Це відео не доступне.
Перепрошуємо.
MSIGWA ATANGAZA VITA na MBOWE - LEMA - LISSU - "WAPINZANI WASIPATE KITI HATA KIMOJA - NINA SABABU"..
Вставка
- Опубліковано 24 сер 2024
- MSIGWA ATANGAZA VITA na MBOWE - LEMA - LISSU - "WAPINZANI WASIPATE KITI HATA KIMOJA - NINA SABABU"..
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉forms.gle/aU9z...
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
Kuna waati nikiona viongizi wa dini kama hawa napata mashaka hata kwa mahubiri yao
Mungu nisaidie nibaki kwenye imani yangu,
Yuda msalt yupo wapi WA yesu
Unaogopesha watu kuusu kuitwa mchungaji kwani umegeuka laana katika kanisa
Kweli, nilaana kuitwa mchungaji
Mungu akulaani wew povu kibao hamna kitu apo nakuaidi nyota yako umesha zima kitambo saana
Nyoka hajawahi kutema maji ni sumu tu. 😂
tatizo chama ulichokimbilia umeruka mkojo umekanyanga mavi
Historia inaeleza kuwa ukoo huu ni hatari kwenye usaliti. Kabla wajerumani hawajajua Mkwawa watampataje, kuna mtu ambaye ni ukoo huu wa Msigwa alimsaliti Mkwawa na aliwaelekeza wapite njia ipi ili wampate Mkwawa. Huu ni ukoo hatari sana.
Msigwa ni mtu wa njombe sio Iringa , wahehe hatuna ukoo unaoitwa msigwa
Amekosa kanda ya nyasa
@@davidchambulila6318lakini ndio ana asili ya kusaliti hasa njaa inapopamba moto.
Msigwa anahitaji msaada sana hayuko sawa kiakili
Mungu utusaidie huyu ndie msigwa ninae mjua tena mchungaji yuda msaliti
Msingwa jamani mwogope Mungu.
Umeingia kwenye kumi na 8 za lisu
Mna uhakika kuwa uyu ni mchungaji au mchungwaji 😅
Baada ya kushindwa uwenyekiti kanda za juu kusini mhhh njaa nenda huko
Huna tofauti na mtoto mdogo. Ni aibu Kwa kweli.
Mungu hawapende watu wa kauli mbili.
Hata Mungu siku moja utamsaliti
Mchungaji wa maslahi ya tumbo. Msaliti wa maendeleo ya wananchi. Tamaa mbaya Msigwa. Ogopa Mungu
Unatia huruma wew siochungaji mchungaji gani anae kimbia kondoo pumbavu
Kweli siku ya mwisho tutachomwa vibaya saaana 😂😂
Huyu Msigwa anayekula matapishi yake atakuwa kuni aungue kwanza aliitukana sana CCM kuwa wana akili ndogo sasa yeye nadhani atakuwa na akili isiyoonekana kwa macho mpaka utumie darubini
Njaaa wanakuchangia leo😅😅😅😅
Yeeee!! Hege ipa msaliti mkubwa!!
Msigwa anaongea naona aibu mimi😢
Umemuelewa huyu jamaa kweli chizi 😂😂😂😂
Njaa mbaya Sana
Ata kama umekuja ccm watu awatakupenda uliwahi kumtukana magufuli mwehu namba moja wew
Kitu nilicho kuja kukigundua hapa kwetu tz. Hakuna upizani niwaganga njaa tu mmh aise. Mwana siasa wa upinzani akikwambia usiku mwema toka njee uangalia niusiku au ni mchana,
Acha uzushi, upinzani ni suala la kimaumbil, likichochewa na ñguvu ya akili ya ufahamu, utambuzi, utashi na uamuzi wa kuchagua kupenda (kutenda) au (kukataa (kupinga). Upunzani ulikuwepo tangu Mungu alivyomuumba binadamu na kumpa uhuru utashi wa maamuzi. Upinzani si suala la CHAMA fulani bali ni hulka ya binadamu!
Hata katika imani kenge huingia katika msafara
Kumbuka maneno ya MAKONDA
Aliwahi kusema hakuna upinzani Bali Kuna watoa taarifa 😂😂😂😂
Kwani we unamwamini msigwa tu au unayako Kumbuka yuda eskaliote nae alimuasi YESU kristo akaanza kunadi Pesa ..ndicho nnachokiona ni msigwa
Hapana sio hivyo ni baazi tu ndg yangu sio wote na hata ccm ndo kubovu kabisa ndg yangu
Acha kupotosha
Yuda
Huyo Mungu amsaidie amrudishie ufahamu.
