FULL VIDEO: MCHUNGAJI KIMARO ALIVYOCHANGISHA MIL 425 KANISANI, “ILIKUSUDIWA MIL 400”

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 23 кві 2023

КОМЕНТАРІ • 55

  • @lilyanmongi4545
    @lilyanmongi4545 Рік тому +4

    Hongera sana Rev Kimaro ww ni kipenzi cha watu wengi. Mungu azidi kukuinua katika utumishi wako.

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 Рік тому +3

    Hongera sana 😍 Awesome hakika MUNGU Yu mwema 😍vyote ni mall Yako MUNGU. wangu. tusipo kutolea ww tuta mtolea nani 🙏🙏🙌🏿hallelujah hallelujah Glory to GOD 🙌🏿

  • @justinamautice9730
    @justinamautice9730 Рік тому +2

    Hongera sana Baba Mchg. Dr. Eliona Isack Kimaro. MUNGU azidi kukuinua ktk huduma yako. "Your the chosen one" we ❤ you. Mbingu zizidi kukutambulisha.🙏

  • @sarahwalker5093
    @sarahwalker5093 Рік тому +5

    Our Champion Dr Kimaro wewe umechaguliwa tangu tumboni mwa mamayako umeshangaza dunia , who has the final say Jehova has the final say 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @judithabuko6006
    @judithabuko6006 Рік тому +1

    Waauu baba yetu mchungaji Ref: Eliona Kimaro hongera sana tunakupenda sana sana Mungu akubariki sana

  • @loishiyesamwel1374
    @loishiyesamwel1374 Рік тому +2

    Hongera sana Mch, Eliona kimaro kwa kazi njema ya kumjengea MUNGU hekalu.

  • @godwinkileo7702
    @godwinkileo7702 Рік тому +4

    Wakristo tulifunzwa kutoa, kwa mfano mimi nimechangia kanisa laki 5 na mshahara wangu laki tatu, sababu nimefundishwa anae nipa kila kitu ni Mungu kwanini nisimtolee? Ila kwa waislam wanao toa pesa nyingi ni wale matajiri tu tena anaweza kujenga msikiti peke yake, hawa wachini kama mimi hua hawaoni sababu ya kutoa saaaana.

  • @Manswabu
    @Manswabu Рік тому +2

    Kwa kweli Kuna Cha kujifunza apa waisalam #heroman tv

  • @enockmakupa7815
    @enockmakupa7815 Рік тому +3

    Mungu akabari kazi za mikono yenu kwa kujitoa kwa ajili ya nyumba ya bwana. Natamani sana siku kanisa litakapo ona umuhimu wa kutumia ushawishi wake na kukusanya pesa kwa ajili ya kujenga viwanda vidogo na vikubwa kwa ajili ya kujenga ajira kwa vijana.
    Kanisa ni mihumu kuinua watu kiroho na kuwawezesha kupata mahitaji yao ya kimwili. Naamini kila jimbo lingeweka mkakati wakuwa na kiwanda angalao viwili, watoto wetu wangepata ajira na kuzidi kumtumikia Mungu. Naamini hilo linawezekana tukiwa na nia ya kulisaidia taifa. Naona Makanisa na misikiti inaongezeka kila mtaa, lakini hakuna viwanda kila mtaa, nafkri bado hatujafkria vizuri jinsi ya kuliunua taifa letu.

    • @judicalosika7642
      @judicalosika7642 Рік тому

      Ndugu Makupa, Kati ya Fikra nilizonazo Juu ya hizi majenzi ya hizi nyumba kuuuuubwa ibada Nami nahiis mapungufu makubwa sana.
      Mfano. Ipo shule ya secondari Siha. Hivi Sasa imefungwa, hii ikikarbatiwa na ikafanywa maalum Kwa mafunzi ya Computer nadhani itapata wanafunzi wa kutosha
      Lakini kwanini vijana sasa hivi hawapendi kanisa ( wengi wao!!)
      Ni kwamba hawapati wanachotarajia!!
      Makanisa mengi hasa ya huku vijijini siku za ibada waumini ni wachache sana

  • @user-nk2jt7hn9h
    @user-nk2jt7hn9h 9 місяців тому

    Mungu akuongezeye masikuzamisha nakufanta toka kongo

  • @stephanokanyika6321
    @stephanokanyika6321 Рік тому +1

    Mungu akubariki pastor kimaro

  • @doricemichelle3614
    @doricemichelle3614 Рік тому +1

    Mungu akubariki mch. 🙏🏽

  • @paschalpaul3862
    @paschalpaul3862 Рік тому

    Amina

  • @deborahmgedzi632
    @deborahmgedzi632 Рік тому +1

    Mungu Mwenyezi Akubariki sana Kwa KAZI njema. Amina

    • @doricemichelle3614
      @doricemichelle3614 Рік тому

      Kama hutojari wa kristo tunasema "mwenye enzi Mungu" sio mwenyezi

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 Рік тому +1

    UbArikiwe Kiimaro

  • @bahatiagape731
    @bahatiagape731 Рік тому

    Viongiz angaalien bas na Barbara ya Matala.Naomben iwekwe lami jaman.

