REV. DR. ELIONA KIMARO: FULFILL YOUR CALLING ( Masanja)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 чер 2023

КОМЕНТАРІ • 223

  • @adamfumbo5116
    @adamfumbo5116 Рік тому +1

    Mch Kimaro Mungu asikuache Kwa maono hayo Asante Kwa somo la leo

  • @ndekusurasikawa6060
    @ndekusurasikawa6060 11 місяців тому +1

    Asante Mungu kwa kunipa hii tecno nimejifunza makubwa kutoka watumishi hawa

  • @user-sj4pv4gx3w
    @user-sj4pv4gx3w Рік тому +5

    Kimaro ndie mch anayeenda na wakati, hongera sana Mungu azidi kukupa maono makubwa zaidi

  • @emmanuelmatinde4895
    @emmanuelmatinde4895 10 місяців тому +1

    Very impressing am following from Kenya , agriculture is the only backbone

  • @nsajimoses6781
    @nsajimoses6781 Рік тому +3

    Ningepata hii elimu enzi hizo niko chuo kikuu ningekuwa mbali sana. Ubarikiwe sana Mch. Kimaro

  • @origakossan118
    @origakossan118 Рік тому +7

    Ubarikiwe sana Mch. Kazi unayofanya utalipwa na Mungu🙏🙏

  • @shalomchaula4420
    @shalomchaula4420 Рік тому +4

    @masanja kuwa serious Sasa bro 😂😂😂 ubarikiwe Sana pastor kimaro na bro masanja Mungu akuweke siku nagonga hodi tukalime kaka watu waliopo mbele hapo Mungu awa bariki dada getrude pia Mungu akutete.

  • @josephinemapuga3515
    @josephinemapuga3515 Рік тому +2

    Sijutii kutumia MB zangu kufuatilia hili, asante Yesu ww ujuaye maarifa na elimu tunayoihitaji sisi vijana wa kitanzania,Tujitafute tujipate😅😅😅

  • @josephinemapuga3515
    @josephinemapuga3515 Рік тому +1

    Namshukuru Mungu kwa ajili ya Mchungaji Dk.Eliona Kimaro hakika nimejifunza mengi kupitia mdahalo huu uliouandaa kwa neema ya Mungu.

  • @arubalydia224
    @arubalydia224 Рік тому +2

    Niko hapa Saudia Arabia eneo la Riyadh naomba mawasiliano tufanye hii kazi waraabu wanakula mchele tangia asubuhi

  • @ElidaimaLevayo-xp1oe
    @ElidaimaLevayo-xp1oe Рік тому +4

    Ongeraaa sana mchungajii wew ni wakipekee sanaa

  • @annamazengo975
    @annamazengo975 Рік тому +10

    Safi Sana mch.kimario,endelea kuita makongamano ya kutuhamasisha huo ni ukombozi wa fikra.

    • @jordanchisawilo6177
      @jordanchisawilo6177 Рік тому

      Maono mazuri mchungaji kwa kuamsha fikra zetu kujitambua safi sana mchungaji

  • @jacklinafrancis7457
    @jacklinafrancis7457 Рік тому +9

    Amen
    hakika siku hii imekuwa siku ya mabadiliko makubwa sana katika ufahamu wangu kupitia Life experience ya kilimo kumuhusu Masanja
    naona kutiwa nguvu.
    Nimeanza leo, kwa imani kesho nitashuhudia mavuno ya shangwe.
    thank u Pastor Dr Eliona Kimaro.

  • @everlastinggospelchurchtz
    @everlastinggospelchurchtz Місяць тому

    Kimaro you are awesome pastor

  • @IREENNTIJE
    @IREENNTIJE 4 місяці тому

    Yaaan mm ninaelekea shamba kweli masanja kutoka kuchekesha leo ubadilisha dunia mungu akutunze kabisa

  • @anethkitambi3140
    @anethkitambi3140 Рік тому +2

    Hongera sana Mch Kimaro, kazi unayofanya ni njema Mungu akulinde sana

  • @janengowi-lt9gu
    @janengowi-lt9gu Рік тому +7

    Nimejikuta nachukia kazi nahisi kuchelewa nimepata kitu Asanteni watumishi

  • @enocklutonja339
    @enocklutonja339 Рік тому +11

    Am so excited for the dialogue, we need to work up from the heavy dark wrapped our brain. Thank you for it

  • @emmanueljacob4303
    @emmanueljacob4303 Рік тому +1

    Pastor Kimaro I love you,just because what GOD insect in you,may GOD bless u.

