SURPRISE YA MCHUNGAJI KIMARO YAIBUA SHANGWE KANISANI ALIVYOINGIA KUFANYA IBADA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 бер 2023

КОМЕНТАРІ • 348

  • @marianajoseph1892
    @marianajoseph1892 Рік тому +18

    Mungu ni mwema Dr kimaro, nimefurahi sana , naungana na washirika kutoka 🇺🇸, nikisema yesu, yesu, yesu, yesu 🙌🏾🙌🏾👏🏽👏🏽👍🏽👍🏽

  • @theodorymwalongo7509
    @theodorymwalongo7509 Рік тому +82

    Mimi ni RC naishi Kibaha, nimekuwa nasikiliza sana mahubiri ya Mchungaji Kimaro. Nimefuatilia sana matukio yote yaliyompata. Leo amerudi tena Kijitonyama; nimefurahi sana pamoja na waumini wote wa KKKT. Nami nampenda, Mungu aendelee kumsimamia.

    • @nelsabugo3613
      @nelsabugo3613 Рік тому +4

      Hatamimi nampenda sana huyu Mch Kimaro

    • @mage1799
      @mage1799 Рік тому +5

      Tendeni haki hakima BWANA atawainua

    • @elimidakashumba2422
      @elimidakashumba2422 Рік тому +1

      Yaani Mimi ni Crip zake nyingi. Hasta shuhuda mbalimbali. Ananibariki sana.

    • @dinagerald5419
      @dinagerald5419 Рік тому +1

      Nikweli kabisa

    • @reginashipela2939
      @reginashipela2939 Рік тому +1

      Nami nampenda Sana baba huyu jamani niliumia kusimamishwa kwake maana anachohubiri Ni sahihi kaabisa

  • @neemanaftal996
    @neemanaftal996 Рік тому +4

    Nimeurahi sana, Mungu awe nawe daimu awe nawe daima. maiti imeshindwa kwa jina la daima. Kabla ya likizo yakealiyyopewa ! Niliota hi uyo mchangaji be amefariki na matangazo yake ya look awa yanatolewa kwenye vyombo vya habari nikawa nashangaa. , Najiuuliza mchungaji amefariki!!!¡ Jamani kumbe ilikuwa ni hili tukio. Mauti ya huduma imeshindwa ktk jina la yesu

  • @marianajoseph1892
    @marianajoseph1892 Рік тому +7

    Nikiona mchungaji Kimaro anaogea, na washirika wa kijitonyama napata furaha na kujua kumbe wokovu wa kweli ninao ujua bado upo, 💕💕💯💯

  • @fatmaallyabdul1732
    @fatmaallyabdul1732 Рік тому +62

    I'm Islamic but I love this man of God for sure,napenda sana mafundisho yake,hongereni wana Kijitonyama endeleeni kumuombea Dr.Kimaro

    • @gracekalihose8504
      @gracekalihose8504 Рік тому

      God bless you

    • @stevenmwenda3005
      @stevenmwenda3005 Рік тому +3

      Kama kweli wewe ni muislamu uliyefundishwa dini ya khaki usingeweza kusema hayo maneno kamwe nisingependa kusema maneno mengi hapa ila rejea mafundisho ya mtume juu ya unaswara na itikadi ya mungu mmoja tujiepushe na ushabiki wa itikadi iliyokinyume na mafundisho sahihi ya Allah

    • @stevenmwenda3005
      @stevenmwenda3005 Рік тому +1

      Rejea mafundisho ya imani yako ya Islam maana huwezi kusema unapenda mafundisho yake wakati ni kinyume na itikadi yako ya dini ya haki mfano unafundishwa usiseme utatu na mafundisho ya upande wa pili kuna mafundisho ya namna hiyo je ni sawa ww kusema ni muislamu

    • @paulalove1223
      @paulalove1223 Рік тому +1

      ​@@stevenmwenda3005umeumia sana

    • @fortunatankya3242
      @fortunatankya3242 Рік тому +9

      ​@@stevenmwenda3005 we mwenyewe unayapenda sana..maana usingekuja huku...Pona kwa jina la Yesu

