VIDEO: HALIMA MDEE NA ESTHER BULAYA WALIVYOKUTANA NA GODBLESS LEMA KANISANI KWA MCHUNGAJI KIMARO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 23 кві 2023

КОМЕНТАРІ • 118

  • @abdallahsaid9531
    @abdallahsaid9531 9 місяців тому +1

    godbless lema nakukubali sana kamanda ang, nataman siku moja tukutane tuongee, naitwa ELIKANA Npo jimbo la sengerema

  • @nsiamasawe4578
    @nsiamasawe4578 Рік тому +13

    Kweli nikimuona Kimaro ninafarijika sana. Mungu azidi kukutunza.

  • @martinegeorge4696
    @martinegeorge4696 Рік тому +10

    Walitaka kucheza na akili za mchungaji kimaro cheki Sasa anafanya kazi kubwa sana na anawatu wakubwa kwelikweli Mungu akubariki kimaro.

    • @lisahhans295
      @lisahhans295 Рік тому

      Chadema wooooote hawa.hata kimaro maskn ya MUNGU NA NILIKIA NAMPENDA SANA KIMARO KUMBE UKO HUKOOO....UWIII😊

  • @mathiaslyamunda2526
    @mathiaslyamunda2526 Рік тому +4

    Chadema wasameheni hao kina mama it takes huge efforts for a women to reach those levels they are, na nyie Chadema mmekuwa sehemu ya kuwajenga hao kina mama. Yalitokea Mengi huko Nyuma tunahitaji Sasa kuyasahau na kujenga mustakabali mpya. It so good to see Lema, Halima, and Esther Bulaya together.

    • @kisangageorgethomasi2830
      @kisangageorgethomasi2830 Рік тому

      Itakua ni mazoea kwa ccm kufanya ukafiri wakitegemea msamaha apa ni kukaza tu wanakula kodi za bure

    • @justinejackson1731
      @justinejackson1731 Рік тому

      Binafs nataman sana na mimi kuona hawa wakina dada wanarud kundini jaman! Sema basi tu ndo maisha yalivyo.

    • @ThobiasMarandu
      @ThobiasMarandu Рік тому

      Kusamehe In Which Sense? Kuhalalisha walichofanya?

    • @ThobiasMarandu
      @ThobiasMarandu Рік тому

      Hii Haina Tofauti na Yule Sijui Mashimo au Malakula anasema Membe Amsamehe Musiba. TANZANIA MNACHEZA. NCHI HII, KATIBA, SHERIA, TARATIBU HAZINA MAANA. WASAMEHE UHUNI????

    • @kisangageorgethomasi2830
      @kisangageorgethomasi2830 Рік тому

      @@ThobiasMarandu wanazani kila mtanzania ni ndondocha

  • @samsongechamet5374
    @samsongechamet5374 Рік тому +3

    Mungu ni mwema,Mh.Rais maono yako yanaonekana hadi Kanisani.

  • @rezegerezege691
    @rezegerezege691 Рік тому +3

    Hongera Daddy ELIONA KIMARO

  • @franaelisumari5108
    @franaelisumari5108 Рік тому +3

    NAIPENDA SANA TANZANIA 🇹🇿 ,NAWAPENDA SANA WATANZANIA.MUNGU ASANTE KWA KUWA NA WATANZANIA,SIFA NA UTUKUFU NI WAKO.

  • @vickyshayo7880
    @vickyshayo7880 Рік тому +1

    Hongera sana Mtumishi wa Mungu

  • @altonkanjolonga2380
    @altonkanjolonga2380 Рік тому

    Dr Kimaro Mungu aendelee kukutunza

  • @doricekibona5993
    @doricekibona5993 Рік тому +1

    Jamani mbaka Mguru Mchemba yupo haaa🤭🤭👏👏

  • @karolikisaka8991
    @karolikisaka8991 Рік тому +4

    Acheni kumsifu mchungaji,Anayeujua moyo wake ni Mungu mwenyewe.Mwachenj afanye kazi ya Mungu

    • @aminimushi6945
      @aminimushi6945 Рік тому

      Mtu akifanya kazi na asifiwe,binaadamu ana nafasi,na Mungu ndiye msimamizi mkuh.

