VIDEO:ASKOFU SHOO APEWA ZAWADI YA GARI JIPYA LA MWAKA 2023 "TUMECHANGA MIEZI MIWILI TU"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 вер 2023

КОМЕНТАРІ • 192

  • @danikilawe7498
    @danikilawe7498 10 місяців тому +1

    Hongereni sana waumini Kwa zawadi nzuri na mumemuenzi Baba askofu angali akiwa hai.,,sio Yale maneno ya baada ya kuondoka .
    Mungu awabariki sana ,, hakika ukimtumikia Mungu Kwa uaminifu naye Mungu anakuheshimisha .

  • @danielasangalwisye6203
    @danielasangalwisye6203 10 місяців тому +2

    Be blessed!! Kuna watu hapa wanaumia!! Jambo ni moja ukiona unaumia ujue una wivu tuu

    • @adkajisi4536
      @adkajisi4536 10 місяців тому

      Kuna watu wanataka watumishi wawe ombaomba

  • @fadhilichibupa1160
    @fadhilichibupa1160 10 місяців тому +2

    Ninachoshangaa kuna watu wanapata shida kwa baba askofu kupewa zawadi,hawa wapendwa walitoa kwa hiari yao wenyewe,sasa ukisema waumini wanakondeana wapi hii zawadi hawjatoa waumini wote ni wachache tu wenye maisha yao muumini anaweza kutoa milioni 10 unafikir ni mtu ambae amekondeana,Mungu awabariki sana kwa sadaka zenu

    • @adkajisi4536
      @adkajisi4536 10 місяців тому

      Kwa kweli inahitaji shule nayo hii

  • @boscoafikile4737
    @boscoafikile4737 10 місяців тому +4

    Hongereni sana kwa upendo huu mkubwa mliouonesha kwa mkuu wa kanisa mstaafu Mungu aikumbuke sadaka yenu.

  • @frankkashner
    @frankkashner 10 місяців тому +2

    And Muda sio Mrefu walimsimamisha mchungaji kimaro.,Hivi ndivyo namna bora ya Kulipa..Hongera Baba Eliona Am proud of you.

  • @beatricepallangyo2821
    @beatricepallangyo2821 10 місяців тому +3

    Unaweza ongea kejeli kwa Kanisa halafu baadae unajikuta unapata matatizo usojua yametokea wapi kumbe ni kejeli kwa Kanisa.
    Tumeshuhudia viongozi mbali mbali kutoka sekta mbali mbali wakipewa zawadi (shukrani) kwa kazi /Utumishi uliotukuka.
    Hilo gari amepewa kama zawadi na amepewa na watu wachache walioona wamzawadie kama Mkongojo wa Babu!!
    Tuache maneno mengi.
    Mwenyenzi Mungu Awabariki wote waliotoa kwa Mtumishi wa Mungu!!!!!

  • @biasharaonline693
    @biasharaonline693 9 місяців тому +2

    Imeandikwa "mwenye nacho ataongezewa"
    😆😆🤗

  • @user-ic1fs9bf1v
    @user-ic1fs9bf1v 10 місяців тому +1

    Asko shoo amefanya kazi kubwa sana hata zilizowashinda wenye maarifa ni baraka kwa yale aliyo simamia na kuamini

  • @chigenyej.bidyanguze9843
    @chigenyej.bidyanguze9843 10 місяців тому

    Hiyo safi sana !! Achaneni na hawa wapagani ambao hawaimini ktk Mungu na watumishi wake. Walimksoa Yesu alipewa pafyumu na akawajibu maskini mnao siku zote.

  • @user-mi9jw1yf6k
    @user-mi9jw1yf6k 10 місяців тому +2

    Hakk nijambo njema , mungu awaongezee pale mlipo toa!