  • @aunesskinissa7548
    @aunesskinissa7548 Рік тому +2

    Nabarikiwa sana kwajili yako bba Mchungaji Mungu azidi kukuweka kwajili ya watu wake

  • @josephinembuguni198
    @josephinembuguni198 Рік тому +25

    Sifa na utukufu ni kwa Mungu. Karibu tena Mchungaji Kimaro ❤

  • @RandB_Channel
    @RandB_Channel Рік тому +4

    Jamani kila mtu na neema yake hatu fanini.huyu mchungaji ana neema yake Mungu akuinuwe zaidi

  • @marianajoseph1892
    @marianajoseph1892 Рік тому +11

    Baba Askofu wa nashukuru sana kumrudisha Dr kimaro kijitonyama 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻💕💕, Mungu ni mwema sana kwa maisha yangu ya kiroho, nilikuwa nangojea sana Mchungaji kimaro arudi tuendelee kupata na kukusikiliza kila jumapili. Mungu amawalinde Baba Askofu and Dr kimaro.

  • @leonardmakwela3407
    @leonardmakwela3407 Рік тому +14

    It may be unpleasant to many of you,
    But I have to say this that ,
    We shouldn't glorify Pastor Kimaro !
    All the glory be to GOD !

  • @hildermarwamarwa5935
    @hildermarwamarwa5935 Рік тому +16

    Ninaungana na wana kijitonyama kufurahi pamoja nanyi kwa ajili Mchungaji wetu 🙏🙏

    • @clarawillfred1749
      @clarawillfred1749 Рік тому +1

      Ashukuriwe Mungu kwa mema yote!hakika wewe ni mtumishi pendwa na Mungu azidi kukutumia.

  • @faithlucas5866
    @faithlucas5866 Рік тому +10

    Machozi ya furaha yananitoka jamani kumuona Mch Kimaro tena.Mungu alitunze kanisa lidumu katika umoja na upendo 🙏

  • @isayatippe6409
    @isayatippe6409 Рік тому +31

    I'm from the Pentecostal Assemblies of God (Tanzania). I give God glory and honor to see Pastor Kimaro returning to the same church, Kijitonyama, as their pastor.
    God bless Kimaro, God bless the Leadership of Diocese of DMP and the Usharika of Kijitonyama for working together as one team!

    • @annehk8185
      @annehk8185 Рік тому +2

      Na wewe ubarikiwe pia kwa kuandika ung'eng'e umeongeza furaha😂

    • @felixmwasongwe8043
      @felixmwasongwe8043 Рік тому +1

      ​@@annehk8185 😂

  • @ericrukamba6802
    @ericrukamba6802 Рік тому +5

    Mie nilishasema kuwa sitakanyaga teta Kijitonyama,kusali, sasa narudi tena, Asante Mungu kwa kumurudisha Dr Kimaro 🙏🙏🙏❤

  • @mtumejosephgoliama6159
    @mtumejosephgoliama6159 Рік тому +2

    Mungu atukuzwe mno kwa kanisa kutambua umuhimu wa kusamehe. Mchungaji Kimaro bila shaka kuna jambo amejifunza. Unyenyekevu huleta neema. Namuomba Mungu atakase Kinywa cha mchungaji Kimaro ili aeneze uzima nakua makini na kauli zake . Ukristo juuuuuuu juu zaidi. Sifa zote kwa Yesu Kristo Bwana wetu

  • @elishakayagwa9371
    @elishakayagwa9371 Рік тому +3

    Hongera sana kwa kupewa nafasi tena, ila ni wakati wa kujiangalia sana asianguke maana ukikubalika sana adui hutumia mlango huo kwa ajili ya kukuporomosha kwa kiburi.
    Nakutahadharisha sana mchungaji Kimaro uweze kushinda roho ya kiburi baada ya kusifiwa

