakupa mzungu huujui maana yake mfate akakwambie maana ili uondokane na usungo, Siku zote mwanamke mazingira jambo la kwanza ni kujipenda na ndio maana ya pambo la nyumba"

КОМЕНТАРІ • 91

  • @فاطمهفاطمه-ش2ز9ج
    @فاطمهفاطمه-ش2ز9ج 7 місяців тому +7

    😢😢😢 Jaman binadam aiseeee huyu dada Boya kah ,,,badala atengeneze família yake ya Kijijin na amtii MUMEwe anamuendekeza hawara.

  • @khadijaabdul-kadir7264
    @khadijaabdul-kadir7264 7 місяців тому +10

    Wallh sisi wanawake mungu ana2ona dh😅😅😅😅

  • @jacklineerasto9514
    @jacklineerasto9514 7 місяців тому +8

    Mimi kijimboo tu 😊😊 ila jmn uyu anaendna na mumewe tu uyu mwngne hawapendezeani ila mapenz shkamoo😅😅😅

    • @MwaSukha
      @MwaSukha 6 місяців тому

      Mariaba mapenz

  • @VirginiaWaithera-f1n
    @VirginiaWaithera-f1n 4 місяці тому +2

    Nangalia kutoka saudia lakini natokea kenya

  • @JulfaJulfa-fv6kk
    @JulfaJulfa-fv6kk 7 місяців тому +8

    Wakwanza from Kenya 🇰🇪 to saudia 🇸🇦 bigup broo tuko chojo🎉❤

  • @Frola-r9z
    @Frola-r9z 2 місяці тому +1

    Jamani 😢😢😢sina ata lakuongea maana hawa ndiyo wanatufanya wanawake tuonekane wote tupo hivyo 😔😔

  • @HanifaHanifa-uz5vx
    @HanifaHanifa-uz5vx 2 місяці тому +1

    Kungwi me nimependa mafunzo yako

  • @zuhurahussein4738
    @zuhurahussein4738 7 місяців тому +2

    Funzo kwetu soteni hizi ndoa za kupangwa na wazazi pasi na wewe mwenyewe kukubali i say mambo huwa kama hivi sasa.

  • @tktv8617
    @tktv8617 7 місяців тому +2

    Patamu hapo?? Ila Shangazi nae kapajuaje jamani au ndo muvi utafanyaje😅

  • @SalmaSaidi-c3i
    @SalmaSaidi-c3i 7 місяців тому +4

    Asante kungwi dume honger san allah akufanyie wepes ufike mbal

  • @bahatiomar5297
    @bahatiomar5297 5 місяців тому +1

    Si ungesema mapema kama utaki ndoa mbna wataka kumuumiza mwenzako na anakupndaa jaman sisi wanawake wabay Sana shangaz uyo kwiooo 😂

  • @nadrasalum6039
    @nadrasalum6039 7 місяців тому +3

    Wow wacha sasa masikio yangu na akili yangu nipeleke hapa kwa my dear friend broo ❤❤❤

  • @grice2075
    @grice2075 7 місяців тому +3

    Wanawake jamani daaa 😊

  • @MozaFoum-yg9he
    @MozaFoum-yg9he 7 місяців тому +19

    Sorry una group la WhatsApp kupat mafunzo ya ndoa

    • @allypandu890
      @allypandu890 7 місяців тому +2

      Nikwel tunaitaji kuzidi kujifunza vitu kutoka kwake

    • @MozaFoum-yg9he
      @MozaFoum-yg9he 7 місяців тому +3

      Yupo vzr ktk kaz yke

    • @رحيمة-ش7ه
      @رحيمة-ش7ه 7 місяців тому +1

      Na ninejifunza mengi sana

    • @MwashaMwash
      @MwashaMwash 7 місяців тому

      Kama lipo atwambie anatusaidia san

    • @MwanasitiHemed
      @MwanasitiHemed 7 місяців тому

      Ndio kalipo litatusaidia❤❤

  • @naifatshafii2504
    @naifatshafii2504 7 місяців тому +2

    Nakukubali allah akupe umri mrefu wenye manufaa .ili tujifunzee zaidi

  • @AnnaMundia-d3o
    @AnnaMundia-d3o 5 місяців тому

    Kungwi dume nauliza hivi mbona usiulizie nafasi kwa runinga na redio ili wakenya tufaidike.