  • @deogratiusyudatadei5658
    @deogratiusyudatadei5658 10 місяців тому +5

    Hii ndiyo Ile inaitwa mchungaji akitaka gari anachangiwa waumini wakitaka gari wanaombewa aliimba apewe mauwa yake🤣🤣

  • @naimanalphayo5408
    @naimanalphayo5408 10 місяців тому

    Kwa kweli alistahili jambo jema kamahili na mengine mazuri zaidi baba Mungu akutunze na familia yako ufurahie maisha yako

  • @alexmapanga5185
    @alexmapanga5185 10 місяців тому

    Hongera Sana Askofu. Kumtumikia Mungu ni baraka

  • @godblessmamkwe9996
    @godblessmamkwe9996 10 місяців тому

    Hongereni sana kuna ambae hawaoni Sababu na wanalalamika hata kipindi cha Yesu mayuda walilalamika Yesu kuzawadiwa marihamu safi. So ni jamboree la historian tu

  • @christopherjoseph8330
    @christopherjoseph8330 10 місяців тому +3

    Jambo njema. Mm mkatoliki kwa hili nawapongeza ndugu zangu. Kilichobaki ni kumwombea awe na afya njema siku zote.

  • @mfinangaexaud3492
    @mfinangaexaud3492 10 місяців тому +1

    Mwaka 2016-2021 naliamka asbh Sana kupiga kinanda Cha ibada usharika wa Moshi mjini.kinanda Cha miguu....nilipiga na kupewa nauli ya shilingi 150000.ajabu kilinunuliwa kinanda cha garama Sana na siku hiyo hyo niliondolewa bila hata neno la kwa heri didn't forget this..

    • @yukundapeter8200
      @yukundapeter8200 10 місяців тому

      Pole sana bro wangu,kuna wa2 hawanaga shukrani,walipata sifa kupitia ww,wakafaidika kupitia ww,lakini shukrani yenyewe 150 000/= c Mora wangeacha??

  • @evaswai240
    @evaswai240 10 місяців тому

    Hongereni sana hakika Mungu kwa hilo kuwabariki atawabari 💯✍

  • @BIGBOSS-hl3bu
    @BIGBOSS-hl3bu 10 місяців тому +6

    Sio jambo baya lakini muda mwingine mchange muwapatie watu wenye mahitaji maalum unafuu wa maisha ,kama vile walemavu ,vipofu,viziwi ,MASKINI mayatima nk.

    • @tinajoe5487
      @tinajoe5487 10 місяців тому +1

      Kila mtu anaelekeza hela yake anakotaka sasa hao uliowataja tuanzishie wewe

    • @estherlemburismollel5901
      @estherlemburismollel5901 10 місяців тому

      Ni kweli lakini tunatakiwa tuwatunze wanaotutunza kiroho,

    • @shadrackkassale2968
      @shadrackkassale2968 10 місяців тому

      Ukisema kila kitu walemavu tunaweza kuwasaidia wote na je wewe Kuna siku ulisema ngoja uuze smartphone ukawasaidie hao walemavu

    • @adkajisi4536
      @adkajisi4536 10 місяців тому

      Mbona tunafanya hivo vituo vya watoto Yakima vipo na wanao tunza ni waumini

  • @suleimanabdillah7490
    @suleimanabdillah7490 10 місяців тому

    Kuleni pepo yenu hapa duniani,hongera watoto bilashaka mmempa Mzee wenu mkongojo stahiki

  • @martinsimtenda5990
    @martinsimtenda5990 10 місяців тому +2

    Mna akili nyingi Sana Mungu awabariki sana

  • @shadrackkassale2968
    @shadrackkassale2968 10 місяців тому +2

    Acheni manenomaneno ilifaa apate hata zawadi ya private jet mbona wanasiasa wanatuibia kila siku wanajiwekeza had nje ya nchi hamsemi tena inatakiwa mashekhe wachungaji na mapadri ndio wamiliki vitu vizuri kuliko wanasiasa mana nchi na vyote vijazavyo n Mali ya bwana na hawa ndio watumishi wa bwana so acha wafaidi m sichukii hata kidogi

  • @kanaelikanuya7919
    @kanaelikanuya7919 10 місяців тому

    Hongera sana kwa wale walio toa wengine eanaends kuombewa sisi tunavhangishs

  • @bropasco1127
    @bropasco1127 10 місяців тому

    Hongera sana askofu na kustaafu kwako

  • @Youngchimodzi823
    @Youngchimodzi823 10 місяців тому +1

    Any business that do not attract Death and taxes is always attractive and profitable in short and long terms
    Let's keep on investing in religion than erecting factories because jobs,incomes and taxes are of little value addition to our life AFTER death.
    Safiiiiii sana