  • @jackittah
    @jackittah Рік тому +7

    This is beautiful
    Glory to God
    My heart is full ❤

  • @oscarnderongo-fv8wx
    @oscarnderongo-fv8wx Рік тому +10

    Mungu atukuzwe mnooo katika Jina la Yesu

  • @rithakuyala9951
    @rithakuyala9951 Рік тому +5

    Asante MUNGU kwa kutuludishia mchungaji wetu KIMARO alleluyaaaaah ❤

  • @jennifaonesmo602
    @jennifaonesmo602 Рік тому +1

    Nakupenda SANA Kimaro achana na Ananja hata yeye alikosea akatolewa Moja Kwa Moja. We endelea kumshukuru Mungu

  • @judithkyenze1321
    @judithkyenze1321 Рік тому +5

    Glory be to God, how happy I am to see the man of God back, karibu sana sana. Judy from Kenya

    • @captain001kenya3
      @captain001kenya3 Рік тому

      Tell them agekam huku tupotee na yeye he comforter me a lot

  • @josephlorri431
    @josephlorri431 Рік тому +2

    Wanawake ni watu wa hisia sana bila tafakari ya matokeo ya matendo hayo. Binadamu tunapita, bali jina la Kristo ataishi Milele.. Viongozi wa dini tuache kuchochea hisia za watu..wafundishe kweli ya Mungu

  • @scolasticadamian327
    @scolasticadamian327 Рік тому +12

    We love you Pastor Kimaro

  • @jeangodelo5349
    @jeangodelo5349 Рік тому +3

    Ahsante Mungu kwa ajili ya huyu mtumishi wako uzidi kumlinda na umpandishe viwango vya juu kabisa mafundisho yake yamebadilisha maisha ya wengi 🙏🙏

  • @nerryabel7512
    @nerryabel7512 Рік тому +3

    Mungu ni mwema,asante Mungu kwa kumrudisha tena Mch Kimaro🙏🙏

  • @janethpeter3844
    @janethpeter3844 Рік тому +5

    God is good all the time.
    Anza tena na Bwana.... Tunakupendaaaa

  • @FaridaMleko-re2jd
    @FaridaMleko-re2jd Рік тому +6

    Hatimaye Dorcasiiiiiiiiiiiiiii kuongezewa miaka mingine. Oh! Mungu ni mwema sana, nimefurahi mnoooooo kurudi kwa mchungaji.

  • @annamulungu2876
    @annamulungu2876 Рік тому +1

    Hongera kwa kurejea Kijitonyama mtumishi wa Mungu.
    Mungu, akuongoze tena!

  • @user-ik5kz6gh7n
    @user-ik5kz6gh7n 6 місяців тому

    Hakika huu niukuu wamungu tunauona mbele yetu mungu hawezi kukiacha peke yako asante bab umesimama naye ukuu wa mung❤❤🙏🙏

  • @sarahwalker5093
    @sarahwalker5093 Рік тому +4

    Mungu wetu ni final say karibu tena mtumishi wa Mungu nadikia furaha na amani sana

  • @margretben6920
    @margretben6920 Рік тому +2

    Jamani Dsm Kijitonyama mmebarikiwa na huyi Baba sawa na sisi tulivyobarikiwa na Mwl Mwakasege.

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 Рік тому +2

    Mwacheni MUNGU aitwe MUNGU, ametenda makuu SAAAANA sifa na utukufu ni kwake yeye apitaye falme zote. KARIBU BABA YETU MCHJ DR ELIONA KIMARO KKKT KIJITONYAMA KUENDELEA KUTUONGOZA TENA NA TENA, MAFUNDISHO YAKO YAMEWAJENGA WENGI KIROHO, KIUCHUMI NA KIMWILI. BARIKIWA SAAAAANA MCHJ NA MAMA NA FAMILIA YAKO. AMEN

  • @judymasunzu7517
    @judymasunzu7517 Рік тому +1

    Anajibu Maombi X2 Bwana twakuabudu. Asante Mungu WA Utatu Kwa Kujibu Maombi yetu. Asante Uongozi DMP Kwa Uamuzi huu .