  • @EagleCrown-pb9qv
    @EagleCrown-pb9qv Рік тому +2

    Amina 🙏🏿🇹🇿🤔

  • @arafatimarusu-4715
    @arafatimarusu-4715 Рік тому

    Kazi nzuri 👏👏👏

  • @hajihassan5433
    @hajihassan5433 Рік тому

    Nampenda sana Mhe. Halima kama sio kikwazo cha Dini ningemuomba awe mkewe wangu. Mungu ambariki sana!

  • @dellykiwelu
    @dellykiwelu Рік тому

    Amina

  • @jumannerajabu8259
    @jumannerajabu8259 Рік тому +3

    eriona kimaro nikati ya wachungaji ambao nawakubari sana

  • @nsiamasawe4578
    @nsiamasawe4578 Рік тому +5

    Mchungaji Eliona Kimaro. Kanisa lisikutumie kukusanya michango tu, pia litambue na kuheshimu huduma yako yenye kipaji ndani yake.

    • @adkajisi4536
      @adkajisi4536 Рік тому

      Kwani haitambuliki?

    • @brysonkaale3003
      @brysonkaale3003 Рік тому

      Mchungaji kimaro ameajiriwa na KKKT,na siyo kweli kwamba ana kanisa lake,hasha!

    • @merekwangujati158
      @merekwangujati158 Рік тому

      Acha wenge kwani kulikuwa hakuna wachungaji wengine wa kusimamia hio mchango , we acha wenge hapo ametambuliwa bcz hapo kwao , hafu KKKT ndio imemfanya ajulikane , au umbebe ww xaxa

  • @onetoanotherglory2024
    @onetoanotherglory2024 7 місяців тому

    Lovely

  • @mwalimumbukuzi7273
    @mwalimumbukuzi7273 Рік тому

    Nawapongeza sana wawakilishi na viongozi wa serikali wakiristo,kujitokeza na kuchangia mambo ya kiroho wakiwa na fahari juu ya kazi hiyo.viongozi na wawakilishi waislamu wanaogopa kuitwa wana udini,na hawawezi katu kujitokeza kama timu nzima ya chadema inavoonekana na viongozi wengine,endeleeni na moyo huu usio na unafiki.BIG UP!

  • @onesmombele2571
    @onesmombele2571 Рік тому +2

    Mungu awabariki sana

  • @samwelkavwanga4491
    @samwelkavwanga4491 Рік тому

    Hii ndo Tanzania tunayoitaka .tusibaguane kwa vyama sisi tuunganishwe na utaifa wetu .vyama vitapita lakin Tanzania itabaki daima

  • @ibrahimgwasma1223
    @ibrahimgwasma1223 Рік тому

    Good but siyo vzr kwenda na sare za chama kanisani

  • @lucaschisamalo2852
    @lucaschisamalo2852 Рік тому

    Mm nasema inchi hii Kuna maigizo Sana sana ndomaa hatuendi unafiki unafiki hizo sadaka mnaahidi sawa na viongozi wanashangilia kwa sababu wanatoa pesa Ila kumbukeni hela za masikini wa inchi hii tanzania huwa naumia Sana basi tu

  • @salumjrsaidjr7150
    @salumjrsaidjr7150 Рік тому +2

    Siasa viva Roma utabiri wako ume wekewa Wakfu Allah leo lema kasimama na mwigru

    • @lulanjamd3886
      @lulanjamd3886 Рік тому

      Huku ni Kwa Yesu Kristo Kila mtu anakaribishwa karibu sana

  • @bakarbakarali-cw3gc
    @bakarbakarali-cw3gc Рік тому

    Mdee madawa yamekuuwa😊

  • @sephaniangulo4035
    @sephaniangulo4035 Рік тому

    Ndugu ripota, uko vizuri lakini KKKT hatuna kanisa la Mchungaji flani eg kanisa la mch Kimaro

  • @visualservices8897
    @visualservices8897 Рік тому

    Mi nikajuwa Lema na halina hawaongei siasaa

  • @linnamlay3643
    @linnamlay3643 Рік тому +2

    Haya yote ni matunda ya mama etu rais wetu Samia kutuleta pamoja Mungu ibariki Tanzania,Mungu mbariki rais wetu.Amani,Umoja na Mshikamano viwe ngao yetu .Siasa sio uadui❤️

  • @mamanimama2618
    @mamanimama2618 Рік тому

    Ok

  • @bakarbakarali-cw3gc
    @bakarbakarali-cw3gc Рік тому

    Mhmmm yesu mwenyewe hakuwahi kuingia kanisani kimaro piga pesa namie naanzisha kanisa langu kea biashara nzuri

  • @jimmydizonga1335
    @jimmydizonga1335 Рік тому +1

    Halima nilikua nakukuubali Sana ila dah! Najua hamna mtu mwenye ugomvi na ela illa kunawakati ela zingine inabidi uzipishe. Halima yani kila nikiwaza siamini kamanda.

