WAZIRI JERRY SILAA ABAINI MCHEZO MCHAFU, AWASHTUKIA WAPIGAJI WA ARDHI "WANATUTUMIA VIONGOZI".

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 14 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 18

  • @tumainimateru2720
    @tumainimateru2720 Рік тому +1

    Ni kweli mhe waziri jambo hilo linafikirisha sana na wanasababisha wizara kukosa mapato ya nchi. Ukitaka kulipa wanakuwekea vikwazo wakati haki ya kulipa ushapewa. Tamka kila anayedaiwa alipe alicho nacho ata mara mbili kwa mwezi kwa kiasi chochote

  • @marypeter7209
    @marypeter7209 Рік тому

    Upo vizuri mheshimiwa hata mijini bado kuna square tusaidie sema neno moja tu

  • @jacksonsawe2301
    @jacksonsawe2301 Рік тому +1

    Waziri njoo na Nkuhungu broad acre na Matuli Dodoma Wavamizi na Viongozi wamedhulumu Ardhi hivyo hivyo

  • @charlesally6028
    @charlesally6028 Рік тому

    Hongera yule mama kazi ilimshinda piga kazi

  • @adamimis
    @adamimis 10 місяців тому

    Waziri silaa Akukupenda mungu na wazazi wako na mama wako wa hijari mama samia tosha wengine wanafki mataperi fukuza kazi wote😂😂😂😂❤❤❤❤

    • @selector728
      @selector728 7 місяців тому

      Matapeli sio mataperi

  • @oscarkasalile3966
    @oscarkasalile3966 Рік тому +1

    Leo umenikosha kufafanua mlengo wa chama cha TANU, baadhi ya viongozi wanajua chama cha mapinduzi ni chama cha matapeli. sio chama cha matapeli ni chama cha wakulima na wafanyakazi. Huo ndio mlengo wa chama mama cha mapinduzi.

  • @bongo39
    @bongo39 Рік тому

    Kwanza kabisa naomba usipowe uwe moto mpaka kieleweke na hili swala la magomeni mpaka leo hii ni skuata Eria hivi jamani mpaka karne hii ya leo ktk jiji la daresalaam top 3 ni magomeni ukianza uhindini kko kisha magomeni lakini mpaka leo hii watu wanajenga mpaka katikati ya mitaa na hamna mtu anaemzuia magorofa yanajengwa jee mtawavunjia badae au

  • @charlesmwambinga4355
    @charlesmwambinga4355 Рік тому

    Well Said, Well said, well said.

  • @JaziraMustafa-g9p
    @JaziraMustafa-g9p 10 місяців тому

    FIDDA HUSSEIN NI MWIZI MKUBWA WA NYUMBA N VIWANJA VYA WATU DAR

  • @faustinebahenobi3412
    @faustinebahenobi3412 Рік тому

    Ovyo sana tushawazoea marangapi mawaziri wa aridhi mnakuja mapinga kero kibao akuna atua yoyote inayo chukuliwa

  • @RamadhaniAthumani-g8s
    @RamadhaniAthumani-g8s Рік тому

    Njoo lushuto hari si shwari pia

  • @LidyaKagondi
    @LidyaKagondi Рік тому

    Mheshimiwa njoo ikungi singida utuokoe

  • @mmichaeleletricet4554
    @mmichaeleletricet4554 9 місяців тому

    Kabisa ni chama cha wasulima na wafanya kazi haya matapeli mapungo moshi vijijni hayalimi wa hayafanyi kazi ni kukaa kwenye vijiwe na kupanga njama za kutapeli

  • @Esterkomba-ef7eb
    @Esterkomba-ef7eb Рік тому

    Hata wakibaini hakuna hatua yoyote

  • @daudikapange9203
    @daudikapange9203 Рік тому

    Wakwanza

  • @laurentraphael5470
    @laurentraphael5470 Рік тому

    CCM wote wapigaji tu.