  • @happynessmbise3027
    @happynessmbise3027 Рік тому +2

    Tunakupenda sana baba yetu,umekuwa mnyenyekevu sana ktk yote,tunaamini Mungu amekupandisha kiwango kingine,ubarikiwe baba

  • @zawadishekilango9132
    @zawadishekilango9132 Рік тому +1

    Sifa heshima na utukufu ninakurudishia Mungu kwa ajili ya mtumishi wako huyu. Ambaye Mungu anaenda kutumika tena madhabahuni Pako. Damu yako ikaendelee kunena mema katika utumishi wake Amina

  • @suechipeta4223
    @suechipeta4223 Рік тому +2

    Huyu ndiye Mungu atendaye matendo makuu ya kuogofya... Tunamshangilia Bwana...

  • @joycesamweli1219
    @joycesamweli1219 Рік тому +3

    Tuliimis sauti hiyo ya mamlaka ya kumfyatua shetani kazi iendelee Mchungaji

  • @greenermichael2057
    @greenermichael2057 Рік тому +8

    Mimi Ni FPCT Lakin mchungaji Kimaro Ni mchungaji wangu nimpendaye sana

  • @hortensiamallya700
    @hortensiamallya700 Рік тому +1

    Mimi ni Mkatoliki..........Tunakupenda Baba saaaaaaana .........Karibu saaaaaaaaana Baba Mchungaji.

  • @nicembise902
    @nicembise902 Рік тому +4

    Mungu uliye hai utukufu na heshima ni vyako milele na milele karibu tena baba yetu na hongera Sana kwa uvumilivu wako kwa kipindi chote hekima Yako na unyenyekevu wako umewashangaza wengi Mungu akuinue zaidi unastahili kuwa mkuu wa kanisa na KKKT Sasa sio mchungaji tena na hakika nakuombea Mungu akufikishe huko🎉🎉🎉❤

    • @frenziangella6676
      @frenziangella6676 Рік тому

      Dr na mchungaji kimalo kiukweli hekima unyenyekevu busara ulio nawo Mungu akubariki sana na akulinde naungana na wanna kijito nyama kwa furaha hii
      Kipekee nawashukuru maaskofu wote pia marasusa

  • @ronahemmajay1477
    @ronahemmajay1477 Рік тому +1

    Kuna mtu anakata vitunguu hapa🙏🙏🙏 to God be the Glory

  • @johnsonkagande428
    @johnsonkagande428 Рік тому +2

    Nimefilahi sana mutu wa Mungu umerudi ktk hema takatifu Mungu akuongoze milele

  • @magdalenajoel4409
    @magdalenajoel4409 Рік тому +3

    Wow mungu akutunze mtumishi umechaguliwa hakika hakuna ulimi utakaoinuka juu yako tena 🙏❤️

  • @TheSalma1999
    @TheSalma1999 Рік тому +1

    We love you pastor kimaro Mungu Ndio anajua

  • @magrethpatrick8449
    @magrethpatrick8449 Рік тому +3

    Shetani amegalagazwa chaliiiiiiiiiii Yuko hoi kwa paaaaale.:O😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @rosemacha8137
    @rosemacha8137 Рік тому

    2020 alikuja na unabii wa start your Impossible aisee alinipa nguvu ya kufungua shule,,, akaja na I'm in to win it bado kwangu ikafanya kazi,,, akaja na i connect to collect Mungu akanikonect na watu sana,,,,leo tupo na tutavuka na mbao...... ooohhh this man amebeba mafunuo makubwa sana ya KIMUNGU kwa mwenye imani na Mungu. Glory to Jesus aisee

  • @janemwambungu4558
    @janemwambungu4558 Рік тому +10

    Ila marasusa Mungu anakuona , kimario ww ni mnyenyekevu Sana Mungu akufikishe mbali Zaidi mtu wenye matunda ndio unapigwa mawe siku zote

