TUNDU LISSU AIBUKA AWAVAA POLISI "WAMEKATAA KUNIHAKIKISHIA USALAMA NIKIRUDI, APEWA FOMU KUGOMBEA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 134

  • @ramahamis5793
    @ramahamis5793 4 роки тому +20

    Anahangaika tu huyo raisi wetu ni mmoja tu John pombe Joseph magufuli daima juu

  • @gracemima5234
    @gracemima5234 4 роки тому +19

    Wewe ni raia wa kawaida. Usalama wako utapatakuwepo kama watanzania wengine na hautapatiwa special treatments. Huwezi kuimulu Serikali kukupa ulinzi tofauti na Watanzania wengine.

  • @doramoshi6340
    @doramoshi6340 4 роки тому +43

    Kwanza umepona?? Kama umepona mshukuru Mungu, alafu utulie tu hukohuko ugenini ndoto za kuwa raisi wewe sahau tu hii nchi tayari ina raisi mteule kutoka kwa Mungu. Kwa sasa relax

    • @duoxmasisa6529
      @duoxmasisa6529 4 роки тому

      Nani kakuhakikishia kuwa mungu amemteua au ni mungu mwenyewe?

    • @doramoshi6340
      @doramoshi6340 4 роки тому

      @@duoxmasisa6529 ee

    • @davidkazoya8629
      @davidkazoya8629 4 роки тому +1

      @@duoxmasisa6529 kila mamlaka iliyopo imetoka kwa Mungu

    • @samsonmagesa3959
      @samsonmagesa3959 4 роки тому

      Ni sahihi kabisa Lisu Angetulia huko tu ugenini Hawezi kuja kupambana na Rais Atapotea kisiasa Bule Watanzania Tumemkubali Mh Magufuri

    • @tambwekibila5165
      @tambwekibila5165 4 роки тому

      Aufanani kuwa raisi wewe tunakujuwa kibaraka

  • @brainbeatz5369
    @brainbeatz5369 4 роки тому +24

    Kuwapa Ushirikiano polisi Hamtaki leo Unadai Ulinzi kwa Watu Hao hao Unaowashutumu kuwa Hawatendi hakiii....Akili za kuambiwa changanya na zakoo #JPM

    • @munaahmed8499
      @munaahmed8499 4 роки тому +3

      Vituko ahasante san jibu latosha kabisaaa

    • @claudiakifungu385
      @claudiakifungu385 4 роки тому +2

      Safi

    • @chefwakitaakaithar2039
      @chefwakitaakaithar2039 4 роки тому

      VITUKO EXTRA, Ww kweli ni kituko na ushirikiano gani unaotaka ww kw uyo lissu kuwapa Jeshi la Polisi.? Ingali kesi ngapi za kuuliwa watu, kushambuliwa, kutekwa na wengin kutopatikana tena na hakuna kesi hata 1 ya aina iyo na hukum kutolewa bali utaambiwa ushahidi ama upelelezi haujakamilika mpaka lini.? Na chakushangaza kila kitu kiko wazi na kikubwa utaambia wahalifu waliotenda uovu uwo ni watu wasiojulikana ni majini ayo vipi.?
      Usalama wa mazingira unaotuzunguka ni muhim kw kila 1 wetu..

    • @depaolo3461
      @depaolo3461 4 роки тому +1

      @@chefwakitaakaithar2039 ila na ww pumba kweli gazeti lote Hilo umeandika utumbo mtupu

    • @joh_001
      @joh_001 4 роки тому

      wanachukuliana wake wanavamiana wanapigana na kujeruhiana afu wana singizia serikali ..Washindwe sana Tanzania is here to exist and to prosper

  • @mohammedjuma6736
    @mohammedjuma6736 4 роки тому +28

    Upewe ulinzi na pilisi kama vile jeshi la polisi ni jeshi binafsi,watakulinda kama tunavyolindwa sisi kama ziada ya ulinzi makampuni ya ulinzi yapo mengi waajili wakulinde