  • @MACHOYATAI-jk6fu
    @MACHOYATAI-jk6fu 10 місяців тому +1

    Siii kwamba hatujui tunajuwa aliempa gari ni Samia baada ya kutetea bandari iuzwe nakuwapinga wakatoriki kwà tamko lao tunajuwa msifikili hatujui

    • @adkajisi4536
      @adkajisi4536 10 місяців тому

      Acha ujinga mambo yanaanza kukuendea vibaya nini kudhihaki wapakwa mafuta

  • @johnrizi5978
    @johnrizi5978 10 місяців тому

    Hongera sana.

  • @rafaelikimati4276
    @rafaelikimati4276 10 місяців тому

    Ee Mungu Baba wa Mbinguni tunakuomba umlinde Baba yetu huyu mpe Afya Njema Baba yetu huyu Amina

  • @user-zj1ep6hn4p
    @user-zj1ep6hn4p 10 місяців тому

    Hongeren sana MUNGU awabarck

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 10 місяців тому

    Hongera sana

  • @godfreymushi6966
    @godfreymushi6966 10 місяців тому +3

    Mngekuwa na moyo wa kusadia maskini na watoto wanawo lala na nja ,Askofu ana uwezo wa kutosha sana

    • @dicksonulotu7427
      @dicksonulotu7427 10 місяців тому

      Kila kitu kina nafasi yake.kwanini kuonyesha hisia mbaya kwa mitandao?.Ukweli umehumia.Yesu akuponye.

  • @nurdinkisaria9476
    @nurdinkisaria9476 10 місяців тому +2

    Mwenye nacho huongezewa,asiyenacho hunyang'anywa hata alicho nacho😂

    • @annamfinanga3944
      @annamfinanga3944 10 місяців тому +1

      Amen. Mungu akamuuliza Musa, una nini mkononi!

  • @tumainielmaruwa3148
    @tumainielmaruwa3148 10 місяців тому

    Blessed

  • @user-fr7jj1bo7y
    @user-fr7jj1bo7y 10 місяців тому

    mbarikiwe na Bwana

  • @bahatilaizer8706
    @bahatilaizer8706 10 місяців тому +1

    Jambo jema sana Kwa Mwenyezi Mungu
    Na mliofanya hivi Mwenyezi Mungu akawajalie Neema na Baraka zake Mungu

  • @ChristerShao
    @ChristerShao 10 місяців тому

    Hongera Mwigulu.

  • @nelsonnyamle
    @nelsonnyamle 10 місяців тому +2

    Kuna watu wamejaliwa kiuchumi lakini hawasaidii maskini .Lakini hapa utakuta wametoa mchango mkubwa mkubwa sana bado kwa mungu hamna nafasi.

  • @SelinaPaschal-vq2iy
    @SelinaPaschal-vq2iy 10 місяців тому

    Awww🥰

  • @frankngoloka5416
    @frankngoloka5416 10 місяців тому +3

    Dini inalippa acha nianze mazoezi ya kuubiri neno,kisha nafungua kanisa,nakopa hela talipa jpili

  • @gipsonmosha1857
    @gipsonmosha1857 10 місяців тому +2

    Wachaga kongole. Hatujawai feli sisi.🎉

  • @Jeremiahlukumay
    @Jeremiahlukumay 10 місяців тому

    hongereni sana mliofikiria na kuliona Hilo jambo kubwa,jamani kumtumikia Mungu Kuna faida,Mungu hatakuacha Bure.

    • @kassimjigge4727
      @kassimjigge4727 10 місяців тому

      Kupongeza jambo hilo ni kumdhihaki Mungu Muumba ambaye alitupendelea sisi wanadamu akili ya utambuzi wa mambo lakini hatuitumii ipasavyo! dogmatism hii ni hatari kwa nini usiwepo mpango endelevu wa kuondoa umaskini kwa wanakondoo husika kupitia michango?

