POLEPOLE AMJIBU KIHONGOSI KISOMI - "KIONGOZI WAKO AKIKOSEA HADHARANI, USIMJIBU"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 сер 2024
  • POLEPOLE AMJIBU KIHONGOSI KISOMI - "KIONGOZI WAKO AKIKOSEA HADHARANI, USIMJIBU"
    WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

КОМЕНТАРІ • 37

  • @immaculataroeser9094
    @immaculataroeser9094 2 роки тому +2

    Bwana Polepole busara Mungu kakupa umshukuru sana.

  • @missangela6720
    @missangela6720 2 роки тому +2

    Polepole anaenjoy hizi interviews dah!

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 Рік тому +1

    Umejibu sana baba kisiasa fumbo zuri hilo

  • @cyprianmachibula7122
    @cyprianmachibula7122 2 роки тому +1

    SAFI SANA POLEPOLE

  • @mrmhenipm
    @mrmhenipm 2 роки тому +2

    "Tuanike ngoma Juani ,jua likipiga mlio uwe mwembamba"

  • @MichaelTonga101
    @MichaelTonga101 7 місяців тому

  • @msomimosomy9812
    @msomimosomy9812 2 роки тому +3

    Wanaomsemavbaya polepole nabashilu nahayati jpm wajitasimini walisimamiamapatoyaselikali namatumiziyake kwauzalendowahaliyajuu jemlitakawawafanyienini bolakulikohiki?

  • @edsonmnego4030
    @edsonmnego4030 2 роки тому

    Polepole umemsema samia

  • @stn4873
    @stn4873 2 роки тому

    Pole pole umekomaa kisiasa, ogopa sana mtu kama wewe.

  • @hamdincatalonia3272
    @hamdincatalonia3272 2 роки тому +4

    Tatizo la slow slow anaona kama alifiwA yeye kumbe msiba ulikuwa wetu sote acheni kuwategemea watu. Wakiwa hawapo unapagawa

  • @habibunguvumali3331
    @habibunguvumali3331 2 роки тому +1

    Hali unaiona Sasa

  • @isibanianews1329
    @isibanianews1329 2 роки тому

    Jibu la kifundi

  • @frankmanyesela6147
    @frankmanyesela6147 2 роки тому +1

    Unazingua

  • @giftyjohn3852
    @giftyjohn3852 2 роки тому

    Safi kaka

  • @godfreyngajilo2653
    @godfreyngajilo2653 2 роки тому +2

    Haki za binadamu!😂😂😂😂 leo kiongozi wangu polepole unaongelea haki za binadamu😂😂😂 hili neno enzi zile ulikua hutaki kabisa kulisikia, huenda spana zimeanza kupigwa

    • @ahz6907
      @ahz6907 2 роки тому

      Itakuwa kabananishwa sanaa😆

    • @stn4873
      @stn4873 2 роки тому

      Hahahahahahahahaha mamamae

    • @TM.Sullusi
      @TM.Sullusi Рік тому

      Hata Trump ana kesi ya uchochezi😂😂

  • @ramadhanbakarimtambo2024
    @ramadhanbakarimtambo2024 2 роки тому +2

    Aaa jamaa kapagawa kweli vyeo huja na kupita ushauri wangu huyu asipotuliza akili wakati huu atadharaulika sana

    • @stephensandiko6049
      @stephensandiko6049 2 роки тому

      Tatizo sio vyeo wewe unaona wapo sawa vitu vinapanda Bei kila kitu akishikiki kiongozi yupo kimya wa kulaumiwa ni nani

  • @froma3732
    @froma3732 Рік тому

    Mbona wakati wenu wlokuwa wakitowa makosa ilikuwa ni wahaini Siasa ni kama hali ya hewa huwa inabadilika

  • @V.O.T
    @V.O.T 2 роки тому +1

    Una akili kubwa unaposema jambo watu hawakuelewi kabisa

  • @habibunguvumali3331
    @habibunguvumali3331 2 роки тому +2

    Kiukweli acha tabia hii badilika wewe

  • @msomimosomy9812
    @msomimosomy9812 2 роки тому

    Polepole pgakazi wtztukonyumayako ucyumbiswenawachumiatumbo
    Hao watakuwezawapi cbasiccm ya6haibashukulani mmeitoakwenyekuzomewanawananchi hazalani mpakakuheshimiwa nawananchi niwewe bashilu nababalao jpm leowanawafanyiamajungu

  • @muhidiniabdur2382
    @muhidiniabdur2382 2 роки тому +1

    Pmj kk wape SoMo vilaza shule2

  • @gracemhando1934
    @gracemhando1934 Рік тому

    pole pole wewe ni rais ujae

  • @omarhababuu3159
    @omarhababuu3159 2 роки тому

    Siokosa

  • @msomimosomy9812
    @msomimosomy9812 2 роки тому +1

    Hawa viongoziwa ccm wasasanitofautikabisa nawaawamuya5etiwanakaziyakushindanawasemakweli kamakina polepole bashilu wanaacha jukumulaolamsingila lakusimamia ilaniyake iliyowaahidiwananchi umeme wamgao gesibeijuu mafutaainayotenibeijuu vifaavyaujenzibeiju majiyamgao bwawalanyelele hajajazwamaji SGR Dar morobado aliziinamilikiwanamabepali wanyonge hawanaalizi kelozawananchi ziziiiihaztatuliwihatakidogo viongoziwenu hafuatilikelozawananchi tofauti naenziya kinapolepole walikuwahawalali wakifuatilia nakutatuakelo zawananchi kalubumtaachakufichasalezachamachenu kmailivyokuwa awmuya4kazikwenu

    • @felixmsale9244
      @felixmsale9244 2 роки тому

      Ndg Msomi Masomy ,
      Rudi tena shule urudie kuandika INSHA .

  • @yunusimchala9306
    @yunusimchala9306 2 роки тому +1

    Hana ishu v8 haipo umechukua Rushwa za WABUNGE kura za maoni mkawapa wale ambao hatukuwachagua pumbavu

  • @ayubutwalibu2381
    @ayubutwalibu2381 2 роки тому +4

    Polepole unachuki tu huna lolote

    • @captainpascal5988
      @captainpascal5988 2 роки тому +1

      Jaribu kumfuatilia malema South Africa utajifunza Jambo.
      Sisi waafrica tunafail kwa sababu ya mitazamo kama yako wewe

    • @stevemwandambo587
      @stevemwandambo587 2 роки тому

      Dah umeongea fact kabisa captain pascal wabongo cc hatujielewagi kaz yetu ni kufwataga tu upepo unakoelekea...

  • @peterdavid4230
    @peterdavid4230 2 роки тому

    we jamaa afu mtangazaji kabisa alafu umepaka pico senge wewe afu dume zima🖕