    • @amilongjackson2066
      @amilongjackson2066 Рік тому

      Marasusa amekosa nini

    • @mzarendo.com9624
      @mzarendo.com9624 Рік тому

      Acha ujinga Ask. Malasusa, ana kosa gani nyau wewe.....
      🥺🥺🥺😟😟😟😳😳😳

    • @rehemajuma2202
      @rehemajuma2202 Рік тому +1

      Yaani mchungaji hunaga ubaguzi na dini ya MTU,halafu mungu akuinue sn,yaani riziki ya MTU huwezi ifunga,hakuna mkamilifu duniani eti unamfungia MTU asifanye neno la mungu kiss kasema ukweli ndo SBB mungu kayatenda haya ukweli utabaki kuwa ukweli congratulations mchungaji Fanya kazi ya mungu tupo nyuma yako

    • @judicalosika7642
      @judicalosika7642 Рік тому +1

      Usilaani mpendwa.
      Tuombene.

    • @janemwambungu4558
      @janemwambungu4558 Рік тому

      @@judicalosika7642 Amina mpendwa

  • @amanikiteve5195
    @amanikiteve5195 Рік тому +1

    Mwenyezi Mungu ambariki mtumishi wake na aendelee kuikuza karama yake

  • @rhodamwafongo6660
    @rhodamwafongo6660 Рік тому +2

    Karibu tena mpendwa wetu Dr Kimaro , tunakupenda saana

  • @rehemamadelele5124
    @rehemamadelele5124 Рік тому +3

    Kimaro kimaro Nakuombea uishi baba uishi uishiiiii Tena uishiiiii wewe hakika Na jemedari WA kanisa

  • @joliea2956
    @joliea2956 Рік тому +4

    From Saud, God is good 👍 🙏 🙌 ❤

  • @greenermichael2057
    @greenermichael2057 Рік тому +4

    Ooooh Saa 10 alfajiri watu wamemsubiri MCH Kimaro kanisani ooooh

  • @karlyneden3908
    @karlyneden3908 Рік тому +4

    Sifa na Shukrani nakurudishia Eee Mungu Baba ulie Hai

  • @fidelisfrank4420
    @fidelisfrank4420 Рік тому +1

    Mimi ni mwana ufufuo na uzima lkn pastor kimaro namkubali na kumfatilia Sana tena karibu Sana Baba kijitonyama

  • @anithambise90
    @anithambise90 Рік тому +6

    Mungu asante kwa kujibu maombi yetu jina lako libarikiwe sana 🙏 Karibu Mchungaji kuna kitu Mungu kaweka ndani yako🔥🔥🔥

  • @joycemollel7698
    @joycemollel7698 Рік тому +1

    Wamtumainio bwana ni kama mlima Wa sayuni hautatikisika milele,
    Hallelujah

  • @josephvenus3259
    @josephvenus3259 Рік тому +2

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥💯💯🙌🙌🙌🙌 Amina aminaaaaa Hata Sasa Bwana anatenda. Sasa macho yangu yameamini

  • @captain001kenya3
    @captain001kenya3 Рік тому +1

    Huyu mgefaya one mistake uiii Kenya ingemchukua Kaa ugari moto we love this man of God

  • @hildamushi1084
    @hildamushi1084 Рік тому +2

    ASANTE SANA YESU KWA UPENDO WAKO KWA MTUMISHI WAKO ELIONA KIMARO.