    • @Jeremiahlukumay
      @Jeremiahlukumay 10 місяців тому

      @@kassimjigge4727 lakini labda amewasaidia wengi na yeye,hatuwezijua hivyo tusimhukumu sana japo sio vibaya kutolea maoni jambo Hilo.

  • @reganusiry8175
    @reganusiry8175 10 місяців тому +1

    Jambo jema Sana

  • @myunaniniahmad6463
    @myunaniniahmad6463 10 місяців тому

    Mnachota maji mferejini mnamwaga baharini, haliyakua bahari limejaa. Angalieni hapo nyumbani kwanza, kuna watu wanakosa mlo kwa siku na mnawafahamu. Tujiongezege na kumuogopa mungu na kuwa na huruma. Hakika mungu anasema tumuangalie aliyeko chini kwanza.

    • @ChristinaSanga-pl5jm
      @ChristinaSanga-pl5jm 10 місяців тому +1

      Pole unaumia ukiwa wapi jamani neno linasema mwenye nacho atazidishiwa na aiyekuwa nacho hapo jaza mwenyewe

  • @ibrahimelisha6842
    @ibrahimelisha6842 10 місяців тому +1

    Watu 60 mmenunua mzgo wa milion 500 khaa
    Kweli nilizani nimemaliza kutafuta hela kumbe bado nina safari ndefu😮😮😮😮😮

    • @adkajisi4536
      @adkajisi4536 10 місяців тому

      Sana ndugu tena sanaaa

    • @adkajisi4536
      @adkajisi4536 10 місяців тому

      Hawa si wanajenga kanisa peke yao

  • @onesmokihanza8473
    @onesmokihanza8473 10 місяців тому +3

    Wao wakitaka mandinga wanaenda kuombewa, askofu anachangiwa

    • @masoudmchau5145
      @masoudmchau5145 10 місяців тому

      Hii ndo Africa

    • @denisrukangula2227
      @denisrukangula2227 10 місяців тому

      Acha upagani wewe

    • @user-cn9br7en7w
      @user-cn9br7en7w 10 місяців тому

      na ww kama unataka kuwa Askofu uchangiwe kama unaona ni raisi sio unajiropokea tuu

    • @onesmokihanza8473
      @onesmokihanza8473 10 місяців тому

      @@denisrukangula2227 Sawa mfia dini

    • @onesmokihanza8473
      @onesmokihanza8473 10 місяців тому

      @@user-cn9br7en7w nilikuwa najisemea mawazo yangu tu mkuu, sina ubaya na yanayoendelea madhabahuni.. na apologize kama umekwazika

  • @tonyaron1194
    @tonyaron1194 10 місяців тому

    Nanyie mmezidi ubaguzi mara nyingi ni kanda ya kaskazini tu

  • @lazarojoseph7541
    @lazarojoseph7541 10 місяців тому

    Pastor anachangiwa pesa muhumini anaombewa 😢

  • @rosemrimbo9844
    @rosemrimbo9844 10 місяців тому

    Mchungaji akitaka gar anachangiwa na muumin nakitaka gar anaombewa basi na yeye tumuombee halafu tukae pare tusubili muujiza wa wagharatia

  • @tumsifusebastian9703
    @tumsifusebastian9703 10 місяців тому +1

    Acheni maneno mengi ninyi, wewe umesaidia Maskini wangapi...? Kila kitu ni kulaumu tu na cha ajabu unalaumu kuhusu Watu kumtunza Askofu wakati hujachangia hata tsh Mia yako. Kuna mamba hayakihusu hvyo jifunze kutulia.