    • @revocatuskato9474
      @revocatuskato9474 Рік тому

      ilibidi akubaliane na hali iliyokuwepo wakati huo,alikuwa hana chaguo jingine zaidi ya kuchukua hela maana ata angezikataa angeishia kutekwa na kupotezwa kama siyo kuuawa au kupewa kesi zisizokuwa na dhamana.

  • @doricekibona5993
    @doricekibona5993 Рік тому +1

    Samahani naomba kuhuliza kwani huyu Mchungaji Kimaro ameamishwa Dar lini?

    • @brysonkaale3003
      @brysonkaale3003 Рік тому

      Hajahamishwa alienda kutoa shukrani kwenye usharika wa Kondeni matala usharika wa nyumbani kwake alikozaliwa Moshi.

  • @sudymgeni701
    @sudymgeni701 Рік тому +1

    Kuna siku mnakua wastaharabu sana sana.kama Leo mmekua safi

    • @saturinimushi4746
      @saturinimushi4746 Рік тому

      Napata Shida sana kusema Udhalimu ni Haki.
      Na Haramu ni Halali?.
      Mhe. Lema Macho yake hayana Pazia kama ulivyoyaona.
      USO Umeumbwa na Haya!?.
      Nasubiri 'palee' Kula Matapishi yangu mwenyewe.
      Siasa za Wanasiasa Ndani ya Kanisa la Kisasa.
      Mshahara wa Wabunge Wasio na Baraka za Chama ukitumika kulijenga Kanisa.
      Bora Niuze Gongo na Bangi Kuliko Unafiki
      MATHAYO 23.
      SOMA mwenyewe.

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 Рік тому

    Hongera sana daddy 😍🔨

  • @ebenezernnko8251
    @ebenezernnko8251 Рік тому

    Mdee na Bulaya wezi wa kodi zetu hapo wanatupiga changa la macho ni mafisadi kama wengine tu

  • @richardnganya2311
    @richardnganya2311 Рік тому

    Esther Bulaya kutoka Mara..... Mbunge ....
    Halima Mdee kutoka Kawe... Mbunge mstaafu ??? Lema .... Mwugulu..

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 Рік тому

    Sauti ya zege mnafikiiiii

  • @adkajisi4536
    @adkajisi4536 Рік тому +2

    Milard hatuna kanisa la Mchungaji Kimaro

  • @richardhosea8827
    @richardhosea8827 Рік тому +1

    Lema aibu lazima kamchezo anakajuwa sasa hv wanapasua kuku kupitia ruzuku toka kwa hao 19

  • @bakarbakarali-cw3gc
    @bakarbakarali-cw3gc Рік тому

    Kanisani au pikniki

  • @yahyahamad1802
    @yahyahamad1802 Рік тому

    Kumbe halima mdee ni mkristo?

  • @estermathias8354
    @estermathias8354 Рік тому +2

    Mbona lema kama ana ka aibu flani hivi🤭🤭

  • @bakarimtange570
    @bakarimtange570 Рік тому

    Ila ajasema mbunge wa chama gani

  • @rithadonatus8110
    @rithadonatus8110 Рік тому

    Samahanini kimario kapelekwa kanisa gani baada ya kijitonyama

  • @bakarbakarali-cw3gc
    @bakarbakarali-cw3gc Рік тому

    Kwani apo uwanja wa taifa naskia

  • @gwajetheentertainer363
    @gwajetheentertainer363 Рік тому +1

    Inawezekana hawa Bulaya na mwenzie wanakulana kweli hawa

  • @flaviankimat5233
    @flaviankimat5233 Рік тому +2

    wana c.c.m mbona wanafaa pia nguo zao za chama kanisani.kanisa halichagui mavazi

  • @chescokagali5962
    @chescokagali5962 Рік тому +2

    Huyu padre amebarikiwa kuwa kiongozi

    • @veeJesus
      @veeJesus Рік тому

      Sio Padre ni mchungaji

    • @chescokagali5962
      @chescokagali5962 Рік тому

      @@veeJesus wewe ni KKKT

    • @veeJesus
      @veeJesus Рік тому

      Eee

    • @chescokagali5962
      @chescokagali5962 Рік тому

      Unaifahamu historia ya kanisa lako vizuri

    • @veeJesus
      @veeJesus Рік тому +1

      @@chescokagali5962 Usiniulize maswali namjua Yesu dini kaa nazo wewe me hazinipelek kokote