    • @samsonmagesa3959
      @samsonmagesa3959 4 роки тому

      Braza hayo Makampuni ya binafsi ya Ulinzi yanatumia siraha gani Za kumkinga Lisu

  • @mustaphersamson6174
    @mustaphersamson6174 4 роки тому +8

    MBONA UNAOGOPA SHEIKH, NJOO KUNA ILE KESI YAKO INAKUSUBIRI, NA WALEWALIO KUDHAMINI WAMEJITOA, SASA SIJUI UKIFIKA KIPI KITAFUATA,LAKN MAGUFULI KATUFANYIA MAKUBWA WEWE HUNGEWEZA,

  • @davidkazoya8629
    @davidkazoya8629 4 роки тому +4

    Af ukute kuna watanzania wanaweza kumpigia kura huyu TUNDU ....
    Magu piga kazi tuko nyuma yako kiboko ya mabeberu 🔝

  • @salomemlagila5757
    @salomemlagila5757 4 роки тому +11

    Yaan wewe unatangaza polisi awajakuaakikishia usalama kwa kusudi kabisa
    Ili uje huku mtengeneze vitimbwi vyenu , mtengeneze muvi , mjiteke na kujivamia then mseme serikali imefanya hivyo TUNAWAJUA NYIE KWA KUCHEZA MUVIE TU , mwakyembe awakonside tu

  • @onesmojustice2348
    @onesmojustice2348 4 роки тому +16

    Kukuhakikishia kivipi kwani umesikia usalama haupo nchini mbona wawekezaji wanazidi kumiminika tu.

  • @KS-iw7qv
    @KS-iw7qv 4 роки тому +8

    Acha sinema.... Unatumalizia MB zetu....Umeondoka zamani ndugu yetu Huku sasa hivi hatuna muda kwa siasa za maigizo tunaona REALITY....na tumeridhika..... wala usihangaike..... Siasa hizi za mitandao mlitupata mwanzo tu nyie Kenge......

  • @drackjohn8805
    @drackjohn8805 4 роки тому +9

    Lisu ushafeliii banaa

  • @zengomichael8238
    @zengomichael8238 4 роки тому +8

    Laizer hajaomba ulinzi amesema Mungu ndiye mlinzi wake, police si ndiyo hao mnasema wanatumwa wakikuhakikishia halafu ukajikwaa bahati mbaya si utasema umevamiwa??? Wakati mwingine tukubali kushindwa kwenye ushindani siyo visingizio.

  • @chazydaudy1379
    @chazydaudy1379 4 роки тому +9

    Jamaa langu unajisumbua tyu utapoteza hela zako buree rais wetu Ni JPM

  • @noonelike6382
    @noonelike6382 4 роки тому +3

    Hv kweli kabisa una uhakika wa kuchukua kiti Cha urahiisi Kaka!?.... ,🙄😆😆😆😆

  • @dctbawiliahmadimasatosubsc8187
    @dctbawiliahmadimasatosubsc8187 4 роки тому +5

    Umepata udhamini usikhofu usalama utapatikana ikishindikana twende nikupeleke kwbabu ukapikwe vizuri kuhusu uswahili wakidunia dunia ipo kwenye vyumba vyawazee wetu kgm

  • @erickmapunda4231
    @erickmapunda4231 4 роки тому +3

    Lisu siasa za mbwembwe zimepitwa na wakati cc wa tz hatuhitaji maneno mengi kutoka kwa wanasiasa tumeshabadilika, we km unakuja njo cc tupo utatukuta bd tunapambana na kilimo biashara na mambo mengine. Sasa sijui unatuletea mbolea na pembejeo au unakuja kutulisha maneno tu. Uje na chochote bs. Hata mashati ya mtumba co mbaya.

  • @ahmedabdillahi8343
    @ahmedabdillahi8343 4 роки тому +3

    Tundu Lissu unataka ulizi kwa watu ulio washutumu wametaka kukuuwa ..? Mbona sielewi ..? Na km unataka kweli kuwa Rais wa Tanzania kwanini ujaze fomu mbali njoo mwenyewe km kweli wewe mpigania haki kweli.

  • @suzanfelix8857
    @suzanfelix8857 4 роки тому +3

    Ushauri wangu wew Baki tu huko vya bure vizuri umenoga hatari huku utakuja kuchaaaaa maana hakuna atakae kujari watu wote tupo bizeeeee na marndeleooo upo nyonyoo

  • @leonelleo4425
    @leonelleo4425 4 роки тому +5

    Ulidai serikali kwa kutumia vyombo vyake vya usalama walitaka kukuua,leo unataka polisi haohao wakupatie ulinzi binafsi..
    We baki huko huko ulaya,endelea kulamba matako wazungu..