  • @kilimba687
    @kilimba687 Рік тому +1

    Amen, nimebarikiwa na nimejifunza kitu Sana Mtumishi, Mungu akubariki Sana kwa darasa hili Mimi nikiwa kama kijana inahitajika nichukue hatua na hii ndio sehemu mojawapo ya kuanza kuchukua hiyo hatua kupitia watu kama Hawa waliofanikiwa!

  • @annamazengo975
    @annamazengo975 Рік тому +5

    Asante sana tumepata kitu kikubwa Sana.

  • @mlimanigroup1278
    @mlimanigroup1278 Рік тому +1

    Masanja bro nimekupata vizuri...nitachukua hatua

  • @RamondLema-po6py
    @RamondLema-po6py Рік тому

    Am feel very blessed, kwa sababu ili kusudi la BWANA litimie ni lazima watu tufanye kazi kwa kumaanisha.
    Hongereni watumishi wa mungu for this very special class.

  • @neemamasimba2981
    @neemamasimba2981 Рік тому +1

    Mch ulichokifanya Mungu akubariki sana sana sana , maono yako ni makubwa mno, Hongera sana baba , chamecha mlisi o wandu wa ruwa

  • @lydiambwele7026
    @lydiambwele7026 Рік тому +2

    Pastor Dr. Kimaro you are amazing. Be blessed ambundantly

  • @judicalosika7642
    @judicalosika7642 Рік тому +5

    🇮🇱Ubarikiweeeeeeeeeeeeee!
    Mchungaji Kimaro
    Masanja Ubarikiwe tena na tena

  • @theopistamwayeya1764
    @theopistamwayeya1764 Рік тому +6

    Hongera sana baba mchungaji,Masanja wewe ni mfano wa kuigwa Mungu akuinue zaid!

    • @victoriangomuo1501
      @victoriangomuo1501 Рік тому

      Shalom. Mungu wa UPENDO azidi kukuinua na kukupa maono zaidi na zaidi na kufungua wengi zaidi na zaidi. Nakuomba usiishie kwenye kongamano kwa vijana Bali MUNGU akupe maono ya kuwafungua na Wazee waliostaafu wanakufa kwa msongo wa mawazo. Kwenye KONGAMANO hilo la wazee umkumbuke Dr Victoria Ngomuo miaka 71 mama LISHE TIBA uliemkaribisha kanisani siku moja ambapo kupitia Huu ufunuo Mungu aliempa KUPITIA MWANZO 1:29-30, HATA KANSA YA DAMU, YA "OVARY, YA UTUMBO MKUBWA, KIZAZI, KOO wamepona. UTUKUFU KWA MUNGU UZIDI KUPITIA KWAKO. AMEN

    • @victoriangomuo1501
      @victoriangomuo1501 Рік тому

      MCH. DR ELIONA KIMARO MUNGU AZIDI KUKUINUA AKUPE MAISHA MAREFU UONE WANA WA WANAO KIZAZI CHA TATU NA CHA NNE ILI WENGI WAPATE KUMJUA MUNGU ZAIDI NA ZAIDI KATIKA MAFUNDISHO YAKO NA MAKONGAMANO HAYA. VITA NI MTAJI WA KUMUINUA MTU ZAIDI NA ZAIDI NA KUMPA MUNGU UTUKUFU ZAIDI NA ZAIDI. AMEN

    • @GilgariMinistryTanzania
      @GilgariMinistryTanzania 7 місяців тому

      Nakupenda Sanaa sanaaa me ni mchungaji ila pasta kimaro nakupenda sanaaa Kwa kuwa na ufahamu mkubwa sanaaa songa mbele kaka pasta

    • @GilgariMinistryTanzania
      @GilgariMinistryTanzania 7 місяців тому

      Nakupenda Sanaa sanaaa me ni mchungaji ila pasta kimaro nakupenda sanaaa Kwa kuwa na ufahamu mkubwa sanaaa songa mbele kaka pasta

  • @ombeninassary7428
    @ombeninassary7428 Рік тому +4

    Ni kweli vijana tunatumia mitandao ya kijamii vijana. Lakini kuna wanaotumia kama fursa. Mfano mm niko arusha nilinunua tv yangu smart tv online kwa njia ya instagram kutoka dar.
    Nilikuwaga nahofia sana kama nitatapeliwa lakini yule bwana alikuwa mwema sana nililipa kidogo kidogo hadi ikajaa milioni moja na laki tisa. Siku nimemalizia tu kulipa alinitumia picha ya mzigo na risiti ya cargo aliyopakia nikaenda kuichukua. Alikuwa mwema sana yule bwana hadi leo tunawasiliana japo hatukuwahi kuonana. Anaitwa somebody nyaki. Yupo kariakoo duka linaitwa nard electronics