  • @IsraelKisaila
    @IsraelKisaila 10 місяців тому +1

    Kaskazini Huwa hamna jambodogo AISE,wachaga mpo juuu

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 10 місяців тому +1

    Acheni kutoa zawadi ya magari.Hiyo hela wasaidie masikini ,yatima ,wajane NK Sisi waafrika kweli tuko nyuma.😢

    • @adkajisi4536
      @adkajisi4536 10 місяців тому

      Acha wivu kwani hujawahi sikia makanisa yana vituo vya Yakima. nk

  • @pendotemba3614
    @pendotemba3614 10 місяців тому +1

    Bora mnenipa mimi jamani

    • @adkajisi4536
      @adkajisi4536 10 місяців тому

      Tumeogopa utaweza kulihudumia make hilo mafuta hatutumii linakunywa 😁😁

  • @sayeedsaleem6395
    @sayeedsaleem6395 10 місяців тому

    Kwahiyo Hana mke Wala watoto hongereni

  • @mohdmohd8428
    @mohdmohd8428 10 місяців тому +1

    Kondoo wakitaka gari mnaombewa😂😂😂😂

  • @jonathanakhabuhaya1693
    @jonathanakhabuhaya1693 10 місяців тому

    kwa kweli Wachaga ni kiboko.

  • @faiditv5535
    @faiditv5535 10 місяців тому

    Chaga hiyo

  • @mkudembeteni7667
    @mkudembeteni7667 10 місяців тому

    Kukaa kimya ni Busara pia!!!!

  • @sambulugu9988
    @sambulugu9988 10 місяців тому

    Mbona watu toafauti tofauti kutoka sehemu na makabila tofauti wamechangia? Au uchaga ndo umekujaa kichwani!

  • @lubatikoseme9412
    @lubatikoseme9412 10 місяців тому +1

    Watoto wa mitaani wamejaa Arusha mnapoteza pesa kwa kununua gari bei hivyo. Watanzania tutafika mbinguni tilalila

    • @hassanmassaga2476
      @hassanmassaga2476 10 місяців тому

      Anza na ww...umefanya nn kuwasaidia hao watoto?..
      Unauhakika gani kama hawasaidiwi nao?!...

    • @wilberathtemu6099
      @wilberathtemu6099 10 місяців тому +1

      Unawivu sana wewe ,,Biblia inasema mtu akinitumikia baba mtamheshimu Sasa askofu amemtumikia Mungu,,na Mungu akampa heshima hii kwani nani aliyekuambia kanisa halihudumii watoto yatima acha kejeli mara moja

  • @kindysuleiman5935
    @kindysuleiman5935 10 місяців тому

    Limenunuliwa na nani

  • @jozamsolomon4002
    @jozamsolomon4002 10 місяців тому +3

    Waumini wa leo wanajipendekeza sana ukisoma maandiko hakuna mitume wa Yesu waliopewa zawadi ata Petro pamoja na kuwa mpambe wa Yesu hakupewa zawadi hizo.

    • @alzawahirabdallah2299
      @alzawahirabdallah2299 10 місяців тому

      Wala yesu hajawahi kuomba sadaka wala fungu la kumi lakini hawa mapasta wanafanya biashara tu

    • @walker-96
      @walker-96 10 місяців тому

      😅😅😅 biblia gani hiyo......au yakwako, Elia aliomba unga uliobaki kwa yule mjane, petrol na Paul wote walipewa sana vyakula tena walikua wanaamrisha nipe mnyama huyu nile

    • @jozamsolomon4002
      @jozamsolomon4002 10 місяців тому

      @@walker-96
      Elia aliomba kwa Mungu akuomba kwa wanadamu, na mtume Paulo akutaka kuwa mzigo pamoja na kuwa mtume alikuwa fundi wa kushona mahema, na unapashwa utambue kuwa kiimani hao manabii walikuwa wako karibu sana na Mungu ndo maana wao waliweza kuongea direct na Mungu, ndo maana ata waliweza kusimamisha jua.

    • @adkajisi4536
      @adkajisi4536 10 місяців тому

      @@alzawahirabdallah2299 kweli yesu hajawahi ila Yesu

  • @godfreybikukana2079
    @godfreybikukana2079 10 місяців тому

    Rushwa hiyo

  • @gipsonmosha1857
    @gipsonmosha1857 10 місяців тому

    Huku comment za maskini utazijua tu, sisi wachaga hatuna baya haya ni mamb yetu.

  • @askofkibwe6106
    @askofkibwe6106 10 місяців тому

    Bibilia imewaita maaskof mbwa, ni kweli mbwa

    • @adkajisi4536
      @adkajisi4536 10 місяців тому

      Sawa mbwa kibwe af ww Kibwetere nini?