  • @shafimaingu4356
    @shafimaingu4356 4 роки тому +5

    ulindwe kama nani fala tu kibaraka wa wazungu msenge ww

  • @venancephilbert9397
    @venancephilbert9397 4 роки тому +13

    yaan ww ni special cases we jamaa mbona unajikweza sana eti "ulinzi"... Kwan una hofumita???

  • @wilhardvawunge9330
    @wilhardvawunge9330 4 роки тому +4

    Bora urudi wakumalize kabisaa bwege we

  • @subrynerysegerow1323
    @subrynerysegerow1323 4 роки тому +5

    We Nani bwana wee had police wakuangalie na kulinda wewe tu bwana Kama utak kurud baki hukohuko upunguzi kitu police hawafanyi kazi hiyo

  • @okorecharles3992
    @okorecharles3992 4 роки тому +6

    Watu kama hawa ni wakupuuza tu maana wanatupotezea muda tu.
    Tuna mambo mengi ya msingi ya kufanya na siyo mambo yasiyo na maana.
    Mtu mmoja tu kati ya watu milion 60 ndo atusumbue akili.

  • @paschalmashimba3584
    @paschalmashimba3584 4 роки тому

    Kalime alizeti singida mzee baba

  • @tambwekibila5165
    @tambwekibila5165 4 роки тому +1

    Jamani watanzania wenzangu nawasii sana tusidanganyike kumchaguwa uyu mtu atatumaliza

  • @dralianvitalis6661
    @dralianvitalis6661 4 роки тому +4

    Hamna kitu hapo

  • @ivanyjunior1471
    @ivanyjunior1471 4 роки тому +10

    Njoo nitakulinda alafu nione nani sasa atakugusa nina fuko la mawe apa mishale mikuki,nikizidiwa nakutoa chambo🤣🤣

  • @lelyafriaq4240
    @lelyafriaq4240 4 роки тому +8

    Kwenda kule mnafikimkubwawewe

  • @meshacklukumai5637
    @meshacklukumai5637 4 роки тому

    Hongera kamanda nakuunga mkono

  • @mohamedyahaya893
    @mohamedyahaya893 4 роки тому +1

    Njoo uone

  • @HASASON
    @HASASON 4 роки тому +2

    Hiyo pesa ya nauli si bora kama huitaki ututumie mimi na mbowe tukafanye stock ya faru John tu

  • @zakariamigeto3543
    @zakariamigeto3543 4 роки тому +5

    huyu hajielewagi kabisaaa...polisi wanalinda watu wote...unataka waache wakulinde wewe tu?acha uboya aisee

  • @bernardinaa7565
    @bernardinaa7565 4 роки тому +2

    Kama unaogopa kuja tz kaa hukohuko hakuna hasara.

    • @malegesinyeura6897
      @malegesinyeura6897 4 роки тому

      Wakati unaenda uko mbona haukuomba ulinzi, sasa unataka ulimzi wa nn? Kwa maana au nyingine UKO NISALAMA ZAIDI KULIKO NYUMBAN, kama ni hivo kaa uko uko usije uku penye machafuko. Pumbavu ww RAIS WA INCHI NIMAGUFULI TU.

  • @mosesmwaipopo4382
    @mosesmwaipopo4382 4 роки тому +3

    JAMANI KUPOKELEWA KWA BARUA? HOW ABOUT DISPATCH

  • @georgedaniel4962
    @georgedaniel4962 4 роки тому +1

    Ila kusema kweri ata kama unatetea,sijui unademocrasia kichwani mwako we huna aibu yani,na kwa kuwa huna aibu wala huna hofu na unasema nn kwa wakati gani du,.