  • @GainoGabone
    @GainoGabone 2 місяці тому

    Kakimbia wanawake mjini kafata kijijini ndio kakutana na Boko haram haswaaa na hiyo guest aloenda ni guest ya mume wake huyo kinamramba sio muda mrefu

    • @LoiceTsama
      @LoiceTsama 2 місяці тому

      😂😂😂uyu huwezi mtetea

  • @FatmaKassim-fr3fd
    @FatmaKassim-fr3fd 7 місяців тому +2

    Mashallah kipindi ajjab mashallah dis tym congratulations mumeitoa mapema

  • @halimamohammed7863
    @halimamohammed7863 7 місяців тому +2

    Moris hakuna kizazi cha majaribio 😏😏🤔

  • @sharifatwaha1574
    @sharifatwaha1574 7 місяців тому +2

    Naisubili Kwa hamu nilikua naichungulia Asante Kwa mwendelezo❤

  • @FridahKijumwa
    @FridahKijumwa 2 місяці тому +1

    ila huyu mzungu aliyekuja na mapenzi.... mmmh si kwa namna ya huyuu mdadaa ...ovyoo mtupu🤣🤣🤣

    • @RASHEEDTV-c3s
      @RASHEEDTV-c3s 2 місяці тому

      @@FridahKijumwa yaan afadhali angeoa tu mjini jamn mwanamke mshenz snah

  • @halimamohammed7863
    @halimamohammed7863 7 місяців тому +2

    Wah likua naisubiri 🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️

  • @AishaKiweru
    @AishaKiweru 7 місяців тому +1

    cope za dada😂mwenyewe waume wawili sasa apunguze

  • @SalmaSaidi-c3i
    @SalmaSaidi-c3i 7 місяців тому +1

    Ww jmniiiiii akil zko mbov mume anakujal ww unafny ujing bahat haij mara mbil upo apo utakuj juta ww

  • @SakinaHassani-xm7ti
    @SakinaHassani-xm7ti 7 місяців тому +2

    Mambo hayoo😂😂🔥🔥 kungwi maneno hayooooo

  • @ShakiraSalim
    @ShakiraSalim 5 місяців тому

    Wadada tuinuke jaman hatuna vizazi vya majaribio

  • @carolineanthony5409
    @carolineanthony5409 7 місяців тому +1

    Nikajua tayar kumbe mpaka Usiku sawa naingoja mie

  • @amisafaraji5796
    @amisafaraji5796 7 місяців тому +1

    Jamani shangaz kaja bila taarifa hukuu😂😂

  • @chamamaambambi3019
    @chamamaambambi3019 7 місяців тому +2

    Kwann nichelewe

  • @amisafaraji5796
    @amisafaraji5796 7 місяців тому

    Kaka tunajifunza meng kutoka kwak na umebeba dhamira nzuri lkn mbn sikuhiz fupi mnooo jmn😢

  • @MREZI-u9d
    @MREZI-u9d 7 місяців тому +1

    Nakubali movie zko kungwi

  • @Asianyanje
    @Asianyanje 4 місяці тому

    Mafunzo mazuri sana ila huyo dada wa dareslam amezingua .ila asante sana

  • @MwanamkuuOmar-n5r
    @MwanamkuuOmar-n5r 7 місяців тому

    Tengeneza group utowe number yake ya group n group hii iwe kwa wale wako kwenyee ndoa 2

  • @ZainabSaif-sr9jj
    @ZainabSaif-sr9jj 7 місяців тому

    Kweli cc wanawake walimu wetu ni vipofu asante kwa mafunzo maziri mafunzo yk ni kwaajili ya mmewangu tu jmn