  • @ngombegeorge3577
    @ngombegeorge3577 10 місяців тому +1

    Maskofu mabilionea , wangechanga izo hela wakachimba visima vya maji vijijini na wakawanunulia mabati , watu ambao wanalala nyumban za nyasi , . Uko vijijini lakini kumchanga hela mnanua gar la namna iyo mmekosea wapenda, , ndio maana ya andiko wema wenu ni uovu mbele yangu . Ndo maanake

    • @adkajisi4536
      @adkajisi4536 10 місяців тому

      Kanisa linafanya makubwa kuliko unavodhani ,visima linachimba, vituo vya malezi ya watoto yatima vipo ko kumtunza mtumishi sio dhambi

    • @ngombegeorge3577
      @ngombegeorge3577 9 місяців тому

      Ndugu yangu ufalme wa mungu si lelemama . Usiyawai kusoma utumishi wa Yeremia, Paul , mitume . Yesu mwenyewe jinsi alivyokua wakigawana Mali. . Na yesu amesema tujifunze kutoka kwake
      Hapo tumejifunza, Unajua iyo garl jinsi lilivyopatikana Kuna nyuma ya pazia serekarini

  • @faustinombilinyi9809
    @faustinombilinyi9809 10 місяців тому +1

    WATANZANIA wanafiki SN acheni tuuu hiii nchi wapo maskini lkn wanasahaulika hahahah nchi hiii

    • @edsonnelson4464
      @edsonnelson4464 10 місяців тому

      Nimependa cmt

    • @bahatidamiani561
      @bahatidamiani561 10 місяців тому +1

      Zawadi Ili kuwanyamazisha midomo mambo ya bandariiiii

    • @aziziatumanially424
      @aziziatumanially424 10 місяців тому +1

      Masikini tupo nao sikubzote hata mwisho wa dunia ila show askofu ni wamuda tu

  • @user-et7sr5jt2y
    @user-et7sr5jt2y 10 місяців тому

    Nijambo jema sana Mpeni na askofu shao mbona ni wakondeni mwenzenu msimsahau naye ni mstaafu akafanya mengi sana

    • @adkajisi4536
      @adkajisi4536 10 місяців тому

      Nae razima alipewa kwa wakati wake

  • @ibrahimSuleyman-we3lx
    @ibrahimSuleyman-we3lx 10 місяців тому

    Haya bna, endeleeni kupeana magari ila Bandar muikome!!

    • @Youngchimodzi823
      @Youngchimodzi823 10 місяців тому

      Mmmh?Kuna jambo umelishitukia?unaona mbali na kutafasiri vizuri mazingira na matukio

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 10 місяців тому

      Bandari mbona tayari DP world wako njiani?

  • @user-zi7vp7wy1v
    @user-zi7vp7wy1v 10 місяців тому

    400

  • @RoseMtupa
    @RoseMtupa 10 місяців тому

    Dp W

  • @richardhosea8827
    @richardhosea8827 10 місяців тому

    Mkono

  • @silasemmanuel4585
    @silasemmanuel4585 10 місяців тому

    Mh!

  • @emmanuelmlowe-ew7gx
    @emmanuelmlowe-ew7gx 10 місяців тому +1

    Nani katoa au wanasiasa kwaajili ya walaka anazotoa?

    • @user-cn9br7en7w
      @user-cn9br7en7w 10 місяців тому +1

      Ni watu wameguswa kuchangia na kupata gali hilo la kipekee sio kwasababu ya siasa au walaka, sikiliza tena utaelewa

    • @adkajisi4536
      @adkajisi4536 10 місяців тому

      @@user-cn9br7en7w Amen

  • @juliusmagunila6308
    @juliusmagunila6308 10 місяців тому

    Kikubwa mafarisayo wanajipigia vyao

  • @osianamwaiteleke5985
    @osianamwaiteleke5985 10 місяців тому

    Je na mafuta

  • @user-zb5qz6fk1v
    @user-zb5qz6fk1v 10 місяців тому +1

    Raia sio wajinga kukubali mkataba lazma upewe zawadi kuuza iendelee
    Ccm mambo yao kuwanunua tu
    Hapo ni kupongeza tuuu

  • @simonmalegesi414
    @simonmalegesi414 10 місяців тому +2

    Wahumini wa dini ya kisilam mjifunze haya kwa viongozi wenu unakuta shehe ata pikipiki Ana siyo pouwa kabisa.

