MUAROBAINI BARABARA MBOVU KIVULE,KITUNDA MPAKA MSONGOLA WAPATIKANA || ADHA KWISHA || WAZIRI SILAA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 сер 2024
  • Mbunge wa jimbo la Ukonga na waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Jerry Silaa amesema Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan tayari ameshasaini mkataba na benki ya dunia DMDP awamu ya pili na tayari tenda ishata gazwa ya barabara ya banana,kitunda,kivule na msongola kwa kiwango cha lami.
    Silaa ameyasema hayo alipofanya ziara ya kukagua barabara ya banana yenye lengo la kuona athari za mvua ndani jimbo la Ukonga.

КОМЕНТАРІ • 7

  • @tinershayo6191
    @tinershayo6191 4 місяці тому +1

    Asante sana waziri

  • @petroyohana1126
    @petroyohana1126 4 місяці тому +1

    Well said mheshimiwa waziri

  • @godfreyjohn3481
    @godfreyjohn3481 16 днів тому

    Tunashukuru sana mheshimiwa na tunakuombea sana

  • @ahmedashfa7318
    @ahmedashfa7318 3 місяці тому +1

    Muheshimiwa waziri tunakuamini ila pia fahamu hata cheo chako huwa kinapanda kwa dua zetu, hivyo fahamu ukimlea mtoto vyema na atakulea vema uzeeni. Nikupongeze kwa kufuatilia Jimbo letu. Ahsante

  • @isaackkamanga3567
    @isaackkamanga3567 4 місяці тому +1

    Nitatoa pongezi pale kazi itakapo anza

  • @fredricksiamesiamebeatuss2269
    @fredricksiamesiamebeatuss2269 4 місяці тому +1

    Hata hiyo mkandarasi wako utaemuajiri umfuatilie vilevile sababu pesa inavunja milima mazee anaweza akapenyezewa rupia akakengeuka vilevile

  • @isaackkamanga3567
    @isaackkamanga3567 2 місяці тому

    Bado tunasubiria utekelezaji wa ahadi😀😀😀