  • @FatumaMwinyi-ox8qi
    @FatumaMwinyi-ox8qi 6 місяців тому

    Kweli wanawake sisi haturidhiki jamani 🥺🥺🥺🥺🥺

  • @MwaSukha
    @MwaSukha 6 місяців тому

    Kumekucha maneno ,hiz ndoa ss z majabu,ubarikiwe kungwi

  • @remiomar7154
    @remiomar7154 7 місяців тому

    Mambo ni moto siku yakufanyani imefika😂 loooh patam hapo

  • @ZamdaNurdin-z5c
    @ZamdaNurdin-z5c 7 місяців тому

    Shangaz kafika sasa shughul nzito ipo

  • @JenipherShirima-lp4rv
    @JenipherShirima-lp4rv 5 місяців тому

    Safari yenyewe ni mapenzi jamannn

  • @RebeccaEdwadrEdwadr
    @RebeccaEdwadrEdwadr 7 місяців тому

    Wanawake sisi ni nyoka kweli jamani duu

  • @VicentYohana-ye5ln
    @VicentYohana-ye5ln 7 місяців тому

    du kumbe tayali kuna walowah cema aina kabaya acha tuingoj tu kwapamoja

  • @rahmasuleiman9334
    @rahmasuleiman9334 7 місяців тому

    Weee patamu hapo za mwizii……😂😂😂😮

  • @AminaRai-u4t
    @AminaRai-u4t 7 місяців тому

    Congratulations brother

  • @SalmaSaidi-c3i
    @SalmaSaidi-c3i 7 місяців тому

    Toa mapem kabla utam haujaish jmniiiiii

  • @nadrasalum6039
    @nadrasalum6039 7 місяців тому

    Mbna unatuonyesha kidg jaman😢

  • @AmaniNangerembe
    @AmaniNangerembe 5 місяців тому

    Good 🎉🎉

  • @NajatRajab-x1k
    @NajatRajab-x1k 6 місяців тому

    Jmn 😢😢😢😢😢 next sasa

  • @TaniaBimo-gq9oj
    @TaniaBimo-gq9oj 7 місяців тому

    Asante sn kaka

  • @cplusfilm6942
    @cplusfilm6942 7 місяців тому

    Kazi nzuri kaka🔥🔥🔥❤️🥰😘

  • @fatumakushonda4277
    @fatumakushonda4277 7 місяців тому

    Nakosaje kwa mfano mm n nkungwi dume tena❤

  • @carlitacelestino5548
    @carlitacelestino5548 7 місяців тому

    Nilikua nasubir kwa ham❤

  • @SakinaHassani-xm7ti
    @SakinaHassani-xm7ti 7 місяців тому

    Nasubir kwa ham zote 🔥🔥🔥

  • @LukuNyomolelo
    @LukuNyomolelo 6 місяців тому

    ♥️🙏

  • @hidayahasani-mb5en
    @hidayahasani-mb5en 7 місяців тому

    Good job 👏🎉

  • @LukuNyomolelo
    @LukuNyomolelo 6 місяців тому

    🥰

  • @emmykibona8629
    @emmykibona8629 7 місяців тому

    Ukiachia tuu nimo

  • @mwanawetumwatumwa3000
    @mwanawetumwatumwa3000 7 місяців тому

    ❤❤❤❤❤

  • @RabiaJuma-tf3im
    @RabiaJuma-tf3im 6 місяців тому

    ❤❤❤❤

  • @hanisasuleiman1189
    @hanisasuleiman1189 7 місяців тому

    Tayari mambo ayooo

  • @MaulidiHassan-f1b
    @MaulidiHassan-f1b 7 місяців тому

    Nasubiri to apa❤

  • @NahGonya
    @NahGonya 7 місяців тому

    ❤❤❤

  • @ANNAEMIDI
    @ANNAEMIDI 7 місяців тому

    ❤❤❤❤

  • @AminaSaid-p3s
    @AminaSaid-p3s 7 місяців тому

    Daa! kali na subiri next

  • @CHAUSIKUMABULA-pg5tw
    @CHAUSIKUMABULA-pg5tw 7 місяців тому

    ❤❤

  • @MwanamisiMwamakalo
    @MwanamisiMwamakalo 7 місяців тому

    ❤❤❤

  • @NellyEsperanceTv
    @NellyEsperanceTv 7 місяців тому

    ❤❤❤❤❤

  • @NellyEsperanceTv
    @NellyEsperanceTv 7 місяців тому

    ❤❤❤❤❤

  • @MariamChande-s7t
    @MariamChande-s7t 7 місяців тому +1

    Wanawake tujipe shkamoo shida ya kuolewa na mtu usiempenda kwa kulazimishwa na wazazi

  • @FatmaKassim-fr3fd
    @FatmaKassim-fr3fd 7 місяців тому

    Yajao yanafurahish waaah mwali kashikwa Kwa uongo

  • @SifaWangyaShabani-nt5ww
    @SifaWangyaShabani-nt5ww 7 місяців тому +1

    Kazi nzuri big up bro ❤❤🥰🥰🥰🥰

  • @neemaadam2259
    @neemaadam2259 7 місяців тому

    Kimeumana.... Kungwi uwai kutoa mapema basii

  • @KassimKhalaid
    @KassimKhalaid 7 місяців тому

    Nakubali sanaa kungwi una maneno ya akili