  • @marikwilliam9886
    @marikwilliam9886 Рік тому +1

    Huwa na barikiwa sana na matendo yako ya kiimani Mungu akutunze baba

  • @AnnaMunishi-bm1qf
    @AnnaMunishi-bm1qf Місяць тому

    Yaa mch. Nikivyopindi laiti ungeniuza duniani . Hapa milipo nimelegea kbsaa.Nawaza mpk nimechanganyikiwa Lait ningepata ht mfadhili mmoja na Mungu ambariki. Mwanangu anasomea upadri lkn naona giza. Bb mwambie ht masanja anisaidia ufadhili kwa ht mtoto huyu mmoja. Bb umepitia shida unajua. Mungu akutunze kwa unayofanya Mchungaji.

  • @YonaFute-bq7mz
    @YonaFute-bq7mz Рік тому

    Amen amen,sikitu kidogo umetoa maarifa kwa maelf ya maelf ya watu ili tufanikiwe hakika umejazwa Roho ya Mungu Kimaro
    Kutoka 31:3
    [3]nami nimemjaza roho ya Mungu, katika hekima, na maarifa, na ujuzi, na mambo ya kazi ya kila aina.

  • @user-ho5wn8di5h
    @user-ho5wn8di5h Рік тому

    Baba kimaro watashindana na hawatashinda songa mbele maneno yasikurudishe nyuma tupo pamoja kukuombea damu ya yesu ikufunike ❤

  • @olivemwamengonakilimombeya6951

    Azadea group is my company one of the biggest company, amazing company, and proud working with them, is by grace of GOD im here

  • @alphamosha5571
    @alphamosha5571 10 місяців тому

    Thank you Pastor Kimaro for this i keep rewatching this interview it motivates me i want to farm like Masanja

  • @dastansimpanzye4019
    @dastansimpanzye4019 Рік тому +2

    Mungu awabariki sana, Ahsante Dr.Kimaro kwa maono mazuri.

  • @olivemwamengonakilimombeya6951

    From dubai here mtumishi

  • @user-mz5vf9ke3j
    @user-mz5vf9ke3j Рік тому +1

    Mungu akubariki sana mchungaji kimaro. Tumejifunza mengi mno.

  • @amonmnzava6522
    @amonmnzava6522 Рік тому +3

    Mungu akubariki kwa kazi njema unayo ifanya

  • @lovemayengo7426
    @lovemayengo7426 Рік тому

    Nimebarikiwa sana, Asante Pastor Dr. Kimaro kwa maono haya. Be Blessed

  • @grolyqueen5833
    @grolyqueen5833 Рік тому +1

    Mchungaji ameupigaa mwingi sana hongeraaa sana mchungaji Kwa wazo hilii

  • @ilovejesus9303
    @ilovejesus9303 Рік тому +1

    Baba mchungaji Kimaro wewe ni wa pekee. Watching from USA 🇺🇸

  • @user-tj6tl7cp9z
    @user-tj6tl7cp9z Рік тому

    👏👏👏🙏🙏🙏 ashukuliwe mungu nimejifunza sana

  • @Linda-lr1lu
    @Linda-lr1lu Рік тому +2

    Nimeipenda sana hii ni hood motivation asanteni sana

  • @gracengole2773
    @gracengole2773 Рік тому

    Asante kwakupitia utumishi wako Mchungaji Kimaro umefanya Hadi Mimi ninafikiwa na ujumbe huu mzuri. Asnte

  • @echodelouange7722
    @echodelouange7722 Рік тому

    Hongera sana pastor Kimaro and pastor Masanja kweli vijana wak’africa lazima tuhamke natujue kwamba africa yetu inazo opportunities nyingi.conference kama hizi zingeletwa pia Hapa USA KWA vijana wetu W’africa sababu wengi wafikirihi kuhusu investment.