    • @AmiBoy-vs2td
      @AmiBoy-vs2td 10 місяців тому +1

      Mbona yapo Sana kwetu sisi Waislamu. Sema yapo out of camera Ila Swala la Matajiri waliojaliwa Mali kuwapa Masheikh wao magari, majumba Ni Jambo sio lakushangaza

    • @simonmalegesi414
      @simonmalegesi414 10 місяців тому

      @@AmiBoy-vs2td mwamba waislamu niwagumu sana masheikh tunao mitaani ata pkpkp Hawana waislamu mjitoe uku mtani kuna wachungaji wa michongo wengi tuu wanapewa vitu na waumini wao ila kuna masheikh wako sawa sana kimani hawana kitu.

    • @AmiBoy-vs2td
      @AmiBoy-vs2td 10 місяців тому

      @@simonmalegesi414 yeah sure, nikiangalia Masheikh wengi wanaotunikiwa zawadi na Matajiri Ni Masheikh waliosoma na wenye kuijua Dini kweli kweli, lkn wale wanaonekna kuwa Hawaeleweki eleweki hua wanaendesha Maish Yao na waumin wao kwa kuchangishana Mia mia za sadaka baada ya Sala Ila sio kupewa. Lakin kwa ilivyo ukifuatilia Masheikh waliosoma kweli Dini ukitoa janja janja km kina Dr sule nazungumzia waliosoma kweli Dini, miskiti Yao huwa haichangishi sadaka, wanashinda kwenye madarasa na vijana, hawana biashara za Maana lkn Maish Yao na vipando vyao nivzr Tena wako wengi tu

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 10 місяців тому

      Hahahaha,,, Uislam ni dini ya haki, hainaga Mambo ya dhulma dhulma, kwahiyo hapo nikwambie Tu hatuna cha kujifunza , eti mnawadanganya watu kuwa mchungaji akitaka kitu anachangiwa wakati kondoo wa bwana wakitaka kitu wao wanaombewa,,,uwongo huo waislam hatuna!!

    • @simonmalegesi414
      @simonmalegesi414 10 місяців тому +1

      @@jumakapilima7295 haimanishi mzee toa sadaka Acha mbamba😂😂😂😂

  • @omaryjuma8002
    @omaryjuma8002 10 місяців тому

    Jaman mimi kiukweli siamini dini mnisamee bule

    • @Youngchimodzi823
      @Youngchimodzi823 10 місяців тому

      Uko sahihi,sio dini ni biashara na nyuma ya Kila zawadi ktk dini Kuna biashara au siasa

    • @adkajisi4536
      @adkajisi4536 10 місяців тому

      @@Youngchimodzi823 mawazo yako

    • @Youngchimodzi823
      @Youngchimodzi823 10 місяців тому +1

      True,I rarely buy into others mind and thinking

  • @charlesphilipo3533
    @charlesphilipo3533 10 місяців тому +3

    Hamna maskini katika kanisa Hilo ambao lingekuwa faraja mbele za Mungu kama wangesaidiwa hata choo TU,,kwani askofu alikuwa hana gari ??? Mimi naona angepewa biblia tu

    • @adkajisi4536
      @adkajisi4536 10 місяців тому

      Mpelekee biblia pia nizawadi hao walio toa gari nao kwao wameona ni jambo jema.

  • @saluuhans
    @saluuhans 10 місяців тому +14

    Mbona hatujawai sikia Askofu kampa gari muumin wake au sadaka anchangiwa mchungaji tu 😁

    • @neema_mollel
      @neema_mollel 10 місяців тому +1

      😂😂nyie mtaombewa

    • @josephlorri431
      @josephlorri431 10 місяців тому +7

      Geordavie anagawa magari,nenda ngurumo ya upako.