  • @salomemlagila5757
    @salomemlagila5757 4 роки тому +1

    Kwani sisi wananchi tunalindeaje, hivyo ndivyo itakavyolindwa na wewe
    Kwa sababu wewe huna tofauti na Mimi , huna Cha ziada kitakachofanya serikari itoe walinzi wako kwako

  • @samsonmagesa3959
    @samsonmagesa3959 4 роки тому

    Ayo Maneno tu Lisu huwezi kurudi TZ ulisema ukipona tu unarudi Leo umepona mbona bado huko huko tulia hacha kelele Magufuri Ametutosha sisi Watanzania

  • @mzalendomzalendo2567
    @mzalendomzalendo2567 4 роки тому +7

    Hapo ulipo.unalindwa na nani?

  • @bananatz4216
    @bananatz4216 4 роки тому +3

    Yaan na huo mdomo wako utafikiri meno yameng'oka pumzika sasa tumechoka na mbilinge zako umeponea chupu chupu ufe halafu bado hutulii mshukulu mungu umepona sasa ni wakati wako wa kutangaza injili ya bwana na sio uje kutupanda kichwani wanainchi...

  • @errydeo8865
    @errydeo8865 4 роки тому +1

    Huyu jamaa kachanganyikiwa!unakandia polisi siku zote today,you want their protection!Vyakula vya kopo balaa mzee😂😂😂rudi kwenu ukalime!Mbowe hakupi nafasi mjomba,achana na CCM,shughuri ni ndani ya chama chako! By the way,ULISEMA HURUDI TZ WAKATI JPM BADO YUPO MADARAKANI!!!inakuaje????au unafikiri tumesahau? Ulaya bila kazi mjomba sio mchezo,tuachie sisi ma

  • @godwinshoo6324
    @godwinshoo6324 4 роки тому

    Tuna kusibiria Sana mh lisu

  • @shebaminde7656
    @shebaminde7656 4 роки тому +1

    Yani wewe uwe Rais haswaaa!! Wakat huo Magu anakuwa wapi? Pole mzee

  • @falesmasabo6124
    @falesmasabo6124 4 роки тому +6

    polisi wakulinde kwa kipi ulichonacho we vipi bhna, achana nasisi

  • @kurwaidirisa6752
    @kurwaidirisa6752 4 роки тому +2

    Lisu lud bana tukupe urais bana achana na hao chura wa mitandaoni sawa

  • @mzalendomzalendo2567
    @mzalendomzalendo2567 4 роки тому +5

    Nasubiri kuona mdhamini ni nani, hofu iko kwako na ndugu zako na familia yako sio kwa wananchi.

  • @balysonemmanuel4527
    @balysonemmanuel4527 4 роки тому +1

    Ww baki hukohuko utachoma nauli bure, Tanzania huna nafasi ya kuwa rais kwa namna yoyote ile☹️

  • @josef_rodrick4981
    @josef_rodrick4981 4 роки тому +1

    Mpumbavu sana hyoooo

  • @gideonkalumbu2603
    @gideonkalumbu2603 4 роки тому

    Mungu anaujua siri za kila mwanadamu hila Taifa lazima litetewe hata katika mataifa mengine si vema kutukana kiongozi wa taifa letu si jambo jema....

  • @hongeramgaya714
    @hongeramgaya714 4 роки тому +1

    Anajishaua kama hana nia ya kugombea urais wala nini.anatafuata kiki uyu hana lolote.

  • @paschalmashimba3584
    @paschalmashimba3584 4 роки тому

    Ccm oyeeee.
    Tumeipenda wenyewe
    2020magufuri asilimia zote mia mia

  • @simbarajabu4157
    @simbarajabu4157 4 роки тому

    Matako we toka hapa

  • @mathiasmsese6128
    @mathiasmsese6128 4 роки тому

    Yaani huyu ndugu sinema yake imeshapitwa na wakati.