  • @pmgpmg7717
    @pmgpmg7717 Рік тому

    Very informative thank and be blessed

  • @mbokaandbahatitv8509
    @mbokaandbahatitv8509 Рік тому

    Namshukuru Mungu sana kwa ajili yako Mch Dr Kimaro na Mch Masanja... Asante sana kwa kazi nzuri

  • @sayunilyego
    @sayunilyego Рік тому

    amen God bless you pastor kimaro🙏🙏🙏

  • @mariachengula5166
    @mariachengula5166 Рік тому

    Mchungaji kimaro Mungu akubariki sana kwa ufunuo huu

  • @thomasmakweta3860
    @thomasmakweta3860 Рік тому +1

    Mch.Mungu akubariki kwa maono

  • @RonaldMseke-ce9qn
    @RonaldMseke-ce9qn Рік тому

    Mungu akubariki mchungaji,pamoja namasanja.nimenufaikasana

  • @adamfumbo5116
    @adamfumbo5116 Рік тому

    Asanteee Mch Masanja umeniokoa sana kiakili baba yangu

  • @user-fk2cp6rl3m
    @user-fk2cp6rl3m Рік тому

    Mungu akubariki Mch kimaro kumleta masanja umetufumbua macho

  • @sayunisisya4862
    @sayunisisya4862 Рік тому +1

    Nimejifunza mengi sana nashkru sana mchungaji wangu

  • @awazimwazembe8469
    @awazimwazembe8469 Місяць тому

    Mungu naomba nitie Nguvu na kunipa kibali Cha kuwa mkulima mkubwa mwenye mafanikio

  • @olivemwamengonakilimombeya6951

    GOD bless you pastor

  • @elisanteyeremiamuro883
    @elisanteyeremiamuro883 Рік тому

    Ubarikiwe sana mchungaji kimaro pamoja na masanja

  • @mkapaelisha3813
    @mkapaelisha3813 Рік тому

    🙏🙏asante Dr Eliona na Masanja kwa mjadala huu

  • @saimonijonas4356
    @saimonijonas4356 Рік тому +4

    Mtaji ndo tatizo.Masanja hajakurupuka.Asante kwa elimu lakini uwezeshaji uwepo.Mimi nimejaribu lakini hoi.Kilimo ni mtaji.

  • @ngusubilambope3964
    @ngusubilambope3964 Рік тому +7

    So inspiring Pr Kimaro and your hosts nimejifunza kitu kikubwa sana! Mbarikiwe mnoooo!

    • @gracemkomwa5172
      @gracemkomwa5172 Рік тому

      Mbarikiwe sana kwa maono mazuri yanayo hamasisha. Na kuwafanya vijana au watu kujitambua na kubadilisha maono yao. Mungu awabariki sana.

  • @user-yt8mw2xt7k
    @user-yt8mw2xt7k Рік тому

    Am very inspired of this talk!

  • @abigailbateyunga8187
    @abigailbateyunga8187 Рік тому +7

    With much thanx dad🎉❤ 🎁 you're our blessing.let Phlp. 1:6 be yrs and Deut.28:15-68 be to yr enemies in the mighty name of Jesus Christ of Nazareth Amen.❤

  • @stephanimtaita1158
    @stephanimtaita1158 Рік тому

    Dah nimejikuta naisikiliza mwanzo mwisho. Very good

  • @neywilly9817
    @neywilly9817 Рік тому

    Ahsanteni kwa kongamano zuri, lenye kufungua fahamu za wengi.

  • @mlimanigroup1278
    @mlimanigroup1278 Рік тому +1

    Nimejifunza kitu mtumishi. Mungu azidi kukuinua.

  • @yolandaliyoya1839
    @yolandaliyoya1839 Рік тому

    Mungu awabariki sana👏👏🙏🙏

  • @lucianambalamwezi1864
    @lucianambalamwezi1864 Рік тому +2

    Mungu akubariki mchungaji

  • @AndreaMwinuka
    @AndreaMwinuka Рік тому

    Nimebarikiwa sana masanja and pastor kimaro

  • @officiallymercymargaret3259
    @officiallymercymargaret3259 Рік тому +1

    Mungu akubariki baba kwa kufungua vijana akili

  • @mnyatulustores
    @mnyatulustores Рік тому

    Ubarikiwe kwa kutukumbuka MAMA JoHN MBEYA

  • @zubedambilinyi6426
    @zubedambilinyi6426 Рік тому +2

    Mungu akbariki masanja

  • @agricolajoseph2017
    @agricolajoseph2017 Рік тому

    Hongereni sana kilimo na ufugaji lazima utoke tusiogope vijana
    Tumepokea kwa kweli.