    • @hellendaniel3809
      @hellendaniel3809 10 місяців тому +4

      Sema hujawahi,usiseme hatujawahi.

    • @frankngoloka5416
      @frankngoloka5416 10 місяців тому +2

      ​@@neema_mollelsisi waumini tukilala njaa tunaombewa tu

    • @user-ne6gm9gy9f
      @user-ne6gm9gy9f 10 місяців тому +5

      Kwa akili ya kawaida tu sijui una umri gan lakin kama nimtu mzima una una familia alaf una tegemea babayako akununulie gari au wew ndo uwanun lie wazazi wako acha ujinga.

  • @manchalijob9600
    @manchalijob9600 10 місяців тому

    Hahah MCHUNGAJI HANANJA ALISEMA HUU NI UJINGA WA MUAFRICA

  • @rukaiyafrank9043
    @rukaiyafrank9043 10 місяців тому

    Dipiword

  • @laurentraphael5470
    @laurentraphael5470 10 місяців тому

    Wajasiliamali wa Injili wamejaa wengi sana Tanzania

  • @emmanuelmlowe-ew7gx
    @emmanuelmlowe-ew7gx 10 місяців тому +1

    Hamna kitu hapo kuna kitu

    • @user-cn9br7en7w
      @user-cn9br7en7w 10 місяців тому

      hebu tuambie ww mwenye mawazo potofu kuna nini??

    • @emmanuelmlowe-ew7gx
      @emmanuelmlowe-ew7gx 10 місяців тому

      @@user-cn9br7en7w mambo ya walaka hayo

  • @kassimjigge4727
    @kassimjigge4727 10 місяців тому +2

    'Watumishi wa Mungu' kupenda zawadi za kidunia! hapa mimi natatizika Yesu katika uhai wakewote alifadhiliwa nini na nani? utumishi wa Mungu ni wito wa kiungu sio sawa ifananishwe na ajira za kidunia zenye asante za kibinadam mwishoni au wakati wa utumishi wake cha kushangaza zaidi ni pale kondoo wanapoishi ktk hali ya kukondeana huku Wachungaji na Maaskofu wakiishi kama wafalme jamani tuwe macho na hizi dini 'kukamuana' tuu!

    • @adkajisi4536
      @adkajisi4536 10 місяців тому

      Ko Unataka watumishi wawe mafukara au Vipi?

    • @geofreysekei7792
      @geofreysekei7792 9 місяців тому

      Yesu alikuwa maskini ili tuwe matajiri,kwa kupigwa kwake tumepona,aliteswa kwa ajili ya dhambi zetu, kumtumikia Mungu haimaanishi tuwe maskini,soma tena maandiko, Shoo alistahili hata zaidi ya hiyo zawadi

    • @noelgodfrey386
      @noelgodfrey386 9 місяців тому

      Muache kujaji sadaka wanazopewa watumishi huku dunian watu hawalinqan kua matajir na maskin hivyo mtu akipewa amewa huo ni wivu na kukosa Cha kusema huyu aliye andik msq hii wewe unasaidia wasio nacho au unasema tuu munu awasameh

    • @noelgodfrey386
      @noelgodfrey386 9 місяців тому

      Walimpaka yesu mafut na marihamu wakalalamika wakasem inqeuzwa wapewe maskin yesu akasem maskin mnao siku zote Hawa waliomnunulia askofu Qari wamefanya kz kubwa lenye barak

  • @letthedeadburythedead2148
    @letthedeadburythedead2148 10 місяців тому

    Kutoa sadaka alafu nyumbani hali sio shwari pia ni dhambi.

    • @adkajisi4536
      @adkajisi4536 10 місяців тому

      Reference ndugu nikasome

  • @hassnsalim5156
    @hassnsalim5156 10 місяців тому

    Ujinga mtupu

  • @Youngchimodzi823
    @Youngchimodzi823 10 місяців тому

    Any business that do not attract Death and taxes is always attractive and profitable in short and long terms
    Let's keep on investing in religion than erecting factories because jobs,incomes and taxes are of little value addition to our life AFTER death.
    Safiiiiii sana