  • @felistermhango3177
    @felistermhango3177 Рік тому +10

    Glory be to God Jesus🙌🙌

  • @ceciliaonyango5367
    @ceciliaonyango5367 Рік тому +5

    Hadi raha Mungu ni mwema 🙏🙏🙏

  • @jesckamolel5693
    @jesckamolel5693 Рік тому +3

    Kwel wanampenda mchungaji wao kutoka moyon wamefurahi sana yule adui aliyetaka kumthalilisha bila sababu ya msingi akiona hili shangwe ni kama mkiki unamchoma kwenye moyo

  • @zariadunia6328
    @zariadunia6328 Рік тому +1

    Wanawake kila sehemu mnaongoza kha nami nimefurahi sana kwa baba mchungaji kurejea ni muislam lkn nampendaga

  • @rhoidanassibu8536
    @rhoidanassibu8536 Рік тому +1

    Mungu azidi kukuinuaaaa sana Mch Kimaro.. Mafundisho yako yanatujenga sana sana

  • @delvinalyimo8403
    @delvinalyimo8403 Рік тому

    Glory to our Almighty God!!My heart is full of joy!!! I love you with the love of God Man of God.Endelea kuifanya kazi ya bwana kwa uaminifu mkubwa!!🙏🙏

  • @neemamwanga5447
    @neemamwanga5447 Рік тому +2

    Waooooo baba yangu wa kiroho Mungu akutunze, ❤❤❤❤ nikikusikiliza Mara zote mahubiri yako unaniponya nafsi, nilishakata tamaa Sana kupitia youtube unaniponya nafsi Mungu akulinde nakupenda sana mafundisho yako, Mungu wa mbinguni nilinde siku moja nije kukuona live nitafurahi sana sana

  • @mercymariki2148
    @mercymariki2148 Рік тому +1

    Mungu akutunze sana Baba.....keep on going ....we love you!!!

  • @naghemsuya5218
    @naghemsuya5218 Рік тому +1

    Mungu atukuzwe Sana jmn nimefurah Sana, Baba tunakupenda tunakupenda Tena. Unatubariki mnooo

  • @rosemshana1712
    @rosemshana1712 Рік тому

    Mungu Akubariki sana mchg Kimaro. Nimefurahi sana kwa jinsi ulivyojishusha na kuomba msamaha. Na Mungu akakujibu. Nakuombea maisha marefu katika kazi ya BWANA

  • @zachariahtomemba9070
    @zachariahtomemba9070 10 місяців тому

    May God bless you so much beloved Rev . pastor Eliona Kimaro Kwa utumishi mwema,Amen

  • @josephvenus3259
    @josephvenus3259 Рік тому +2

    Hallelujah hallelujah hallelujah!!! Sifa na utukufu ni kwa Mungu

  • @lindamoshi3013
    @lindamoshi3013 Рік тому +1

    Mungu wewe ni wa ajabu sana...Mungu aendelee kukutumia tubarikiwe

  • @cecygeorge4443
    @cecygeorge4443 Рік тому

    Nimefurahi sana mpaka nimelia machozi ashukuriwe MUNGU alie juu🙏🙏 ooh Asante YESU

  • @rosemarymwengele3778
    @rosemarymwengele3778 Рік тому +2

    Mungu wetu ni mwema 🙏 Hakika ni furaha kubwaaaaa mnooooo🙏

  • @brysonmeena1086
    @brysonmeena1086 Рік тому +1

    Jumapili hakika hapatatosha kanisani, Mungu atamuonesha baba askofu Malasusa ukuu wa Mch Kimaro

  • @emmanuelrutaihwa6545
    @emmanuelrutaihwa6545 Рік тому

    Mch Kimaro tunakupenda kwa kuwa unajua kutuombea kwa Mwenyezi Mungu. Tunamwomba Mwenyezi Mungu asikie maombi yako uliyomuomba kwa ajili yetu. Amen.