  • @laurentmnyampanda1120
    @laurentmnyampanda1120 4 роки тому +6

    We ulindwe Kama nani

  • @vostermwatumbo9470
    @vostermwatumbo9470 4 роки тому +3

    Waooooh hzo pombe maguful peleken huko

  • @emmanuelsovellah5521
    @emmanuelsovellah5521 4 роки тому +2

    Inaonakana kweli huna akili sawa sawa, yaani wewe uliwatuhumu kuwa wao ndio wahusika sasa huyo mtu anakuhakikishia vip usalama kama mwanzo alishindwa? Halafu kumbuka jeshi la polisi lina wajibu wa kumlinda kila raia wa Tanzania sio wewe pekee

    • @laiserkuyan6075
      @laiserkuyan6075 4 роки тому

      Shetani mkumwa we jaribu ukuje Tanzania uone mjinga wewe

  • @selemanikitatungwa9283
    @selemanikitatungwa9283 4 роки тому

    Utaendelea kusema hayo sisi wantaanzania harisi tunafanya maendeleo ya nchi yetu, hapa kwetu

  • @jericomwamsiku9088
    @jericomwamsiku9088 4 роки тому +1

    Kama wewe ni mtanzania onyesha kitambulisho cha NIDA

  • @festokillingo8912
    @festokillingo8912 4 роки тому

    Hamna kitu hapo, ulindwe we nani? Wakati ulisema uwaamini Polisi, utalindwaje na watu usiowaamini

  • @erickmapunda4231
    @erickmapunda4231 4 роки тому

    We kila ck unasema unakuja; kuja hauji c uje cc tumechoka kukuona kwenye chupa;. Njo bwna......!

  • @joshuasamson4174
    @joshuasamson4174 4 роки тому +4

    Karibu sana vijana tupo tutajitolea kukulinda na kamwe hawatakungusa karibu sana

    • @andreamruma912
      @andreamruma912 4 роки тому

      Nakubali

    • @joshuasamson4174
      @joshuasamson4174 4 роки тому

      @@andreamruma912 muda ukifka hakuna kuongopa lazima tumlinde kwa nguvu zetu serekali mwaka huu taubuka kwa maovu vijana tumlinde huyu mubeba maono wa mungu anafaa tumlinde vijana mpoo

    • @hellenletlape2284
      @hellenletlape2284 4 роки тому

      Wewe usiwe boga kwasababu umeshindwa vita sasa unatangaza kurudi lakini usisahau uliyoyasema sisi tunayakumbuka magu juuu usiludi kwasababu magu atoshi kajaa tanzania yote inaonekana wazungu wamekuchoka ?sasa ujue tz is fr

  • @edsoniminani7061
    @edsoniminani7061 4 роки тому

    JINGA HILI UNATAKA UHAKIKISHIWE USALAMA GANI SASA WEWE KAMA UNAKUJA NJOO UISHI KAMA WANAVYOISHI RAIA WENGINE TANZANI MUACHE UOGA WA KUJITEKATEKA

  • @happykimaya2762
    @happykimaya2762 4 роки тому +3

    Upatiwe ulinzi wa polisi we nani? Mbio za sakafuni......!

  • @leonardmrope9528
    @leonardmrope9528 4 роки тому

    Aka Kajamaa kanaongea nini aka !!

  • @aminaabdallah7702
    @aminaabdallah7702 4 роки тому

    Www yuko nje halafu unataka kungombea yurais? lini itarudi? hofu gani au matatizo gani unadhani utaapata

  • @mashimbazephania3511
    @mashimbazephania3511 4 роки тому +3

    Hv na wewe unawaza kchwani mwako kabsa kuwa utaleta upnzani tz? Au unatafuta still ya kurudi tz karbu ila rais 2nae ambae hana mpinzani

  • @salimmapunda7393
    @salimmapunda7393 4 роки тому +2

    anataka usalama upi mbona sis tupo hatujaguswana risasa wala korana pambavu zako

  • @mariamgalmariam6222
    @mariamgalmariam6222 4 роки тому +1

    hahaaaa polic wetu wa nakazi za kufanya sio kukulinda ww tobaaaa njoo na wazung wako wajekukulinda

  • @jumahatibu8898
    @jumahatibu8898 4 роки тому

    msomi asiekuwa naakili

  • @godfreymasele558
    @godfreymasele558 4 роки тому

    Alokuchukulia fomu atakulinda, ulindwe wewe Rais? Acha uzwazwa mfa maji haishi kutapatapa

  • @bonywahab9565
    @bonywahab9565 4 роки тому

    hahahahaa, subir ukiishiwa hela ya matumiz, utarudi mwenywe!