Ameanza kutunzwa kwa kumtukana mbowe kesho atatunzwa kwa kumtukana yesu uyu ni mtumwa wa pesa
Wewe ongelea sera za chama cha ccm na si kubwabwaja maneno yasiyo na maana. Hatakisemaje Chadema haifi bora ukafunga domo bro.
Arf ata awakushobokei niashara tu kuw ccm pia awakupendi IRA sasa wafanyeje 😊
CHAMA cha MAPINDUZI huwa kinashinda kwa kukubalika kwake na sio nyinyi WAPINZANI akina MSIGWA na wenzako mnaokuja CCM na kutaka kuyuaminisha kwamba mumekuja kwaajili ya kukiletea ushindi Chama cha MAPINDUZI.
Nazichukiaga sana Kauli zenu nyinyi WAPINZANI.
Maneno ya Msigwa. Niyakijinga sana anatafuta frusa na huruma kutoka kwa Mh Rais Samia. Ampe uku wa Wilaya nk Ninampá pole sana.
Lbd kwa asiye jua msigwa pesa ya ccm ameanza kuila tangu kwa marehemu magufuri tena alitaka kuhama kipindi hicho na siyo msigwa tu kuna mtu maalufu anatoka chadema muda siyo mrefu
Mtaje
Lema muda si mrefu anàhamia CCM🤣
Njaambaya😢😢😢
Wapumbafu ndo wanaweza kukuelewa wewe umepelekwa tumbo lako wewe njaa mbaya juzi tu ulikuwa siginda ulizungumza nini wewe wapuuzi kweli watakueelewa
Unatokwa na mapovu,hauna hata haya ulaaniwe msigwa wewe siyo mchungaji, mungu akulaani
Huyu msigwa hana msimamo njaa nyingine kwanini anaisema chadema wakati alikuwa huko ,anatakiwa atoe hoja zake za kuijenga CCM siyo kukisema chama alicho toka nitaishangaa CCM kumpa huyu uongozi
Mhe Msigwa unajidanganya huwezi kitu,chadema ni taasisi sio kikundi Cha wahuni kama chama ulichoingia
Wewe msigwa sema ukweli, ungechaguliwa term hii tena kuwa mwenyekiti wa kanda ya nanda za juu ungekwenda kujiunga na CCM? Ni kwasababu ya uchu wa madaraka. Nani aliyewaua hao kama soyo wanachama wa hicho ulichojiunga.
Ukweli asingeenda fisiemu endapo angechaguliwa.. Muongo mkuu.
Njambayasana imezalilishamsigwa
Ivi izo hela si mngechangia vtuo vya yatima!!
Hatari sana..huyu jamaa si alikuwa yeye na chadema damu damu! Njaa mbaya sana!
Pesa Ya Hongo Bwana.. Msigwa Usinye Kwenye Pango Kabla Mvua Haijaisha.
Unapomsifia samia hapo unaharibu maana 90% ya watz hawamtaki ila kwakuwa unatafta uongozi endelea kumsifia
msigwa mwogope Mungu mchungaji.kuwa na akiba ya maneno
Nchi yangu ongelea ugumu wa maisha ya watu chadema hawajawahi kuongoza nchi kwanini miaka ya sitini ya uhuru watoto wanasoma wamekaa chini,bima za afya watu hawazimudu
Nakuapriciate Mh MSIGWA wewe ni mtu na nusu nafarijika sana kwa weledi na umakini wako katika uwanja wa siasa hakika wewe ni kioo kwa vijana wa taifa hili katika kujifunza siasa
Kwa kweli Msigwa ni mnafiki mkubwa sana. Kwani ulikuwa huko kama kiongozi. Wewe msigwa wewe ni mchungaji gani anayeshindwa kuwa kama kiongozi mchungaji. Fanya kama mchungaji.
Sasa Msigwa unatakiwa kuiongoza CCM uwekezaji uende sambamba na kuimarika kwa sailing dhidi ya dola . Mishahara,maisha ireflect uwekezaj
Tanzania hakuna upinzani wote ni waganga njaa tu
Wewe unaganga nini?
Msigwa kuwa na Akiba ya maneno, Kumbuka siasa haina Adui wa kusumu wala Rafiki wa kudumu.😂😂😂
Kwanza anapaswa kujua asingefika hapo bila Chadema
Hakuna hakiba itakoacha msigwa msema kweli...
Muhimu aseme ukweli.
Umefeli vibaya msigwa hata aibu huoni una laana ya mungu ni heri ungekaa kimya kuliko kukejeli chama kilichokupa umaarufu muogope mungu sijutii kuhsma kwako
Chama kilichompa umaarufu kikigeuka kuwa Mali mtu unaacha unafiki na kukisema ipasavyo ili kujenga vyama imara vya siasa kama CCM ili kuwepo ushindani na nchi ipate maendeleo! Hongera sana Kuna hili na endelea kuelimisha watu ili vyama viendeshwe kitaasisi!
