WAWEKEZAJI WAKARIBISHWA KONGANI YA VIWANDA MODERN INDUSTRIAL PARK, NI ENEO ALILOFIKA WAZIRI SILAA,

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 сер 2024

КОМЕНТАРІ • 5

  • @yusufismail3116
    @yusufismail3116 9 місяців тому

    Kijana usipanic, kama umesoma tumia usomi wako. Pwani haikwepeki kutokana na jiografia yake hata iweje ipo karibu na bandari .

    • @mohamedmbalazi748
      @mohamedmbalazi748 9 місяців тому

      Umesema kweli wengine shida zao za majumban wanazihamishia kwenye maendeleo

  • @salumbujjo2320
    @salumbujjo2320 10 місяців тому

    Nchi ya ajabu sana sehemu walizotoka viongozi au kuwa na uhusiano wa karibu na viongozi wakubwa ndio wanaziendleleza kwa garama kubwa hata kama kuna upungufu wa vitu muhimu na kuacha sehemu ambazo zinachangia pato kubwa la nchi.

    • @hoseastephen4508
      @hoseastephen4508 8 місяців тому

      Pwani haikwepeki hata kidogo. Ukiacha Dar sehem inayofuata kwa uwekezaji ni Pwani kwa sababu ya potential yake pia ukaribu na soko, ukaribu na miundombinu (reli, barabara, bandari, international airport etc)

    • @salumbujjo2320
      @salumbujjo2320 8 місяців тому

      @@hoseastephen4508 hivi umesha tembea mkoa kama tanga au kilimanjaro teary inayo miundombuni yote unayoitaja kasoro kilimanjaro bahari hakuna sasa pwani kuna reli, bandari au ndio mnalazimisha kufanya vitu kwa vifuri vya wastaafu.