  • @elianaaly5549
    @elianaaly5549 4 роки тому

    We nifala 2 hunalolote upatiwe ulizi we ninani peleka uxeng huko kaa hukohuko kam unaogopa na urais xahau

  • @missmwayway4704
    @missmwayway4704 4 роки тому

    Mmmhhh.......!!! Hamna anaekutaka huku shoga ww baki hukohuko kwa mashoga wenzako pumbavu zko..........Rais tunae anaejali Nchi yke na wananchi wke pia Mzee Magu mpka 2030

  • @obi255
    @obi255 4 роки тому +3

    Kwan unarud lin mkal 😇😇

  • @aminaabdallah7702
    @aminaabdallah7702 4 роки тому

    ww sio mtanzania? kwanini onaomba ruhusa yakurudi kwako? sinyumbani? au ww sio mtanzania kama mimi,

  • @elisanteelisante172
    @elisanteelisante172 4 роки тому +1

    Yani nilikuwa nakuheshim
    Nakukuona una akili
    Ila sasaivi hakika wewe nikiazi

  • @Cheffhood
    @Cheffhood 4 роки тому

    Kiongozi gani mwoga, utamwongoza nani wewe

  • @ameyashey3174
    @ameyashey3174 4 роки тому

    Huna jipya wewe kila siku munawakashifu jeshi la police na kusema kuwa police ni wa ccm wanatumika sasa unawataka wa nini au ndio ushatengeneza plan nyingine muwatie ubayaani? pamba na hali yako

  • @ayoubshaibu7147
    @ayoubshaibu7147 4 роки тому

    ni haki yako ya kikatiba

  • @saidseleman6004
    @saidseleman6004 4 роки тому

    Jilete weweee tunakusubir

  • @dullahmateka93
    @dullahmateka93 4 роки тому

    We chizi nn

  • @jumahepi6600
    @jumahepi6600 4 роки тому

    Cc

  • @luhambamerere2410
    @luhambamerere2410 4 роки тому

    Mh

  • @mashimbazephania3511
    @mashimbazephania3511 4 роки тому +2

    Jibu ni hv wewe upatiwe ulinzi ka nani?

  • @nemeskessy2786
    @nemeskessy2786 4 роки тому

    Mnao comment matusi kumbukeni kuna kesho nobody is perfect kumbuka hata 2015 kunaaliyetegemewa kuwa yeye lakini haikuwa hivyo nawengi tulitawaliwa na fikra za flan kuwa atashinda hila haikuwa hivyo.Ushauri tu jaman hii nchi hitajengwa na nguvu zetu na uongozu ulio na haki yakumpa raia aweze kukosoa panapo staili kukosoa sio kuogopa kusema ukweli!!!!

    • @ericksamwel1657
      @ericksamwel1657 4 роки тому +1

      @@zaidatuissa3018 ww na nani??? Mbn mm simhitaji???

    • @HASASON
      @HASASON 4 роки тому

      @@ericksamwel1657 watanzania mamilioni tunamtaka na ni lazima arudi statehouse atake asitake, huyu kibaraka wa mabeberu atafute kazi ya kufanya

    • @ericksamwel1657
      @ericksamwel1657 4 роки тому

      @@HASASON sawa

  • @sasha-ri7tf
    @sasha-ri7tf 4 роки тому +1

    Shikamoo Mhe "Tundu Lisu"Tumesha kudhamini mamilion ya wanachama halili wenye sifa za kikatiba na sheria katika kujaza fumu ya udhamin ya kugombea URAIS wa Tanzania, twambiye lini utawasili tuanze kuja jijini Dar na wafuasi wetu kwa ajili ya mapokezi ya kihistoria?...

    • @onlinetv2269
      @onlinetv2269 4 роки тому

      😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁 wacha kumkejeli mwenzako uwezi jua anaweza kua rais mungu yupo

    • @HASASON
      @HASASON 4 роки тому

      😅😅😅😅 Hii inachekesha sana
      Mwenyewe anajua unamchora tu
      Halafu ninyi wapambenuksi ni janga

  • @chazydaudy1379
    @chazydaudy1379 4 роки тому +11

    Jamaa langu unajisumbua tyu utapoteza hela zako buree rais wetu Ni JPM

    • @husnahassan6289
      @husnahassan6289 4 роки тому

      Nimechekaje lol hahaha safi sana imekaa poa hii