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 Рік тому +1

    Amen amen amen

  • @msanginaza905
    @msanginaza905 Рік тому

    Kimaro ni mchungaji wa kipekeeee acha awe na bango lake mjini hapa anastahili mnooooo

  • @piuskusenge-jf2ob
    @piuskusenge-jf2ob Рік тому

    Huyu Mchungaji ana kitu Cha ziada, ndo maana shetani anamfuata fuata

  • @hassanbakari4525
    @hassanbakari4525 Рік тому +12

    WAISILAMU TUJIFUNZE,,KATIKA PITA PITA ZANGU SIJAWAH ONA WAISLAMU WAMEFIKA HATA 100M KATIKA MICHANGO YETU..

    • @joharimapunda7678
      @joharimapunda7678 Рік тому +1

      Kwanza nikurekebishe sio michango niharambee nakingine hawa watu wameshika dola kwa asilimia kubwa ona tu waliopo hapo

    • @hassanbakari4525
      @hassanbakari4525 Рік тому +1

      @@joharimapunda7678 😆,hudhuria misikitini,,,any Wei harambee ni jina tu,,ni kama kuogopa na wasiwasi

    • @fumotv7914
      @fumotv7914 Рік тому +1

      @@joharimapunda7678 acha kuleta sababu hasi
      Walishikilia nchi ndo nini
      Walioko juu na vyeo vingi ni waislam, kuchangia sisi haijaanza leo ni toka enzi
      Hapo sijaona michango mikubwa saana maana sisi tushawai changa mpaka bil 1 ndani ya wiki bila kuwepo mwanasiasa

    • @faudhiasalum7279
      @faudhiasalum7279 Рік тому +3

      @Hassan Bakar 🙏🙏🙏🤔 Hapa uta ona wakija kucommnt ila inge kuwa ile Ya makafiri wakubwa unge wanao kama wote 😂🤣🤣🤣😂🤣 ninacho mpenda MUNGU wa wote aijalish kafiri or laah Na ana toa ridhiki kwa wote kweli MUNGU ni penda 💕 😂🤣

    • @faudhiasalum7279
      @faudhiasalum7279 Рік тому +3

      @@joharimapunda7678 sasa kwanini na sisi tusio kama awo alf sisi ndo wenyew dini Ya haki 😂🤣🤣🤣🔨🔨ila MUNGU muach aitwe MUNGU ana tuonyesha hapa hapa dunia kwamba hata makafiri wana haki kuliko 😂🤣😂🤣😂🤣😂

  • @basilisamsaka8469
    @basilisamsaka8469 Рік тому

    Hichi ndicho kinachomponza wivu watu wakimwona na kibali hk vita haikomi

  • @vibetz9991
    @vibetz9991 Рік тому

    Za Yanga au

  • @modestsharia7127
    @modestsharia7127 Рік тому

    Kama ni Hella safi basi ni sadaka safi!

  • @jimonmwakalebela9470
    @jimonmwakalebela9470 Рік тому +1

    Mwiguru amechukua azina

    • @adkajisi4536
      @adkajisi4536 Рік тому

      Wanalipana pesa ndefu si mshahara wake wa mwezi huu

    • @laulymo2063
      @laulymo2063 Рік тому

      Tafuta pesa upunguze makasiliko

  • @victoriajoachim7271
    @victoriajoachim7271 Рік тому

    Na wewe godfrey kama hujui jina la mch.usitungela kwako anaitwa Eliona Kimaro mshamba wewe.

  • @suleimansaid2633
    @suleimansaid2633 Рік тому

    Steve Nyerere kamaliza maneno hiyo cio sadaka ni utapeli mkubwa

    • @sabrinajuma3253
      @sabrinajuma3253 Рік тому

      Ni sadaka ya kujega kanisa

    • @doricemichelle3614
      @doricemichelle3614 Рік тому +3

      Jina lenyewe Suleiman,tushakujua haina haja ya kukuelekeza

    • @joramkimario9321
      @joramkimario9321 Рік тому

      Ingekuwa niwa kuwajengea msikit vp

    • @doricemichelle3614
      @doricemichelle3614 Рік тому +1

      @@joramkimario9321 hawa watu hufundishwa ubinafsi nahisi!cha kwao cha Halali cha kwetu utapeli,pia hawafundishwi ukarimu nahisi,na pia hhufundishwa kufatilia yasiyo wahusu nahisi 🤔!!

    • @munawwarbashir2680
      @munawwarbashir2680 Рік тому

      ​@@sabrinajuma3253 😅😅😅😅😅😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