Usaliti mbaya we msigwa labda mwendawazim ndo atakuelewa
Ufai Mzee 😱
Jamaa atakufa vibaya huyu
😢 . Karma itamtafuna tuu
Usaliri wa yuda ..
Umejiunga kuhakikisha Mnaiba kama ulivyokua unalalamika kwamba Ccm niwezi.
Njaa mbaya sana
Msigwa wewe Malaya unatabia za kimalaya
Huna tofauti na yuda
Msingwa kuondoka Chadema ni kama mtu kuchota ndoo ya maji ziwa victoria ukitarajia kina kupungua .Chadema ni jeshi kubwa waliondoka watu wengi maarufu kuliko Msingwa cha ajabu chadema ilizidi imalika shida hapo ni njaa ushauri wangu wampe hata Ukuu wa Wilaya atulie na aweze lipa madeni yake.
Karibu kwetu Chama kubwa CCM. Lakini nakupa pole sana. Umepitia njia ngumu kumeza.
Msigwa katumia haki yake ya kidemokrasi lakini wajinga wengine hawamuelewe nadhani shida ni kuja CCM ndo maana wengi wanamtukana lakini ukweli unabaki palepale Msigwa ni CCM kwa sasa hata mkimtukana Hongera sana Msigwa
Usimuamini mtu katika maisha yako. Suspect everything Trust No Body🎉
Njaa tu uje uku kwetu utashiba! Ila ushauri Jenga hoja za chama uliko sio kukisema vibaya chama ulichotoka maana kilichokutoa ni cheo tu hakuna na Liko wazi na si lingine!
Mwogope sana kigeugeu anae yakataa maneno yake,,
Acha vyama vya siasa viwepo ccm imejisahau sana ulinyamaza bandari zimepewa watu miaka thelathini watanzania wameongezewa mzigo wa watu vitu kupandabei Yuda scarioti.
Yuko anapewa pesa kajisahau kasema sisi wapinzani 😂😂
Doh? Kunishawishi ni pige kura mtapata tabu Sana, kwani siwaelewi nyie wanasiasa kwani msigwa tulikuamini Sana leo, umesahau kauli zako tata, ambazo mtu mzima apaswi kusema, kunasiku ulisema ukihamia ccm magari nyumba zako zichomwe, na leo uko ccm, unajua sisi ni watanzania, tunaipenda nchi yetu tunaipenda Sana amani, kwaiyo kwa kauli ile nakusihi utubu kwa mungu na kwa watanzania wote, na pia atu kuamini kabisa
Usipopiga kura maana yake ndio hasa umemchagua usiyempenda.
mbona kama analialia, nasikitika tu kwamba amekuwa kiongozi wa miaka 20 kumbe na yeye alipewa hakushinda kwa haki.. Kuna shida mahali watanzania kuhusu UADILIFU. Kuna contradictions nyingi sana katika hotuba yake. Tuseme hakutosheka miaka aliyopewa kuwa kiongozi sasa imemuuma kupewa Sugu na hasira za mwenye kukosa kusema hata ambayo hayakuwepo. Akitulia tutamsikiliza na kumwelewa ila kwa sasa ana hasira sana anachoongea kinakosa mantiki. DON'T JUDGE OTHERS WHILE YOU HAVE SOME PERSONAL ISSUES. Tujifunze kuchambua ukweli na kuutenganisha na ushabiki.
Daah Nenge Mbaya sana
Kama naweza kufanya Kama msigwa anavyo fanya hata kufirwa Sinto ona aibu , Kama nikiwa na sura mbili Kama msigwa hata kufirwa ni sawa tu,
Njaaa mbaya sana
Maraya wewe muchungaji wa ccm
Huyu jamaa huyu kesha kufa kiroho kabisaaa ni aibu moyoni mwake.
Acha ujinga kwahiyo CCM Kuna uhuru?? Kuna haki?? Au unasaka tonge usife
Msigwa kwa kauli hiyo amesahau utumishi wake Methali 18:18 kura hukomesha mashindano hukata maneno ya wakuu sasa Nape kathibitisha wizi wa kura kwa CCM naye Msigwa anaungana na uovu huu sijui kama anafaa kuitwa mchungaji
Toboa Mzee wapinzani wanadanganya,zaidi ya kuleta utengano Kwa taifa, Wana hubili UPENDO lakini hawaufuti huo UPENDO zaidi ya kusema usiongee na Wana CCM, huo ni ubaguzi,wewe SEMA tu
Umeshindwa uchaguzi wa kanda ndio unatapatapa Leo, wewe umefanya nini Iringa, hapo umepokea nini kama sio mnafiki.