  • @delverosedastan5730
    @delverosedastan5730 Рік тому +2

    Sifa na utukufu ni kwako Mungu wetu,ulinzi wako ukawe juu ya mtumishi wako Eliona Kimaro

  • @marianajoseph1892
    @marianajoseph1892 Рік тому +3

    Mama mchungaji oyeeee 🙏🏻🙏🏻🙏🏻

  • @pendorichard2986
    @pendorichard2986 Рік тому +3

    Utukufu ni kwako ee mwenyezi mungu

  • @rebekamwinuka6058
    @rebekamwinuka6058 Рік тому +3

    Mungu akubariki mch. Kimaro

  • @deboramuhoja1777
    @deboramuhoja1777 Рік тому

    Maji hayazuiliwi Kwa ukuta🥰yatatoboa na kupenya tu😂😂😂Anacho kibali!! kama Mungu alimchagua hakuna binadamu atakaezuia, wamuache atumike🥰Mungu Atukuzwe sana🙏🙏🙏

  • @susanndesanjo7106
    @susanndesanjo7106 Рік тому

    Sifa na utukufu ni kwa Bwana Mungu aliyeziumba mingi na nchi.Mbarikkwe watumishi na waumini wa Mungu. Yesu ndiyo kiongozi wangu.Kumfuata Yeye ni furaha.

  • @bernadetakomba366
    @bernadetakomba366 Рік тому

    Asante kwaajili ya Baba Mchungaji Kimaro Bwana akupe maisha mm Catherine Gabone umefanyika Baraka katika maisha yangu Bwana akulinde na famili yako Amen

  • @barakaleader1550
    @barakaleader1550 Рік тому +1

    Nguvu ya umma haijawahi feli..congole Wana kijitonyama

  • @SelinaNiinah-gn2qd
    @SelinaNiinah-gn2qd Рік тому +1

    Asante sana mchg huwa na barikwa mahubiri yako

  • @josephinanyinondi4249
    @josephinanyinondi4249 Рік тому +2

    Karibu tena Mungu akutumie kama apendavo

  • @veeJesus
    @veeJesus Рік тому +2

    Endelea na kazi baba shetani umeshindwa kwa Jina la Yesu

  • @ngambikomsu64
    @ngambikomsu64 Рік тому +3

    Wapiiii mchungaji Hananjaaaaaa

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw Рік тому +1

    Amen mtumishi wa Mungu tupo pamoja ktk bwana 🙏

  • @demicratia4071
    @demicratia4071 Рік тому +4

    Jamani na Watch na nyie kutoka Uingereza hata machozi yamenitoka Penye haki hapapungui kitu

  • @hilarymark7583
    @hilarymark7583 Рік тому +1

    Ubinadamu wetu usitufanye tukatae vile vitu Mungu alivyoweka kwa maana maalum kwa watu wengine

  • @nitikekubetta9152
    @nitikekubetta9152 Рік тому +1

    Amen such a humble man Yesu ni mwema

  • @josephinekokushubila1050
    @josephinekokushubila1050 Рік тому +1

    Tunamshukuru Mungu Kwa ajili ya huyu mtumishi

  • @rosettasuleiman5774
    @rosettasuleiman5774 Рік тому +2

    I really moved and happy to see you again

  • @MaaneML
    @MaaneML Рік тому

    Yaani.machozi yananitoka kabisa. Mungu ni jibu. Washarika wa Kijitonyama hongereni Sana. Askofu Malasusa tuliza kichwa na mawazo kwa Wachungaji wenye Karama. Waheshimu. Usharika huu ungekufa kabisa kwa maamuzi yasiyo na Busara. Iwe funzo kwa wengine. Uelewe tu kuwa sharika siku hizi zinakua au kufa kwa sababu ya Mchungaji aliyepo. Msirudie makosa

  • @MaaneML
    @MaaneML Рік тому +2

    Ebenezer amewezesha. Amen

  • @devothamichael636
    @devothamichael636 Рік тому +5

    Damu ya Yesu iendelee kinena mema kwenye maisha yako

  • @getrudejohnson
    @getrudejohnson Рік тому +8

    Glory to the highest Thank u God for what u have done. For us Ua warm welcome Pastor we miss u a lot.

  • @annakisanga
    @annakisanga Рік тому +1

    Mungu ni mwema. Sana

  • @stevenkiswaga1064
    @stevenkiswaga1064 Рік тому +7

    Nimejikuta nalia tu Kwa furaha