  • @adaboychibu1659
    @adaboychibu1659 Рік тому

    Kwani Esta na halima ni mke na mume au kila sehem akiwa mmoja na mwenzie yupo🤔

  • @faharikhamisi3091
    @faharikhamisi3091 Рік тому +1

    Ester I love you My loving sister ila nafuta furaha ya kweli Una uzuni kubwa ninishida

  • @estersaul8180
    @estersaul8180 Рік тому

    Mahali NI pazuri..
    Ndugu wanapokaa kaa

  • @merekwangujati158
    @merekwangujati158 Рік тому

    Tuna KKKT sio kanisa la Kimero , samahani mildayo

  • @machaggechacha243
    @machaggechacha243 Рік тому

    Mafisadi watarajiwa.

  • @mhifadhi797
    @mhifadhi797 Рік тому

    Siasa siasa Haina adui Wala rafiki wa kudumu

  • @gladnesskombe1664
    @gladnesskombe1664 Рік тому

    MUNGU IBARIKI NCHI YETU BARIKI VIONGOZI WOTE WAKI DINI NA WAKISIASA TUIJENGE NCHI YETU

  • @flaviankimat5233
    @flaviankimat5233 Рік тому

    ni nguo kama nguo nyingine

  • @yuzotv458
    @yuzotv458 Рік тому

    😂😂😂😂😂😂😂mtoto Mdogo huwezi Tafsiri hilo chemo miaka 1000.

  • @bushbabytz
    @bushbabytz Рік тому +1

    Halima Mdee Na Bulaya wajue kuwa wao hawawezi kuwa juu ya Chadema, Chadema ni kubwa zaidi yao

  • @majaliwabwitonde6900
    @majaliwabwitonde6900 Рік тому +2

    Wanafanya tu siasa mpaka kwenye nyumba za ibada.

  • @barakamutabazi2824
    @barakamutabazi2824 Рік тому

    Sihsa mbaya sana

  • @mafurumatijo8803
    @mafurumatijo8803 Рік тому +2

    Hivi halima ni mbunge wa chama gani vilee!.

  • @dicksonkilupa2258
    @dicksonkilupa2258 Рік тому +2

    NA WALE WATUMISHI WASIO MPENDA KIMARO WAITISHE HARAMBEE KAMA HIZI ILI TUONE KIBALI WALICHO NACHO TOKA KWA MUNGU. USHAURI WANGU WATUMISHI TUPENDANE DUNIA IPATE KUTAMBUA KWAMBA TUNAPENDANA

  • @stanslausbernard5950
    @stanslausbernard5950 Рік тому +3

    Kuvaa gwanda la chama cha siasa kanisani Ina maana gani?

    • @alexvenas2699
      @alexvenas2699 Рік тому +1

      Haina maana yeyote wewe unahisi inamaana Gani?

    • @alexvenas2699
      @alexvenas2699 Рік тому +1

      Kwani Nikienda na gwanda kanisani Mungu hawezi kusikia?

    • @gladnesskombe1664
      @gladnesskombe1664 Рік тому +1

      Lina maana mama samia hana ubaguzi wa vyama

    • @mathewtwimanye92
      @mathewtwimanye92 Рік тому

      @@gladnesskombe1664 ha ha ha ha tumsamehe bure mavazi yake ya kawaida aliyaacha Canada

    • @simbakyasi4039
      @simbakyasi4039 Рік тому +1

      sasa magwanda ya chama hadi kanisani kweli!!! mmmhhhhh

  • @bakarbakarali-cw3gc
    @bakarbakarali-cw3gc Рік тому

    Piga pesa kimaro za wajinga

  • @lucianagodson437
    @lucianagodson437 Рік тому +3

    Mch. Kimaro hii Kaz Yako ya uchungaji mungu alikubarikia tangu tumboni kwa mama yako

    • @aishalucas3502
      @aishalucas3502 Рік тому

      Kabsaaaa

    • @julianapeason6254
      @julianapeason6254 Рік тому

      @@aishalucas3502 why yeye na asiwe mchungaji mwingine yeyote?? ulishawahi kujiuliza?????