Ungestaf siasa umuhubir kristo tu acha. Tamaaa
Ndugu zangu Haina Hana ya matusi nyarandu alipokelewa mwanza CCM walitulia. Mzee wetu. Luwasa Mzee kigunge
Alichumuliwa. Wengi Leo msingwa mnatoa maneno hivyo nawatania tuuu
Yudaiskariot huyoo ebutulejee matapishi yake tuone kamakweli Huyu yudaiskariot atayamezaje,njaa ningumu kabisa,je CCM imebadrika lini tz kunawatu wapumbavu sana inashangazwa huu niubinafsi
Njaa imekukong'oli umejirusha chubwii
Unafanya siasa ya biashara Ila kwa tumbo lako litakuhangaisha sana
Of all the people!!
Msigwa unafungua kinywa kuongea upupu huu dhidi ya Chadema.
Kwamba unadhani utakuwa bora ktk CCM??
Kwa huo ubongo mdogo ulionao,
Unaongea kabisa kama upae!!
Mbowe, bado anabaki kuwa mwenyekiti wa Chadema. Na ataendelea kuwa. Wafuasi wake tuko mamilioni.
Wewe ni kirusi, tunashukuru umetoka, tutapumua sasa. Nenda,
Wewe tapatapa tu.
Hii comment zote zinamlaani msigwa ,,,msigwa rudi kwa mungu usaliti ni mbaya umeenda kwenye uovu hii ni hatari
😂😂,,😅
Izo changamoto urzozikuta ww kama mchungaji urifanyann , daaa njambaya sana🤣🤣
Watu WA aina hii wapo katika vyama vyote. Mwanadamu ni kiumbe Cha hatari. Kaa uwasome tu. Yote haya ni kwa sababu hatujifunzi
ipasavyo. Siasa si kivutio Tena ni balaaa la wanaadamu aridhini.
Wewe Peter Msigwa unaongea nini kama wewe ulikuwa kiongozi ndani ya chadema kwa muda wa miaka 10 je uliyaishi uliyokuwa unayasema? Umevuruga chama na kutengeneza makundi ndani ya chadema asante kwa kuhamia ccm mtupokee huo mzigo, Msigwa umejaa visasi
Kumbe uongozi wa kanda ulihitaji kwa nguvu udumu milele weee
Msigwa amegeuka kuwa shetani kumbe hatambinguni ilikuwa kamanilivyoshuhudia Leo yaani msigwa ameaibikampakanguo ya ndani eemungu tusaidiye utujariye roho ya utu,
Alishindwa na sugu kwa kura moja akalalamika weeeeeeeee! sasa huko kama amefata cheo basi Mungu atamlipua tuu tusubiri muda
Tuwe wakweli hapa Chadema imekula kwao jamaa atawasumbua sana 🤣🤣
Chadema hamta fika nchi ya ahadi kwa sababu manuniko
Nilikuamini sasa hapana kumbe unapenda sifa na maneno iko siku utatoa Sili za askofu wako na huduma hata mimi ni mchungaji siwezi fanya hivyo uwe na moyo wa kushukulu
Nakushangaa Sana msigwa kwa kauli zako,muongo mkubwa,kama ni kweli maneno unayosema juu ya chadema usingepewa ubunge kwa miaka kumi pamoja na nafas za uongoz ulizopewa,kwaiyo muongo ujulikana katika njian zake.
Hajasema miaka kumi chama kilikuwa hivyo Bali Sasa chama ni Mali ya mtu!!!
Una tofauti na Yuda Iskaliote, hizo njaa tuu, akili ndogo kuongozwa na akili kubwa
Chadema mjibuni msigwa kwa kumnyang’anya uwenyekiti huyo mkurunzinza acheni porojo huu ndio ukweli
Kwanini hajachoma nyumba yake hadi sasa akumbuke ahadi yake na atekeleze kweli kama yeye ni mchungaji. Jamaa nasikia ndie mwanasiasa anaye ongoza kuhama vyama duniani sio Tanzania tu hicho ni chama cha tanoila CCM ni mara ya pili hatari
Njaa inakusumbua.
Umekosa Cheo, Kapewa Sugu Mdiyo Umehama
Ovyo kabisa wewe 😂😂😂😂
Integrity unaizungumzia CCM hahaha.
Msigwa katimkia ccm Sasa chadema Kuna sheikh kadogo ni Bora kuliko huyo msigwa
Sisi kama chadema tunajuwa ulicho kifuata uko ni uongoz unakula mdomo tuu ata atukujui unacho ongeya ww kwanza ilo jina mchungaji alikufai ww ni mchungaji wa masilai tuu