WAZIRI SILAA, RC PWANI WATUA CHAMAKWEZA CHALINZE KUINGILIA KATI SAKATA LA MGOGORO WA ARDHI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 6 лип 2024
  • SERIKALI mkoani Pwani imesema haitowafumbia macho watu watakao kujichukulia sheria mikononi kwa kuwapiga wananchi wanaowatuhumu kwa makosa mbalimbali na kuliagiza Jeshi la polisi kuwakamata mara moja wale wote ambao wamehusika kwenye makosa ya hivi karibuni kwani wamekuwa ni chanzo cha vurugu na uvunjifu wa amani.

КОМЕНТАРІ •