  • @irenekilenga-jb7bh
    @irenekilenga-jb7bh Рік тому

    Mungu akutunze much.kimaro Kwa maono yako

  • @RahabuMgoo-pl6vy
    @RahabuMgoo-pl6vy Рік тому

    Nashukuru Rev pamoja na Mr masanja kwa kinifungua akili

  • @siambowe9875
    @siambowe9875 Рік тому +1

    Hongera sana baba, mchungaji kimaro,ni jinsi gani unatamani vijana wetu,waamke,ili waeze kufanikiwa.
    Masanja ninaomba connection please 🙏 ya kupata mashamba😅

  • @chrismassawe2939
    @chrismassawe2939 Рік тому +1

    Masanja ana mtaji amejipanga na anafanya kazi nyingi

  • @JanethKahamba-cn4bq
    @JanethKahamba-cn4bq Рік тому

    ❤❤❤nimebarikiwa mno cntokatamaa kumbee Mm ni boss mkubwa tu

  • @MICHAELMOBILECARE
    @MICHAELMOBILECARE Рік тому

    Shamba tour season 2 nimeinjoy sana kweli bishop unachange World kwa kilimo watu wajue ukweli

  • @AishaOman-qz7tn
    @AishaOman-qz7tn Рік тому

    Nimebarikiwa na mafundisho yenu kuna kitu nimechukua mungu awabariki sana

  • @ocenathrkalwans6545
    @ocenathrkalwans6545 Рік тому

    Asante baba kwa kipindi hiki nimejifunza kitu barikiwa baba

  • @banguha
    @banguha Рік тому +3

    Ningepata elimu hii miaka 3 iliyopita nisingekuwa na hali ngumu hivi nilitumia zaid ya m 10 kwenye biashara nyingine ikanikata si ningefanya kilimo eee Mungu nipe nguvu nataman kulima

  • @msangodiesel3132
    @msangodiesel3132 Рік тому

    Asante kwa semina swali langu tuna vyakula vya asili ila mbona tunaishi maisha mafupi tatizo Nini

  • @honorathapaschal1523
    @honorathapaschal1523 Рік тому +1

    Hongera sana mchungaji

  • @eliyamaswi6762
    @eliyamaswi6762 Рік тому

    Have got something pastor. Mungu awe nanyiiii.

  • @lulumasangwa9962
    @lulumasangwa9962 Рік тому +1

    Naomben connection na masanja please nataka kwenda nae shamba na mimi nataka nikalime

  • @siansaw8572
    @siansaw8572 11 місяців тому

    Kweli Rev. Anakuuza na umeniinspire sana nimemwandikia masanja insta nataka nimpe nondo ya UK safi sana

  • @GabrielMyombe-st3us
    @GabrielMyombe-st3us Рік тому

    Hongera Mtumishi masanja

  • @olivemwamengonakilimombeya6951

    Im blessed today

  • @salimanguzo5553
    @salimanguzo5553 Рік тому +2

    Napenda kilimo ❤

  • @AlfredVicent-eu5fi
    @AlfredVicent-eu5fi 11 місяців тому

    Sawa safi kaka naomba mawasiliano yako

  • @zerishmoses2280
    @zerishmoses2280 Рік тому

    God bless you pastor kimaro

  • @hosealutangilo5058
    @hosealutangilo5058 5 місяців тому

    Heri ukafeli shule ukafaulu maisha....

  • @user-ph8es2dn3y
    @user-ph8es2dn3y 3 місяці тому

    Sisi hapa marekani tuna kula chakula toka tanzania 🇹🇿

  • @carenhilary8067
    @carenhilary8067 Рік тому

    Haleluya Kuna kitu nimepata Mbarikiwe saana

  • @esthersimaomukama7843
    @esthersimaomukama7843 Рік тому

    Asante sana Mch kwa proactive panel

  • @musamwafongo3430
    @musamwafongo3430 Рік тому

    Mungu akubariki

  • @joycelaura4611
    @joycelaura4611 Рік тому +2

    Huyu Mungu anamtumia huyu baba yetu Mchungaji Kimaro azidi kumtunza

  • @godlovemrosso5973
    @godlovemrosso5973 11 місяців тому

    Nimebarikiwa Sana Sana na Maono ya mchungaji kimaro natamani siku moja nikuone Kwa macho ana mkono Kwa mkono nipate maarifa zaidi nipate maarifa maana ni miaka minne nahangaika na kilimo cha sasa nimeamua kuweka mikorosho ekari nyingi kwako nataka neno moja tuu kwangu nami nitapona

  • @braysonfadhili5891
    @braysonfadhili5891 Рік тому

    Nashukuru sana kwa hili funzo

  • @eliastemu9133
    @eliastemu9133 Рік тому

    Waoooo nimefurahi sana