MFANYABIASHARA DAVIS MOSHA ALIVYOTOA TENA MILIONI 100 KANISANI `NA KUTUNUKIWA TUZO..
Вставка
- Опубліковано 3 чер 2023
- MFANYABIASHARA DAVIS MOSHA ALIVYOTOA TOA TENA MIIONI 100 KANISANI `NA KUTUNUKIWA TUZO..
MFANYABIASHARA Devis Mosha ametoa milioni 100 kwa kanisa ikiwa ni sehemu yake ya sadaka..
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
BREAKING NEWS! USIKUBALI KUPITWA na HABARI ZA GLOBAL TV. JIUNGE na WhatsApp Group Now: chat.whatsapp.com/Kh8n9Xk0OWJ...
Aliyemuona bill nenga na God bless lema
Nywele za jamaa kama huna hela unaonekana chizi af unaweza tengwa hata na kanisa. Tutafute hela kwa kweli
Duh kuna watu wanaela aisee
Mungu ambariki
God bless you Davis
moyo wa kutoa sio kuwa na pesa ni asili ya watu wenye upendo
Kila mtu na maoni yake,ila kila mtu ajifunze kutafuta pesa kwa njia halal,na kusaidia wengine Mungu atakubariki
M100 sio hela,vijana fanyenyi kazi kwa bidii. Kutoa ndio kubarikiwa
Huy baba n mtoaj toka zaman nakumbk miaka 99 nikiw darasa la sita alipaua hilo kanisa ,watu wa kb hawampend devis mosha sijui kwanin wanawapa wengine ubunge roho mbaya imejawa,kipind cha magu walimwimbia ule wimbo wa jay d w yahaya inatisikitisha sana
Afu Mimi hapa Nina shida flani inayotafuna Moyo wangu taratibu.ninahitaji support ninahitaji msaada, , lakini nikitokea kwa mtu kama huyo sitapata msaada
Siyo miungu katafute hela
2010-2015 tena 2025 Maandalizi
Steve nyerere sikuwahi kumwelewa😂😂😂
Kwa kweli😬😬😬😬😬
Hiyo kichwa angechana tu
Aliyemuona mama mwene blue akikebehi, tujuane...
Nimemwona
Lema kwa mbali
Cha ajabu washarika wamenuna
Iyo mia aiji ivi ivi Kuna jambo flan
Tayari inajieleza
@@leokamil6284 au anataka ubunge
Kampeni kuelekea 2025
Yes wewe umewaza kama mimi kuna kafara hapo
Hawa ndio miungu wa zama hiz viongoz wa dini wanawalamba miguu
Hiyo ni kampeni imeanza kwa ajili ya uchaguzi wa ubunge 2025
Kweli bila kupinga
Mkono mtupu haulambwi